Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:45
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JHN:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21 


JHN 2:1     Alignment score: 0.497
Three days later , there was a wedding in Cana
of Galilee , and the mother of Jesus was there .
Baada ya siku tatu , kulikuwa na arusi huko Kana ya Galilaya na mama yake Yesu alikuwa huko .


JHN 2:2     Alignment score: 0.586
Jesus and his disciples were invited to the wedding .
Yesu na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa katika arusi
.
JHN 2:3     Alignment score: 0.523
When the wine ran out , the mother of Jesus said to him , " They have no wine . "
Wakati walipoishiwa na divai , mama yake Yesu akamwambia , Hawana divai .
JHN 2:4     Alignment score: 0.379
Jesus said to her , " Woman , why do you come to me ? My time has not yet come . "
Yesu akajibu , Mwanamke kwa nini wanijia mimi ? Muda wangu mimi bado haujatimia .
JHN 2:5     Alignment score: 0.435 → 0.435
His mother said to the servants , " Whatever he says to you , do it . "
Mama yake akawambia
watumishi , Chochote atakachowambia fanyeni .
JHN 2:6     Alignment score: 0.193 → 0.197
Now there were six stone water pots there used for the Jewish ceremonial washing , each containing two to three metretes .
Basi kulikuwa na mitungi sita ya mawe pale iliyowekwa kwa ajili ya kunawa katika sikukuu za Wayahudi , kila moja
lilikuwa na ujazo wa nzio mbili tatu .
JHN 2:7     Alignment score: 0.312
Jesus said to them , " Fill the water pots with water . " So they filled them up to the brim .
Yesu akawaambia , Ijazeni maji mitungi ya mawe
. Wakajaza hadi juu .
JHN 2:8     Alignment score: 0.301
Then he told the servants , " Take some out now and take it to the head waiter . " So they did .
Kisha akawambia
wale watumishi , Chukueni kiasi sasa na mpeleke kwa muhudumu mkuu wa meza . Wakafanya kama walivyoagizwa .
JHN 2:9     Alignment score: 0.416
The head waiter tasted the water that had become wine , but he did not know where it came
from ( but the servants who had drawn the water knew ) . Then he called the bridegroom
Mhudumu mkuu aliyaonja yale maji yaliyokuwa yamebadilika na kuwa divai , ila hakujua yalikotoka ( lakini watumishi waliochota maji walijua yalikotoka ) . Kisha akamwita bwana harusi na
JHN 2:10     Alignment score: 0.33 → 0.334
and said to him , " Every man serves the good wine first and then the cheaper wine when they are drunk
. But you have kept the good wine until now . "
kumwambia , Kila mmoja huanza kuwahudumia watu divai nzuri na wakiishalewa huwapa divai isiyo nzuri . Lakini wewe umeitunza divai nzuri hadi sasa
JHN 2:11     Alignment score: 0.394 → 0.414
This first sign Jesus did in Cana
of Galilee , and he revealed his glory , and his disciples believed in him .
Ishara hii ya Kana ya Galilaya , ilikuwa ndiyo mwanzo wa ishara za miujiza aliyoifanya Yesu , akifunua utukufu wake , hivyo wanafunzi wake wakamwamini .
JHN 2:12     Alignment score: 0.542
After this Jesus , his mother , his brothers , and his disciples went down to Capernaum and they stayed there for a few days .
Baada ya hii , Yesu , mama yake , ndugu zake na wanafunzi wake walienda katika mji wa Kapernaum
na wakaa huko kwa siku chache .
JHN 2:13     Alignment score: 0.571
Now the Passover of the Jews was near , and Jesus went up to Jerusalem .
Basi Pasaka ya Wayahudi ilikuwa imekaribia , hivyo Yesu akaenda Yerusalemu .
JHN 2:14     Alignment score: 0.427
He found sellers of oxen and sheep and pigeons in the temple , and the money changers were sitting there .
Akawakuta wauzaji wa ng'ombe , kondoo , na njiwa ndani ya Hekalu . Pia na wabadilisha fedha walikuwa wameketi ndani ya Hekalu .
JHN 2:15     Alignment score: 0.22 → 0.243
So he made a whip of cords and drove
all of them out from the temple , including both the sheep and the cattle . He scattered the coins of the money changers and turned their tables over .
Yesu akatengeneza mjeledi wenye vifundo , akawatoa wote waliokuwemo katika hekalu , ikijumuisha ng'ombe na kondoo . Akamwaga fedha za wabadili fedha na kuzipindua meza zao .
JHN 2:16     Alignment score: 0.412 → 0.424
To the pigeon sellers he said , " Take these
things away from here . Stop making the house of my Father a marketplace . "
Kwa wauzaji wa njiwa akawambia , Toeni vitu hivi mbali na mahali hapa . Acheni kuifanya nyumba ya Baba yangu kuwa mahali pa soko .
JHN 2:17     Alignment score: 0.426
His disciples remembered that it was written , " Zeal for your house will consume me . "
Wanafunzi wake wakakumbuka kuwa ilikuwa imeandikwa , Wivu wa nyumba yako utanila .
JHN 2:18     Alignment score: 0.204 → 0.218
Then the Jewish authorities responded and said to him , " What sign will you show us , since you are doing these
things ? "
Wakuu wa Kiyahudi wakajibu , wakamwambia , Ni ishara ipi utakayoionyesha kwa sababu unayafanya mambo haya ?
JHN 2:19     Alignment score: 0.348 → 0.353
Jesus replied , " Destroy this temple , and in three days I will raise it up . "
Yesu akawajibu , Libomoeni hekalu hili nami nitalijenga baada ya siku tatu .
JHN 2:20     Alignment score: 0.359 → 0.37
Then the Jewish authorities said , " This temple was built
in forty - six years , and you will raise it up in three days ? "
Kisha wakuu wa Wayahudi wakasema , Ilichukua miaka arobaini na sita kujenga hekalu hili nawe unasema utalijenga kwa siku tatu ?
JHN 2:21     Alignment score: 0.299
However , he was speaking about the temple of his body .
Ingawa , yeye aliongea hekalu akimaanisha mwili wake .
JHN 2:22     Alignment score: 0.366
After he was raised from the dead , his disciples remembered that he said this
, and they believed the scripture and this statement that Jesus had spoken .
Hivyo baadaye baada ya kufufuka kwake kutoka kwa wafu , wanafunzi wake wakakumbuka kuwa alisema hivyo , wakaamini maandiko na kauli hii ambayo Yesu alikuwa amekwisha kuisema .
JHN 2:23     Alignment score: 0.524 → 0.526
Now when he was in Jerusalem at the Passover festival , many believed in his name when they saw the signs that he did .
Basi alipokuwa Yerusalemu wakati wa sikukuu ya Pasaka , watu wengi waliamini jina lake , walipoona ishara ya miujiza aliyoifanya .
JHN 2:24     Alignment score: 0.406
But Jesus did not trust in them because he knew
them all ,
Lakini Yesu hakuwa na imani nao kwa sababu aliwajua wanadamu wote .
JHN 2:25     Alignment score: 0.086 → 0.095
because he did not need anyone to testify to him about man , for he knew what was in man .
Hakuhitaji mtu yeyote kumwambia kuhusu walivyo wanadamu kwa sababu alijua kilichokuwamo ndani yao .
JHN 2     Average alignment score: 0.375 for 25 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JHN:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21