Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:45
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LUK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24 


LUK 12:1     Alignment score: 0.432 → 0.436
In the meantime , when many thousands of the people were gathered together so much that they trampled on each other , he began to say to his disciples first of all , " Beware of the yeast of the Pharisees , which is hypocrisy .
Kwa wakati huo , maelfu mengi ya watu walikusanyika pamoja , kiasi cha kuanza
kukanyagana , akaanza kusema na wanafunzi wake kwanza , Jihadharini na chachu ya Mafarisayo ambayo ni unafiki .


LUK 12:2     Alignment score: 0.161
But there is nothing concealed that will not be revealed , and nothing hidden that will not be known .
Na hapatakuwepo na siri iliyofichika
ambayo haitafunuliwa , wala jambo lililofichwa ambalo halitajulikana .
LUK 12:3     Alignment score: 0.266 → 0.284
So whatever you have said in the darkness will be heard in the light , and what you have spoken in the ear in the inner rooms will be proclaimed upon the housetops .
Na lolote mlilolisema katika giza , litasikiwa katika mwanga . Na yoyote mliyoyasema kwenye sikio ndani ya vyumba vyenu
vya ndani vilivyofungwa yatatangazwa juu ya paa la nyumba .
LUK 12:5     Alignment score: 0.377 → 0.383
But I will warn you about whom to fear . Fear the one who , after he has killed , has authority to throw you into hell . Yes , I say to you , fear him .
Lakini nitawaonya mtakaye mwogopa . Mwogopeni yule ambaye baada ya kuwa ameua , ana mamlaka ya kutupa jehanamu . Ndiyo , nawaambiani ninyi , mwogopeni huyo
.
LUK 12:6     Alignment score: 0.385
Are not five sparrows sold for two small coins ? Yet not one of them is forgotten in the sight of God .
Je shomoro watano hawauzwi kwa sarafu mbili ? Hata hivyo hakuna hata mmoja wao atakayesahaulika mbele za Mungu .
LUK 12:7     Alignment score: 0.275
But even the hairs of your head are all numbered . Do not fear . You are more valuable than many sparrows .
Lakini mjue kuwa , nywele za vichwa vyenu
vimehesabiwa . Msiogope . Ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi .
LUK 12:8     Alignment score: 0.403
I say to you , everyone who confesses me before men , the Son of Man will also confess before the angels of God ,
Ninawaambia , yeyote atakayenikiri Mimi mbele za watu , Mwana wa Adamu atamkiri mbele za malaika wa Mungu .
LUK 12:9     Alignment score: 0.468
but he who denies me before men will be denied before the angels of God .
Lakini yeyeyote atakayenikana mbele za watu naye atakanwa mbele ya Malaika wa Mungu .
LUK 12:10     Alignment score: 0.46 → 0.461
Everyone who speaks a word against the Son of Man , it will be forgiven him , but to him who blasphemes against the Holy Spirit , it will not be forgiven .
Yeyote atakayesema neno baya
juu ya Mwana wa Adamu , atasamehewa , lakini yeyote atakayemkufuru Roho Mtakatifu , hatasamehewa .
LUK 12:11     Alignment score: 0.383
When they bring you before the synagogues , the rulers , and the authorities , do not worry about how you will speak in your defense , or what you will say ,
Watakapowapeleka mbele za wakuu wa masinagogi , watawala , na wenye mamlaka , msiogope juu na namna ya kuongea katika kujitetea au nini mtakachosema ,
LUK 12:12     Alignment score: 0.373 → 0.373
for the Holy Spirit will teach you in that hour what you should say . "
kwa kuwa Roho Mtakatifu atawafundisha namna mtakavyosema kwa wakati huo .
LUK 12:13     Alignment score: 0.266 → 0.263
Then someone from the crowd said to him , " Teacher , tell my brother to divide the inheritance with me . "
Mtu mmoja katika kusanyiko akamwambia , Mwalimu , mwambie ndugu yangu anigawie sehemu ya uruthi
wangu .
LUK 12:14     Alignment score: 0.293 → 0.298
Jesus said to him , " Man , who appointed me a judge or a mediator over you ? "
Yesu akamjibu , Ni nani aliye niweka kuwa mwamuzi na mpatanishi kati yenu ?
LUK 12:15     Alignment score: 0.237 → 0.238
He said to them , " Watch that you keep yourselves from all greedy desires , because a person 's life does not consist of the abundance of his possessions . "
Ndipo akawaambia , Jihadharini na kila namna ya tamaa , kwa sababu uzima wa mtu hauko katika wingi wa vitu alivyo navyo .
LUK 12:16     Alignment score: 0.355
Then Jesus told them a parable , saying , " The field of a rich man yielded abundantly ,
Yesu akawaambia mfano , akisema
, Shamba la mtu mmoja tajiri lilizaa sana ,
LUK 12:17     Alignment score: 0.185 → 0.186
and he reasoned with himself , saying , ' What will I do , because I do not have a place to store my crops ? '
na akajiuliza ndani yake , akisema
, Nitafanyaje kwani sina mahali pa kuhifadhi mazao yangu ?
LUK 12:18     Alignment score: 0.178 → 0.172
He said , ' This is what I will do . I will tear down my barns and build bigger ones , and there I will store all of my grain and other goods .
Akasema , Nitafanya hivi . Nitavunja ghala zangu ndogo na kujenga iliyo kubwa , na kuyahifadhi mazao yangu yote na vitu vingine
.
LUK 12:19     Alignment score: 0.289
I will say to my soul , " Soul , you have many goods stored up for many years . Rest easy , eat , drink , be merry . " '
Nitaiambia nafsi yangu , Nafsi , umejiwekea akiba ya vitu vingi
kwa miaka mingi . Pumzika , ule , unywe na kustarehe .
LUK 12:20     Alignment score: 0.278 → 0.293
But God said to him , ' Foolish man , tonight your soul is required of you , and the things you have prepared , whose will they be ? '
Lakini Mungu akamwambia , Ewe mtu mpumbavu , usiku wa leo wanahitaji roho kutoka kwako , na vitu vyote ulivyoviandaa vitakuwa vya nini ?
LUK 12:21     Alignment score: 0.069 → 0.103
That is what someone is like who stores up treasure
for himself and is not rich toward God . "
Ndivyo itakavyokuwa kwa kila mtu anayejiwekea mali na si kujitajirisha kwa ajili ya Bwana .
LUK 12:22     Alignment score: 0.378
Jesus said to his disciples , " Therefore I say to you , do not worry about your life , what you will eat ; or about your body , what you will wear .
Yesu akawaambia wanafunzi wake , Kwa hiyo nawaambia msihofu juu ya maisha yenu__ya kuwa mtakula nini au juu ya miili yenu __ ya kuwa mtavaa nini
LUK 12:23     Alignment score: 0.463
For life is more than food , and the body is more than clothes .
Kwa kuwa maisha ni zaidi ya chakula , na mwili ni zaidi ya mavazi .
LUK 12:24     Alignment score: 0.355 → 0.358
Think about the ravens , that they do not sow or reap . They have no storeroom or barn , but God feeds them . How much more valuable you are than the birds !
Angalieni ndege wa angani , hawalimi wala hawavuni . Hawana chumba wala ghala ya kuhifadhia
, lakini Baba yenu huwalisha . Ninyi si bora zaidi kuliko ndege !
LUK 12:25     Alignment score: 0.188 → 0.187
Which of you by being anxious can add a cubit to his lifespan ?
Ni yupi kati yenu ambaye
akijisumbua ataweza kuongeza dhiraa moja katika maisha yake ?
LUK 12:26     Alignment score: 0.154
If then you are not able to do such a very little thing , why do you worry about the rest ?
Ikiwa basi hamuwezi kufanya hicho kitu kidogo kilicho rahisi kwa nini basi kusumbukia hayo
mengine ?
LUK 12:27     Alignment score: 0.351 → 0.352
Think about the lilies how they grow . They do not labor , neither do they spin . Yet I say to you , even Solomon in all his glory was not clothed like one of these
.
Tafakarini jinsi maua yanavyomea . Hayafanyi kazi wala hayasokoti . Lakini nawaambia , hata Sulemani katika utukufu wake wote hakuvikwa kama mojawapo ya haya ,
LUK 12:28     Alignment score: 0.296 → 0.297
If God so clothes the grass in the field , which exists today , and tomorrow is thrown into the oven , how much more will he clothe
you , O you of little faith !
Kama Mungu huyavika vizuri majani ya kondeni , ambayo leo yapo , na kesho hutupwa kwenye moto . Je si zaidi atawavika ninyi ? Enyi wa imani haba !
LUK 12:29     Alignment score: 0.242 → 0.242
Do not seek what you will eat and what you will drink , and do not be anxious .
Msisumbukie juu ya kuwa mtakula nini au mtakunywa nini , wala msiwe na hofu .
LUK 12:30     Alignment score: 0.352 → 0.368
For all the nations of the world seek these
things , and your Father knows that you need them .
Kwa kuwa Mataifa yote ya dunia husumbukia mambao yao . Na Baba yenu anajua ya kuwa mnahitaji hayo .
LUK 12:31     Alignment score: 0.348 → 0.353
But seek his kingdom , and these
things will be added to you .
Lakini tafuteni ufalme wake kwanza , na hayo mengine mtazidishiwa ,
LUK 12:32     Alignment score: 0.369 → 0.372
Do not fear , little flock , because your Father is very pleased to give you the kingdom .
msiogope , enyi kundi dogo , kwa sababu Baba yenu anafurahia kuwapa ninyi huo ufalme .
LUK 12:33     Alignment score: 0.143 → 0.16
Sell your possessions and give
alms . Make for yourselves purses which will not wear out treasure in the heavens that does not run out , where no thief comes near , and no moth destroys .
Uzeni mali zenu na mkawape maskini , mjifanyie mifuko isiyoishiwa , hazina ya mbinguni isiyokoma , sehemu ambapo wezi hawatakaribia wala nondo haitaweza kuharibu .
LUK 12:34     Alignment score: 0.183
For where your treasure
is , there your heart will be also .
Kwa kuwa palipo na hazina yako , ndipo na roho yako itakapokuwepo .
LUK 12:35     Alignment score: 0.116
" Keep your loins girded and your lamps lit ,
Nguo zenu ndefu ziwe zimefungwa kwa mkanda , na taa zenu zihakikishwe kuwa zinaendelee kuwaka ,
LUK 12:36     Alignment score: 0.276 → 0.277
and be like people waiting expectantly for their master when he returns from the marriage feast , so that when he comes and knocks , they may immediately open the door for him .
na muwe kama watu wanaomtazamia Bwana wao kutoka kwenye sherehe ya harusi , ili kwamba akija na kupiga hodi , wataweze kumfungulia mlango kwa haraka .
LUK 12:37     Alignment score: 0.156
Blessed are those servants whom the master will find watching when he comes . Truly I say to you , he will gird himself to serve and have them sit down at the table , and he will come and serve them .
Wamebarikiwa wale watumishi , ambao Bwana atawakuta wako macho . Hakika atafunga nguo yake ndefu kwa mkanda , kisha atawaketisha chini kwa chakula , na kisha kuwahudumia .
LUK 12:38     Alignment score: 0.362 → 0.362
If the master comes in the second watch of the night , or if even in the third watch , and finds them ready , blessed are those servants .
Kama Bwana atakuja kwa zamu ya pili ya ulinzi ya usiku , au hata zamu ya tatu ya ulinzi , na kuwakuta wakiwa tayari , itakuwa ni heri kwa hao watumishi .
LUK 12:39     Alignment score: 0.392 → 0.396
But understand this , that if the master of the house had known the hour the thief was coming , he would not have let his house be broken into .
Lakini fahamuni neno hili , kama bwana mwenye nyumba angelijua saa ambayo mwivi anakuja , asingeliruhusu nyumba yake ifunjwe .
LUK 12:40     Alignment score: 0.306 → 0.306
You also must be ready , because the Son of Man is coming at an hour that you do not expect . "
Iweni tayari pia kwani hamjui ni wakati gani mwana wa Adamu atarudi .
LUK 12:41     Alignment score: 0.299
Peter said , " Lord , are you telling this parable only to us , or also to everyone ? "
Petro akasema , Bwana , watuambia sisi wenyewe hii mifano
, au unamwambia kila mtu ?
LUK 12:42     Alignment score: 0.305
The Lord said , " Who then is the faithful and wise manager whom his lord will set over his other servants to give
them their portion of food at the right time ?
Bwana akawaambia , Ni nani mtumwa mwaminifu au mwenye hekima ambaye bwana wake atamweka juu ya watumishi wengine , ili awagawie chakula chao kwa wakati mwafaka ?
LUK 12:43     Alignment score: 0.265 → 0.284
Blessed is that servant whom his lord finds doing that when he comes .
Amebarikiwa mtumishi yule
, ambaye bwana wake akija atamkuta akifanya yale aliyoagizwa .
LUK 12:44     Alignment score: 0.277
Truly I say to you that he will set him over all his property .
Hakika nawaambia ninyi ya kuwa atamweka juu ya mali yake yote .
LUK 12:45     Alignment score: 0.315
But if that servant says in his heart , ' My lord delays his return , ' and begins to beat the male servants and female servants and to eat and drink and to become drunk ,
Lakini Mtumishi yule
akisema moyoni mwake , Bwana wangu anachelewa kurudi ; hivyo akaanza kuwapiga wale watumishi wa kiume na wa kike , kisha akaanza kula , kunywa na kulewa ,
LUK 12:46     Alignment score: 0.293 → 0.304
the lord of that servant will come in a day when he does not expect and in an hour that he does not know and will cut him in pieces and appoint a place for him with the unfaithful .
bwana wake yule
mtumwa atakuja katika siku asiyotegemea na saa asiyoijua , naye atamkata vipande vipande na kumuweka katika sehemu pamoja na wasiokuwawaaminifu .
LUK 12:47     Alignment score: 0.201 → 0.208
That servant , having known his lord 's will and not having prepared or done according to his will , will be beaten with many blows .
Mtumishi , anayejua mapenzi ya bwana wake , naye hakujiandaaa wala hakufanya sawa sawa na mapenzi yake , atapigwa viboko vingi
.
LUK 12:48     Alignment score: 0.142 → 0.152
But the one who did not know and did what deserved a beating , he will be beaten with a few blows . But everyone who has been given much , from them much will be required , and from the one who has been entrusted with much , even more will be asked .
Lakini mtumishi asiyejua mapenzi ya bwana wake , lakini akafanya yanayostahili
adhabu , atapigwa viboko vichache . Kwa kuwa yeye aliyepewa vingi , vingi hudaiwa kutoka kwake , na yeye aliyeaminiwa kwa vingi , kwake vitadaiwa vingi zaidi .
LUK 12:50     Alignment score: 0.298 → 0.316
But I have a baptism to be baptized with , and how I am distressed until it is completed !
Lakini nina ubatizo ambao
nitabatizwa , na nina huzuni mpaka utakapokamilika !
LUK 12:51     Alignment score: 0.313
Do you think that I came
to bring peace on the earth ? No , I tell you , but rather division .
Je mnafikiri kuwa nimekuja kuleta amani duniani ? Hapana , nawaambieni , badala yake nimeleta mgawanyiko .
LUK 12:52     Alignment score: 0.382
For from now on there will be five in one house divided three people against two , and two people against three .
Tangu sasa na kuendelea kutakuwa na watu watano katika nyumba moja wamegawanyika , na watatu watakuwa kinyume na wawili , na wawili watakuwa kinyume na watatu .
LUK 12:53     Alignment score: 0.39 → 0.392
They will be divided , father against son and son against father , mother against daughter and daughter against mother , mother-in-law against her daughter-in-law and daughter-in-law against mother-in-law . "
Watagawanyika , baba atakuwa kinyume na mwanae , na mwanae atakuwa kinyume na babaye
, mama atakuwa kinyume na binti yake , na binti atakuwa kinyume na mama yake , Mama mkwe atakuwa kinyume na mkwe wake naye mkwe atakuwa kinyume na mama mkwe wake .
LUK 12:54     Alignment score: 0.246 → 0.277
Jesus was saying to the crowds also , " When you see a cloud rising in the west , immediately you say , ' A shower is coming , ' and so it happens .
Yesu akawa anawaambia makutano pia , Mara muonapo mawingu yakitokea magharibi , mnasema , Nyakati za mvua
zimewadia , na ndivyo inavyo kuwa ,
LUK 12:55     Alignment score: 0.385
When a south wind is blowing , you say , ' There will be a scorching heat , ' and it happens .
Na upepo wa kusini ukivuma , mnasema , Patakuwepo na joto kali , na ndivyo inavyokuwa .
LUK 12:57     Alignment score: 0.081 → 0.083
Why do you not judge what is right for yourselves ?
Ni kwa nini kila mmoja wenu asipambanue lililo sahihi kwake kulifanya wakati ambapo angali na nafasi ya kufanya
hivyo ?
LUK 12     Average alignment score: 0.299 for 54 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LUK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24