Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16 


1CO 14:1     Alignment score: 0.178
Pursue love and be zealous for spiritual gifts , especially that you may prophesy
.
Utafuteni upendo na kutamani sana karama za rohoni , zaidi sana mpate kutoa unabii .


1CO 14:2     Alignment score: 0.323
For the one who speaks in a tongue does not speak
to people but to God . For no one understands him because he speaks mysteries in the Spirit .
Maana yeye anenaye kwa lugha hasemi na watu bali husema na Mungu . Maana hakuna aelewaye kwa sababu anena mambo yaliyofichika katika Roho .
1CO 14:3     Alignment score: 0.342 → 0.351
But the one who prophesies
speaks to people to build them up , to exhort them , and to comfort them .
Lakini yeye atoaye unabii , asema na watu na kuwajenga , kuwatia moyo , na kuwafariji .
1CO 14:4     Alignment score: 0.334
The one who speaks in a tongue builds up himself , but the one who prophesies
builds up the church .
Yeye anenaye kwa lugha hujijenga mwenyewe , lakini yeye atoaye unabii hulijenga kanisa .
1CO 14:5     Alignment score: 0.331 → 0.332
Now I wish that you all spoke in tongues . But even more than that , I wish that you would prophesy
. The one who prophesies is greater than the one who speaks in tongues ( unless someone interprets so that the church may receive edification ) .
Sasa natamani kwamba ninyi nyote mnene kwa lugha . Lakini zaidi ya hayo , natamani ya kwamba mtoe unabii . Yeye atoaye unabii ni mkuu kuliko yeye anenaye kwa lugha ( labda awepo wa kutafasiri ) , ili kwamba kanisa lipate kujengwa .
1CO 14:6     Alignment score: 0.388
But now , brothers , if I come to you speaking in tongues , how will I benefit you ? I can not , unless I speak
to you with revelation , or knowledge , or prophecy , or teaching .
Lakini sasa , kaka na dada zangu , nikija kwenu na kunena kwa lugha , nitawafaidia nini ninyi ? Siwezi , isipokuwa nasema nanyi kwa njia ya ufunuo , au kwa njia ya maarifa , au unabii , au kwa njia ya fundisho .
1CO 14:8     Alignment score: 0.233 → 0.234
For if the trumpet is played with an uncertain sound , how will anyone know when it is time to prepare for battle ?
Kwa maana ikiwa baragumu itatoa sauti isiyojulikana , ni jinsi gani mtu atatambua ya kuwa ni muda wa kujiandaa kwa vita ?
1CO 14:9     Alignment score: 0.156 → 0.185
It is the same way for you with the tongue . If you utter speech
that is not clear , how will what is said be understood ? You will be speaking into the air .
Vivyo hivyo na ninyi . Mkitoa kwa ulimi neno lisilo dhahiri , ni jinsi gani mtu ataelewa mnachosema ? Mtakuwa mkiongea , na hakuna atakayewaelewa .
1CO 14:10     Alignment score: 0.188
There are doubtless many kinds of languages
in the world , and none is without meaning .
Hakuna shaka kwamba kuna lugha nyingi mbalimbali duniani , na hakuna hata moja isiyo na maana .
1CO 14:11     Alignment score: 0.446
But if I do not know the meaning of a language , I will be a foreigner to the speaker , and the speaker will be a foreigner to me .
Lakini ikiwa sijui maana ya lugha , nitakuwa mgeni kwake yeye anenaye , naye anenaye atakuwa mgeni kwangu .
1CO 14:12     Alignment score: 0.193
So it is with you . Since you are eager for the manifestations of the Spirit , seek for the edification of the church so that you might
abound .
Vivyo hivyo na ninyi . Kwa kuwa mnatamani sana kuona uthihirisho wa Roho , takeni kwamba mzidi sana kulijenga kanisa .
1CO 14:13     Alignment score: 0.205
So the one who speaks in a tongue should pray that he may interpret .
Hivyo , yeye anenaye kwa lugha na aombe apewe kutafasiri
.
1CO 14:14     Alignment score: 0.333 → 0.353
For if I pray in a tongue , my spirit prays , but my mind is unfruitful .
Kwa maana nikiomba kwa lugha , roho yangu huomba , lakini akili zangu hazina matunda .
1CO 14:15     Alignment score: 0.508 → 0.528
What am I to do ? I will pray with my spirit , but I will also pray with my mind . I will sing with my spirit , and I will also sing with my mind .
Nifanye nini ? Nitaomba kwa roho yangu , lakini pia nitaomba kwa akili zangu . Nitaimba kwa roho yangu , na nitaimba kwa akili zangu pia .
1CO 14:16     Alignment score: 0.268 → 0.277
Otherwise , if you bless God with the spirit , how will the outsider say " Amen " when you are giving thanks if he does not know what you are saying ?
Vinginevyo , ukimsifu Mungu kwa roho , yeye aliye mgeni ataitikaje Amina utoapo shukurani
, akiwa hayajui usemayo ?
1CO 14:17     Alignment score: 0.179 → 0.182
For you certainly give
thanks well enough , but the other person is not built up .
Maana ni kweli wewe washukuru vema , lakini yule mwingine hajengwi .
1CO 14:18     Alignment score: 0.363
I thank God that I speak
in tongues more than all of you .
Namshukuru Mungu kwa kuwa nanena kwa lugha zaidi ya ninyi nyote .
1CO 14:19     Alignment score: 0.412
But in the church I would rather speak
five words with my understanding so that I might instruct others , than ten thousand words in a tongue .
Lakini katika kanisa ni heri ninene maneno matano kwa ufahamu wangu ili nipate kuwafundisha wengine , zaidi ya kunena maneno kumi elfu kwa lugha .
1CO 14:20     Alignment score: 0.293 → 0.295
Brothers , do not be children in your thinking . Rather , in regard to evil , be like infants . But in your thinking be mature .
Kaka na dada zangu , msiwe watoto katika kufikiri kwenu . Badala yake , kuhusiana na uovu , iweni kama watoto wachanga . Lakini katika kufikiri kwenu mkawe watu wazima .
1CO 14:21     Alignment score: 0.389 → 0.398
In the law it is written , " By men of strange tongues and by the lips of strangers I will speak to this
people . Even then they will not hear me , " says the Lord .
Imeandikwa katika sheria , Kwa watu wa lugha nyingine na kwa midomo ya wageni nitasema na watu hawa . Wala hata hivyo hawatanisikia , asema Bwana .
1CO 14:22     Alignment score: 0.418
So then , tongues are a sign , not to believers , but to unbelievers . But prophecy
is for a sign , not for unbelievers , but for believers .
Hivyo , ndimi ni ishara , sio kwa walioamini , bali kwa wasioamini . Lakini kutoa unabii ni ishara , sio kwa wasioamini , bali kwa ajili yao waaminio .
1CO 14:23     Alignment score: 0.229 → 0.232
If , therefore , the whole church comes together and all speak
in tongues , and outsiders and unbelievers come in , would they not say that you are insane ?
Haya , ikiwa kanisa lote limekusanyika pamoja na wote wanene kwa lugha , na wageni na wasioamini wameingia , je hawawezi kusema kwamba mna wazimu ?
1CO 14:24     Alignment score: 0.263
But if you all were prophesying and an unbeliever or an outsider came
in , he would be convicted by all he hears . He would be judged by all that is said .
Lakini ikiwa wote mnatoa unabii na asiyeamini au mgeni akaingia , atashawishiwa na yote asikiayo . Atahukumiwa na yote yasemwayo .
1CO 14:25     Alignment score: 0.312 → 0.335
The secrets of his heart would be revealed . As a result , he would fall on his face and worship God . He would declare that God is really among you .
Siri za moyo wake zingefunuliwa . Matokeo yake , angeanguka kifudifudi na kumwabudu Mungu . Angekiri ya kwamba Mungu yu kati yenu .
1CO 14:26     Alignment score: 0.296 → 0.325
What is next then , brothers ? When you come together , each one has a psalm , a teaching , a revelation , a tongue , or an interpretation . Do everything so that you build up the church .
Nini kifuatacho basi , kaka na dada zangu ? Mnapokutana pamoja , kila mmoja ana Zaburi , mafundisho , mafunuo , lugha au tafsiri . Fanyeni kila kitu ili kwamba mlijenge kanisa .
1CO 14:27     Alignment score: 0.258
If anyone speaks in a tongue , let there be two or at most three , and each one in turn , and then someone should interpret what is said .
Kama yeyote ananena kwa lugha , wawepo wawili au watatu , na kila mmoja katika zamu . Na mtu lazima atafasiri kilichosemwa .
1CO 14:28     Alignment score: 0.454
But if there is no one to interpret , let each of them keep silent in the church . Let each one speak
to himself alone and to God .
Lakini kama hakuna mtu wa kutafasiri , basi kila mmoja wao akae kimya ndani ya kanisa . Basi kila mmoja aongee peke yake na kwa Mungu .
1CO 14:29     Alignment score: 0.471
Let two or three prophets speak
, and let the others listen with discernment to what is said .
Na manabii wawili au watatu wanene , na wengine wasikilize kwa kupambanua kilichosemwa .
1CO 14:30     Alignment score: 0.112 → 0.129
But if there is a revelation
to one who is sitting , let the first be silent .
Lakini aliyeketi akifunuliwa jambo katika huduma , yule ambaye alikuwa ananena na anyamaze .
1CO 14:31     Alignment score: 0.19
For each of you can prophesy
one by one so that each one may learn and all may be exhorted .
Kwa kuwa kila mmoja wenu anaweza kutoa unabii mmoja baada ya mwingine ili kwamba kila mmoja aweze kujifunza na wote waweze kutiwa moyo .
1CO 14:32     Alignment score: 0.479
For the spirits of the prophets are subject to the prophets .
Kwa kuwa roho za manabii ziko chini ya uangalizi wa manabii .
1CO 14:33     Alignment score: 0.552 → 0.556
For God is not a God of confusion , but of peace . This
is the rule in all the churches of God 's holy people .
Kwa kuwa Mungu si Mungu wa machafuko , bali wa amani . Kama ilivyo katika makanisa yote ya waumini ,
1CO 14:34     Alignment score: 0.372
The women should keep silent in the churches . For they are not permitted to speak . Instead , they should be in submission , as also the law says .
imewapasa wanawake wakae kimya katika kanisa . Kwa kuwa hawaruhusiwi kuzungumza . Badala yake , wanapaswa kuwa katika unyenyekevu , kama pia sheria inavyosema .
1CO 14:35     Alignment score: 0.413
If there is anything they desire to learn , let them ask their husbands at home . For it is disgraceful for a woman to speak in the church .
Kama kuna chochote wanatamani kujifunza , basi wawaulize waume zao nyumbani . Kwa kuwa ni aibu kwa mwanamke kuongea katika kanisa .
1CO 14:36     Alignment score: 0.412 → 0.412
Did the word of God come from you ? Are you the only ones it has reached ?
Je neno la Mungu lilitoka kwenu ? Je limewafikia ninyi tu ?
1CO 14:37     Alignment score: 0.306 → 0.306
If anyone thinks himself to be a prophet or spiritual , he should acknowledge that the things I write
to you are a command of the Lord .
Kama mtu akijiona kuwa ni nabii au wa rohoni , inampasa ayatambue mambo ninayowaandikia ya kwamba ni maagizo ya Bwana .
1CO 14:38     Alignment score: 0.156 → 0.164
But if anyone does not recognize this
, let him not be recognized .
Lakini asipotambua haya , mwacheni asitambuliwe .
1CO 14:39     Alignment score: 0.148 → 0.154
So then , brothers , earnestly desire to prophesy
, and do not forbid anyone from speaking in tongues .
Hivyo basi , kaka na dada zangu , takeni sana kutoa unabii , na msimzuie mtu yeyote kunena kwa lugha .
1CO 14:40     Alignment score: 0.342
But let all things be done properly and in order .
Lakini mambo yote yatendeke kwa uzuri
na kwa utaratibu .
1CO 14     Average alignment score: 0.324 for 39 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16