Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:45
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LUK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24 


LUK 2:1     Alignment score: 0.362 → 0.383
Now in those days , it came
about that Caesar Augustus sent out a decree ordering that a census be taken of all the people living in the world .
Sasa katika siku hizo , ikatokea kwamba Kaisari Agusto alitoa agizo akielekeza kwamba ichukuliwe sensa ya watu wote wanaoishi duniani .


LUK 2:2     Alignment score: 0.481
This was the first census made while Quirinius was governor of Syria .
Hii ilikuwa ni sensa ya kwanza iliyofanyika wakati Krenio akiwa gavana wa Siria .
LUK 2:3     Alignment score: 0.282
So everyone went to his own city to be registered for the census .
Hivyo kila mmoja akaenda mjini kwake kuandikishwa sensa .
LUK 2:4     Alignment score: 0.561 → 0.563
Joseph also went up from Galilee , from the city of Nazareth , to Judea , to the city of David , which is called Bethlehem , because he was of the house and family line of David .
Naye Yusufu aliondoka pia katika mji wa Nazareti huko Galilaya na akasafiri Yudea katika mji wa Bethlehemu , ujulikanao kama mji wa Daudi , kwa sababu alitokea katika ukoo wa Daudi .
LUK 2:5     Alignment score: 0.214
He went there to register along with Mary , who was engaged to him and was pregnant .
Alikwenda huko kujiandikisha pamoja na Mariamu , ambaye alikuwa amemposa na alikuwa akitazamia mtoto .
LUK 2:6     Alignment score: 0.217
Now it came
about that while they were there , the time came for her to deliver her baby .
Sasa ilitokea kwamba , wakiwa kule wakati wake wa kujifungua mtoto ukawadia .
LUK 2:7     Alignment score: 0.238
She gave
birth to a son , her firstborn child , and she wrapped him in long strips of cloth and laid him in a manger , because there was no room for them in the inn .
Akajifungua mtoto wa kiume , mzaliwa wake wa kwanza , akamzungushia nguo mwilini kumkinga na baridi mtoto . Ndipo akamweka kwenye kihori cha kulishia wanyama , kwa sababu haikuwepo nafasi kwenye nyumba za wageni .
LUK 2:8     Alignment score: 0.308 → 0.31
There were shepherds in that region who were staying in the fields , guarding their flock at night .
Katika eneo hilo
, walikuwapo wachungaji walioishi mashambani wakilinda makundi ya Kondoo wao usiku .
LUK 2:9     Alignment score: 0.354 → 0.372
An angel of the Lord appeared to them , and the glory of the Lord shone around them , and they were filled with great fear .
Ghafla , malaika wa Bwana akawatokea , na utukufu wa Bwana ukang'aa kuwazunguka , na wakawa na hofu sana .
LUK 2:10     Alignment score: 0.416 → 0.419
Then the angel said to them , " Do not be afraid , because I bring you good news that will bring great joy to all the people .
Ndipo malaika akwaambia , Msiogope , kwa sababu nawaletea habari njema ambayo italeta furaha kuu kwa watu wote .
LUK 2:11     Alignment score: 0.481
Today a Savior was born for you in the city of David ! He is Christ the Lord !
Leo Mwokozi kazaliwa
kwa ajili yenu mjini mwa Daudi ! Yeye ndiye Kristo Bwana !
LUK 2:12     Alignment score: 0.314
This is the sign that will be given to you : You will find a baby wrapped in strips of cloth and lying in a manger . "
Hii ndiyo ishara ambayo mtapewa , mtamkuta mtoto amefungwa nguo na amelala kwenye hori la kulishia wanyama .
LUK 2:13     Alignment score: 0.399
Suddenly there was together with the angel a great multitude from heaven , praising God and saying ,
Ghafla kukawa na jeshi kubwa la mbinguni likaungana na malaika huyo
wakamsifu Mungu , wakisema ,
LUK 2:14     Alignment score: 0.394
" Glory to God in the highest , and may there be peace on earth among people with whom he is pleased . "
Utukufu kwa Mungu aliye juu sana , na amani iwe duniani kwa wote ambao anapendezwa nao .
LUK 2:15     Alignment score: 0.327 → 0.329
It came about that when the angels had gone away from them into heaven , the shepherds said to each other , " Let us now go to Bethlehem and see this thing that has happened , which the Lord has made known to us . "
Ikawa kwamba malaika walipokwisha kuondoka kwenda mbinguni , wachungaji wakasemezena wao kwa wao , Twendeni sasa kule Bethlehemu , na tukaone hiki kitu ambacho kimetokea , ambacho Bwana ametufahamisha .
LUK 2:16     Alignment score: 0.47 → 0.459
They hurried there and found Mary , Joseph , and the baby , who was lying in a manger .
Wakaharakisha kule , na wakamkuta Mariamu na Yusufu , na wakamuona mtoto amelala kwenye hori la kulishia wanyama .
LUK 2:17     Alignment score: 0.155
After they had seen him , they made known what had been said to them about this child .
Na walipoona hivi , wakawajulisha watu kile walichokuwa wameambiwa kumhusu mtoto .
LUK 2:18     Alignment score: 0.246 → 0.246
All who heard it were amazed at what was spoken to them by the shepherds .
Wote waliosikia
habari hii wakashangazwa na kile kilichosemwa na wachungaji .
LUK 2:19     Alignment score: 0.307
But Mary kept thinking about all the things she had heard , treasuring them in her heart .
Lakini Mariamu akaendelea kufikiri kuhusu yote aliyokwisha kuyasikia , akiyatunza moyoni mwake .
LUK 2:20     Alignment score: 0.288
The shepherds returned , glorifying and praising God for everything that they had heard and seen , just as it had been spoken to them .
Wachungaji wakarudi wakimtukuza na kumsifu Mungu kwa ajili ya kila kitu walichokwisha sikia na kuona , kama tu ilivyokuwa imenenwa kwao .
LUK 2:21     Alignment score: 0.366 → 0.385
When it was the end of the eighth
day , when he was circumcised , he was named Jesus , the name he had been given by the angel before he was conceived in the womb .
Ilipofika siku ya nane na ilikuwa ni wakati wa kumtahiri mtoto , wakamwita jina Yesu , jina alilokwishapewa na yule malaika kabla mimba haijatungwa tumboni .
LUK 2:22     Alignment score: 0.329
When the required number of days for their purification had passed , according to the law of Moses , they brought him up to the temple in Jerusalem to present him to the Lord .
Kisha , zilipotimia siku za kutakasika kwao , kulingana na sheria ya Musa , Yusufu na Mariamu wakampeleka hekaluni kule Yerusalemu kumweka mbele za Bwana .
LUK 2:23     Alignment score: 0.333
As it is written in the law of the Lord , " Every male who opens the womb will be set apart to the Lord . "
Kama ilivyoandikwa katika sheria ya Bwana , Kila mwanaume anayefungua tumbo ataitwa aliyetolewa wakfu kwa Bwana .
LUK 2:24     Alignment score: 0.417
So they offered a sacrifice according to what was said in the law of the Lord , " a pair of doves or two young pigeons . "
Wao vilevile walikuja kutoa sadaka kulingana na kile kinachosemwa katika sheria ya Bwana , Jozi ya njiwa au makinda mawili ya njiwa .
LUK 2:25     Alignment score: 0.41
Behold , there was a man in Jerusalem whose name was Simeon , and this man was righteous and devout . He was waiting for the consolation of Israel , and the Holy Spirit was upon him .
Tazama , palikuwa na mtu katika Yerusalemu ambaye jina lake alikuwa akiitwa Simeoni
. Mtu huyu alikuwa mwenye haki na mcha Mungu . Yeye alikuwa akisubiri kwa ajili ya mfariji wa Israeli , na Roho Mtakatifu alikuwa juu yake .
LUK 2:26     Alignment score: 0.324 → 0.324
It had been revealed to him by the Holy Spirit that he would not see death before he had seen the Lord 's Christ .
Ilikuwa imekwisha funuliwa kwake kupitia Roho Mtakatifu kwamba yeye hangelikufa kabla ya kuwomwona Kristo wa Bwana .
LUK 2:27     Alignment score: 0.372 → 0.381
Led by the Spirit , Simeon
came into the temple . When the parents brought in the infant Jesus , to do for him according to the custom of the law ,
Siku moja alikuja ndani ya hekalu , akiongozwa na Roho Mtakatifu . Ambapo wazazi walimleta mtoto , Yesu , kumfanyia yale yaliyopasa kawaida ya sheria ,
LUK 2:28     Alignment score: 0.216 → 0.227
he took him into his arms and praised God , and he said ,
ndipo Simeoni
alimpokea mikononi mwake , na akamsifu Mungu na kusema ,
LUK 2:29     Alignment score: 0.547
" Now let your servant depart in peace , Lord , according to your word .
Sasa ruhusu mtumishi wako aende kwa amani Bwana , kulingana na Neno lako .
LUK 2:30     Alignment score: 0.399
For my eyes have seen your salvation ,
Kwa kuwa macho yangu yameuona
wakovu wako ,
LUK 2:31     Alignment score: 0.094 → 0.109
which you have prepared in the presence of all peoples :
ambao
umeonekana kwa macho ya watu wote .
LUK 2:32     Alignment score: 0.621
A light for revelation to the Gentiles and glory to your people Israel . "
Yeye ni nuru kwa ajili ya ufunuo wa mataifa na utukufu wa watu Israeli .
LUK 2:33     Alignment score: 0.343
His father and mother were amazed at what was said about him .
Baba na mama wa mtoto walishangazwa kwa mambo ambayo yalizungumzwa juu yake .
LUK 2:34     Alignment score: 0.388 → 0.39
Simeon blessed them and said to Mary his mother , " Behold , this child is appointed for the downfall and rising up of many people in Israel and for a sign that is rejected
Ndipo Simeoni
akawabariki na akasema kwa Mariamu mama yake , Sikiliza kwa makini ! Mtoto huyu atakuwa sababu ya kuanguka na kuinuka kwa watu wengi katika Israeli na ni ishara ambayo watu wengi wataipinga .
LUK 2:35     Alignment score: 0.416
and a sword will pierce your own soul so that the thoughts of many hearts may be revealed . "
Pia ni upanga utakaochoma nafsi yako mwenyewe , ili kwamba mawazo ya mioyo ya wengi yadhihirike .
LUK 2:36     Alignment score: 0.427
A prophetess
named Anna was there . She was the daughter of Phanuel from the tribe of Asher . She was advanced in her days . She had lived with her husband for seven years after her virginity ,
Nabii mwanamke aliyeitwa Ana pia alikuwako hekaluni . Yeye alikuwa binti wa Fanueli kutoka kabila la Asheri . Alikuwa na miaka mingi sana . Naye aliishi na mume wake kwa miaka saba baada ya kuoana ,
LUK 2:37     Alignment score: 0.342 → 0.376
and was a widow for eighty - four years . She never left the temple but was serving with fastings and prayers , night and day .
na ndipo akawa mjane kwa miaka themanini na minne . Naye hakuwahi kuondoka hekaluni na alikuwa akiendelea kumwabudu Mungu pamoja na kufunga na kuomba , usiku na mchana .
LUK 2:38     Alignment score: 0.314 → 0.331
At that very hour she came near to them and began giving thanks to God , and she spoke about the child to everyone who had been waiting for the redemption of Jerusalem .
Na kwa wakati huo , alikuja pale walipo akaanza kumshukuru Mungu . Aliongea kumhusu mtoto kwa kila mtu ambaye alikuwa akisubiri ukombozi wa Yerusalemu .
LUK 2:39     Alignment score: 0.394 → 0.398
When they had finished everything they were required to do according to the law of the Lord , they returned to Galilee , to their own town of Nazareth .
Walipomaliza kila kitu walichotakiwa kufanya kuligana na sheria ya Bwana , walirudi Galilaya , mjini kwao , Nazareti .
LUK 2:40     Alignment score: 0.432
The child grew and became strong ; he was full of wisdom , and the grace of God was upon him .
Mtoto alikua , na akawa na nguvu , akiongezeka katika hekima , na neema ya Mungu ilikuwa juu yake .
LUK 2:41     Alignment score: 0.683
His parents went every year to Jerusalem for the Festival of the Passover .
Wazazi wake kila mwaka walikwenda Yerusalemu kwa ajili ya sikukuu ya Pasaka .
LUK 2:42     Alignment score: 0.396
When he was twelve years old , they again went up at the customary time for the festival .
Alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili
, walikwenda tena wakati mwafaka kidesturi kwa ajili ya sikukuu .
LUK 2:43     Alignment score: 0.429
After they had stayed the full number of days for the feast , they began to return home . But the boy Jesus stayed behind in Jerusalem and his parents did not know it .
Baada ya kubaki siku zote kwa ajili ya sikukuu , walianza kurudi nyumbani . Lakini mvulana Yesu alibaki nyuma mle Yerusalemu na wazazi wake hawakujua hili
.
LUK 2:44     Alignment score: 0.285
They assumed that he was with the group that was traveling with them , so they traveled a day 's journey . Then they started to search carefully
for him among their relatives and friends .
Walidhani kwamba yumo kwenye kundi walilokuwa wakisafiri nalo , hivyo walisafiri safari ya siku . Ndipo wakaanza kumtafuta miongoni wa ndugu na marafiki zao .
LUK 2:46     Alignment score: 0.389
It came
about that after three days they found him in the temple , sitting in the middle of the teachers , listening to them and asking them questions .
Ikatokea kwamba baada ya siku tatu , wakampata hekaluni , akiwa ameketi katikati ya waalimu , akiwasikiliza na kuwauliza maswali .
LUK 2:47     Alignment score: 0.44
All who heard him were amazed at his understanding and his answers .
Wote waliomsikia walishangazwa na ufahamu wake na majibu yake .
LUK 2:48     Alignment score: 0.305 → 0.32
When they saw him , they were astonished . His mother said to him , " Son , why have you treated us this way ? Look , your father and I have been anxiously searching for you . "
Walipomwona , walistaajabu . Mama yake akamwambia , Mwanangu , kwa nini umetutendea hivi ? Sikiliza , baba yako na mimi tumekuwa tukikutafuta kwa wasiwasi mkubwa
.
LUK 2:49     Alignment score: 0.235 → 0.235
He said to them , " Why were you searching for me ? Did you not know that I had to be about my Father 's business ? "
Akawaambia , Kwa nini mmekuwa mkinitafuta ? Hamkujua kwamba lazima niwe kwenye nyumba ya Baba yangu ?
LUK 2:50     Alignment score: 0.497
But they did not understand what he meant by those
words .
Lakini hawakuelewa nini alichomaanisha kwa maneno hayo .
LUK 2:51     Alignment score: 0.359
Then he went back home with them to Nazareth and was obedient to them . His mother treasured all these
things in her heart .
Ndipo akaenda pamoja nao mpaka nyumbani Nazareti na alikuwa mtii kwao . Mama yake alihifadhi mambo yote moyoni mwake .
LUK 2:52     Alignment score: 0.516
But Jesus continued to grow in wisdom and stature , and increased in favor with God and people .
Lakini Yesu aliendelea kukua katika hekima na kimo , na akazidi kupendwa na Mungu na watu .
LUK 2     Average alignment score: 0.375 for 51 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LUK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24