Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:37
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of DEU:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34 


DEU 7:1     Alignment score: 0.401 → 0.415
When Yahweh your God brings you into the land that you go to possess , he will drive out many nations before you the Hittites , the Girgashites , the Amorites , the Canaanites , the Perizzites , the Hivites , and the Jebusites
seven nations greater and mightier than you .
Wakati Yahwe Mungu wenu atatuleta katika nchi ambayo mnaenda kuimiliki na kuwaondoa mataifa mengi mbele zenu - Mhiti , Mgirgashi na Mwamori , na Mkanaani , na Mperizi , Mhivi , Myebusi - mataifa saba makubwa na yenye nguvu kuliko wewe .


DEU 7:2     Alignment score: 0.253
It is Yahweh your God who gives them over to you when you defeat them , and then you must completely destroy them . You will make no covenant with them , and show them no mercy .
Na wakati Yahwe Mungu wenu atawapa ninyi ushindi juu yao pindi mnakutana nao katika vita , mtawashambulia , basi mnapaswa kuwateketeza kabisa . Hamtafanya agano nao , wala kuonyesha
huruma kwao .
DEU 7:3     Alignment score: 0.19 → 0.214
Neither will you arrange any marriages
with them . You will not give your daughters to their sons , and you will not take their daughters for your sons .
Wala hamtapanga ndoa zozote pamoja nao , hamtawatoa binti zenu kwa vijana wao , na hamtawachukua binti zao kwa vijana wenu .
DEU 7:4     Alignment score: 0.261 → 0.264
For they will turn away your sons from following me , so that they may worship other gods . So the anger of Yahweh will be kindled against you , and he will destroy you quickly .
Kwa kuwa watawabadilisha vijana wenu kutonifuata mimi , ili kwamba waweze kuabudu miungu yao . Kwa hiyo hasira ya Yahwe itawashwa dhidi yenu na atawaangamiza haraka .
DEU 7:5     Alignment score: 0.29 → 0.306
This is how you will deal with them : You will break down their altars , dash their stone pillars in pieces , cut down their Asherah poles , and burn their cast idols .
Hivi ndivyo mtakavyo washughulikia nao ; mtavunja madhabahu zao , vunja nguzo zao za mawe katika vipande , kata chini ncha za Asherahi , na kuzichoma sanamu za kutupwa .
DEU 7:6     Alignment score: 0.385 → 0.392
For you are a nation that is set apart to Yahweh your God . He has chosen you to be a people for him to possess , more than all the other peoples that are on the face of the earth .
Kwa kuwa wewe ni taifa uliyetengwa kwa Yahwe Mungu wako . Amekuchagua wewe kuwa watu kwa ajili yake kumiliki
, zaidi ya watu wengine wote ambao wako katika uso wa dunia .
DEU 7:7     Alignment score: 0.364 → 0.379
Yahweh did not set his love upon you or choose you because you were more in number than any people for you were the fewest of all peoples
Yahwe hakuweka upendo wake juu yenu au kuwachagua kwa sababu mlikuwa zaidi katika idadi kuliko watu wowote , kwa kuwa mlikuwa wachache kuliko watu wote -
DEU 7:8     Alignment score: 0.476 → 0.479
but because he loves you , and he wished to keep the oath that he had sworn to your fathers . This is why Yahweh has brought you out with a mighty hand and redeemed you out of the house of bondage , from the hand of Pharaoh , king of Egypt .
Lakini kwa sababu anawapenda ninyi , anataka kushika kiapo alichoapa kwa baba zenu . Huyu
ni Yahwe aliyewatoa kwa mkono wa uweza na kuwakomboa kutoka nyumba ya utumwa , kutoka mkono wa Farao , mfalme wa Misri .
DEU 7:9     Alignment score: 0.503
Therefore know that Yahweh your God he is God , the faithful God , who keeps covenants and faithfulness for a thousand generations with those who love him and keep his commandments ,
Kwa hiyo tambua ya kuwa Yahwe Mungu wako - ni Mungu , Mungu mwaminifu , anayetunza maagano na uaminifu kwa vizazi elfu kwa wale wanaompenda na kuyashika
maagizo yake ,
DEU 7:10     Alignment score: 0.297 → 0.306
but repays those who hate him to their face , to destroy them ; he will not be lenient on whoever hates him ; he will repay him to his face .
lakini huwalipa wale wanaomchukia kwa sura zao , kuwaangamiza , hatakuwa na huruma kwa yeyote anayemchukia ; atamlipa kwa uso wake .
DEU 7:11     Alignment score: 0.219 → 0.245
You will therefore keep the commandments , the statutes , and the decrees that I command you today , so that you will do them .
Kwa hiyo utashika maagizo , amri , na sheria ninazokuamuru leo , ili kwamba uzifanye .
DEU 7:12     Alignment score: 0.412
If you listen to these
decrees , and keep and do them , it will happen that Yahweh your God will keep with you the covenant and the faithfulness that he swore to your fathers .
Kama mtasikiliza maagizo haya , kuyashika na kuyafanya , itakuwa Yahwe Mungu wenu atawashika pamoja na agano na uaminifu ambao aliapa kwa baba zenu .
DEU 7:13     Alignment score: 0.335 → 0.343
He will love you , bless you , and multiply you . He will bless the fruit of your womb , the fruit of your ground your grain , your new wine , and your oil the calves of your herds and the young of your flocks in the land that he swore to your fathers to give you .
Atawapenda , atawabariki , na kuwazidisha , pia atabariki tunda la miili yenu na tunda la ardhi yenu , nafaka zenu , divai mpya , mafuta yenu , atazidisha mifugo na kundi lako la mifugo michanga , katika nchi ambayo aliapa kwa baba zenu kuwapa .
DEU 7:14     Alignment score: 0.373
You will be blessed more than all other peoples ; there will not be a childless male or a barren female among you or among your livestock .
Mtabarikiwa zaidi kuliko watu wengine wote ; hapatakuwa na mwanaume asiyekuwa na mtoto au mwanamke tasa miongoni mwenu au miongoni mwa mifugo .
DEU 7:15     Alignment score: 0.324 → 0.325
Yahweh will take away from you all sickness ; none of the evil diseases of Egypt that you have known will he put on you , but he will put them on all those who hate you .
Yahwe atawaondolea magonjwa yote ; hakuna magonjwa mabaya ya Misri ambayo mnayajua yatawekwa juu yenu , lakini atayaweka kwa wote wanaowachukia ninyi .
DEU 7:16     Alignment score: 0.309 → 0.337
You will consume all the peoples whom Yahweh your God will give
over to you , and your eye will not pity them . You will not worship their gods , for that will be a trap for you .
Mtayaondoa makundi ya watu wote ambayo Yahwe Mungu wenu awapa ushindi , na jicho lenu halitawaonea huruma . Na hamtaabudu miungu yao , kwa kuwa huo utakuwa mtego kwenu .
DEU 7:17     Alignment score: 0.277 → 0.279
If you say in your heart , ' These
nations are more numerous than I ; how can I dispossess them ? '
Kama mtasema kwenye mioyo , Haya mataifa ni mengi zaidi kuliko sisi ; tutawezaje kuwafukuza ?
DEU 7:18     Alignment score: 0.496 → 0.523
do not be afraid of them ; you will call to mind what Yahweh your God did to Pharaoh and to all Egypt ;
Msiwaogope ; mtakumbuka akilini kile Yahwe Mungu wenu alifanya kwa Farao na Misri yote ?
DEU 7:19     Alignment score: 0.421 → 0.451
the great sufferings
that your eyes saw , the signs , the wonders , the mighty hand , and the outstretched arm by which Yahweh your God brought you out . Yahweh your God will do the same to all the peoples whom you fear .
Mateso makuu ambayo macho yenu yaliona , ishara , maajabu , mkono wa uweza , mkono ulionyoshwa ambao Yahwe Mungu wenu alivyowatoa . Yahwe Mungu wenu atafanya kile kile kwa watu wote ambao mnawaogopa .
DEU 7:20     Alignment score: 0.293 → 0.303
Moreover , Yahweh your God will send the hornet among them , until those who are left and who hide themselves from you perish from your presence .
Zaidi ya yote , Yahwe Mungu wenu atatuma nyigu miongoni mwao , mpaka wale waliobaki na wale wanaojificha wenyewe mbele yenu waangamizwe mbele ya uwepo wenu .
DEU 7:21     Alignment score: 0.395 → 0.396
You will not be frightened at them , for Yahweh your God is among you , a great and fearsome God .
Hamtatishikeni nao , kwa kuwa Yahwe Mungu wenu yuko miongoni mwenu , Mungu mkuu na wa kuogofya .
DEU 7:22     Alignment score: 0.383 → 0.397
Yahweh your God will drive out those
nations before you little by little . You will not defeat them all at once , or the wild animals would become very many around you .
Yahwe Mungu wenu atayaondoa mataifa mbele zenu kidogo kidogo . Hamtayashinda yote kwa wakati mmoja , au wanyama wa mwitu watakuwa wengi karibu nanyi .
DEU 7:23     Alignment score: 0.333 → 0.366
But Yahweh your God will give you victory over them when you meet them in battle ; he will greatly confuse them until they are destroyed .
Lakini Yahwe Mungu wenu atawapa ninyi ushindi dhidi yao wakati mkutanapo vitani ; atawachanganya kwa kiasi kikubwa mpaka wameangamizwa .
DEU 7:24     Alignment score: 0.319 → 0.321
He will put their kings under your power , and you will make their name perish from under heaven . No one will be able to stand before you , until you have destroyed them .
Atawaweka wafalme wao chini ya utawala wenu , na mtafanya jina lao kuangamia toka chini ya mbingu . Hakuna atakayeweza kusimama mbele yenu , mpaka muwaangamize .
DEU 7:25     Alignment score: 0.417 → 0.438
You will burn the carved figures of their gods do not covet the silver or the gold that covers them and take it for yourself , because if you do , you will become trapped by it for it is an abomination to Yahweh your God .
Utazichoma sanamu za kuchonga za miungu yao - usitamani madini ya fedha au dhahabu yanayofunika na kuichukua
kwa ajili yenu , kwa sababu mkifanya , mtanaswa nayo - kwa kuwa ni chukizo kwa Yahwe Mungu wenu .
DEU 7:26     Alignment score: 0.24 → 0.251
You will not bring any abomination into your house and start to worship it . You will utterly detest and abhor it , for it is set apart for destruction .
Hamtaleta chukizo lolote ndani ya nyumba zenu na kuanza kuiabudu
. Mtachukizwa kabisa na kuchukia kwa kuwa imetengwa kwa ajili ya uharibifu .
DEU 7     Average alignment score: 0.365 for 26 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of DEU:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34