Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:45
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LUK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24 


LUK 8:1     Alignment score: 0.444
It happened soon afterward that Jesus began traveling around to different cities and villages , preaching and proclaiming the good news about the kingdom of God . The twelve were with him ,
Ikawa baada ya hayo
Yesu alianza kusafiri katika miji na vijiji mbalimbali , akihubiri na kutangaza habari njema ya ufalme wa Mungu . Na wale kumi wawili walikwenda pamoja naye ,


LUK 8:2     Alignment score: 0.275 → 0.361
as well as certain women who had been healed of evil spirits and diseases : Mary who was called Magdalene , from whom seven demons had been driven out ;
vilevile wanawake fulani waliokuwa
wameponywa kutoka kwa roho wachafu na magonjwa mbalimbali . Walikuwa ni Mariamu aliyeitwa Magdalena ambaye alikuwa ametolewa pepo saba .
LUK 8:3     Alignment score: 0.546 → 0.547
Joanna , the wife of Chuza , Herod 's manager ; Susanna ; and many others , who , out of their possessions , provided for their needs .
Yoana
mke wa Kuza na meneja wa Herode , Susana , na wanawake wengine wengi , waliotoa mali vyao kwa ajili yao wenyewe .
LUK 8:4     Alignment score: 0.12 → 0.129
While a large crowd of people was gathering , and people were coming to him from town after town , he told a parable :
Na baada ya umati wa watu kukusanyika pamoja , wakiwemo na watu waliokuja
kwake kutoka miji mbalimbali , akazungumza nao kwa kutumia mifano .
LUK 8:5     Alignment score: 0.336
" A farmer went out to sow his seed . As he sowed , some fell beside the road and it was trampled underfoot , and the birds of the sky devoured it .
Mpandaji alienda kupanda mbegu , alipokuwa akipanda , baadhi ya mbegu hizo ziliangukia
kando ya njia zikakanyagwa chini ya miguu , na ndege wa angani wakazila .
LUK 8:6     Alignment score: 0.132
Some fell on the rock
, and as soon as it grew up , it withered away , because it had no moisture .
Mbegu zingine zilianguka juu ya udongo wa miamba na zilipoota na kuwa miche zilipooza kwa sababu hakukuwa na unyevunyevu .
LUK 8:7     Alignment score: 0.313 → 0.326
Some fell among thorns , and the thorns grew up together with the seed and choked it .
Mbegu zingine ziliangukia
kwenye miti ya miiba , nayo hiyo miti ya miiba ikakua pamoja na zile mbegu na zikasongwa .
LUK 8:8     Alignment score: 0.38 → 0.381
But some fell on good soil and produced a crop that was a hundred times greater . " After Jesus had said these
things , he called out , " Whoever has ears to hear , let him hear . "
Lakini mbegu zingine ziliangukia kwenye udongo unaofaa na zikazaa mazao mara mia zaidi . Baada ya Yesu kusema mambo haya , alipaza sauti , Yeyote aliye na masikio ya kusikia na asikie .
LUK 8:9     Alignment score: 0.364
His disciples asked him what this
parable meant .
Tena wanafunzi wake wakamuuliza maana ya mfano huo ,
LUK 8:10     Alignment score: 0.363 → 0.389
He said , " The knowledge of the secrets of the kingdom of God has been given to you , but for others I speak
in parables , so that ' seeing they may not see , and hearing they may not understand . '
Yesu akawaambia , Mmepewa upendeleo wa kujua siri ya ufalme wa Mungu , lakini watu wengine watafundishwa tu kwa mifano , ili kwamba wakiona wasione na wakisikia wasielewe .
LUK 8:11     Alignment score: 0.482 → 0.482
Now this is the meaning of the parable : The seed is the word of God .
Na hii ndiyo maana ya mfano huu . Mbegu ni neno la Mungu .
LUK 8:12     Alignment score: 0.147 → 0.185
The ones along the road are those who have heard , but then the devil comes and takes away the word from their hearts so they may not believe and be saved .
Mbegu zile zilizoanguka kando kando ya njia ndiyo wale watu wanaolisikia neno , na baadaye mwovu shetani hulichukua mbali kutoka moyoni
, ili kwamba wasiamini na kuokolewa .
LUK 8:13     Alignment score: 0.298 → 0.293
The ones on the rock are those who , when they hear the word , receive it with joy . But they have no root ; they believe for a while , and in a time of testing they fall away .
Kisha na zile zilizoangukia kwenye mwamba ni watu wale wanaosikia neno na kulipokea kwa furaha lakini hawana mizizi yeyote , wanaamini tu kwa muda mfupi , na wakati wa majaribu huanguka .
LUK 8:14     Alignment score: 0.359 → 0.391
The seeds that fell among the thorns are people who hear the word , but as they go on their way , they are choked by the cares and riches and pleasures of this
life , and their fruit does not mature .
Na mbegu zile zilizoangukia kwenye miiba ni watu wanaosikia neno , lakini wanapoendelea kukua husongwa na shughuli na utajiri na anasa za maisha haya na hawazai matunda .
LUK 8:15     Alignment score: 0.324 → 0.328
But the seed that fell on the good soil , these
are the ones who , hearing the word with an honest and good heart , hold it securely and bear fruit with patient endurance .
Lakini zile mbegu zilizoangukia kwenye udongo mzuri ni wale watu , ambao ni wanyeyekevu na mioyo mizuri , baada ya kulisikia neno hulishikilia na likawa salama na kuazaa matunda ya uvumilivu .
LUK 8:16     Alignment score: 0.293 → 0.296
" No one lights a lamp and covers it with a bowl or puts it under a bed . Rather , he puts it on a lampstand so that everyone who enters may see the light .
Sasa , hakuna hata mmoja , anayewasha taa na kuifunika
kwa bakuli au kuiweka chini ya kitanda . Badala ya kuiweka taa juu ili kwamba kila mmoja anayeingia apate kuiona .
LUK 8:17     Alignment score: 0.286 → 0.29
For nothing is hidden that will not be made known , nor is anything secret that will not be known and come into the light .
Kwa kuwa hakuna kitakachojificha ambacho hakitajulikana , au chochote kilicho sirini ambacho hakitajulikana kikiwa kwenye mwanga .
LUK 8:18     Alignment score: 0.222 → 0.249
So listen carefully
, for to the one who has , more will be given to him , but the one who does not have , even what he thinks he has will be taken away from him . "
Kwa hiyo kuwa makini unapokuwa unasikiliza . Kwa sababu aliye nacho , kwake ataongezewa zaidi , lakini asiye nacho hata kile kidogo alicho nacho kitachukuliwa .
LUK 8:19     Alignment score: 0.331 → 0.365
Then his mother and brothers came to him , but they could not get near him because of the crowd .
Baadaye mama yake Yesu na ndugu zake wakaja kwake hawakukaribia kwa sababu ya umati wa watu .
LUK 8:20     Alignment score: 0.315
He was told , " Your mother and your brothers are standing outside , wanting to see you . "
Na akataarifiwa , Mama yako na ndugu zako wako pale nje wanahitaji kukuona wewe .
LUK 8:21     Alignment score: 0.552 → 0.564
But Jesus answered and said to them , " My mother and my brothers are those who hear the word of God and do it . "
Lakini , Yesu akajibu akasema , Mama yangu na ndugu zangu ni wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii .
LUK 8:22     Alignment score: 0.253
Now one day he got into a boat with his disciples , and he said to them , " Let us go over to the other side of the lake . " They set sail .
Ikawa
siku mojawapo kati ya siku zile Yesu na wanafunzi wake walipanda kwenye mtumbwi , na akawaambia , Na tuvuke ng'ambo ya pili ya ziwa . Wakaandaa mashua yao .
LUK 8:23     Alignment score: 0.259 → 0.261
But as they sailed he fell
asleep . A terrible windstorm came down on the lake , and their boat was filling with water , and they were in danger .
Lakini walipoanza kuondoka , Yesu akalala usingizi , na dhoruba kali yenye upepo , na mashua yao ikaanza kujaa maji na walikuwa kwenye hatari kubwa sana .
LUK 8:24     Alignment score: 0.287 → 0.299
Then Jesus ' disciples came over to him and woke him up , saying , " Master ! Master ! We are about to die ! " He awoke and rebuked the wind and the raging of the water , and they ceased , and there was a calm .
Baadaye wanafunzi wake wakaja kwake na kumwamsha , wakisema , Bwana mkubwa
! Bwana mkubwa ! Tuko karibu kufa ! Akaamka na akaukemea upepo na mawimbi ya maji vikatulia na kukawa na utulivu .
LUK 8:25     Alignment score: 0.307 → 0.333
Then he said to them , " Where is your faith ? " But they were afraid and amazed , and they asked one another , " Who then is this , that he commands even the winds and the water , and they obey him ? "
Tena akawaambia , Imani yenu iko wapi ? Wakaogopa , walishangaa , wakasemezana kia mmoja na mwenzake , Huyu
ni nani , kiasi kwamba anaamuru hata upepo , na maji na humtii ?
LUK 8:26     Alignment score: 0.217 → 0.217
They sailed to the region of the Gerasenes , which is across the lake from Galilee .
Wakafika kwenye mji wa Gerasini iliyo upande wa nyuma ya Galilaya .
LUK 8:27     Alignment score: 0.343 → 0.35
When Jesus stepped on the land , he was met by a certain man from the city who had demons . For a long time he had worn no clothes , and he did not live in a house but among the tombs .
Yesu aliposhuka na kukanya kwenye ardhi , mtu fulani kutoka mjini , akakutana naye , na huyu
mtu alikuwa na nguvu za giza . Kwa muda mrefu alikuwa havai nguo , na alikuwa haishi kwenye Nyumba , lakini aliishi kwenye makaburi .
LUK 8:28     Alignment score: 0.435 → 0.437
When he saw Jesus , he cried out and fell down before him and he said with a loud voice , " What have you to do with me , Jesus , Son of the Most High God ? I beg you , do not torment me . "
Alipomwona Yesu akalia kwa sauti , na akaanguka chini mbele yake , kwa sauti kubwa akisema
, Nimefanya nini kwako , Yesu mwana wa Mungu aliye juu ? Nakusihi , usiniadhibu mimi .
LUK 8:29     Alignment score: 0.281 → 0.285
For Jesus had commanded the unclean spirit to come out of the man . For many times it had seized him , and though he was bound with chains and shackles and kept under guard , he had broken his chains and he would be driven by the demon into the wilderness .
Yesu akaamuru roho mchafu imtoke mtu yule , kwa kuwa amepagawa naye mara nyingi . Hata kama alikuwa amefungwa minyororo na kubanwa na kuwekwa chini ya ulinzi , alivunja
vifungo na kuendeshwa na mapepo mpaka jangwani .
LUK 8:30     Alignment score: 0.448
Then Jesus asked him , " What is your name ? " He said , " Legion , " for many demons had entered into him .
Yesu akamwuliza , Jina lako nani ? Akajibu akisema
, Legioni . Kwa maana mapepo mengi yameingia kwake .
LUK 8:31     Alignment score: 0.158
They kept begging him not to command them to go away into the abyss .
Wakaendelea kumsihi usituamuru twende kwenye shimo .
LUK 8:32     Alignment score: 0.16 → 0.18
Now a large herd of pigs was there feeding on the hillside . The demons begged him to let them go into them , and he gave
them permission .
Kundi la Nguruwe lilikuwa likichunga juu ya kilima , wakamsihi awaruhusu wakaingie kwa hao nguruwe . Na akawaruhusu kufanya hivyo .
LUK 8:33     Alignment score: 0.245 → 0.246
So the demons came
out of the man and went into the pigs , and the herd rushed down the steep slope into the lake and was drowned .
Kwa hiyo wale mapepo wakamtoka mtu yule na kuingia kwa wale nguruwe , na lile kundi likakimbia kwenye mwinuko wa mlima mpaka ziwani na wakazama humo .
LUK 8:34     Alignment score: 0.234
When those tending the pigs saw what had happened , they ran off and told about it in the city and countryside .
Wale watu waliokuwa wanachunga wale nguruwe walipoona kilichotokea , wakakimbia na wakatoa taarifa pale mjini na nje katika miji iliyowazunguka .
LUK 8:35     Alignment score: 0.352 → 0.354
So the people went out to see what had happened , and they came to Jesus and found the man from whom the demons had gone out . He was sitting at the feet of Jesus , clothed and in his right mind ; and they were afraid .
Watu waliposikia hayo
walienda kuona kilichotokea , na wakaja kwa Yesu na wakamwona mtu ambaye mapepo yalikuwa yamemtoka , alikuwa amevaa vizuri na mwenye akili timamu , amekaa kwenye miguu ya Yesu , na waliogopa .
LUK 8:36     Alignment score: 0.187 → 0.189
Then those
who had seen it told them how the man who had been possessed by demons had been healed .
Ndipo mmoja wao aliyeona kilichotokea alianza kuwasimlia wengine jinsi huyu mtu aliyekuwa anaongozwa na mapepo alivyoponywa .
LUK 8:37     Alignment score: 0.243 → 0.28
Then all the people of the region of the Gerasenes asked Jesus to depart from them , for they were overwhelmed with great fear . So he got into the boat and returned .
Watu wote wa mkoa wa Wagerasi na maeneo yaliyozunguka walimwomba Yesu aondoke kwao kwa sababu walikuwa na hofu kuu . Na aliingia kwenye mtumbwi ili arudi
.
LUK 8:38     Alignment score: 0.264 → 0.263
The man from whom the demons had gone out begged him to let him go with him , but Jesus sent him away , saying ,
Mtu yule aliyetokwa na pepo alimsihi Yesu kwenda naye , lakini Yesu alimwambia aende na kusema
,
LUK 8:39     Alignment score: 0.275
" Return to your home and give
a full account of what God has done for you . " The man went on his way , proclaiming throughout the whole city what Jesus had done for him .
Rudi kwenye nyumba yako na uhesabu yale yote ambayo Mungu amekutendea . Huyu mtu aliondoka , akitangaza pote katika mji wote yale yote ambayo Yesu aliyofanya kwa ajili yake .
LUK 8:40     Alignment score: 0.306
Now when Jesus returned , the crowd welcomed him , for they were all expecting him .
Na Yesu akarudi , makutano wakamkaribisha , kwa sababu wote walikuwa wanamngoja .
LUK 8:41     Alignment score: 0.349 → 0.349
Behold , a man named Jairus , who was one of the leaders of the synagogue , came and fell down at Jesus ' feet , and he begged him to come to his house
Tazama akaja mtu mmoja anaitwa Yairo ni mmoja kati ya viongozi katika sinagogi . Yairo akaanguka miguuni pa Yesu na kumsihi aende nyumbani kwake ,
LUK 8:42     Alignment score: 0.26 → 0.264
because his only daughter , a girl of about twelve years of age , was dying . As Jesus was on his way , the crowds of people pressed together around him .
kwa sababu alikuwa na mtoto msichana mmoja tu , mwenye umri wa miaka kumi na miwili
, na alikuwa katika hali ya kufa . Na alipokuwa akienda , makutano walikuwa wakimsonga .
LUK 8:43     Alignment score: 0.273 → 0.275
Now a woman was there who had been bleeding for twelve years and could not be healed by anyone .
Mwanamke mwenye kutokwa damu kwa miaka kumi na miwili
alikuwa pale na alitumia pesa zote kwa waganga , lakini hakuna aliyemponya hata mmoja ,
LUK 8:44     Alignment score: 0.206 → 0.301
She came behind Jesus and touched the edge of his coat , and immediately her bleeding stopped .
alikuja nyuma ya yesu na kugusa
pindo la vazi lake , na ghafla kutokwa damu kukakoma .
LUK 8:45     Alignment score: 0.331 → 0.331
Jesus said , " Who was it who touched me ? " When all denied it , Peter said , " Master , the crowds of people are all around you and they are pressing in against you . "
Yesu akasema , Nani ambaye kanigusa ? Walipokataa wote , Petro akasema , Bwana Mkubwa
, umati wa watu wanakusukuma na wanakusonga .
LUK 8:46     Alignment score: 0.339 → 0.354
But Jesus said , " Someone did touch me , for I know that power has gone out from me . "
Lakini Yesu akasema , Mtu mmoja alinigusa , maana nilijua nguvu zimetoka kwangu .
LUK 8:47     Alignment score: 0.234 → 0.233
When the woman saw that she could not escape notice , she came
trembling and fell down before him . In the presence of all the people she declared why she had touched him and how she had been immediately healed .
Mwanamke alipoona ya kuwa hawezi kuficha alichokifanya , akaanza kutetemeka , akaanguka chini mbele za Yesu alitangaza mbele ya watu wote sababu zilizofanya amguse na vile alivyoponywa gafla .
LUK 8:48     Alignment score: 0.429
Then he said to her , " Daughter , your faith has made you well . Go in peace . "
Kisha akasema kwake , Binti , imani yako imekufanya uwe mzima . Enenda kwa Amani .
LUK 8:49     Alignment score: 0.389
While he was still speaking , someone came from the synagogue leader 's house , saying , " Your daughter is dead
. Do not trouble the teacher any longer . "
Alipokuwa akiendelea kusema , mtu mmoja akaja kutoka kwenye nyumba ya kiongozi wa sinagogi , akisema , Binti yako amefariki . Usimsumbue mwalimu .
LUK 8:50     Alignment score: 0.479 → 0.479
But when Jesus heard this
, he answered Jairus , " Do not be afraid ; only believe , and she will be healed . "
Lakini Yesu aliposikia hivyo , alimjibu , Usiogope . Amini tu , naye ataponywa .
LUK 8:51     Alignment score: 0.501 → 0.532
When he came
to the house , he allowed no one to enter with him , except Peter and John and James , and the father of the child and her mother .
Kisha alipoingia kwenye hiyo nyumba , hakuruhusu mtu yeyote kuingia pamoja naye , isipokuwa Petro , Yohana na Yakobo , baba yake binti , na mama yake .
LUK 8:52     Alignment score: 0.303 → 0.32
Now all were mourning and wailing for her , but he said , " Do not weep ; she is not dead
but asleep . "
Sasa watu wote walikuwa wanaomboleza na kutoa sauti kwa ajili yake , lakini akasema , Msipige kelele , hajafa , lakini amelala tu .
LUK 8:53     Alignment score: 0.28
But they began
to mock him , knowing that she was dead .
Lakini wakamcheka kwa dharau , wakijua kuwa amekufa .
LUK 8:54     Alignment score: 0.41 → 0.428
But he took her by the hand and called out , saying , " Child , get up ! "
Lakini Yeye , akimshika binti mkono , akaita kwa sauti , akisema
, Mtoto , inuka ,
LUK 8:55     Alignment score: 0.249
Her spirit returned , and she rose
up immediately . He ordered them to get her something to eat .
roho yake ikamrudia , na akainuka wakati huohuo . Akaamrisha kwamba , apewe kitu furani ili ale .
LUK 8:56     Alignment score: 0.454
Her parents were astonished , but he ordered them to tell no one what had happened .
Wazazi wake wakashangaa , lakini aliwaamuru wasimwambie mtu kilichokuwa kimetokea .
LUK 8     Average alignment score: 0.325 for 56 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LUK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24