Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:37
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of DEU:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34 


DEU 19:1     Alignment score: 0.429
When Yahweh your God cuts off the nations , those
whose land Yahweh your God is giving you , and when you come after them and live in their cities and houses ,
Wakati Yahwe Mungu wenu anayafutilia mbali mataifa , yale ambayo Yahwe Mungu wenu anawapa nchi yao , na wakati mnakuja kwao na kuishi katika miji yao na nyumba ,


DEU 19:2     Alignment score: 0.431
you must select three cities for yourself in the middle of your land that Yahweh your God is giving you to possess .
mnapaswa kuchagua miji mitatu kwa ajili yenu katikati mwa nchi yenu ambayo Yahwe Mungu anawapa kuimiliki .
DEU 19:3     Alignment score: 0.324 → 0.329
You must build a road and divide the borders of your land into three parts , the land that Yahweh your God is causing you to inherit , so that everyone who kills another person may flee there .
Mnapaswa kujenga barabara na kugawa mipaka ya nchi yenu katika maeneo matatu
, nchi ambayo Yahwe Mungu wenu anafanya kuimiliki , ili kwamba kila mmoja anayeua mtu mwingine apate kukimbia hapo .
DEU 19:4     Alignment score: 0.16 → 0.16
This is the instruction
concerning the one who kills another and flees from there in order to save his own life the one who unintentionally kills his neighbor without hating him at the time of the accident .
Hii ni sheria kwa ajili ya mtu anayeua mwingine na anayekimbilia huko kuishi : yeyote auae jirani yake bila kujua , na hapo awali hakumchukia -
DEU 19:5     Alignment score: 0.282
For example , if a man goes into the forest with his neighbor to cut wood , and he chops with the ax to cut down a tree , and the ax head slips off of the handle and strikes his neighbor and kills him then that man must flee to one of these
cities and save his life .
kama wakati mtu aingiapo katika msitu pamoja na jirani yake kukata kuni , na mkono anapozungusha shoka , na kichwa uteleza kutoka kwenye mpini na kumpiga jirani yake mpaka akafa - basi mtu huyu anapaswa kukimbilia katika moja ya miji hii na kuishi .
DEU 19:6     Alignment score: 0.193 → 0.197
Otherwise the avenger of blood might
go after the one who took a life , and in the heat of his anger overtake him , if the distance is too great , strike him and kill him , even though that man did not deserve to die , since he had not hated his neighbor in the past .
Vinginevyo damu ya mlipiza kisasi atamfuata yeye aliyetoa uhai , na kwa hasira kali anampita kwa sababu ilikuwa safari ndefu . Na anampiga na kumuua , ijapokuwa mtu huyo akustahili kufa ; na hata akustahili adhabu ya kifo kwa sababu hakumchukia jirani yake kabla hili halijatokea .
DEU 19:7     Alignment score: 0.327
Therefore I command you to select three cities for yourself .
Basi sasa ninakuamuru kuchagua miji mitatu kwa ajili yako .
DEU 19:8     Alignment score: 0.343
If Yahweh your God enlarges your borders , as he has sworn to your ancestors to do , and gives you all the land that he promised to give to your ancestors ;
Kama Yahwe Mungu wenu apanua mipaka yenu , kama alivyoapa kwa mababu zenu kufanya , na kuwapa nchi yote ambayo amewaahidia kuwapa mababu zenu ;
DEU 19:9     Alignment score: 0.379 → 0.392
if you keep all these
commandments to do them , which I am commanding you today commandments to love Yahweh your God and to always walk in his ways , then you must add three more cities for yourself , besides these three .
kama mnazishika amri hizi zote kuzifanya , ambazo ninakuamuru leo - amri za kumpenda Yahwe Mungu wenu na daima kutembea katika njia zake , basi mnapaswa kuongeza miji mitatu zaidi kwa ajili yenu , isipokuwa ile mitatu .
DEU 19:10     Alignment score: 0.391 → 0.409
Do this so that innocent blood is not shed in the midst of the land that Yahweh your God is giving you for as an inheritance , so that no bloodguilt may be on you .
Fanya hivi ili kwamba damu isiyo na hatia isimwagwe katikati ya nchi ambayo Yahwe Mungu wenu anawapa kwa ajili ya urithi , ili kwamba pasiwepo hatia ya damu kwenu .
DEU 19:11     Alignment score: 0.326 → 0.346
But if anyone hates his neighbor , lies in wait for him , rises up against him , and mortally wounds him so that he dies , and if he then flees into one of these
cities
Lakini kama yeyote anamchukia jirani yake , uongo unamsubiri , uinuka dhidi yake , na majeraha ya kufa kwake ili kwamba anakufa , na kama basi anakimbia katika moja ya miji hii -
DEU 19:12     Alignment score: 0.301 → 0.308
then the elders of his city must send and bring him back from there , and turn him over to the hand of the avenger of blood , so that he may die .
basi wazee wa mji wake wanapaswa kumtoa na kumrudisha toka huko , na kumkabidhi katika mkono wa ndugu mhusika , ili kwamba amuue .
DEU 19:13     Alignment score: 0.31 → 0.331
Your eye must not pity him ; instead , you must completely remove the bloodguilt from Israel so that it may go well with you .
Jicho lako halipaswi kumuonea huruma ; badala yake ; unapaswa kuondoa hatia ya damu kutoka Israel
, ili kwamba iwe vizuri kwako .
DEU 19:14     Alignment score: 0.386 → 0.399
You must not remove your neighbor 's landmark that they set in place a long time ago , in your inheritance that you will inherit , in the land that Yahweh your God is giving you to possess .
Haupaswi kuondoa alama ya jirani yako ambayo wameweka katika eneo muda mrefu , katika urithi wako ambao
utarithi , katika nchi ambayo Yahwe Mungu wako anakupa kumiliki .
DEU 19:15     Alignment score: 0.411 → 0.415
One sole witness must not rise up against a man for any iniquity , or for any sin , in any matter that he sins ; at the mouth of two witnesses , or at the mouth of three witnesses , must any matter be confirmed .
Shahidi moja pekee
hapaswi kuinuka dhidi ya mtu kwa ajili ya uovu wowote , au kwa ajili ya dhambi yoyote , katika jambo lolote ambalo amefanya dhambi ; kwa kinywa cha mashahidi wawili , au kwa kinywa cha mashahidi watatu , kunapaswa jambo lolote lidhibitishwe .
DEU 19:16     Alignment score: 0.168 → 0.169
Suppose that an unrighteous witness rises up against any man to testify against him of wrongdoing .
Kama ushuhuda
wa mtu asiye na haki anainua dhidi ya mtu yeyote kushuhudia dhidi yake kwa mambo mabaya .
DEU 19:17     Alignment score: 0.399 → 0.403
Then both men , the ones between whom the controversy exists , must stand before Yahweh , before the priests and the judges who serve in those days .
Basi watu wote wawili , mmoja kati ya yule utata upo , anapaswa kusimama mbele ya Yahwe , mbele ya makuhani na waamuzi ambao wanatumika siku hizo .
DEU 19:18     Alignment score: 0.285 → 0.293
The judges must make diligent inquiries ; see , if the witness is a false witness
and has testified falsely against his brother ,
Waamuzi wanapaswa kuchunguza kwa uangalifu ; ona , kama ushahidi ni ushahidi wa uongo na umeshuhudiwa kwa uongo dhidi ya ndugu yake ,
DEU 19:19     Alignment score: 0.285
then must you do to him , as he had wished to do to his brother ; and you will remove the evil from among you .
basi unapaswa kufanya kwake , kama alivyokusudia kufanya kwa ndugu yake , na utaondoa uovu kutoka miongoni mwenu .
DEU 19:20     Alignment score: 0.174
Then those who remain will hear and fear , and will from then on commit no longer any such evil among you .
Basi wale wanaobaki
watasikia na kuogopa , na kuanzia hapo na kuendelea hawatafanya tena aina ya ouvu miongoni mwao .
DEU 19:21     Alignment score: 0.612
Your eyes must not pity ; life will pay for life , eye for eye , tooth for tooth , hand for hand , foot for foot .
Macho yako hayapaswi kuona huruma ; maisha yatalipa kwa maisha , jicho kwa jicho , jino kwa jino , mkono kwa mkono , mguu kwa mguu .
DEU 19     Average alignment score: 0.338 for 21 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of DEU:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34