Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:37
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of DEU:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34 


DEU 20:1     Alignment score: 0.414 → 0.433
When you march out to battle against your enemies , and see horses , chariots , and a people more numerous than you , you must not be afraid of them ; for Yahweh your God is with you , he who brought you up out of the land of Egypt .
Pindi utokapo kwenda vitani kupigana dhidi ya adui zako , na kuona farasi , magari , na watu wengi zaidi kuliko wewe , haupaswi kuwaogopa ; kwa kuwa Yahwe Mungu wako yu pamoja nawe , yeye aliyekuleta kutoka nchi ya Misri .


DEU 20:2     Alignment score: 0.282 → 0.334
When you are about to enter into battle , the priest must approach and speak
to the people .
Wakati unakaribia kuingia kwenye vita , kuhani anapaswa kuwasongelea watu nakuwaambia ,
DEU 20:4     Alignment score: 0.337 → 0.348
For Yahweh your God is the one who is going with you to fight for you against your enemies and to save you . '
Kwa kuwa Yahwe Mungu wenu ndiye aendaye
pamoja nanyi kupigana kwa ajili yenu dhidi ya maadui zenu na kuwaokoa .
DEU 20:5     Alignment score: 0.333 → 0.34
The officers must speak to the people and say , ' What man is there who has built a new house and has not dedicated it ? Let him go and return to his house , so that he does not die in battle and another man dedicates it .
Maakida wanapaswa kuzungumza na watu na kusema , Ni mtu yupi aliyejenga
nyumba mpya na hajaiweka wakfu ? Acha aende na arudi nyumbani kwake , ili kwamba asife vitani na mtu mwingine aiweke wakfu .
DEU 20:6     Alignment score: 0.282 → 0.287
Is there anyone who has planted a vineyard and has not enjoyed its fruit ? Let him go home , so he will not die in battle and another man enjoy its fruit .
Kuna yeyote ambaye amepanda mzabibu
na hajafurahia matunda yake ? Acha aende nyumbani , ili kwamba asife vitani na mtu mwingine afurahie matunda yake .
DEU 20:7     Alignment score: 0.295 → 0.298
What man is there who is betrothed to a woman but has not yet married her ? Let him go home so that he does not die in battle and another man marry her . '
Ni mtu yupi aliyeposa kuoa mwanamke lakini bado hajamuoa ? Acha aende nyumbani ili kwamba asife vitani na mume mwingine amuoa .
DEU 20:8     Alignment score: 0.3 → 0.302
The officers must speak further to the people and say , ' What man is there who is fearful or fainthearted ? Let him go and return to his house , so that his brother 's heart does not melt like his own heart . '
Maakida wanapaswa kuzungumza zaidi kwa watu na kusema , Ni mwanaume gani aliye hapa ambaye ni mwenye hofu au mnyonge ? Acha aende na arudi
nyumbani kwake , ili kwamba moyo wa ndugu yake usiyeyuke kama moyo wake .
DEU 20:9     Alignment score: 0.232
When the officers have finished speaking to the people , they must appoint commanders of armies over them .
Wakati maakida wamemaliza kuzungumza na watu , wanapaswa kuwateua majemedari juu yao .
DEU 20:10     Alignment score: 0.339
When you march up to attack a city , make those people an offer of peace .
Wakati mtokapo kuteka
mji , wafanye watu hao toleo la amani .
DEU 20:11     Alignment score: 0.249 → 0.293
If they answer peaceably and open their gates to you , all the people who are found in it must become forced labor for you and must serve you .
Kama watapokea amani na kufungua malango yao kwenu , watu wote wanaopatikana ndani yake wanapaswa kulazimishwa kuwafanyia kazi na wanapaswa kuwatumikia .
DEU 20:12     Alignment score: 0.32 → 0.321
But if it makes no offer of peace to you , and instead makes war against you , then you must besiege it ,
Lakini kama haitengenezi amani kwenu , lakani badala yake inatengeneza vita dhidi yenu , basi mnapaswa kumruhusu ,
DEU 20:13     Alignment score: 0.297 → 0.315
and when Yahweh your God gives you victory and puts them under your control , you must strike
every man in the town with the edge of the sword .
na wakati Yahwe Mungu wenu anawapa ushindi na kuwaweka chini ya utawala wenu , mnapaswa kuua kila mtu katika mji .
DEU 20:14     Alignment score: 0.358 → 0.368
But the women , the little ones , the livestock , and everything that is in the city , and all its spoil , you will take as booty for yourself . You will consume the booty of your enemies , whom Yahweh your God has given to you .
Lakini wanawake , wadogo , ng'ombe , na kila kitu kilicho ndani ya mji , na nyara zake zote , utavichukua kama mateka yako . Nawe utawamaliza mateka wa maadui zako , ambao Yahwe Mungu amekupa .
DEU 20:15     Alignment score: 0.374
You must act in this
way toward all the cities that are very far from you , cities that are not of the cities of these following nations .
Unapaswa kuifanyia hivyo kuelekea miji yote ambayo iko mbali nawe , miji ambayo siyo miji ya mataifa yafuatayo .
DEU 20:16     Alignment score: 0.39 → 0.391
In the cities of these
peoples that Yahweh your God is giving you as an inheritance , you must keep alive nothing that breathes .
Katika miji ya watu hawa ambayo Yahwe Mungu wenu anawapa kama urithi , mnapaswa kutunza chochote kilicho na uhai .
DEU 20:17     Alignment score: 0.287 → 0.465
You must completely destroy them : the Hittite , and the Amorite , the Canaanite
, the Perizzite , the Hivite , and the Jebusite , as Yahweh your God has commanded you .
Badala yake , mnapaswa kabisa kuagamiza : Hittite , na Amorite , Wakanani , Waperezi , Hivite , na Wayebusi , kama Yahwe Mungu wenu alivyowaamuru .
DEU 20:18     Alignment score: 0.318
Do this so that they do not teach you to act in any of their abominable ways , as they have done for their gods . If you do , you will sin against Yahweh your God .
Fanya hivi ili kwamba wasiwafundishe kufanya katika njia za machukizo , kama walivyofanya kwa miungu yao . Kama mtafanya , mtafanya dhambi dhidi ya Yahwe Mungu wenu .
DEU 20:19     Alignment score: 0.285 → 0.29
When you will besiege a city for a long time , as you wage war against it to capture it , you must not destroy its trees by wielding an ax against them . For you may eat from them , so you must not cut them down . For is the tree of the field a man whom you should besiege ?
Wakati mtakapouzingira mji kwa muda mrefu , huku mkipigana dhidi yake kuuteka , hampaswi kuharibu miti yake kwa kushika shoka dhidi yake . Kwa kuwa utaweza
kula matunda yake , kwa hivyo usiukate . Kwa maana mti wa kondeni mtu ambaye atauzingira ?
DEU 20:20     Alignment score: 0.263 → 0.28
Only the trees that you know are not trees for food , you may destroy and cut down ; you will build siege works against the city that makes war with you , until it falls .
Ila miti ambayo unaijua
sio miti ya chakula , unaweza kuharibu na kuikatia chini ; utajenga maburuji dhidi ya mji unaofanya vita nawe , mpaka uanguke .
DEU 20     Average alignment score: 0.335 for 19 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of DEU:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34