Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:40
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of NEH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13 


NEH 6:1     Alignment score: 0.412 → 0.424
Now when Sanballat , Tobiah , and Geshem the Arabian and the rest of our enemies heard that I had rebuilt the wall and that there were no longer any sections left broken open , although
I had not yet set up the doors in the gates ,
Wakati Sanbalati , Tobia , Geshemu Mwarabu na adui zetu wengine waliposikia kwamba nilijenga upya ukuta na kwamba hakuna sehemu yoyote iliyoachwa wazi , ingawa sijaweka milango katika malango ,


NEH 6:2     Alignment score: 0.433 → 0.438
Sanballat and Geshem sent to me saying , " Come , let us meet together in one of the villages in the plain of Ono . " But they intended to do harm to me .
Sanbalati na Geshemu akatuma wajumbe akasema
, Njoni , tukutane pamoja mahali fulani katika tambarare ya Ono . Lakini walitaka kunidhuru .
NEH 6:3     Alignment score: 0.28 → 0.303
I sent messengers to them , saying , " I am doing a great work , and I can not come down . Why should the work stop while I leave it and come down to you ? "
Niliwatuma wajumbe kwao , nikasema , Ninafanya kazi kubwa na siwezi kushuka . Kwa nini kazi isimame wakati nitakapoondoka na kuja kwako ?
NEH 6:4     Alignment score: 0.316
They sent me the same message four times , and I answered them the same way each time .
Walituma ujumbe huo huo mara nne , na mimi niliwajibu vile vile kila wakati .
NEH 6:5     Alignment score: 0.428 → 0.429
Sanballat sent his servant to me in the same way the fifth time , with an open letter in his hand .
Sanbalati alimtuma mtumishi wake kwangu kwa njia ile ile mara ya tano , na barua iliyo wazi mkononi mwake .
NEH 6:6     Alignment score: 0.417 → 0.419
In it was written , " It is reported among the nations , and Geshem also says it , that you and the Jews are planning to rebel , for that is why you are rebuilding the wall . From what these
reports say , you are about to become their king .
Imeandikwa , Inaripotiwa kati ya mataifa , na Geshemu pia anasema , kwamba wewe na Wayahudi mna mpango wa kuasi , kwa sababu hiyo ndio mnajenga ukuta . Kutokana na taarifa hizi , unakaribia kuwa mfalme wao .
NEH 6:7     Alignment score: 0.325 → 0.325
You have also appointed prophets to make this
proclamation about you in Jerusalem , saying , ' There is a king in Judah ! ' You can be sure the king will hear these reports . Therefore come , let us discuss the matter with one another . "
Nawe umewachagua manabii kutangaza habari zako juu ya Yerusalemu , wakisema , Kuna mfalme huko Yuda ! Unaweza kuwa na hakika mfalme atasikia ripoti hizi . Basi , hebu njoo tuzungumze .
NEH 6:8     Alignment score: 0.355
Then I sent word to him saying , " No such things have occurred as you say , for within your heart you invented them . "
Kisha nikamtuma neno nikisema , mambo kama hayo
hayajafanyika kama unavyosema , kwa maana ndani ya moyo wako umeyabuni .
NEH 6:9     Alignment score: 0.436 → 0.434
For they all wanted to make us afraid , thinking , " Their hands will drop from the work , and the work will not be done . " But now , God , please strengthen my hands .
Kwa maana wote walitaka kututisha , wakifikiri , Wataacha mikono yao kufanya kazi hiyo
, na haitafanyika . Lakini sasa , Mungu , tafadhali imarisha mikono yangu .
NEH 6:10     Alignment score: 0.531 → 0.532
I went to the house of Shemaiah son of Delaiah son of Mehetabel , who was confined in his home . He said , " Let us meet together in the house of God , inside the temple , and let us close the doors of the temple , for they are coming to kill you . At night they are coming to kill you . "
Nikaenda nyumbani kwa Shemaya mwana wa Delaya , mwana wa Mehetabeli , aliyefungwa nyumbani mwake . Akasema , Hebu tukutane pamoja katika nyumba ya Mungu , ndani ya hekalu , na tufunge milango
ya hekalu , kwa maana wanakuja kukuua . Usiku wanakuja kukuua .
NEH 6:11     Alignment score: 0.161 → 0.173
I replied , " Would a man like me run away ? Would a man like me go into the temple just so he could save his own life
? I will not go in ! "
Nikajibu , Je ! Mtu kama mimi ninaweza kukimbia ? Na mtu kama mimi ninaweza kuingia hekaluni ili nipate kuishi ? Sitaingia .
NEH 6:12     Alignment score: 0.455
I realized that it was not God who sent him , but that he had prophesied against me . Tobiah and Sanballat had hired him .
Niligundua kwamba sio Mungu aliyemtuma , lakini alikuwa amefanya unabii dhidi yangu . Tobia na Sanbalati walimwajiri .
NEH 6:13     Alignment score: 0.18 → 0.179
They hired him to make me afraid , so that I might
do what he said and sin , so they could give me a bad name in order to humiliate me .
Walimpa kazi kunifanya niwe na hofu , ili nifanye kile alichosema na kutenda dhambi , hivyo wangeweza kunipa jina baya ili kuniaibisha .
NEH 6:14     Alignment score: 0.473 → 0.482
Call to mind Tobiah and Sanballat , my God according to their deeds . Also call to mind the prophetess
Noadiah and the rest of the prophets who tried to make me be afraid .
Mungu wangu , wakumbuke Tobia na Sanbalati , na yote waliyofanya . Pia mkumbuke nabii Noadia na manabii wengine ambao walijaribu kunifanya niogope .
NEH 6:15     Alignment score: 0.513 → 0.51
So the wall was finished on the twenty - fifth day of the month of Elul , after fifty - two days .
Kwa hiyo ukuta ukamalizika siku ya ishirini na tano ya mwezi wa Sita , baada ya siku hamsini na mbili .
NEH 6:16     Alignment score: 0.347 → 0.366
When all our enemies heard of it , all the nations around us , they became afraid and they fell
greatly in their own eyes . For they knew the work was done with the help of our God .
Adui zetu wote waliposikia hayo , mataifa yote yaliyotuzunguka , waliogopa na wakakata tamaa sana machoni pao wenyewe . Kwa maana walijua kazi hiyo ilifanyika kwa msaada wa Mungu wetu .
NEH 6:17     Alignment score: 0.539
At this time the nobles of Judah sent many letters to Tobiah , and Tobiah 's letters came
to them .
Wakati huu wakuu wa Yuda walituma barua nyingi kwa Tobia , na barua za Tobia zikawajia .
NEH 6:18     Alignment score: 0.527 → 0.526
For there were many in Judah who were bound by an oath to him , because he was the son-in-law of Shekaniah son of Arah . His son Jehohanan had taken as his wife the daughter
of Meshullam son of Berekiah .
Kwa maana walikuwa wengi huko Yuda waliofungwa kwa kiapo chake , kwa sababu alikuwa mkwewe Shekania , mwana wa Ara . Mwanawe Yehohanani alikuwa amekuwa mkewe Meshulamu mwana wa Berekia .
NEH 6:19     Alignment score: 0.376
They also spoke to me about his good deeds and reported my words back to him . Letters were sent to me from Tobiah to frighten
me .
Pia walizungumza nami kuhusu matendo yake mema na kumwambia maneno yangu . Barua zililetwa kwangu kutoka kwa Tobia kunitisha .
NEH 6     Average alignment score: 0.406 for 19 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of NEH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13