Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16 


1CO 5:1     Alignment score: 0.281
We heard a report that there is sexual immorality among you , a kind of immorality that is not even permitted among the pagans : A man has his father 's wife .
Tumesikia taarifa kuwa kuna zinaa miongoni mwenu , aina ya zinaa ambayo haipo hata katikati ya watu wa Mataifa . Tuna taarifa kwamba mmoja wenu analala na mke wa baba yake .


1CO 5:2     Alignment score: 0.143 → 0.145
You are puffed up ! Should you not mourn instead , so that the one who did this
deed might be removed from among you ?
Nanyi mwajisifu ! Badala ya kuhuzunika ? Yule aliyefanya hivyo anapaswa kuondolewa miongoni mwenu .
1CO 5:3     Alignment score: 0.092 → 0.125
For even though I am absent in body , I am present in spirit . I have already passed judgment on the one who did this , just as though
I were there .
Ingawa sipo pamoja nanyi kimwili lakini nipo nanyi kiroho , nimekwisha mhukumu yeye aliyefanya hivi , kama vile nilikuwepo .
1CO 5:4     Alignment score: 0.4
When you are assembled in the name of our Lord Jesus and I am with you in spirit , and the power of our Lord Jesus is present ,
Mnapokutanika pamoja katika jina la Bwana wetu Yesu , na roho yangu ipo pale kama kwa nguvu za Bwana wetu Yesu , nimekwisha mhukumu
mtu huyu .
1CO 5:5     Alignment score: 0.38 → 0.416
deliver this man over to Satan for the destruction of the flesh , so that his spirit may be saved on the day of the Lord .
Nimekwisha kumkabidhi mtu huyu
kwa Shetani ili kwamba mwili wake uharibiwe , ili roho yake iweze kuokolewa katika siku ya Bwana .
1CO 5:6     Alignment score: 0.213
Your boasting is not good . Do you not know that a little yeast leavens the whole loaf ?
Majivuno yenu si kitu kizuri . Hamjui chachu kidogo huharibu donge zima ?
1CO 5:7     Alignment score: 0.259 → 0.291
Cleanse yourselves of the old yeast so that you may be a new batch of dough , unleavened , just as you really are . For Christ , our Passover lamb , has been sacrificed .
Jisafisheni ninyi wenyewe chachu ya kale , ili kwamba muwe donge jipya , ili kwamba mwe mkate
usiochachuliwa . Kwa kuwa , Kristo , Mwana Kondoo wetu wa pasaka amekwisha kuchinjwa .
1CO 5:8     Alignment score: 0.404 → 0.417
So let us then celebrate the festival , not with the old yeast , the yeast of bad behavior and wickedness . Instead , let us celebrate with the unleavened bread of sincerity and truth .
Kwa hiyo tusherekee karamu si kwa chachu ya kale , chachu ya tabia mbaya na uovu . Badala yake , tusherekee na mkate usiotiwa chachu wa unyenyekevu na kweli .
1CO 5:9     Alignment score: 0.3 → 0.306
I wrote to you in my letter not to associate with sexually
immoral people .
Niliandika katika barua yangu kuwa msichangamane na wazinzi .
1CO 5:10     Alignment score: 0.311
In no way did I mean the immoral people of this world , or the greedy , or swindlers , or idolaters , since to stay away from them you would need to go out of the world .
Sikua na maananisha wazinzi wa dunia hii , au na wenye tamaa au wanyang'anyi au waabudu sanamu , kwa kukaa mbali nao , basi ingewapasa mtoke duniani .
1CO 5:11     Alignment score: 0.35 → 0.361
But now I am writing to you not to associate with anyone who is called a brother but who is living in sexual immorality , or who is greedy
, or is an idolater , or is verbally abusive , or is a drunkard , or a swindler . Do not even eat a meal with such a person .
Lakini sasa nawaandikia kutojichanganya na yeyote anayeitwa kaka au dada katika Kristo , lakini anaishi katika uzinzi au ambaye ni mwenye kutamani , au mnyang'anyi , au mwabudu sanamu , au mtukanaji au mlevi . Wala msile naye mtu wa namna ile .
1CO 5:12     Alignment score: 0.367
For how am I involved with judging those who are outside the church ? Instead , are you not to judge those who are inside the church ?
Kwa hiyo
nitajihusishaje kuwahukumu walio nje ya Kanisa ? Badala yake , ninyi hamkuwahukumu walio ndani ya kanisa ?
1CO 5:13     Alignment score: 0.357
But God judges those who are on the outside . " Remove the evil person from among you . "
Lakini Mungu anawahukumu walio
nje . Mwondoeni mtu mwovu miongoni mwenu .
1CO 5     Average alignment score: 0.313 for 13 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16