Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:44
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of DAN:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12 


DAN 7:1     Alignment score: 0.5 → 0.5
In the first year of Belshazzar king of Babylonia , Daniel had a dream and visions in his mind while lying on his bed . Then he wrote
down what he had seen in the dream . He wrote down the most important events :
Katika mwaka wa kwanza wa Belshaza mfalme wa Babelli , Danieli alikuwa na ndoto na maono katika akili zake wakati alipokuwa amelala kitandani kwake . Kisha akayaandika yale aliyoyaona katika ndoto . Aliandika matukio ya muhimu sana :


DAN 7:2     Alignment score: 0.428
Daniel explained , " In my vision at night I saw that the four winds of heaven were stirring up the great sea .
Danieli alieleza , Usiku katika ndoto zangu niliona pepo
nne za mbinguni zilikuwa zinaitikisa bahari kuu .
DAN 7:3     Alignment score: 0.282 → 0.307
Four large animals , each one different from the other , came
up out of the sea .
Wanyama wakubwa wanne , kila mmoja alikuwa tofauti na mwenzake , walitoka katika bahari .
DAN 7:4     Alignment score: 0.362 → 0.381
The first was like a lion but had eagle 's wings . As I was looking , its wings were torn off and it was lifted from the ground and made to stand on two feet , like a man . The mind of a man was given to it .
Mnyama wa kwanza alikuwa kama simba , lakini alikuwa na mabawa ya tai . Nilipokuwa natazama , mabawa yake yalikuwa
yamepasuka na alikuwa ameinuliwa katika ardhi na alikuwa amesimama kwa miguu miwili kama mtu . Na alipewa akili za kibinadamu .
DAN 7:5     Alignment score: 0.389
Then there was a second animal , like a bear , and it was bending over ; it had three ribs between its teeth in its mouth . It was told , ' Get up and devour many people . '
Na kulikuwa na mnyama wa pili , alikuwa kama dubu , na alikuwa ameinama , alikuwa na mbavu tatu katikati ya meno yake katika mdomo wake . Aliambiwa , Inuka na umeze watu wangi .
DAN 7:6     Alignment score: 0.439 → 0.457
After this I looked again . There was another animal , one that looked like a leopard . On its back it had four wings like bird wings , and it had four heads . It was given authority to rule .
Baada ya hili , niliangalia tena . Kulikuwa na mnyama mwingine ambaye
alionekana kama chui . Mgongoni mwake alikuwa na mabawa manne kama mabawa ya ndege , na alikuwa na vichwa vinne . Alipewa mamlaka ya kutawala .
DAN 7:7     Alignment score: 0.383 → 0.393
After this
I saw in the visions of the night a fourth animal , terrifying , frightening , and very strong . It had large iron teeth ; it devoured , broke in pieces , and trampled underfoot what was left . It was different from the other animals , and it had ten horns .
Baada haya , niliona usiku katika ndoto yangu mnyama wa nne , mwenye kuogofya , na kutisha na mwenye nguvu . Alikuwa na meno makubwa ya chuma ; alikula , na kuvunjavunja katika vipande , na kusagasaga katika miguuni pake kile kilichosalia . Alikuwa ni wa tofauti na wanyama wengine , na alikuwa na pembe kumi .
DAN 7:8     Alignment score: 0.354
While I was considering the horns , I looked and saw another horn grow up among them , a little horn . Three of the first horns were wrenched out by the roots . I saw in this horn eyes like the eyes of a man and a mouth that was boasting about great things .
Na wakati nilipokuwa natafakari juu ya pembe , nilitazama na niliona pembe nyingine ndogo ilichipuka katikati ya pembe zingine . Mizizi ya pembe tatu kati ya pembe za mwanzo iling'olewa . Niliona katika pembe hii macho kama macho ya mtu na mdomo ambao
ulikuwa ukijivuna kwa mambo makubwa .
DAN 7:9     Alignment score: 0.352 → 0.373
As I looked , thrones were set in place , and the Ancient of Days took his seat . His clothing was as white as snow , and the hair of his head was like pure wool . His throne was flames of fire , and its wheels were burning fire .
Na nilipotazama , viti vya enzi vilikuwa
vimewekwa , na Mtu wa siku za kale alikaa sehemu yake . Mavazi yake yalikuwa meupe kama theruji , na nywele zake katika kichwa chake zilikuwa safi kama sufu . Kiti chake cha enzi kilikuwa na miali ya moto , na magurudumu yake yalikuwa yanawaka moto .
DAN 7:10     Alignment score: 0.318 → 0.325
A river of fire flowed out from before him ; millions served him , and one hundred million were standing before him . The court was in session , and the books were opened .
Mto wa moto ulitiririka
kutoka mbele yake , na maelfu elfu ya watu walimtumikia , na wengine elfu kumi mara elfu walikuwa wamesimama mbele yake . Na mahakama iliitishwa , na vitabu vilifunguliwa .
DAN 7:11     Alignment score: 0.252 → 0.283
I continued to look because of the sound of the boastful words spoken by the horn . I watched while the animal was killed , and its body was destroyed , and it was given over to be burned up .
Niliendelea kuangalia
kwa sababu ya maneno ya kiburi yaliyosemwa na pembe . Nilitazama wakati mnyama anauliwa , na mwili wake uliharibiwa , na ulitolewa kwa ajili ya kuchomwa moto .
DAN 7:12     Alignment score: 0.317
As for the rest of the four animals , their authority to rule was taken away , but their lives were prolonged for a period of time .
Na kwa wale wanyama wanne waliosalia , mamlaka yao yalitwaliwa mbali , lakini maisha yao yaliendelezwa kwa kipindi fulani cha muda .
DAN 7:13     Alignment score: 0.411
In my visions that night , I saw one coming with the clouds of heaven like a son of man ; he came to the Ancient of Days and was presented before him .
Katika maono yangu usiku ule , nilimwona mtu mmoja anakuja katika mawingu ya mbinguni alikuwa kama mwana wa mtu ; alikuja kwa Mzee wa Siku na aliletwa mbele zake .
DAN 7:14     Alignment score: 0.398 → 0.448
Authority to rule and glory and royal power were given to him so that all the peoples , nations , and languages
should serve him . His authority to rule is an everlasting authority that will not pass away , and his kingdom is one that will never be destroyed .
Naye alipewa mamlaka ya kiutawala na utukufu na mamlaka ya kifalme ili kwamba watu wote , na mataifa na lugha ziweze kumtumikia yeye . Mamlaka yake ya kutawala ni mamlaka ya milele ambayo hayatapita , na ufalme wake ni ule ambao hautaangamizwa .
DAN 7:15     Alignment score: 0.363
As for me , Daniel , my spirit was grieved inside of me , and the visions I saw in my mind troubled me .
Na kwangu mimi , Danieli , roho yangu ilihuzunishwa ndani yangu , na maono niliyoyaona katika akili zangu yalinisumbua .
DAN 7:16     Alignment score: 0.211
I approached one of them standing there and asked him to show me the interpretation of these
things .
Nilimsongelea mmoja wa hawa walikuwa wamesimama hapo na nikamwomba anioneshe maana ya mambo haya .
DAN 7:17     Alignment score: 0.35 → 0.361
' These
large animals , four in number , are four kings that will arise from the earth .
Hawa wanyama nne wakubwa ni wafalme wanne ambao watakoatokea katika nchi .
DAN 7:18     Alignment score: 0.346 → 0.366
But the holy people of the Most High will receive the kingdom , and they will possess it forever and ever . '
Lakini watu watakatifu wa Mungu aliyejuu wataupokea
ufalme na wataumiliki milele na milele .
DAN 7:19     Alignment score: 0.426 → 0.438
Then I wanted to know more about the fourth animal it was so different from the others and very horrifying with its iron teeth and bronze claws ; it devoured , broke into pieces , and trampled on what was left with its feet .
Ndipo nilipotaka kujua zaidi juu ya mnyama wa nne , ambaye
alikuwa tofauti sana na wengine na alikuwa wa kutisha pamoja na meno yake ya chuma na makucha ya shaba ; alimeza , na alivunja vipande vipande , na alisagasaga kwa miguu yake kile kilichokuwa kimesalia .
DAN 7:20     Alignment score: 0.365
I wanted to know about the ten horns on its head , and about the other horn that grew up , and before which the three horns fell down . I wanted to know about the horn that had eyes and about the mouth that boasted about great things and that seemed greater than its companions .
Nilitaka kujua juu ya pembe kumi katika kichwa chake , na kuhusu pembe nyingine iliyochomoza , na ambayo mbele yake pembe zingine tatu zilianguka
chini . Nilitaka kujua kuhusu pembe yenye macho na kuhusu mdomo uliokuwa unajisifu kwa mambo makubwa na ambayo ilionekana kuwa ni kubwa kuliko zingine .
DAN 7:21     Alignment score: 0.326
As I looked , this horn waged war against the holy people and was defeating them
Na nilipotazama , pembe hii iliinua vita dhidi ya watu watakatifu na ilikuwa inawashinda mpaka pale
DAN 7:22     Alignment score: 0.248 → 0.252
until the Ancient of Days came , and justice was given to the holy people of the Most High . Then the time came
when the holy people took possession of the kingdom .
Mzee wa Siku alipokuja , na watu watakatifu wa Mungu Aliye Juu Sana . Ndipo wakati ulipowadia ambapo watu watakatifu waliupokea ufalme .
DAN 7:23     Alignment score: 0.322 → 0.331
This is what that person said , ' As for the fourth animal , it will be a fourth kingdom on earth that will be different from all the other kingdoms . It will devour the whole earth , and it will trample it down and break it into pieces .
Hiki ndicho mtu yule
alichokisema , Kwa habari ya mnyama wanne , utakuwa ni ufalme wa nne juu ya dunia ambao utakuwa tofauti na falme zingine zote . Utaimeza dunia yote , na utaikanyaga yote chini na kuivunjavunja vipande vipande .
DAN 7:24     Alignment score: 0.407
As for the ten horns , out of this kingdom ten kings will arise
, and another will arise after them . He will be different from the previous ones , and he will subdue the three kings .
Na kuhusu pembe kumi , kutoka katika ufalme huu , wafalme kumi watainuka , na mwingine atainuka baada yao . Atakuwa wa tofauti na wale waliomtangulia , na atawashinda wale wafalme watatu .
DAN 7:25     Alignment score: 0.437
He will speak
words against the Most High and will oppress the holy people of the Most High God . He will try to change the festivals and the law . These things will be given into his hand for one year , two years , and half a year .
Atazungumza maneno kinyume cha Yeye Aliye Juu sana na atawatesa watu watakatifu wa Mungu Aliye Juu . Atajaribu kuzibadili sikukuu na sheria . Mambo haya atapewa mikononi mwake kwa mwaka mmoja , miaka miwili na nusu mwaka .
DAN 7:26     Alignment score: 0.283 → 0.324
But the court will be in session , and they will take his royal power away to be consumed and destroyed at the end .
Lakini kikao cha mahakama kitaitishwa , na watazichukua nguvu zake za kifalme ili mwisho aweza
kuharibiwa na kuteketezwa .
DAN 7:27     Alignment score: 0.401 → 0.416
The kingdom and the dominion , and the greatness of the kingdoms under the whole heaven , will be given to the people who belong to the holy people of the Most High . His kingdom is an everlasting kingdom , and all other kingdoms will serve and obey him . '
Ufalme na utawala , ukubwa wa falme chini ya mbingu yote , watapewa watu walio
wa watu watakatifu wa Yeye Aliye juu Sana . Ufalme wake ni ufalme wa milele , na falme zingine zote zitamtumikia na kumtii yeye .
DAN 7:28     Alignment score: 0.398 → 0.401
Here is the end of the matter . As for me , Daniel , my thoughts greatly alarmed me and my face changed in appearance . But I kept these
things to myself . "
Na huu ndio mwisho wa mambo . Na kuhusu mimi , Danieli , mawazo yangu yanihuzunisha sana mimi na mwonekano wa uso wangu ulibadilika . Lakini mambo haya niliyahifadhi mimi mwenyewe .
DAN 7     Average alignment score: 0.381 for 28 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of DAN:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12