Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16 


1CO 4:1     Alignment score: 0.44
This
is how a person should regard us , as servants of Christ and stewards of the hidden truths of God .
Kwa hiyo mtu atuhesabu sisi , kama watumishi wa Kristo na mawakili wa siri za kweli za Mungu .


1CO 4:2     Alignment score: 0.12 → 0.138
Now what is required of stewards is that they are found to be trustworthy .
Katika hili
, kinachotakiwa kwa mawakili ni kwamba wawe wa kutumainiwa .
1CO 4:3     Alignment score: 0.198 → 0.208
But for me it is a very small thing that I should be judged by you or by any human court . For I do not even judge myself .
Lakini , kwangu mimi ni kitu kidogo sana kuhukumiwa na ninyi , kwa hukumu
ya kibinadamu . Kwa kuwa sijihukumu hata mimi mwenyewe .
1CO 4:4     Alignment score: 0.077 → 0.101
I am not aware of any charge being made against me , but that does not justify me . The one who judges me is the Lord .
Sijihukumu mimi mwenyewe , hii haina maana kuwa mimi ni mwenye haki . Ni Bwana anihukumuye .
1CO 4:5     Alignment score: 0.361 → 0.372
Therefore do not pronounce judgment about anything before the time , before the Lord comes . He will bring to light the hidden things of darkness and reveal the purposes of the heart . Then each one will receive his praise from God .
Kwa hiyo , msitamke hukumu juu ya lolote kabla ya wakati , kabla ya kuja kwa Bwana . Atayaleta nuruni mambo yaliyofichika
gizani na kufunua makusudi ya mioyo . Ndipo kila mmoja atapokea sifa yake kutoka kwa Mungu .
1CO 4:6     Alignment score: 0.276 → 0.306
Now , brothers , I applied these
principles to myself and Apollos for your sakes , so that from us you might learn the meaning of the saying , " Do not go beyond what is written . " This is so that none of you may be puffed up in favor of one against the other .
Sasa , kaka na dada zangu , mimi mwenyewe na Apolo tumetumia kanuni hizi kwa ajili yenu . Ili kwamba kutoka kwetu mnaweza kujifunza maana ya usemi , Usiende zaidi ya kilivyoandikwa . Hii ni kwamba hakuna mmoja wenu ajivunaye juu ya mwingine .
1CO 4:7     Alignment score: 0.16 → 0.18
For who sees any difference between you and others ? What do you have that you did not receive ? If you have received it , why do you boast as if you did not receive it ?
Kwani ni nani aonaye tofauti kati yenu na mwingine ? Ni kipi ulicho nacho hukukipokea bure ? Kama umekwisha kupokea bure , kwa nini mnajivuna kama hamkufanya hivyo ?
1CO 4:8     Alignment score: 0.141 → 0.143
Already
you have all you could want ! Already you have become rich ! You began to reign and that quite apart from us ! Indeed , I wish you did reign , so that we could reign with you .
Tayari mmeshapata vyote ambavyo mngetaka ! Tayari mmekuwa na utajiri ! Mmeanza kutawala ; na kwamba mnamiliki zaidi yetu sisi ! Kweli , nawatakia umililki mwema ili kwamba tumiliki pamoja nanyi .
1CO 4:9     Alignment score: 0.291 → 0.298
For I think God has put us apostles on display as the last in line , in a procession
and like men sentenced to death . We have become a spectacle to the world to angels , and to human beings .
Kwa hiyo ninadhani Mungu ametuweka sisi mitume kama kutuonyesha wa mwisho katika mustari wa maandamano na kama watu waliohukumiwa kuuawa . Tumekuwa kama tamasha kwa ulimwengu , kwa malaika na kwa wanadamu .
1CO 4:10     Alignment score: 0.387 → 0.41
We are fools for Christ 's sake , but you are wise in Christ . We are weak , but you are strong . You are held in honor , but we are held in dishonor .
Sisi ni wajinga kwa ajili ya Kristo , lakini ninyi ni wenye hekima katika Kristo . Tu wanyonge , lakini ninyi mna nguvu . Mnaheshimiwa , lakini sisi tunadharauliwa .
1CO 4:11     Alignment score: 0.261
Up to this present hour we are hungry and thirsty , we are poorly clothed , we are beaten , and we are homeless .
Hata saa hii tuna njaa na kiu , hatuna nguo , tuna mapigo , na tena hatuna mahali pa kuishi .
1CO 4:12     Alignment score: 0.182
We labor hard , working with our own hands . When we are slandered , we bless . When we are persecuted , we endure .
Tunafanya kazi kwa bidii , kwa mikono yetu wenyewe . Tunapodharauliwa , tunabariki . Wakati tunapoteswa , twavumilia .
1CO 4:13     Alignment score: 0.141 → 0.149
When we are slandered , we speak
with kindness . We have become as the refuse of the world and the filthiest of all things , even till now .
Tunapotukanwa , twarudisha kwa upole . Tumekuwa , na sisi bado tunahesabiwa kuwa kama kukataliwa na dunia na takataka kwa mambo yote .
1CO 4:14     Alignment score: 0.291 → 0.304
I do not write
these things to shame you , but to warn you as my beloved children .
Siandiki mambo haya kuwaaibisha ninyi , lakini kuwarudi ninyi kama watoto wangu niwapendao .
1CO 4:15     Alignment score: 0.508
For even if you have ten thousand guardians in Christ , you do not have many fathers . For I became your father in Christ Jesus through the gospel .
Hata kama mna waalimu
makumi elfu katika Kristo , hamna baba wengi . Kwa kuwa nimekuwa baba yenu katika Yesu Kristo kupitia injili .
1CO 4:16     Alignment score: 0.186
So I urge you to be imitators of me .
Hivyo ninawasihi mniige mimi .
1CO 4:17     Alignment score: 0.379
That is why I sent you Timothy , my beloved and faithful child in the Lord . He will remind you of my ways in Christ , just as I teach them everywhere and in every church .
Hiyo
ndiyo sababu nilimtuma kwenu Timotheo , mpendwa wangu na mtoto mwaminifu katika Bwana . Atawakumbusheni njia zangu katika Kristo , kama ninavyofundisha kila mahali na kila kanisa .
1CO 4:18     Alignment score: 0.25 → 0.273
Now some of you have become puffed up , acting as though I were not coming to you .
Sasa baadhi yenu wanajisifu
, wakitenda kana kwamba sitakuja kwenu .
1CO 4:19     Alignment score: 0.315
But I will come to you soon , if the Lord wills . Then I will know not merely the words of these
who are so puffed up , but I will see their power .
Lakini nitakuja kwenu kitambo , kama Bwana akipenda . Ndipo nitajua si maneno yao tu wanaojisifu , lakini nitaona nguvu zao .
1CO 4:20     Alignment score: 0.531
For the kingdom of God does not consist in words but in power .
Kwa kuwa ufalme wa Mungu hauwi katika maneno bali katika nguvu .
1CO 4:21     Alignment score: 0.491 → 0.491
What do you want ? Should I come to you with a rod or with love and in a spirit of gentleness ?
Mnataka nini ? Nije kwenu na fimbo au kwa upendo na katika roho ya upole ?
1CO 4     Average alignment score: 0.298 for 21 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16