Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:44
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of DAN:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12 


DAN 8:1     Alignment score: 0.562
In the third year of the reign of King Belshazzar , I , Daniel , had a vision appear to me ( after the one that appeared to me at first ) .
Katika mwaka wa tatu wa utawala wa mfalme Belshaza , mimi Danieli niliona maono ( baada ya maono ya awali yaliyonipata ) .


DAN 8:2     Alignment score: 0.362 → 0.374
I saw in the vision , as I was looking , that I was in the fortress of Susa in the province of Elam . I saw in the vision that I was beside the Ulai Canal .
Nilipokuwa nikiangalia katika ndoto , niliona kwamba nilikuwa katika mji wa Shushani wenye ngome katika jimbo la Elamu . Niliona katika ndoto kuwa nilikuwa karibu na mfereji wa Ulai .
DAN 8:3     Alignment score: 0.306 → 0.309
I looked up and saw before me a ram with two horns , standing beside the canal . One horn was longer than the other , but the longer one grew more slowly than the shorter and was passed up in length by it .
Nilitazama juu na nikaona mbele yangu kondoo dume lenye mapembe mawili , limesimama pembeni mwa mfereji . Pembe moja lilikuwa refu kuliko jingine , lakini pembe ndefu ilikuwa
inakua pole pole kuliko ile fupi na pembe fupi ilirefuka na kuizidi nyingine .
DAN 8:4     Alignment score: 0.375 → 0.381
I saw the ram pushing west , then north , and then south ; no other animal could stand before him . None of them was able to rescue anyone out of his hand . He did whatever he wanted , and he became great .
Niliona kondoo mme akiishambulia magharibi , kisha kaskazini , na baadaye kusini ; hakuna mnyama mwingine aliyeweza kusimama mbele yake . Hakuna yeyote aliyeweza kumwokoa yeyote katika mkono wake . Alifanya chochote kile alichokitaka , na alikuwa mtu mkubwa sana .
DAN 8:5     Alignment score: 0.309
As I was thinking about this
, I saw a male goat come from the west , who went across the surface of the whole earth , running fast , not seeming to touch the ground . The goat had a large horn between his eyes .
Na nilipokuwa natafakari juu ya haya , niliona beberu akitoka magharibi , na kuvuka katika uso wa dunia yote , akikimbia kwa kasi kana kwamba hakuonekana kama aligusa ardhini . Mbuzi huyo alikuwa na pembe kubwa katikati ya macho yake .
DAN 8:6     Alignment score: 0.31
He came
to the ram who had two horns I had seen the ram standing on the bank of the canal and the goat rushed toward the ram in a powerful rage .
Alienda mpaka kwa kondoo aliyekuwa na pembe mbili , nilikuwa nimemwona kondoo dume amesimama katika ukingo wa mfereji na mbuzi alikimbia kumwelekea kondoo dume kwa hasira kali .
DAN 8:7     Alignment score: 0.276 → 0.277
I saw the goat come close to the ram . He was very angry
at the ram , and he hit the ram and broke off its two horns . The ram was powerless to stand before him . The goat knocked him down to the ground and trampled on him . There was no one who could rescue the ram from his power .
Niliiona mbuzi ikija karibu na kondoo . Mbuzi alikuwa na hasira na kondoo , alimpiga kondoo na alizivunja pembe zake mbili . Kondoo hakuwa na nguvu za kusimama mbele zake . Mbuzi alimgonga kondoo akaanguka chini na akamkanyaga . Hapakuwa na yeyote wa kumwokoa kutoka katika nguvu zake .
DAN 8:8     Alignment score: 0.27 → 0.276
Then the goat became very large . But when he became strong , the large horn was broken , and in its place four other large horns grew up that pointed toward the four winds of the heavens .
Ndipo mbuzi alikua akawa mkubwa
, lakini alipokuwa na nguvu , pembe kubwa ilivunjwa , na katika sehemu yake zilichipuka na kukua pembe nne kubwa zilizochomoza kuelekea pepo nne za mbingu .
DAN 8:9     Alignment score: 0.22
Out of one of them grew another horn , little at first , but which grew exceedingly large toward the south , toward the east , and toward the Beautiful Land .
Kutoka katika pembe moja ilichipuka pembe nyingine , ilikuwa
ndogo hapo awali , lakini baadaye ilikuwa pembe kubwa upande wa kusini , na mashariki , na katika nchi ya uzuri .
DAN 8:10     Alignment score: 0.407 → 0.409
It became so large as to engage in war with the army of heaven . Some of that army and some of the stars were thrown down to the earth , and it trampled on them .
Pembe ilikuwa kubwa na matokeo yake iliinua vita dhidi ya jeshi la mbinguni . Baadhi ya jeshi na nyota kadhaa zilitupwa chini duniani , na zilikanyagwa .
DAN 8:11     Alignment score: 0.22 → 0.251
It made itself to be as great as the commander of the army . It took away from him the regular burnt offering , and the place of his sanctuary was polluted .
Alizidi kuwa mkubwa
, mkubwa kama kamanda wa jeshi la kimungu . Sadaka za kuteketezwa za kila siku ziliondolewa mbali na yeye , na sehemu yake takatifu zilitiwa unajisi .
DAN 8:12     Alignment score: 0.399 → 0.409
Because of rebellion , the army will be given over to the goat 's horn , and the burnt offering will be stopped . The horn will throw
truth down to the ground , and it will succeed in what it does .
Kwa sababu ya uasi , pembe ya mbuzi ilipewa jeshi , na sadaka za kuteketezwa zitasitishwa . Pembe itautupa ukweli chini ardhini , na itafanikiwa katika kila jambo ilifanyalo .
DAN 8:13     Alignment score: 0.348 → 0.358
Then I heard a holy one speaking and another holy one answering him , " How long will these
things last , this vision about the burnt offering , the sin that brings destruction , the handing over of the sanctuary , and heaven 's army being trampled on ? "
Kisha nilimsikia mtakatifu mmoja akiongea na mtakatifu mwingine akamjibu , Mambo haya yatadumu kwa muda gani , maono haya ya sadaka ya kuteketezwa , dhambi ile iletayo uharibifu , kukanyagisha patakatifu na jeshi ?
DAN 8:14     Alignment score: 0.317 → 0.37
He said to me , " It will last for 2,300 evenings and mornings . After that the sanctuary will be restored . "
Aliniambia , Itadumu kwa jioni na asubuhi zipatazo 2,300 . Baada ya hapo , mahali patakatifu patawekwa sawa .
DAN 8:15     Alignment score: 0.402
When I , Daniel , had seen the vision , I tried to understand it . Then there stood before me one who looked like a man .
Wakati mimi Danieli , nilipoona maono , nilijaribu kuyaelewa
. Na hapo mbele yangu alisimama yule aliyeoneakana kama mtu .
DAN 8:16     Alignment score: 0.42 → 0.445
I heard a man 's voice calling between the banks of the Ulai Canal . He said , " Gabriel , help this man understand the vision . "
Niliisikia
sauti ya mtu ikiita katikati ya kingo za mfereji wa Ulai . Alisema , Gabrieli , msaidie mtu huyu kuelewa maono .
DAN 8:17     Alignment score: 0.328 → 0.341
So he came near where I stood . When he came , I was frightened and fell
on my face . But he said to me , " Understand , son of man , that the vision is for the time of the end . "
Basi alikuja karibu na mahali niliposimama . Na alipokuja , niliogopa na nilisujudia hadi chini . Aliniambia , Fahamu , mwana wa mtu , kwamba maono ni kwa ajili ya wakati wa mwisho .
DAN 8:18     Alignment score: 0.108 → 0.127
When he spoke to me , I fell
into a deep sleep with my face to the ground . Then he touched me and made me stand up .
Alipokuwa anaongea na mimi , nilipata usiingizi mzito nikiwa nimelala kifudifudi . Kisha alinishika na kunisimamisha .
DAN 8:19     Alignment score: 0.34
He said , " See , I will make known to you what will happen later in the time of wrath , because the vision concerns the appointed time for the end .
Akaniambia , Tazama , nitakuonyesha
kile kitachotokea baadaye katika kipindi cha ghadhabu , kwa sababu maono haya yanahusu wakati wa mwisho uliopangwa .
DAN 8:20     Alignment score: 0.49
As for the ram you saw , the one that had two horns they are the kings of Media and Persia .
Na kuhusu kondoo mme uliyemwona , yule mwenye pembe mbili - ni wafalme wawili wa Umedi
na Uajemi .
DAN 8:21     Alignment score: 0.562
The male goat is the king of Greece . The large horn between his eyes is the first king .
Mbuzi dume ni mfalme wa Ugiriki . Pembe kubwa katikati ya macho yake ni mfalme wa kwanza .
DAN 8:22     Alignment score: 0.328 → 0.37
As for the horn that was broken , in the place of which four others arose
four kingdoms will arise from his nation , but not with his great power .
Na kuhusu pembe iliyovunjika , ambayo katika nafasi yake pembe zingine nne zilichipuka - hizi ni falme nne zitakazoinuka kutoka katika taifa lake , lakini hazitakuwa na nguvu kubwa .
DAN 8:23     Alignment score: 0.227 → 0.232
At the latter
time of those kingdoms , when the transgressors have reached their limit , a grim - faced king , one who is very intelligent , will arise .
Katika siku zijazo za falme hizo , wakati ambapo wahalifu watakuwa wamefikia kikomo chao , mfalme mwenye uso katili , na yeye mwenye akili sana , atainuka .
DAN 8:24     Alignment score: 0.21 → 0.22
His power will be mighty but not by his own power . He will be amazing in what he destroys ; he will act and succeed . He will destroy mighty ones and the holy people .
Nguvu zake zitakuwa kubwa , lakini si kwa nguvu zake mwenyewe . Atakuwa wa kustaajabisha kwa kile atakachokuwa anakiharibu ; atafanya na kufanikiwa . Atawaangamiza watu wenye nguvu , watu miongoni wa watakatifu .
DAN 8:25     Alignment score: 0.281 → 0.302
By his craftiness he will make deceit prosper under his hand . He will become great in his own mind . He will unexpectedly destroy many people . He will even rise up against the Prince of princes , and he will be broken , but not by any human hand .
Ataufanya udanganyifu usitawi chini ya mkono wake kwa sababu ya ujanja wake . Atawaangamiza watu wengi bila kutegemea . Atainuka pia hata kinyume cha Mfalme wa wafalme , na atavunjwa , lakini si kwa mkono wowote wa binadamu .
DAN 8:26     Alignment score: 0.344 → 0.357
The vision about the evenings and mornings that has been told is true . But seal up the vision , for it refers to many days in the future . "
Maono kuhusu jioni na asubuhi ulizoambiwa ni ya kweli . Lakini uyafunge maono haya , kwa kuwa yanahusu siku nyingi za wakati ujao .
DAN 8:27     Alignment score: 0.334
Then I , Daniel , was overcome and lay weak for several days . Then I got up , and went about the king 's business . But I was astounded by the vision , and there was no one who understood it .
Ndipo mimi , Danieli nilichoka sana na nikalala nikiwa dhaifu kwa siku kadhaa . Kisha nikainuka na nikaenda kufanya
kazi za mfalme . Lakini nilikuwa nimetishwa sana na maono , na hapakuwa na mtu yeyote aliyeweza kuyaelewa .
DAN 8     Average alignment score: 0.338 for 27 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of DAN:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12