Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:45
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LUK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24 


LUK 3:1     Alignment score: 0.485 → 0.624
In the fifteenth year of the reign of Tiberius Caesar while Pontius Pilate was governor of Judea , Herod was tetrarch of Galilee , his brother Philip was tetrarch of the region of Iturea and Trachonitis , and Lysanias was tetrarch of Abilene ,
Sasa , katika mwaka wa kumi na tano wa utawala wa Kaisari Tiberia , wakati Pontio Pilato alikuwa gavana wa Uyahudi , Herode alikuwa mkuu
wa mkoa wa Galilaya , na Filipo ndugu yake alikuwa mkuu wa mkoa wa Iturea na Trakoniti , na Lisania alikuwa mkuu wa mkoa wa Abilene ,


LUK 3:2     Alignment score: 0.684
during the high priesthood of Annas and Caiaphas the word of God came to John son of Zechariah in the wilderness .
na wakati wa ukuhani mkuu wa Anasi na Kayafa , Neno la Mungu lilimjia Yohana mwana wa Zakaria
, jangwani .
LUK 3:3     Alignment score: 0.502 → 0.504
He went into all the region around the Jordan , preaching a baptism of repentance for the forgiveness of sins .
Alisafiri katika mkoa wote kuzunguka mto Yordani , akihubiri
ubatizo wa toba kwa ajili ya msamaha wa dhambi
LUK 3:4     Alignment score: 0.54 → 0.541
As it is written in the book of the words of Isaiah the prophet , " A voice of one crying out in the wilderness , ' Make ready the way of the Lord , make his paths straight .
Kama ilivyoandikwa katika kitabu cha maneno ya Isaya nabii , Sauti ya mtu aliaye nyikani : Itengenezeni tayari njia ya Bwana , yatengenezeni mapito yake yaliyoonyoka
.
LUK 3:6     Alignment score: 0.582
and all flesh will see the salvation of God . ' "
Watu wote watauona wokovu wa Mungu .
LUK 3:7     Alignment score: 0.303
So John said to the crowds who were coming out to be baptized by him , " You offspring of vipers ! Who warned you to run away from the wrath that is coming ?
Hivyo , Yohana akawaambia makutano makubwa
ya watu waliomjia wapate kubatizwa na yeye , Ninyi uzao wa nyoka wenye sumu , nani aliwaonya kuikimbia gadhabu inayokuja ?
LUK 3:8     Alignment score: 0.311 → 0.341
Therefore , produce fruits that are worthy of repentance , and do not begin
to say within yourselves , ' We have Abraham for our father , ' for I tell you that God is able to raise up children for Abraham from these stones .
Zaeni matunda yanayoedana na toba , na msianze kusema ndani yenu , Tunaye Ibarahimu ambaye ni baba yetu , kwa sababu nawaambia ya kwamba , Mungu anaweza kumwinulia Ibrahimu watoto hata kutokana na mawe haya .
LUK 3:9     Alignment score: 0.433
Even now the ax is set against the root of the trees . So every tree that does not produce good fruit is chopped down and thrown into the fire . "
Tayari
shoka limeshawekwa kwenye mzizi wa miti . Hivyo , kila mti usiozaa matunda mema , hukatwa na kutupwa motoni .
LUK 3:10     Alignment score: 0.239 → 0.254
Then the crowds kept asking him , saying , " What then are we to do ? "
Kisha watu katika makutano walimuuliza wakisema , Sasa tunatakiwa tufanyeje ?
LUK 3:11     Alignment score: 0.222 → 0.23
He answered and said to them , " If someone has two tunics , he should share with a person who has none , and the one having food should do the same . "
Alijibu na kuwaambia , Kama mtu ana kanzu mbili anatakiwa atoe kanzu moja
kwa mwingine ambaye hana kabisa , na ambaye ana chakula na afanye vivyo hivyo .
LUK 3:12     Alignment score: 0.384 → 0.384
Tax collectors also came to be baptized , and they said to him , " Teacher , what must we do ? "
Kisha baadhi ya watoza ushuru walikuja pia kubatizwa , na wakamwambia , Mwalimu , tunatakiwa kufanya nini ?
LUK 3:13     Alignment score: 0.287
He said to them , " Do not collect more money than you have been ordered to collect . "
Akawaambia , Msikusanye fedha zaidi kuliko mnachotakiwa kukusanya .
LUK 3:14     Alignment score: 0.325 → 0.339
Some soldiers also asked him , saying , " What about us ? What must we do ? " He said to them , " Do not take money from anyone by force , and do not accuse anyone falsely . Be content with your wages . "
Baadhi ya maaskari pia wakamuuliza wakisema , Na sisi je ? Tunatakiwa tufanye nini ? Akawaambia , Msichukue fedha kwa mtu yeyote kwa nguvu , na msimtuhumu mtu yeyote kwa uongo . Ridhikeni na mishahara
yenu .
LUK 3:15     Alignment score: 0.33 → 0.336
Now as the people were eagerly expecting the Christ to come , everyone was wondering in their hearts concerning John , whether he might
be the Christ .
Sasa , kwa kuwa watu walikuwa na shauku ya kumngojea Kristo atakaye kuja , kila mmoja alikuwa anawaza moyoni mwake kuhusu Yohana kama yeye ndiye Kristo .
LUK 3:16     Alignment score: 0.381 → 0.385
John answered by saying to them all , " As for me , I baptize you with water , but someone is coming who is more powerful than I , and I am not worthy even to untie the strap of his sandals . He will baptize you with the Holy Spirit and with fire .
Yohana akajibu kwa kuwaambia wote , Mimi nawabatiza ninyi kwa maji , lakini kuna mmoja ajaye ambaye ana nguvu kuliko mimi , na sisitahili hata kufungua kamba za viatu vyake . Atawabatiza ninyi kwa Roho Mtakatifu na kwa moto .
LUK 3:17     Alignment score: 0.44
His winnowing fork is in his hand to thoroughly clear off his threshing floor and to gather the wheat into his storehouse . But he will burn up the chaff with fire that can never be put out . "
Pepeto lake liko mkononi mwake ili kusafisha vizuri
uwanda wake wa kupepetea ngano na kuikusanya ngano ghalani mwake . Lakini , atayateketeza makapi kwa moto ambao hauwezi kuzimika .
LUK 3:18     Alignment score: 0.375
With many other exhortations also , John was announcing the good news to the people .
Kwa maonyo mengine mengi pia , alihubiri habari njema kwa watu .
LUK 3:19     Alignment score: 0.324 → 0.351
When Herod the tetrarch had been reproved for marrying his brother 's wife Herodias , and for all the other evil things that Herod had done ,
Yohana alimkemea pia Herode mkuu
wa mkoa kwa kumuoa Herodia , mke wa ndugu yake na kwa maovu mengine mengi ambayo Herode alikuwa ameyatenda .
LUK 3:20     Alignment score: 0.204
he added this
to them all , that he locked John up in prison .
Lakini baadaye Herode alifanya uovu mwingine mbaya sana . Alimfunga Yohana gerezani .
LUK 3:21     Alignment score: 0.359 → 0.362
Now it came
about , when all the people were baptized , Jesus also was baptized , and while he was praying , the heavens opened ,
Kisha ilitokea kwamba , wakati watu wote walipokuwa wakibatizwa na Yohana , naye Yesu alibatizwa pia . Wakati alipokuwa akiomba , mbingu zikafunguka .
LUK 3:22     Alignment score: 0.367 → 0.369
and the Holy Spirit in bodily form came
down on him like a dove , and a voice came from heaven : " You are my beloved Son . I am pleased with you . "
Roho Mtakatifu akashuka juu yake kwa mfano wa kiwiliwili kama njiwa , wakati huo huo sauti ikaja kutoka mbinguni ikisema , Wewe ni Mwanangu mpendwa . Ninapendezwa sana na wewe .
LUK 3:23     Alignment score: 0.537 → 0.537
When Jesus began his ministry , he was about thirty years of age . He was the son ( as it was assumed ) of Joseph , the son of Heli ,
Sasa Yesu mwenyewe , alipoanza kufundisha
, alikuwa na umri upatao miaka thelathini . Alikuwa ni mwana ( kama ilivyodhaniwa ) wa Yusufu , mwana wa Eli ,
LUK 3:24     Alignment score: 0.808
the son of Matthat , the son of Levi , the son of Melchi , the son of Jannai , the son of Joseph .
mwana wa Mathati , mwana wa Lawi , mwana wa Melki , mwana wa Yana , mwana wa Yusufu ,
LUK 3:25     Alignment score: 0.823 → 0.836
Joseph was the son of Mattathias , the son of Amos , the son of Nahum , the son of Esli , the son of Naggai ,
mwana wa Matathia , mwana wa Amosi , mwana wa Nahumu , mwana wa Esli , mwana wa Nagai ,
LUK 3:26     Alignment score: 0.665 → 0.673
the son of Maath , the son of Mattathias , the son of Semein , the son of Josech , the son of Joda .
mwana wa Maati , mwana wa Matathia , mwana wa Semeini , mwana wa Yusufu , mwana wa Yuda ,
LUK 3:27     Alignment score: 0.725 → 0.718
Joda was the son of Joanan , the son of Rhesa , the son of Zerubbabel , the son of Salathiel , the son of Neri ,
mwana wa Yoanani , mwana wa Resa , mwana wa Zerubabeli , mwana wa Shealtieli
, mwana wa Neri ,
LUK 3:28     Alignment score: 0.87
the son of Melchi , the son of Addi , the son of Cosam , the son of Elmadam , the son of Er ,
mwana wa Melki , mwana wa Adi , mwana wa Kosamu , mwana wa Elmadamu , mwana wa Eri ,
LUK 3:29     Alignment score: 0.805
the son of Joshua , the son of Eliezer , the son of Jorim , the son of Matthat , the son of Levi .
mwana wa Yoshua , mwana wa Eliezeri , mwana wa Yorimu , mwana wa Matathi , mwana wa Lawi ,
LUK 3:30     Alignment score: 0.754 → 0.767
Levi was the son of Simeon , the son of Judah , the son of Joseph , the son of Jonam , the son of Eliakim ,
mwana wa Simeoni
, mwana wa Yuda , mwana wa Yusufu , mwana wa Yonamu , mwana wa Eliyakimu ,
LUK 3:31     Alignment score: 0.876
the son of Melea , the son of Menna , the son of Mattatha , the son of Nathan , the son of David ,
mwana wa Melea , mwana wa Mena , mwana wa Matatha , mwana wa Nathani , mwana wa Daudi ,
LUK 3:32     Alignment score: 0.833
the son of Jesse , the son of Obed , the son of Boaz , the son of Salmon
, the son of Nahshon .
mwana wa Yese , mwana wa Obedi , mwana wa Boazi , mwana wa Salmoni , mwana wa Nashoni ,
LUK 3:33     Alignment score: 0.569 → 0.595
Nahshon was the son of Amminadab , the son of Admin , the son of Arni , the son of Hezron , the son of Perez , the son of Judah ,
mwana wa Abinadabu , mwana wa Aramu , mwana wa Hesroni
, mwana wa Peresi , mwana wa Yuda ,
LUK 3:34     Alignment score: 0.845
the son of Jacob , the son of Isaac , the son of Abraham , the son of Terah , the son of Nahor ,
mwana wa Yakobo , mwana wa Isaka , mwana wa Ibrahimu , mwana wa Tera , mwana wa Nahori ,
LUK 3:35     Alignment score: 0.68
the son of Serug , the son of Reu , the son of Peleg , the son of Eber , the son of Shelah .
mwana wa Seruig
, mwana wa Ragau , mwana wa Pelegi , mwana wa Eberi , mwana wa Sala .
LUK 3:36     Alignment score: 0.792 → 0.793
Shelah was the son of Cainan
, the son of Arphaxad , the son of Shem , the son of Noah , the son of Lamech ,
Mwana wa Kenani , mwana wa Arfaksadi , mwana wa Shemu , mwana wa Nuhu , mwana wa Lameki ,
LUK 3:37     Alignment score: 0.748
the son of Methuselah , the son of Enoch , the son of Jared , the son of Mahalalel , the son of Cainan
,
mwana wa Methusela , mwana wa Henoko , mwana wa Yaredi , mwana Mahalalei , mwana wa Kenani ,
LUK 3:38     Alignment score: 0.763
the son of Enos
, the son of Seth , the son of Adam , the son of God .
mwana wa Enoshi , mwana wa Sethi , mwana wa Adamu , mwana wa Mungu .
LUK 3     Average alignment score: 0.536 for 37 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LUK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24