Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:44
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of DAN:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12 


DAN 10:1     Alignment score: 0.471 → 0.491
In the third year of Cyrus king of Persia , a message was revealed to Daniel , whose name was called Belteshazzar . This
message was true . It was about a great conflict . Daniel understood the message when he had insight from the vision .
Katika mwaka wa tatu wa Koreshi mfalme wa Uajemi , ujumbe ulifunuliwa kwa Danieli , aliyeitwa pia Belteshaza . Ujumbe huu ulikuwa ni wa kweli . Ulihusu vita kuu . Danieli aliufahamu ujumbe alipopata ufumbuzi kutoka katika maono .


DAN 10:2     Alignment score: 0.432
In those days I , Daniel , was in mourning for three weeks .
Katika siku hizo , mimi Danieli , nilikuwa katika maombolezo kwa wiki tatu .
DAN 10:3     Alignment score: 0.337 → 0.351
I ate no delicacies , I ate no meat , I drank
no wine , and I did not anoint myself with oil until the completion of three entire weeks .
Sikula chakula kizuri , sikula nyama , sikunywa divai , na sikujipaka mafuta mwenyewe mpaka ukamilifu wa wiki tatu nzima .
DAN 10:4     Alignment score: 0.58 → 0.577
On the twenty - fourth day of the first month , as I was beside the great river ( that is , the Tigris ) ,
Katika siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza , nilipokuwa niko karibu na mto mkubwa ( ambao
ni Tigrisi ) ,
DAN 10:5     Alignment score: 0.469
I looked up and saw a man dressed in linen , with a belt around his waist made of pure gold from Uphaz .
Nilitazama juu na nikamwona mtu aliyevaa kitani , akiwa na mkanda kiunoni mwake uliotengenezwa kwa dhahabu safi kutoka Ufazi .
DAN 10:6     Alignment score: 0.385 → 0.386
His body was like topaz , and his face was like lightning . His eyes were like flaming torches , and his arms and his feet were like polished bronze . The sound of his words was like the sound of a great crowd .
Mwili wake ulikuwa kama kito , na sura yake ilikuwa kama radi . Macho yake yalikuwa
kama miali ya tochi , na mikono yake na miguu yake ilikuwa kama shaba iliyosafishwa . Sauti ya maneno yake ilikuwa kama sauti ya umati mkubwa wa watu .
DAN 10:7     Alignment score: 0.317 → 0.318
I , Daniel , alone saw the vision , for the men who were with me did not see the vision . However , a great terror came
on them , and they ran away to hide themselves .
Mimi , Danieli peke yangu niliyaona maono , na watu niliokuwa na pamoja hawakuyaona maono . Lakini , jambo kuu la kuogofya liliwaijia juu yao , na walikimbia na kujificha wao wenyewe .
DAN 10:8     Alignment score: 0.194 → 0.225
So I was left alone and saw this
great vision . No strength remained in me ; my bright appearance was turned into a ruined look , and no strength remained in me .
Hivyo niliachwa peke yangu na niliyaona maono haya ajabu . Hakuna nguvu iliyobakia ndani yangu ; mwonekano wangu wa kung'aa ulibadilika na kuwa mwonekano wa uharibifu , na hazikubakia nguvu ndani yangu .
DAN 10:9     Alignment score: 0.343 → 0.363
Then I heard his words and as I heard them , I fell on my face in deep sleep with my face to the ground .
Kisha nikasikia maneno yake , na nilipoyasikia , nilianguka kifudifudi na kupata usingizi mzito .
DAN 10:10     Alignment score: 0.378
A hand touched me , and it made me tremble in my knees and the palms of my hands .
Mkono ulinigusa
, na ilinifanya nitetemeke katika magoti yangu na viganja vya mikono yangu .
DAN 10:11     Alignment score: 0.313 → 0.327
The angel said to me , " Daniel , precious man , understand the words that I am speaking to you . Stand upright , for I have been sent to you . " When he had spoken this message to me , I stood up trembling .
Malaika aliniambia , Danieli , mtu aliyetunzwa sana , yafahamu maneno ninayokwambia wewe . Simama wima , kwa kuwa nimeshakutuma . Na alipomaliza kuniambia ujumbe huu , nilisimama nikiwa natetemeka
.
DAN 10:12     Alignment score: 0.461 → 0.478
Then he said to me , " Do not be afraid , Daniel . Since the first day you set your mind to understand and to humble yourself before your God , your words were heard , and I have come because of your words .
Kisha aliniambia , Usiogope , Danieli . Tangu siku ya kwanza ulipoiweka akili yako kutaka kufahamu na kujinyenyekeza mwenyewe mbele ya Mungu , maneno yako yalisikiwa , na nimekuja kwa sababu ya maneno yako .
DAN 10:13     Alignment score: 0.471 → 0.486
The prince of the kingdom of Persia resisted me , and I was kept there with the kings of Persia for twenty - one days . But Michael , one of the chief princes , came to help me .
Mwana wa mfalme wa ufalme wa Uajemi alinizuia , na niliwekwa huko na mfalme wa Uajemi kwa siku ishirini na moja . Lakini Mikaeli , mmoja kati ya wakuu alikuja kunisaidia .
DAN 10:14     Alignment score: 0.352 → 0.389
Now I have come to help you understand what will happen to your people in the last days . For the vision is for days yet to come . "
Sasa nimekuja kukusaidia ili ufahamu kile kitakachotokea kwa watu wako katika siku za mwisho . Kwa kuwa maono ni kwa ajili siku ambazo hazijatokea bado .
DAN 10:15     Alignment score: 0.207 → 0.261
While he was speaking to me using these
words , I turned my face toward the ground and was unable to speak .
Na alipokuwa akali akiniambia maneno haya , niligeuza uso wangu na kuuelekeza chini na sikuwa na uwezo wa kuzungumza .
DAN 10:16     Alignment score: 0.275 → 0.288
One who was like the sons of man touched my lips , and I opened my mouth and spoke to him who stood before me : " My master , I am in agony because of the vision ; I have no strength left .
Yeye aliyekuwa kama wana wa mtu alinigusa mdomo
wangu na nifumbua kinywa changu na nilimwambia huyo aliyekuwa amesimama mbele yangu : Bwana wangu , niko katika masumbuko makali kwa sababu ya maono ; sina nguvu ndani yangu iliyosalia .
DAN 10:17     Alignment score: 0.359
I am your servant . How can I talk with my master ? For I now have no strength , and there is no breath left in me . "
Mimi ni mtumishi wako . Je , ninawezaje kuongea na Bwana wangu ? Kwa kuwa sasa sina nguvu , na hakuna pumzi iliyosalia
ndani yangu .
DAN 10:18     Alignment score: 0.354
Again the one with an appearance of a man touched me and strengthened me .
Tena yule mwenye mwonekano wa mtu alinigusa na kunitia nguvu .
DAN 10:19     Alignment score: 0.245 → 0.245
He said , " Do not be afraid , precious man . May peace be to you ! Be strong now , be strong ! " While he was speaking to me , I was strengthened . I said , " Let my master speak , for you have strengthened me . "
Alisema , Usiogope , mtu ulithaminiwa sana . Amani na iwe kwako ! Uwe mwenye nguvu , uwe na nguvu ! Na alipokuwa anaongea na mimi , nilipata nguvu . Nilimwambia , Bwana wangu na aseme , kwa kuwa umenitia nguvu .
DAN 10:20     Alignment score: 0.337 → 0.334
He said , " Do you know why I have come to you ? I will soon return to fight against the prince of Persia . When I go , the prince of Greece will come .
Aliniambia , Je unajua
ni kwanini nimekuja kwako ? Nitarudi hivi karibuni kupigana na mkuu wa Uajemi . Na nitakapoenda , mkuu wa Ugiriki atakuja .
DAN 10:21     Alignment score: 0.414
But I will tell you what is written in the Book of Truth . There is no one who shows himself to be strong with me against them , except Michael your prince .
Lakini nitakwambia
kile kilichoandikwa katika Kitabu cha Ukweli . Hakuna yeyote anayejionesha kuwa na nguvu pamoja nami dhidi yao , isipokuwa Mikaeli mkuu wenu .
DAN 10     Average alignment score: 0.377 for 21 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of DAN:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12