Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:37
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of DEU:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34 


DEU 12:1     Alignment score: 0.344 → 0.354
These
are the statutes and the decrees that you will keep in the land that Yahweh , the God of your fathers , has given you to possess , all the days that you live on the earth .
Hizi ni amri na sheria ambazo mtazishika katika nchi ambayo , Yahwe Mungu wa baba zenu , amewapa kumiliki , siku zote mtakazoishi kwenye ardhi .


DEU 12:2     Alignment score: 0.405 → 0.416
You will surely destroy all the places where the nations that you will dispossess worshiped their gods , on the high mountains , on the hills , and under every green tree .
Hakika mtaharibu maeneo yote ambapo mataifa mtakayofukuza miungu yao walioabudu , kwenye milima mirefu
, kwenye vilima , na chini ya kila mti wa kijani .
DEU 12:3     Alignment score: 0.332 → 0.339
You must break down their altars , dash in pieces their stone pillars , and burn their Asherah poles . You must cut down the carved figures of their gods and destroy their name out of that place .
Na mtayavunja madhabahu yao , mtaharibu kwa vipandevipande nguzo zao za mawe , na kuchoma ncha za Asherahi , mtazikata sanaa za kuchongwa za miungu yao na kuangamiza
jina lao nje ya eneo hilo .
DEU 12:4     Alignment score: 0.31 → 0.365
You will not worship Yahweh your God like that .
Hamtamwabudu Yahwe Mungu wenu kama hivyo .
DEU 12:5     Alignment score: 0.298 → 0.3
But to the place where Yahweh your God chooses out of all your tribes to establish his name , that will be the place where he lives , and it is there that you will go .
Lakini kwa eneo ambalo Yahwe Mungu wenu atachagua kutoka makabila yenu kuweka jina lake , hapo patakuwa ni eneo analoishi na huko ndiko mtaenda .
DEU 12:6     Alignment score: 0.288 → 0.303
It is there that you will bring your burnt offerings
, your sacrifices , your tithes , and the offerings presented by your hand , your offerings for vows , your freewill offerings , and the firstborn of your herds and flocks .
Ni huko ndiko mtaleta sadaka ya kutekeketezwa , dhabihu zenu , zaka zenu , na sadaka zinazotolewa kwa mkono wenu , sadaka zenu za viapo , sadaka za utayari na mzao wa kwanza wa mifugo na wanyama .
DEU 12:7     Alignment score: 0.418
It is there that you will eat before Yahweh your God and rejoice about everything that you have put your hand to , you and your households , where Yahweh your God has blessed you .
Ni huko mtakula mbele za Yahwe Mungu wenu na kufurahi kuhusu kila kitu ambacho mmeweka mkono , nyie na jamaa zenu , ambapo Yahwe Mungu wenu amewabariki .
DEU 12:8     Alignment score: 0.308 → 0.322
You will not do all the things that we are doing here today ; now everyone is doing whatever is right in his own eyes ;
Hamtafanya mambo yote ambayo tunafanya hapa leo ; sasa kila moja
anafanya chochote kile kizuri machoni pake ,
DEU 12:9     Alignment score: 0.446 → 0.501
for you have not yet come to the rest , to the inheritance that Yahweh your God is giving you .
kwa kuwa bado hamjapumzika , kwa urithi ambao
Yahwe Mungu wenu anawapa .
DEU 12:10     Alignment score: 0.37 → 0.37
But when you go over the Jordan and live in the land that Yahweh your God is causing you to inherit , he will give
you rest from all your enemies round about so that you live in safety .
Lakini wakati mnaenda ng'ambo ya pili ya Yordani na kuishi ndani ya nchi ambayo Yahwe Mungu wenu anasababisha ninyi kurithi , na wakati awapa pumziko kutoka kwa maadui zenu wanaowazunguka karibu , ili kusudi muishi kwa usalama ,
DEU 12:11     Alignment score: 0.334 → 0.352
Then to the place where Yahweh your God will choose to cause his name to live there there you will bring everything I command you : your burnt offerings , your sacrifices
, your tithes , and the offerings presented by your hand , and all your choice offerings for vows that you will vow to Yahweh .
kisha itakuwa eneo ambalo Yahwe Mungu wenu atachagua kusababisha jina lake kuishi , huko mtaleta yote ninayowaamuru ; sadaka za kuteketezwa , dhabihu zenu , zaka zenu , sadaka zilizotolewa kwa mkono wenu , na sadaka za chaguo lenu kwa ajili ya nadhiri mtakazotoa kwa Yahwe .
DEU 12:12     Alignment score: 0.459
You will rejoice before Yahweh your God you , your sons , your daughters
, your male servants , your female servants , and the Levites who are within your gate , because he has no portion or inheritance among you .
Mtafurahi mbele za Yahwe Mungu wenu - nyie , na watoto wenu , binti zenu , wajakazi wa kiume , wajakazi wa kike , na Walawi walio ndani ya lango lenu , kwa sababu hana sehemu au urithi miongoni mwenu .
DEU 12:13     Alignment score: 0.218 → 0.221
Pay attention to yourself that you do not offer your burnt offerings at every place that you see ;
Uwe makini mwenyewe kwamba usitoe sadaka zako za kuteketezwa kila eneo unaloona ;
DEU 12:14     Alignment score: 0.353 → 0.371
but it is at the place that Yahweh will choose among one of your tribes that you will offer your burnt offerings
, and there you will do everything that I command you .
lakini ni katika eneo hilo ambalo Yahwe atawachagua miongoni moja kati ya makabila yenu ambalo litatoa sadaka ya kuteketezwa , na huko mtafanya kila kitu ninachokuamuru .
DEU 12:15     Alignment score: 0.377 → 0.378
However , you may kill and eat animals within all your gates , as you desire , receiving the blessing of Yahweh your God for all that he has given you ; the unclean and the clean persons both may eat of it , animals such as the gazelle and the deer .
Hata hivyo , mtaweza kuua
na kula wanyama ndani ya malango yenu , kama mnavyotaka , kupokea baraka ya Yahwe Mungu wenu kwa ajili ya yote amewapa ; na watu wasio wasafi na wasafi wote wanaweza kula , wanyama kama vile paa na kulungu .
DEU 12:16     Alignment score: 0.571 → 0.558
But you will not eat the blood ; you will pour it out on the earth like water .
Lakini hamtakula damu , mtaimwaga kwenye ardhi kama maji .
DEU 12:17     Alignment score: 0.421
You must not eat within your gates from the tithe of your grain , your new wine , your oil , or the firstborn of your herd or flock ; and you must not eat any of the meat you sacrifice along with any of your vows that you make , nor that of your freewill offerings
, nor that of the offering you present with your hand .
Msile ndani ya malango kutoka kwenye zaka ya nafaka zenu , mvinyo wenu mpya , mafuta yenu au mzao wa kwanza wa mifugo au wanyama ; na msile nyama yoyote mnayoitoa dhabihu pamoja na viapo vyovyote vyenu mnafanya , wala sadaka yenu ya utayari , wala sadaka mnayotoa kwa mkono wenu .
DEU 12:18     Alignment score: 0.433 → 0.439
Instead , you will eat them before Yahweh your God in the place that Yahweh your God will choose you , your son , your daughter , your male servant , your female servant , and the Levite who is within your gates ; you will rejoice before Yahweh your God about everything to which you put your hand .
Badala yake , mtakula mbele ya Yahwe Mungu wenu katika eneo ambalo Yahwe Mungu atachagua - nyie , mtoto wenu , binti yenu , mjakazi wa kiume , mjakazi wa kike , na Mlawi aliye malangoni mwenu ; mtafurahi mbele ya Yahwe Mungu wenu kuhusu kila kitu ambacho mnaweka mkono wenu .
DEU 12:19     Alignment score: 0.266 → 0.305
Pay attention to yourself so that you do not abandon the Levite as long as you live on your land .
Muwe makini wenyewe ili kwamba msimwache Mlawi maadamu mnaishi kwenye nchi yenu .
DEU 12:20     Alignment score: 0.402 → 0.405
When Yahweh your God enlarges your borders , as he has promised you , and you say , ' I will eat flesh , ' because of your desire to eat meat , you may eat meat , as your soul desires .
Wakati Yahwe Mungu wenu atapanua mipaka yenu , kama alivyowaahidi , na kusema , Nitakula nyama , kwa sababu ya tamaa zenu mnakula nyama , mnaweza kula nyama , kama tamaa za roho zenu .
DEU 12:21     Alignment score: 0.307 → 0.311
If the place where Yahweh your God chooses to establish his name is too far from you , then you will kill some of your herd and your flock that Yahweh has given you , as I have commanded you ; you may eat within your gates , as your soul desires .
Kama eneo ambalo Yahwe Mungu wenu achagua kuliweka jina lake ni mbali kutoka kwenu , basi mtaua baadhi ya mifugo yenu na wanyama wenu ambao
Yahwe amewapa , kama nilivyowaamuru : hivyo mnaweza kula ndani ya malango yenu , kama tamaa za roho zenu .
DEU 12:22     Alignment score: 0.259 → 0.259
Like the gazelle and the deer are eaten , so you will eat of it ; the unclean and the clean persons may eat of it alike .
Kama paa na Kulungu wanaliwa , hivyo mtakula watu wasio safi na wasafi wanaweze kula kadhalika .
DEU 12:23     Alignment score: 0.412 → 0.41
Only be sure that you do not consume the blood , for the blood is the life ; you will not eat the life with the meat .
Lakini muwe na uhakika
kwamba hamtumii damu , kwa kuwa damu ni uhai , hamtakula uhai pamoja na nyama .
DEU 12:24     Alignment score: 0.454
You will not eat it ; you will pour it out on the earth like water .
Hamtakula , mtaimwaga nje kwenye ardhi kama maji .
DEU 12:25     Alignment score: 0.342
You will not eat it , so that it may go well with you , and with your children after you , when you will do what is right in the eyes of Yahweh .
Hamtakula , ili kwamba iweze kuwa vizuri kwenu , na watoto wenu baada yenu , wakati mtafanya kile kilicho sahihi machoni pa Yahwe .
DEU 12:26     Alignment score: 0.326
But the things that belong to Yahweh that you have and the offerings
for your vows you will take these and go to the place that Yahweh chooses .
Lakini mambo ambayo ni ya Yahwe ambayo mnayo na sadaka za viapo vyenu - mtachukua hizi na kwenda eneo ambalo Yahwe atachagua .
DEU 12:27     Alignment score: 0.55
There you will offer your burnt offerings
, the meat and the blood , on the altar of Yahweh your God ; the blood of your sacrifices will be poured out on the altar of Yahweh your God , and you will eat the flesh .
Hapo mtatoa sadaka ya kuteketezwa , nyama na damu , kwenye madhabahu ya Yahwe Mungu wenu , damu ya dhabihu zenu itamwagwa nje kwenye madhabahu ya Yahwe Mungu wenu , na mtakula nyama .
DEU 12:28     Alignment score: 0.34 → 0.351
Observe and listen to all these
words that I command you , that it may go well with you and with your children after you forever , when you do what is good and right in the eyes of Yahweh your God .
Mchunguze na msikilize haya maneno yote ambayo - ninawaamuru , ili iwe uzuri kwenu na watoto wenu baada yenu milele , wakati mnafanya kile kilicho kizuri na sawa machoni pa Yahwe Mungu wenu .
DEU 12:29     Alignment score: 0.332 → 0.349
When Yahweh your God cuts off the nations from before you , when you go in to dispossess them , and you dispossess them , and live in their land ,
Wakati Yahwe Mungu wenu anapunguza mataifa kutoka kwenu , wakati mnaingia kuwafukuza , na mnawafukuza na kuishi katika nchi yao ,
DEU 12:30     Alignment score: 0.269 → 0.29
pay attention to yourself that you are not trapped into following them , after they are destroyed from before you trapped into investigating their gods , into asking , ' How do these
nations worship their gods ? I will do the same . '
muwe makini wenyewe ili kwamba msinaswe kwa kuwafuata , baada ya kuangamizwa kutoka kwenu kunaswa katika kuchunguza miungu yao , katika kuuliza , Kwa namna gani haya mataifa yanaabudu muingu yao ? Nitafanya vivyo hivyo .
DEU 12:31     Alignment score: 0.375 → 0.395
You must not worship Yahweh your God in that way , for everything that is an abomination to Yahweh , things that he hates they have done these
with their gods ; they even burn their sons and their daughters in fire for their gods .
Hautafanya hivyo katika kumuabudu Yahwe Mungu wako , kwa kuwa kila kitu ambacho ni chukizo kwa Yahwe , mambo ambayo anayachukia - wamefanya haya na miungu yao , hata mnateketeza vijana wao na binti zao kwenye moto kwa ajili ya miungu yao .
DEU 12     Average alignment score: 0.376 for 31 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of DEU:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34