Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:45
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JHN:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21 


JHN 21:1     Alignment score: 0.452
After these
things Jesus revealed himself again to the disciples at the Sea of Tiberias . This is how he revealed himself :
Baada ya mambo hayo Yesu alijidhihirisha tena kwa wanafunzi katika bahari ya Tiberia ; hivi ndivyo alivyojidhihirisha mwenyewe :


JHN 21:2     Alignment score: 0.685
Simon Peter was together with Thomas called Didymus , Nathaniel from Cana
in Galilee , the sons of Zebedee , and two other disciples of Jesus .
Simon Petro alikuwa pamoja na Thomaso aitwaye Didimas , Nathanaeli wa Kana ya Galilaya , wana wa Zebedayo na wanafunzi wengine wawili wa Yesu .
JHN 21:3     Alignment score: 0.345 → 0.346
Simon Peter said to them , " I am going fishing . " They said to him , " We , too , will come with you . " They went and got into a boat , but they caught nothing during the whole night .
Simon
Petro akawaambia , Mimi naenda kuvua samaki . Nao wakamwambia , Sisi , pia tutaenda nawe . Wakaenda wakaingia kwenye mashua , lakini usiku huo wote hawakupata chochote .
JHN 21:4     Alignment score: 0.344
Now , when it was already
early in the morning , Jesus stood on the beach , but the disciples did not know it was Jesus .
Na asubuhi kulipokucha , Yesu alisimama ufukweni , nao wanafunzi hawakutambua kuwa alikuwa Yesu .
JHN 21:5     Alignment score: 0.463 → 0.466
So Jesus said to them , " Young men , do you have anything to eat ? " They answered him , " No . "
Kisha Yesu akawaambia , Vijana , mna chochote cha kula ? Nao wakamjibu , Hapana .
JHN 21:6     Alignment score: 0.353 → 0.355
He said to them , " Throw
your net on the right side of the boat , and you will find some . " So they threw their net and were not able to draw it in because of the large number of fish .
Akawaambia , Shusheni wavu upande wa kuume wa mashua , nanyi mtapata kiasi . Kwa hiyo wakashusha wavu nao hawakuweza kulivuta tena kwa sababu ya wingi wa samaki .
JHN 21:7     Alignment score: 0.432 → 0.434
Then the disciple whom Jesus loved said to Peter , " It is the Lord . " When Simon Peter heard that it was the Lord , he tied up his outer garment ( for he was undressed ) , and threw
himself into the sea .
Basi yule mwanafunzi ambaye Yesu alimpenda akamwambia Petro , Ni Bwana . Naye Simon Petro aliposikia kuwa ni Bwana , akajifunga vazi lake ( maana hakuwa amelivaa vizuri ) , kisha akajitupa baharini .
JHN 21:8     Alignment score: 0.388
The other disciples came in the boat ( for they were not far from the land , about two hundred cubits off ) , and they were pulling the net full of fish .
Wale wanafunzi wengine wakaja kwenye mashua ( kwani hawakuwa mbali na pwani , yapata mita mia moja
kutoka ufukweni ) , nao walikuwa wakivuta zile nyavu zilizokuwa zimejaa samaki .
JHN 21:9     Alignment score: 0.335
When they got out upon the land , they saw a charcoal fire there and fish laid on it , with bread .
Walipofika ufukweni , waliona moto wa mkaa
pale na juu yake kulikuwa na samaki pamoja na mkate .
JHN 21:10     Alignment score: 0.43
Jesus said to them , " Bring some of the fish that you have just caught . "
Yesu akawambia
, Leteni baadhi ya samaki mliovua sasa hivi .
JHN 21:11     Alignment score: 0.299 → 0.355
Simon Peter then went up and drew
the net to land , full of large fish , 153 of them , but even with so many , the net was not torn .
Basi Simon Petro akapanda na kuukokota ule wavu uliokuwa umejaa samaki wakubwa , kiasi cha samaki 153 ; japo walikuwa wengi , ule wavu haukuchanika .
JHN 21:12     Alignment score: 0.332 → 0.345
Jesus said to them , " Come and eat breakfast . " None of the disciples dared ask him , " Who are you ? " They knew it was the Lord .
Yesu akawaambia , Njooni mpate kifungua kinywa . Hakuna hata mmoja wa wanfunzi aliyethubutu kumwuliza , Wewe ni nani ? Walijua kuwa alikuwa ni Bwana .
JHN 21:13     Alignment score: 0.441 → 0.441
Jesus came , took the bread , and gave it to them , and the fish also .
Yesu akaja , akachukua ule mkate , kisha akawapa , akafanya vivyo hivyo na kwa wale samaki .
JHN 21:14     Alignment score: 0.386 → 0.404
This was the third time that Jesus revealed himself to the disciples after he had risen from the dead .
Hii ilikuwa mara ya tatu kwa Yesu kujidhihirisha kwa wanafunzi wake baada ya kufufuka toka wafu .
JHN 21:15     Alignment score: 0.558
After they ate breakfast , Jesus said to Simon Peter , " Simon son of John , do you love me more than these
? " Peter said to him , " Yes Lord , you know that I love you . " Jesus said to him , " Feed my lambs . "
Baada ya kuwa wamefungua kinywa , Yesu akamwambia Simon Petro , Simon mwana wa Yohana je , wanipenda mimi kuliko hawa ? Petro akajibu , Ndiyo , Bwana ; Wewe wajua kuwa mimi nakupenda . Yesu akamwambia , Lisha wanakondoo wangu .
JHN 21:16     Alignment score: 0.469 → 0.471
He said to him again a second time , " Simon son of John , do you love me ? " Peter said to him , " Yes Lord , you know that I love you . " Jesus said to him , " Shepherd my sheep . "
Akamwambia mara ya pili , Simon
mwana wa Yona , je , wanipenda ? Petro akamwambia , Ndiyo , Bwana ; wewe wajua kuwa nakupenda . Yesu akamwambia , Chunga kondoo wangu .
JHN 21:17     Alignment score: 0.434 → 0.438
He said to him a third time , " Simon son of John , do you love me ? " Peter was sorrowful because Jesus had said to him a third time , " Do you love me ? " He said to him , " Lord , you know all things , you know that I love you . " Jesus said to him , " Feed my sheep .
Akamwambia tena mara ya tatu , Simon
, mwana wa Yohana , Je wanipenda ? Naye Petro alihuzunika kwa vile alivyomwambia mara ya tatu , Je Wewe wanipenda ? Naye akamwambia , Bwana , unajua yote ; unajua kuwa nakupenda . Yesu akamwambia , Lisha kondoo wangu .
JHN 21:18     Alignment score: 0.237 → 0.244
Truly , truly , I say to you , when you were young , you used to gird yourself and walk wherever you wanted , but when you become old , you will stretch out your hands , and someone else will gird you and carry you where you will not want to go . "
Amini , amini , nakuambia , ulipokuwa
kijana ulizoea kuvaa nguo mwenyewe na kwenda kokote ulikotaka ; lakini utakapokuwa mzee , utanyosha mikono yako , na mwingine atakuvalisha nguo na kukupeleka usikotaka kwenda .
JHN 21:19     Alignment score: 0.418 → 0.433
Now Jesus said this
in order to indicate with what kind of death Peter would glorify God . After he had said this , he said to Peter , " Follow me . "
Yesu alisema haya ili kuonesha ni aina gani ya kifo ambacho Petro angemtukuza Mungu . Baada ya kuwa amesema haya , akamwambia Petro , Nifuate .
JHN 21:20     Alignment score: 0.316 → 0.327
Peter turned around and saw the disciple whom Jesus loved following them , the one who had also leaned back against the side of Jesus at the dinner and who had said , " Lord , who is the one who will betray you ? "
Petro aligeuka na kumwona yule mwanafunzi ambaye Yesu alimpenda akawafuata - Huyu
ndiye aliyekuwa amajiegemeza kwenye kifua cha Yesu wakati wa chakula cha jioni na kumwuliza , Bwana , ni nani atakayekusaliti ?
JHN 21:21     Alignment score: 0.524
Peter saw him and then said to Jesus , " Lord , what will this man do ? "
Petro alimwona na kisha akamwuliza Yesu , Bwana , Huyu
mtu atafanya nini ?
JHN 21:22     Alignment score: 0.378 → 0.377
Jesus said to him , " If I want him to stay until I come , what is that to you ? Follow me . "
Yesu akamjibu , Kama nataka
abaki mpaka nitakapokuja , hilo linakuhusu nini ? Nifuate .
JHN 21:23     Alignment score: 0.344 → 0.348
So this statement spread among the brothers , that that disciple would not die . Yet Jesus did not say to Peter that the other disciple would not die , but , " If I want him to stay until I come , what is that to you ? "
Kwa hiyo habari hii ikaenea miongoni mwa wale ndugu , kwamba mwanafunzi huyo
hatakufa . Lakini Yesu hakumwambia Petro kuwa , mwanafunzi huyo hafi , Kama nataka yeye abaki mpaka nitakapokuja yakuhusu nini ?
JHN 21:24     Alignment score: 0.374 → 0.391
This is the disciple who testifies about these
things , and who wrote these things , and we know that his testimony is true .
Huyu ndiye mwanafunzi atoaye ushuhuda wa mambo haya , na ndiye aliye andika mambo haya , na tunajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli .
JHN 21:25     Alignment score: 0.267 → 0.288
There are also many other things that Jesus did . If each one were written down , I suppose that even the world itself could not contain the books that would be written .
Kuna mambo mengine mengi ambayo Yesu aliyafanya . Kama kila moja lingeandikwa , nadhani kwamba ulimwengu wenyewe usingetosha kuviweka vitabu ambavyo vingeandikwa .
JHN 21     Average alignment score: 0.403 for 25 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JHN:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21