Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:37
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of DEU:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34 


DEU 6:1     Alignment score: 0.344 → 0.346
Now these
are the commandments , statutes , and decrees that Yahweh your God has commanded me to teach you , so that you might keep them in the land that you are going over the Jordan to possess ;
Sasa haya ni maagizo , amri , na sheria ambazo Yahwe Mungu wetu ameniamuru mimi kuwafundisha ninyi , ili kwamba muweze kuzishika katika nchi ambayo mnaenda ng'ambo ya pili ya Yordani kumiliki ,


DEU 6:2     Alignment score: 0.254
so that you might
honor Yahweh your God , so as to keep all his statutes and commandments that I am commanding you you , your sons , and your sons ' sons , all the days of your lives , so that your days may be prolonged .
ili kwamba mpate kumheshimu Yahwe wenu , ili muzishike amri zake zote na maagizo ninayowaamuru - ninyi , wana wenu na wana wa wana wenu , siku zenu zote za maisha , ili kwamba siku zenu ziongezeke .
DEU 6:3     Alignment score: 0.39 → 0.403
Therefore listen to them , Israel , and keep them , so that it may go well with you , so that you may greatly multiply , in a land flowing with milk and honey , as Yahweh , the God of your fathers , has promised you would do .
Kwa hiyo sikilizeni , Israeli , na kuzishika ili kwamba iweze kuwa vizuri kwenu , ili kusudi muweze kuzidi mno kwenye nchi itiririkayo maziwa na asali , kama Yahwe Mungu wa baba zenu , amewaahidi atafanya .
DEU 6:4     Alignment score: 0.56
Listen , Israel : Yahweh our God , Yahweh is one .
Sikiliza , Israel
: Yahwe Mungu wetu ni mmoja .
DEU 6:5     Alignment score: 0.317
You will love Yahweh your God with all your heart , with all your soul , and with all your might
.
Mtampenda Yahwe Mungu wenu kwa moyo wenu wote , kwa roho zenu zote , na kwa akili zenu zote .
DEU 6:6     Alignment score: 0.534
The words that I am commanding you today will be in your heart ;
Maneno ninayowaamuru ninyi leo yatakuwa
katika moyo wenu ;
DEU 6:8     Alignment score: 0.324
You will tie them as a sign upon your hand , and they will serve as frontlets between your eyes .
Mtazifunga kama ishara juu ya mikono
yenu , nayo yatakuwa utepe kati ya macho yenu .
DEU 6:9     Alignment score: 0.411 → 0.423
You will write
them on the doorposts of your house and on your gates .
Mtaziandika kwenye miimo ya milango ya nyumba yenu na kwenye malango .
DEU 6:10     Alignment score: 0.425 → 0.456
When Yahweh your God brings you into the land that he swore to your fathers , to Abraham , to Isaac , and to Jacob , that he would give
you , with large and very good cities that you did not build ,
Wakati Yahwe Mungu wenu atawaleta kwenye nchi ambayo aliaapa kwa baba zenu , Ibrahimu , Isaka , na Yakobo , kwamba angewapa , pamoja na miji mikubwa na mizuri ambayo hamkuijenga ,
DEU 6:11     Alignment score: 0.259 → 0.268
and houses full of all kinds of good things that you did not make , cisterns that you did not dig , and vineyards and olive trees that you did not plant , you will eat and be satisfied
na nyumba zilizojaa kila aina ya vitu vizuri ambavyo hamkuvifanya , visima ambavyo hamkuvichimba , mashamba na miti ya mizeituni ambayo hamkuipanda , mtakula na kutosheka -
DEU 6:12     Alignment score: 0.476
then be careful so that you do not forget Yahweh , who brought you out of the land of Egypt , out of the house of bondage .
basi iweni makini ili kwamba msije kumsahau Yahwe , aliyewaleta toka nchi ya Misri , toka nyumba ya utumwa .
DEU 6:13     Alignment score: 0.494
You will honor Yahweh your God ; him you will worship , and you will swear by his name .
Mtamheshimu Yahwe Mungu wenu , yeye mtamwabudu , na mtaapa kwa jina lake .
DEU 6:14     Alignment score: 0.288 → 0.38
You will not go after other gods , the gods of the peoples who are all around you
Hamtawaendea miungu mingine
, miungu ya watu wanaowazunguka wote -
DEU 6:15     Alignment score: 0.449
for Yahweh your God in the midst of you is a jealous
God if you do , the anger of Yahweh your God will be kindled against you and he will destroy you from the surface of the earth .
kwa kuwa Yahwe Mungu wenu katikati yenu ni Mungu wa wivu - kama mtafanya , hasira ya Yahwe Mungu wenu itawasha dhidi yenu na atawaangamiza kutoka kwenye uso wa dunia .
DEU 6:16     Alignment score: 0.408 → 0.411
You will not test Yahweh your God as you tested him at Massah .
Hamtamjaribu Yahwe Mungu wenu kama mlivyomjaribu huko Massah
.
DEU 6:17     Alignment score: 0.362 → 0.363
You will diligently keep the commandments of Yahweh your God , his solemn commands , and his statutes , that he has commanded you .
Kwa bidii mtayashika maagizo ya Yahwe Mungu wenu , maagizo yake makini , na amri ambazo amewaamuru .
DEU 6:18     Alignment score: 0.291 → 0.292
You will do what is right and good in the sight of Yahweh , that it may go well with you , and that you may go in and possess the good land that Yahweh swore to your fathers ,
Mtafanya kile kilicho sahihi na kizuri katika macho ya Yahwe , kwamba iwe vizuri kwenu , na kwamba muweze kuingia na kumiliki
nchi nzuri ambayo Yahwe aliaapa kwa baba zenu ,
DEU 6:19     Alignment score: 0.36
to drive out all your enemies from before you , as Yahweh has said .
kuwaondoa maadui zenu wote mbele zenu , kama Yahwe alivyosema .
DEU 6:20     Alignment score: 0.412 → 0.417
When your son asks you in time to come , saying , ' What are the covenant decrees , the statutes , and the other decrees that Yahweh our God commanded you ? '
Wakati mwana wako auliza kwa wakati unaokuja , kusema
, Ni zipi amri za agano , sheria , na amri zingine ambazo Yahwe Mungu wetu alituamuru ?
DEU 6:21     Alignment score: 0.604
then you will say to your son , ' We were Pharaoh 's slaves in Egypt ; Yahweh brought us out of Egypt with a mighty hand ,
Basi utasema kwa mwana wako , tulikuwa watumwa wa Farao huko Misri , Yahwe alitutoa Misri kwa mkono wa uweza
,
DEU 6:22     Alignment score: 0.56
and he displayed signs and wonders , great and severe , on Egypt , on Pharaoh , and on all his house , before our eyes ;
na alionyesha
ishara na maajabu , makuu na makali , Misri kwa Farao , na kwa nyumba yake yote , mbele ya macho yenu ,
DEU 6:23     Alignment score: 0.345 → 0.344
and he brought us out from there , so that he might
bring us in , to give us the land that he swore to our fathers .
na alitutoa kutoka huko , ili kwamba atulete ndani , kutupa nchi ambayo aliaapa kwa baba zetu .
DEU 6:24     Alignment score: 0.346 → 0.373
Yahweh commanded us to always keep all these
statutes , to fear Yahweh our God for our good , so that he might keep us alive , as we are today .
Yahwe alituamuru daima kuzishika amri hizi , kumuogopa Yahwe Mungu wetu kwa uzuri wetu , ili kwamba atuweke hai , kama tulivyo leo .
DEU 6:25     Alignment score: 0.384
If we keep all these
commands before Yahweh our God , as he has commanded us , this will be our righteousness . '
Kama tutashika maagizo haya yote mbele ya Yahwe Mungu wetu kama alivyotuamuru , hii itakuwa haki yetu .
DEU 6     Average alignment score: 0.394 for 24 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of DEU:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34