Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:45
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JHN:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21 


JHN 13:1     Alignment score: 0.385 → 0.386
Now it was before the Festival of the Passover . Jesus knew that his hour had come to go out of this world and go to the Father . Having loved his own who were in the world , he loved them to the end .
Sasa kabla ya sikukuu ya pasaka , kwa sababu Yesu alifahamu kuwa saa yake imefika ambayo atatoka katika dunia hii kwenda kwa baba , akiwa amewapenda watu wake ambao walikuwa duniani , aliwapenda mpaka mwisho .


JHN 13:2     Alignment score: 0.404 → 0.48
Now the devil had already
put it into the heart of Judas Iscariot son of Simon to betray Jesus . So during dinner ,
Ikawa tayari Ibilisi alikuwa amewaka katika moyo wa Yuda Isikariote , mwana wa simoni , kumsaliti Yesu .
JHN 13:3     Alignment score: 0.43
Jesus who knew that the Father had given everything over into his hands and that he had come from God and was going back to God
Yesu alifahamu kuwa baba ameweka vitu vyote katika mikono yake na kwamba ametoka kwa Mungu na alikuwa anakwenda tena kwa Mungu .
JHN 13:4     Alignment score: 0.266 → 0.271
got up from dinner and took off his outer clothing . Then he took a towel and wrapped it around himself .
Aliamka chakulani na akatandika chini vazi lake la nje . Kisha alichukua taulo na akajifunga mwenyewe .
JHN 13:5     Alignment score: 0.351
Then he poured water into a basin and began to wash the feet of the disciples and dry them with the towel that he had put around himself .
Kisha akatia maji katika bakuli na akaanza kuwaosha miguu wanafunzi wake na kuwafuta na taulo ambayo alijifunga yeye mwenyewe .
JHN 13:6     Alignment score: 0.526
He came to Simon Peter , and Peter said to him , " Lord , are you going to wash my feet ? "
Akaja kwa Simoni Petro , na Petro akamwambia , Bwana , unataka
kuniosha miguu yangu ?
JHN 13:7     Alignment score: 0.472 → 0.474
Jesus answered and said to him , " What I am doing you do not understand now , but you will understand this
later . "
Yesu akajibu na kumwambia , Nifanyalo hulijui sasa , lakini utaelewa baadaye .
JHN 13:8     Alignment score: 0.416
Peter said to him , " You will never wash my feet . " Jesus answered him , " If I do not wash you , you have no share with me . "
Petro akamwambia , Hutaniosha miguu yangu kamwe . Yesu akamjibu , Ikiwa sitakuosha , hutakuwa na sehemu pamoja nami .
JHN 13:9     Alignment score: 0.561 → 0.565
Simon Peter said to him , " Lord , do not only wash my feet , but also my hands and my head . "
Simoni Petro akamwambia , Bwana , usinioshe miguu yangu tuu , bali pia na mikono na kichwa changu .
JHN 13:10     Alignment score: 0.334 → 0.341
Jesus said to him , " He who is bathed has no need , except to wash his feet , but he is completely clean ; you are clean , but not everyone . "
Yesu akamwambia , Yeyote ambaye amekwisha kuoga haitaji kuoga isipokuwa miguu yake , na amekuwa safi mwili wake wote ; ninyi mmekuwa safi , lakini si nyote .
JHN 13:11     Alignment score: 0.229 → 0.236
( For Jesus knew who would betray him ; that is why he said , " Not all of you are clean . " )
Kwa kuwa Yesu alijua yule atakaye msaliti ; hii ndiyo sababu alisema , si nyote mmekuwa safi .
JHN 13:12     Alignment score: 0.232 → 0.255
So when Jesus had washed their feet and taken his garments and sat down again , he said to them , " Do you understand what I have done for you ?
Wakati Yesu alipokuwa amewaosha miguu yao na akiisha chukua vazi lake na kukaa tena , aliwaambia , Je mnaelewa kile ambacho nimewafanyia ?
JHN 13:13     Alignment score: 0.252 → 0.257
You call me ' teacher ' and ' Lord , ' and you are speaking correctly , because so I am .
Mnaniita mimi Mwalimu na Bwana , hii mnasema kweli , maana ndivyo nilivyo .
JHN 13:14     Alignment score: 0.381 → 0.401
If I then , the Lord and the Teacher , have washed your feet , you should also wash the feet of one another .
Ikiwa mimi Bwana na mwalimu , nimewaosha miguu yenu , ninyi pia imewapasa kuwaosha wenzenu miguu .
JHN 13:15     Alignment score: 0.268
For I have given you an example so that you should also do just as I did for you .
Kwa kuwa nimewapa mfano ili kwamba ninyi pia mfanye kama mimi nilivyo fanya kwenu .
JHN 13:16     Alignment score: 0.317
Truly , truly , I say to you , a servant is not greater than his master ; nor is a messenger greater than he who sent him .
Amini , Amini , nawambia , mtumwa si mkuu kuliko bwana wake ; wala yule
ambaye ametumwa si mkuu kuliko yule aliye mtuma .
JHN 13:17     Alignment score: 0.379
If you know these
things , you are blessed if you do them .
Ikiwa unafahamu mambo haya , umebarikiwa ukiyatenda .
JHN 13:18     Alignment score: 0.29 → 0.307
I am not speaking about all of you ; I know those whom I have chosen but this
is so that the scripture will be fulfilled : ' He who eats my bread lifted up his heel against me . '
Sisemi kuhusu ninyi nyote , kwa kuwa nawajua wale ambao nimewachagua - bali nasema haya ili kwamba maandiko yaweze kutimilizwa : Yeye alaye mkate wangu ameniinulia kisigino chake .
JHN 13:19     Alignment score: 0.247
I tell you this now before it happens so that when it happens , you may believe that I AM .
Ninawambia hili sasa kabla halijatokea ili kwamba litakapotokea , muweze kuamini kuwa mimi NDIYE .
JHN 13:20     Alignment score: 0.31 → 0.317
Truly , truly , I say to you , whoever receives the one I send receives me , and whoever receives me receives the one who sent me . "
Amini , amini , nawambia , anipokeaye mimi humpokea ambaye
nina mtuma , na yule anipokeaye mimi humpokea yule aliye nituma mimi .
JHN 13:21     Alignment score: 0.378
When Jesus said this
, he was troubled in spirit . He testified and said , " Truly , truly , I say to you that one of you will betray me . "
Wakati Yesu aliposema haya , alisumbuka rohoni , alishuhudia na kusema , Amini , amini , nawambia kwamba mmoja wenu atanisaliti .
JHN 13:22     Alignment score: 0.158
The disciples looked at each other , wondering of whom he was speaking .
Wanafunzi wake wakatazamana , wakishangaa ni kwa ajili ya nani alizungumza .
JHN 13:23     Alignment score: 0.461
One of his disciples , whom Jesus loved , was lying down at the table against Jesus ' side .
Kulikuwa katika meza , mmoja wa wanafunzi wake ameegama kifuani mwa Yesu yule
ambaye Yesu alimpenda .
JHN 13:24     Alignment score: 0.369
Simon Peter motioned to this disciple and said , " Ask him who he is speaking about . "
Simoni Petro alimuuliza mwanafunzi huyu
na kusema , Twambie ni yupi ambaye kwake anazungumza .
JHN 13:25     Alignment score: 0.252
So he leaned back against the side of Jesus and said to him , " Lord , who is it ? "
Mwanafunzi yule
aliye egama kifuani mwa Yesu na akamwambia , Bwana , ni nani ?
JHN 13:26     Alignment score: 0.475
Then Jesus answered , " It is the one for whom I will dip the piece of bread and give
it him . " So when he had dipped the bread , he gave it to Judas son of Simon Iscariot .
Kisha Yesu alijibu , Ni kwake yule nitakaye chovya kipande cha mkate na kumpatia . Hivyo alipo kuwa amechovya mkate , alimpatia Yuda mwana wa Simon Iskariote .
JHN 13:27     Alignment score: 0.415 → 0.445
Then after the bread , Satan entered into him , so Jesus said to him , " What you are doing , do it quickly . "
Na baada ya mkate , Shetani alimuingia . Kisha Yesu akamwambia , Kile ambacho unataka
kukifanya ukifanye haraka .
JHN 13:28     Alignment score: 0.325
Now no one who was lying down at the table knew why he said this to him .
Sasa hakuna mtu katika meza alijua sababu ya Yesu kusema
jambo hili kwake .
JHN 13:29     Alignment score: 0.369 → 0.392
Some thought that , since Judas had the moneybag , Jesus said to him , " Buy what we need to have for the festival , " or that he should give something to the poor .
Baadhi yao walidhani kwamba , kwa sababu Yuda alishika mfuko wa fedha , Yesu alimwambia , Nunua vitu tunavyohitaji kwa ajili ya sikukuu , au kwamba anapaswa kutoa kitu kwa masikini
.
JHN 13:30     Alignment score: 0.417
After Judas received the bread , he went out immediately . It was night .
Baada ya Yuda kupokea mkate , alitoka nje haraka ; na ilikuwa usiku .
JHN 13:31     Alignment score: 0.576
When Judas was gone , Jesus said , " Now the Son of Man is glorified , and God is glorified in him .
Wakati Yuda alipokuwa ameondoka , Yesu alisema , Sasa mwana wa Adam
ametukuzwa , na Mungu ametukuzwa katika yeye .
JHN 13:33     Alignment score: 0.294 → 0.329
Little children , I am with you for still a short amount of time . You will seek me , and as I said to the Jews , ' Where I am going , you can not come . ' Now I also say this
to you .
Watoto wadogo , niko pamoja nanyi kitambo kidogo . Mtanitafuta , na kama nilivyowambia Wayahudi , Niendako , hamuwezi kuja . Sasa nawambia ninyi , pia .
JHN 13:34     Alignment score: 0.276 → 0.288
I am giving you a new commandment
, that you should love one another ; as I have loved you , so also you should love one another .
Ninawapa amri mpya , kwamba mpendane ; kama mimi nilivyo wapenda ninyi , vivyo hivyo nanyi pia imewapasa kupendana ninyi kwa ninyi .
JHN 13:35     Alignment score: 0.382 → 0.384
By this everyone will know that you are my disciples , if you have love one for another . "
Kwa ajili ya hili watu watatambua kuwa ninyi ni wanafunzi wangu , ikiwa mna upendo kwa kila mmoja na mwingine .
JHN 13:36     Alignment score: 0.466 → 0.468
Simon Peter said to him , " Lord , where are you going ? " Jesus answered , " Where I am going , you can not follow me now , but you will follow later . "
Simoni Petro alimwambia , Bwana , unakwenda
wapi ? Yesu akajibu , Mahali ninapokwenda kwa sasa hutaweza kunifuata , lakini utanifuata baadaye .
JHN 13:37     Alignment score: 0.356 → 0.383
Peter said to him , " Lord , why can I not follow you now ? I will lay down my life for you . "
Petro akamwambia , Bwana , kwa nini nisikufuate hata sasa ? Mimi nitayatoa maisha yangu kwa ajili yako .
JHN 13:38     Alignment score: 0.461 → 0.462
Jesus answered , " Will you lay down your life for me ? Truly , truly , I say to you , the rooster will not crow before you have denied me three times . "
Yesu akajibu , Je utayatoa maisha yako kwa ajili yangu ? Amini amini nakwambia , jogoo hatawika kabla hujanikana mara tatu .
JHN 13     Average alignment score: 0.377 for 37 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JHN:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21