Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:44
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of DAN:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12 


DAN 12:1     Alignment score: 0.307 → 0.321
At that time Michael , the great prince who guards your people , will rise up . There will be a time of trouble such as never was since the beginning of any nation until that time . At that time your people will be saved , everyone whose name is found written in the book .
Katika kipindi hicho , Mikaeli , jemedari mkuu ambaye huwalinda watu wako , atainuka . Kutakuwa na wakati wa mateso ambao
haujawahi kutokea tangu mwanzo wa taifa lolote mpaka kipindi hicho . Katika muda huo watu wako wataokolewa , yeyote ambaye jina lake litapatikana katika kitabu .


DAN 12:2     Alignment score: 0.433 → 0.452
Many of those who sleep in the dust of the earth will rise up , some to everlasting life and some to shame and everlasting contempt .
Na wengi wa wale waliolala katika mavumbi ya dunia watainuka . Baadhi kwa uzima wa milele na baadhi kwa ajili ya fedheha na kudharauliwa milele .
DAN 12:3     Alignment score: 0.277 → 0.306
Those who have insight will shine like the brightness of the sky above , and those who turn many to righteousness are like the stars forever and ever .
Wale wenye hekima watang'ara kama mng'ao wa anga la juu , na wale wenye kuwaelekeza wengine katika haki , watakuwa kama nyota milele na milele .
DAN 12:4     Alignment score: 0.418 → 0.423
But you , Daniel , close up these
words ; keep the book sealed until the time of the end . Many will run here and there , and knowledge will increase . "
Lakini wewe , Danieli , yafunge maneno haya ; ukakitie muhuri kitabu mpaka nyakati za mwisho . Watu wengi watakimbia huku na kule , na maarifa yataongezeka .
DAN 12:5     Alignment score: 0.486 → 0.494
Then I , Daniel , looked , and there were two others standing . One stood on the bank on this side of the river , and one stood on the bank on the other side of the river .
Kisha mimi , Danieli , nilitazama , na kulikuwa na malaika wengine wawili wamesimama . Mmoja alisimama katika upande huu wa ukingo wa mto , na mwingine alisimama katika ukingo wa upande mwingine wa mto .
DAN 12:6     Alignment score: 0.337 → 0.338
One of them said to the man clothed in linen , the one who was upstream along the river , " How long will it be to the end of these
amazing events ? "
Mmoja wao alimwambia mtu aliyevaa nguo za kitani , yeye aliyekuwa juu ya mkondo wa mto , Je , itachukua muda gani mpaka mwisho wa matukio haya ya kushangaza ?
DAN 12:7     Alignment score: 0.365 → 0.366
I heard the man clothed in linen , who was upstream along the river he raised his right hand and his left hand to heaven and swore by the one who lives forever that it would be for a time , times , and half a time . When they finish shattering the power of the holy people , all these
things will be completed .
Nilimsikia mtu yule aliyevaa nguo za kitani , aliyekuwa juu katika mkondo wa mto , aliinua mkono wake wa kuume na mkono wake wa kushoto kuelekea mbinguni na kuapa kwa yeye aishiye milele kwamba itakuwa kwa wakati , nyakati , na nusu wakati . Na wakati nguvu za watu watakatifu zitakapokuwa zimeshaharibiwa , mambo haya yote yatakuwa yamemalizika .
DAN 12:8     Alignment score: 0.355 → 0.417
I heard , but I did not understand . So I asked , " My master , what will be the outcome of all these
things ? "
Nilisikia , lakini sikufahamu . Basi nikamwuliza , Bwana wangu , mambo haya yote yatakuwa na matokeo gani ?
DAN 12:9     Alignment score: 0.407 → 0.408
He said , " Go your way , Daniel , for the words are shut up and sealed until the time of the end .
Alisema , Nenda zako Danieli , kwa kuwa maneno yamefungwa , na kutiwa muhuri mpaka wakati wa mwisho .
DAN 12:11     Alignment score: 0.229
From the time that an end is put to the regular burnt offering and the abomination that causes complete desolation is set up , there will be 1,290 days .
Katika muda ule ambapo sadaka ya kawaida ya kuteketezwa itakapokuwa imeondolewa na chukizo la uharibifu liliosababisha ukiwa limesimamishwa , kutakuwa na siku zipatazo 1,290 .
DAN 12:12     Alignment score: 0.341 → 0.365
Blessed is the one who waits until the end of the 1,335 days .
Ana heri mtu yule anayengojea mpaka mwisho wa siku 1,335 .
DAN 12:13     Alignment score: 0.333
You must go your way until the end , and you will rest . You will rise in the place assigned to you , at the end of days . "
Unapaswa uondoke uende njia yako hata mwisho , na kisha utapumzika . Utainuka
katika sehemu uliyopewa , mwishoni mwa siku .
DAN 12     Average alignment score: 0.369 for 12 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of DAN:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12