Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:40
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of NEH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13 


NEH 4:1     Alignment score: 0.414 → 0.423
But when Sanballat , Tobiah , the Arabians , the Ammonites , and the Ashdodites heard that the work of repairing the walls of Jerusalem was going forward , and that the broken places in the wall were being closed up , a great anger burned within them .
Lakini Sanbalati , Tobia , Waarabu , Waamoni , na Waashdodi waliposikia kwamba kazi ya ukarabati wa kuta za Yerusalemu ilikuwa ikiendelea , na kwamba sehemu zilizovunjika katika ukuta zilikuwa zimefungwa , ghadhabu kubwa ikawaka ndani yao .


NEH 4:2     Alignment score: 0.37
They all conspired together , and they came to fight against Jerusalem and to cause confusion in it .
Wote walifanya shauri pamoja , na walikuja kupigana dhidi ya Yerusalemu na kusababisha machafuko ndani yake .
NEH 4:3     Alignment score: 0.463
But we prayed to our God and set a guard as protection against them day and night because of their threat .
Lakini tuliomba kwa Mungu wetu na kuweka walinzi kama ulinzi dhidi yao mchana na usiku kwa sababu ya tishio lao .
NEH 4:4     Alignment score: 0.402 → 0.41
Then the people of Judah said , " The strength of those who carry the burdens is failing . There is too much rubble , and we are not able to rebuild the wall . "
Kisha watu wa Yuda wakasema , Nguvu ya wale wanaobeba mizigo inashindwa
. Kuna kifusi kikubwa , na hatuwezi kujenga ukuta .
NEH 4:5     Alignment score: 0.318 → 0.318
Our enemies said , " They will not know or see until we come among them and kill them , and stop the work . "
Na adui zetu wakasema , Wala hawatajua au kuona mpaka tutakapokuja kati yao na kuwaua , na kuisimamisha kazi .
NEH 4:6     Alignment score: 0.247
At that time the Jews who lived near them came
from all directions and spoke to us ten times , warning us about the schemes they were making against us .
Wakati huo Wayahudi waliokuwa wakiishi karibu nao walitoka pande zote na kuzungumza nasi mara kumi , wakituonya juu ya mipango waliyofanya dhidi yetu .
NEH 4:7     Alignment score: 0.319 → 0.319
So I positioned people in the lowest parts of the wall in the exposed areas . I positioned each family with their swords , spears , and bows .
Kwa hiyo nikaweka watu katika sehemu za chini za ukuta katika sehemu zilizo wazi . Niliweka kila familia wenye upanga
, mikuki , na upinde .
NEH 4:8     Alignment score: 0.275 → 0.308
Then I looked , and stood up , and I said to the nobles , and to the rulers , and to the rest of the people , " Do not be afraid of them . Call to mind the Lord , who is great and awesome . Fight for your families , your sons and your daughters
, your wives , and your homes . "
Nikatazama , nikasimama , nikawaambia wakuu , na watawala , na watu wengine , Msiogope . Mkumbukeni Bwana , ambaye ni mkuu na wa kushangaza . Wapiganie ndugu zenu , wana zenu , binti zenu , wake zenu na nyumba zenu .
NEH 4:9     Alignment score: 0.4
It came
about when our enemies heard that their plans were known to us , and God had frustrated their plans , all of us returned to the wall , each one to his work .
Ilipokuwa wakati adui zetu waliposikia kwamba mipango yao ilikuwa inayojulikana kwetu , na Mungu alikuwa amebatilisha mipango yao , sote tulirudi ukutani , kila mmoja kwa kazi yake .
NEH 4:10     Alignment score: 0.509 → 0.524
So from that time half of my servants worked only on rebuilding the wall , and half of them held spears , shields , bows , and wore
armor , while the leaders stood behind all the people of Judah
Kwa hiyo tangu wakati huo nusu ya watumishi wangu walifanya kazi tu juu ya kujenga ukuta , na nusu yao wakaishika mikuki , ngao , pinde , na kuvaa silaha , wakati viongozi walisimama nyuma ya watu wote wa Yuda .
NEH 4:11     Alignment score: 0.298 → 0.306
and those who were building the wall . Those
who carried burdens carried their loads such that each did his work with one hand , and with the other hand he held his weapon .
Na hivyo wafanyakazi haohao ambao walikuwa wakijenga ukuta na kubeba mizigo walikuwa pia wakilinda nafasi zao . Kila mtu alifanya kazi kwa mkono mmoja , na kwa mkono mwingine alikuwa na silaha yake .
NEH 4:12     Alignment score: 0.273
Every builder wore his sword girded at his side , and that is how he worked . The one who sounded the ram 's horn stayed beside me .
Kila mjenzi alivaa upanga wake ubavuni mwake na ndivyo alivyojenga . Yule aliyepiga
tarumbeta akakaa karibu nami .
NEH 4:13     Alignment score: 0.29 → 0.294
I said to the nobles and to the officials and to the rest of the people , " The work is great and extensive , and we are separated on the wall , far from one another .
Niliwaambia wakuu na viongozi na watu wengine , Kazi ni nzuri na ya kina , na tumejitenga kwenye ukuta , mbali na mtu mwingine .
NEH 4:14     Alignment score: 0.325
You must rush to the place where you hear the ram 's horn sound and assemble there . Our God will fight for us . "
Lazima mkimbilie mahali ambapo mtasikia sauti ya tarumbeta na kusanyika huko . Mungu wetu atatupigania .
NEH 4:15     Alignment score: 0.346 → 0.371
So we were doing the work . Half of them were holding spears from the rising of the dawn until the coming out of the stars .
Kwa hiyo tulifanya kazi hiyo
. Nusu yao walikuwa wakichukua mikuki kutoka kupambazuka asubuhi hadi kutokea kwa nyota .
NEH 4:16     Alignment score: 0.429 → 0.43
I also said to the people at that time , " Let every man and his servant spend
the night in the middle of Jerusalem , so they may be for us a guard during the night and a worker in the day . "
Nikawaambia watu wakati huo , Kila mtu na mtumishi wake waende usiku katikati ya Yerusalemu , ili wawe walinzi wakati wa usiku na mfanyakazi wakati huo .
NEH 4:17     Alignment score: 0.298 → 0.308
So neither I , nor my brothers , nor my servants , nor the men of the guard who followed me , none of us changed our clothes , and each of us carried his weapon , even if he went for water .
Basi si mimi , wala ndugu zangu , wala watumishi wangu , wala watu wa walinzi waliokuwa
wananifuata , hakuna hata mmoja wetu aliyebadili nguo zake , na kila mmoja wetu alichukua silaha yake , hata kama angeenda kwa ajili ya kuteka maji .
NEH 4     Average alignment score: 0.363 for 17 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of NEH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13