Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:45
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LUK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24 


LUK 13:1     Alignment score: 0.386 → 0.391
At that time , some people there told him about the Galileans whose blood Pilate mixed with their own sacrifices
.
Wakati huo huo , kulikuwa na baadhi watu waliomtaarifu juu ya Wagalilaya ambao Pilato aliwaua na kuchanganya damu yao na sadaka zao .


LUK 13:2     Alignment score: 0.331 → 0.338
Jesus answered and said to them , " Do you think that these
Galileans were more sinful than all the other Galileans because they suffered in this way ?
Yesu akajibu na kuwaambia , Je mwadhani kuwa Wagalilaya hao walikuwa na dhambi kuliko Wagalilaya wengine wote ndiyo maana wamepatwa na mabaya hayo ?
LUK 13:4     Alignment score: 0.493
Or those eighteen people in Siloam on whom a tower fell and killed them , do you think they were worse sinners than other men in Jerusalem ?
Au wale watu kumi na nane katika Siloamu
ambao mnara ulianguka na kuwaua , mnafikiri wao walikuwa wenye dhambi zaidi kuliko watu wengine katika Yerusalemu ?
LUK 13:5     Alignment score: 0.261
No , I say . But if you do not repent , all of you will also perish . "
Hapana , mimi nasema , lakini kama msipotubu , ninyi nyote pia mtaangamia .
LUK 13:6     Alignment score: 0.384 → 0.389
Jesus told this parable , " Someone had a fig tree planted in his vineyard and he came
and looked for fruit on it but found none .
Yesu aliwaambia mfano huu , Mtu mmoja alikuwa na mtini umepandwa katika shamba lake na alikwenda kutafuta matunda juu yake lakini hakupata .
LUK 13:7     Alignment score: 0.308 → 0.304
The man said to the gardener , ' Look , for three years I have come and tried to find fruit on this fig tree and found none . Cut it down . Why let it waste the ground ? '
Akamwambia mtunza bustani , Tazama , kwa miaka mitatu nimekuja na kujaribu kutafuta matunda kwenye mtini huu lakini sikupata . Uukate . Kwani unaleta uharibifu
wa ardhi ?
LUK 13:8     Alignment score: 0.305 → 0.307
" The gardener answered and said , ' Sir , leave it alone this year while I dig around it and put manure on it .
Mtunza bustani akajibu na kusema
, Uache mwaka huu ili niupalilie na kuweka mbolea juu yake .
LUK 13:9     Alignment score: 0.32 → 0.324
If it bears fruit next year , good ; but if it does not , cut it down ! ' "
Kama ukizaa matunda mwaka ujao , ni vema
; lakini kama hautazaa , uukate !
LUK 13:10     Alignment score: 0.592
Now Jesus was teaching in one of the synagogues during the Sabbath .
Sasa Yesu alikuwa akifundisha katika mojawapo ya Masinagogi wakati wa Sabato
LUK 13:11     Alignment score: 0.284 → 0.295
Behold , a woman was there who for eighteen years had a spirit of weakness . She was bent
over and was not able to straighten up completely .
Tazama , alikuwepo mama mmoja ambaye kwa miaka kumi na minane alikuwa na roho mchafu wa udhaifu , na yeye alikuwa amepinda na hana uwezo kabisa wa kusimama .
LUK 13:12     Alignment score: 0.447 → 0.447
When Jesus saw her , he called to her and said , " Woman , you are freed from your weakness . "
Yesu alipomwona , alimwita , akamwambia , Mama , umewekwa huru kutoka kwenye udhaifu wako .
LUK 13:13     Alignment score: 0.326
He placed his hands on her , and immediately she was made straight again and glorified God .
Akaweka mikono yake juu yake , na mara mwili wake akajinyoosha na akamtukuza Mungu .
LUK 13:14     Alignment score: 0.448
But the synagogue ruler was indignant because Jesus had healed on the Sabbath . So the ruler answered and said to the crowd , " There are six days in which it is necessary to labor . Come and be healed then , not on the Sabbath day . "
Lakini mkuu wa sinagogi alikasirika kwa sababu Yesu alikuwa amemponya siku ya Sabato . Hivyo mtawala akajibu akawambia
makutano , Kuna siku sita ambazo ni lazima kufanya kazi . Njoni kuponywa basi , si katika siku ya Sabato .
LUK 13:15     Alignment score: 0.45 → 0.453
The Lord answered him and said , " Hypocrites ! Does not each of you untie his ox or his donkey from the stall and lead it to drink on the Sabbath ?
Bwana akamjibu na akasema , Wanafiki ! Hakuna kila mmoja wenu kufungua punda wako au ng'ombe kutoka zizini na kuwaongoza kumpeleka kunywa siku ya Sabato ?
LUK 13:16     Alignment score: 0.373 → 0.383
So too this
daughter of Abraham , whom Satan bound for eighteen long years , should her bonds not be untied on the Sabbath day ? "
Hivyo pia binti wa Abrahamu , ambaye Shetani amemfunga kwa miaka kumi na minane , je haikumpasa kifungo chake kisifunguliwe siku ya sabato ?
LUK 13:17     Alignment score: 0.195
As he said these
things , all those who opposed him were ashamed , but the whole crowd was rejoicing over all the glorious things he did .
Alipokuwa akisema maneno hayo , wale wote waliompinga waliona aibu , bali makutano wote wa wengine walishangilia kwa ajili ya mambo ya ajabu aliyotenda .
LUK 13:18     Alignment score: 0.561
Then Jesus said , " What is the kingdom of God like , and what can I compare it to ?
Yesu akasema , Ufalme wa Mungu unafanana na nini , na naweza kuulinganisha
na nini ?
LUK 13:19     Alignment score: 0.319
It is like a mustard seed that a man took and threw
into his garden , and it grew into a big tree , and the birds of heaven built their nests in its branches . "
Ni kama mbegu ya haradari aliyoitwaa mtu mmoja na kuipanda shambani mwake , na ikamea ikawa mti mkubwa , na ndege wa mbinguni wakajenga viota vyao katika matawi yake .
LUK 13:20     Alignment score: 0.497
Again he said , " To what can I compare the kingdom of God ?
Tena akasema , Niufananishe na nini ufalme wa Mungu ?
LUK 13:21     Alignment score: 0.368 → 0.368
It is like yeast that a woman took and mixed with three measures of flour until all the flour was leavened . "
Ni kama chachu ambayo mwanamke aliichukua
na kuchanganya kwenye vipimo vitatu vya unga hata ukaumuka .
LUK 13:22     Alignment score: 0.314 → 0.352
Then Jesus traveled through the towns and villages , teaching and making his way toward Jerusalem .
Yesu alitembelea kila mji na kijiji njiani akielekea
Yerusalemu na kuwafundisha .
LUK 13:23     Alignment score: 0.344
Someone said to him , " Lord , are only a few people to be saved ? " So he said to them ,
Mtu mmoja akauliza , Bwana , ni watu wachache tu watakaookolewa ? Hivyo akawaambia ,
LUK 13:25     Alignment score: 0.298 → 0.298
Once the owner of the house gets up and locks the door , then you will stand outside and pound the door and say , ' Lord , Lord , let us in . ' " He will answer and say to you , ' I do not know you or where you are from . '
Mara baada ya mmiliki wa nyumba kusimama
na kufunga mlango , basi mtasimama nje na kupiga hodi mlangoni na kusema , Bwana , Bwana , tufungulie , yeye atajibu na kuwaambia , Siwajui ninyi wala mtokako .
LUK 13:26     Alignment score: 0.281 → 0.286
" Then you will say , ' We ate and drank
in front of you and you taught in our streets . '
Ndipo mtasema , Tulikula na kunywa mbele yako na wewe ulifundisha katika mitaa yetu .
LUK 13:28     Alignment score: 0.566
There will be crying and the grinding of teeth when you see Abraham , Isaac , Jacob , and all the prophets in God 's kingdom , but you are thrown out .
Kutakuwa na kilio
na kusaga meno wakati mtakapowaona Abrahamu , Isaka , Yakobo na manabii wote katika ufalme wa Mungu , lakini ninyi wenyewe mmetupwa nje .
LUK 13:29     Alignment score: 0.441 → 0.59
They will come from the east , west , north , and south , and be seated at a table in the kingdom of God .
Watafika kutoka Mashariki , Magharibi , Kaskazini na Kusini , na kupumzika
katika meza ya chakula cha jioni katika ufalme wa Mungu .
LUK 13:30     Alignment score: 0.225
Know this , those
who are least important will be first , and those who are most important will be last . "
Na tambua hili , wa mwisho ni wa kwanza na wa kwanza atakuwa wa mwisho .
LUK 13:31     Alignment score: 0.453
In that same hour , some Pharisees came and said to him , " Go and leave here because Herod wants to kill you . "
Muda mfupi baadaye , baadhi ya Mafarisayo walikuja na kumwambia , Nenda na ondoka hapa kwa sababu Herode anataka kukuua .
LUK 13:32     Alignment score: 0.388 → 0.404
Jesus said , " Go and tell that fox , ' Look , I cast out demons and perform healings today and tomorrow , and the third day I will reach my goal . '
Yesu akasema , Nendeni mkamwambie yule
mbweha , Tazama , ninawafukuza pepo na kufanya uponyaji leo na kesho , na siku ya tatu nitatimiza lengo langu .
LUK 13:33     Alignment score: 0.35 → 0.353
In any case , it is necessary for me to continue on today , tomorrow , and the following day , since it is not acceptable for a prophet to be destroyed outside of Jerusalem .
Katika hali yoyote , ni muhimu kwa ajili yangu kuendelea leo , kesho , na siku iliyofuata , kwa vile haikubaliki kumuua nabii mbali
na Yerusalemu .
LUK 13:34     Alignment score: 0.404 → 0.405
Jerusalem , Jerusalem , who kills the prophets and stones those sent to you . How often I desired to gather your children the way a hen gathers her brood under her wings , but you did not desire this .
Yerusalemu , Yerusalemu , nani anawaua manabii na kuwapiga mawe wale waliotumwa kwenu . Mara ngapi nimetaka kuwakusanya watoto wenu kama vile kuku anavyokusanya vifaranga vyake chini ya mbawa
zake , lakini humkulitaka hili .
LUK 13:35     Alignment score: 0.344
See , your house is abandoned . I say to you , you will not see me until you say , ' Blessed is he who comes in the name of the Lord . ' "
Tazama , nyumba yako imetelekezwa . Nami nawaambia , hamuwezi kuniona hata mtakaposema Amebarikiwa huyo
ajaye kwa jina la Bwana .
LUK 13     Average alignment score: 0.383 for 32 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LUK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24