Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:47
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of REV:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22 


REV 7:1     Alignment score: 0.389
After this
I saw four angels standing at the four corners of the earth , tightly holding back the four winds of the earth so that no wind should blow on the earth , on the sea , or against any tree .
Baada ya haya niliona malaika wanne wamesimama kwenye kona nne za dunia , wamezuia pepo nne za nchi kwa nguvu ili kwamba pasiwe na upepo unaovuma katika nchi , juu ya bahari au dhidi ya mti wowote .


REV 7:2     Alignment score: 0.479
I saw another angel coming up from the east , who had the seal of the living God . He cried out with a loud voice to the four angels who were given permission to harm the earth and the sea :
Nikaona malaika mwingine akija kutoka mashariki , aliyekuwa na muhuri wa Mungu aliye hai . Akalia kwa sauti kuu kwa malaika wanne ambao walipewa ruhusa ya kudhuru nchi na bahari :
REV 7:3     Alignment score: 0.46 → 0.496
" Do not harm the earth , the sea , or the trees until we have put a seal on the foreheads of the servants of our God . "
Msiidhuru nchi , bahari , au miti mpaka tutakapokuwa tumekwishaweka muhuri katika paji za vichwa vya watumishi wa Mungu wetu .
REV 7:4     Alignment score: 0.544
I heard the number of those who were sealed : 144,000 , who were sealed from every tribe of the people of Israel :
Nikasikia idadi ya wale waliotiwa muhuri : 144,000 , ambao walitiwa muhuri kutoka kila kabila ya watu wa Israel
:
REV 7:5     Alignment score: 0.702
twelve thousand from the tribe of Judah were sealed , twelve thousand from the tribe of Reuben , twelve thousand from the tribe of Gad ,
12,000 kutoka katika kabila ya Yuda walitiwa muhuri , 12,000 kutoka katika kabila ya Rubeni , 12,000 kutoka katika kabila ya Gadi .
REV 7:6     Alignment score: 0.756
twelve thousand from the tribe of Asher , twelve thousand from the tribe of Naphtali , twelve thousand from the tribe of Manasseh ,
12,000 kutoka katika kabila ya Asheri , 12,000 kutoka katika kabila ya Naftali , 12,000 kutoka katika kabila ya Manase .
REV 7:7     Alignment score: 0.732
twelve thousand from the tribe of Simeon , twelve thousand from the tribe of Levi , twelve thousand from the tribe of Issachar ,
12,000 kutoka kabila ya Simioni
, 12,000 kutoka kabila ya Lawi , 12,000 kutoka kabila ya Isakari ,
REV 7:8     Alignment score: 0.688
twelve thousand from the tribe of Zebulun , twelve thousand from the tribe of Joseph , and twelve thousand from the tribe of Benjamin were sealed .
12,000 kutoka kabila ya Zebuloni
, 12,000 kutoka kabila ya Yusufu , na 12,000 kutoka kabila ya Benyamini walitiwa muhuri .
REV 7:9     Alignment score: 0.436 → 0.443
After these
things I looked , and there was a huge multitude that no one could count from every nation , tribe , people , and language standing before the throne and in front of the Lamb . They were wearing white robes and holding palm branches in their hands ,
Baada ya mambo haya nilitazama , na kulikuwa na umati mkubwa ambao hapana mtu angeweza kuuhesabu - kutoka kila taifa , kabila , jamaa , na lugha - wamesimama mbele ya kiti cha enzi na mbele ya Mwanakondoo . Walikuwa wamevaa kanzu nyeupe na wana matawi ya mitende mikononi mwao ,
REV 7:10     Alignment score: 0.444 → 0.445
and they were crying out with a loud voice : " Salvation belongs to our God , who is seated on the throne , and to the Lamb ! "
na walikuwa wakiita kwa sauti ya juu : Wokovu ni kwa Mungu ambaye ameketi katika kiti cha enzi , na kwa Mwanakondoo !
REV 7:11     Alignment score: 0.45 → 0.449
All the angels were standing around the throne and around the elders and the four living creatures , and they fell
on their faces before the throne . They worshiped God ,
Malaika wote waliokuwa wamesimama kuzunguka kiti cha enzi na kuwazunguka wale wazee pamoja na wenye uhai wanne , wakainama chini ardhini na wakaweka nyuso zao juu ya ardhi mbele ya kiti cha enzi na wakamwabudu Mungu ,
REV 7:12     Alignment score: 0.547 → 0.573
saying , " Amen ! Praise , glory , wisdom , thanksgiving , honor , power , and strength be to our God forever and ever ! Amen ! "
wakisema , Amina ! Sifa , utukufu , hekima , shukurani
, heshima , uwezo na nguvu viwe kwa Mungu wetu milele na milele ! Amina !
REV 7:13     Alignment score: 0.331 → 0.346
Then one of the elders asked me , " Who are these
, clothed with white robes , and where did they come from ? "
Kisha mmoja wa wale wazee akaniuliza , Hawa ni akina nani waliovaa kanzu nyeupe , na wametoka wapi ?
REV 7:14     Alignment score: 0.327
I said to him , " Sir , you know , " and he said to me , " These
are the ones who have come out of the great tribulation . They have washed their robes and made them white in the blood of the Lamb .
Nikamwambia , Bwana mkubwa , unajua wewe , na akaniambia , Hawa ni wale waliotoka katika dhiki kuu . Wamezifua kanzu zao na kuzifanya nyeupe kwa damu ya Mwanakondoo .
REV 7:15     Alignment score: 0.449
For this reason , they are before the throne of God , and they worship him day and night in his temple . The one who is seated on the throne will spread his tent over them .
Kwa sababu hii , wako mbele ya kiti cha enzi cha Mungu , na wanamwabudu yeye usiku na mchana katika hekalu lake . Yeye aliye keti juu ya kiti cha enzi atasambaza hema yake juu yao .
REV 7:16     Alignment score: 0.426 → 0.429
They will not be hungry again , nor will they be thirsty again . The sun will not beat down on them , nor any burning heat .
Hawataona njaa tena , wala kiu tena . Jua halitawachoma , wala joto la kuunguza .
REV 7:17     Alignment score: 0.493
For the Lamb at the center of the throne will shepherd them , and he will guide them to springs of living water , and God will wipe away every tear from their eyes . "
Kwa kuwa Mwanakondoo aliye katikati ya kiti cha enzi atakuwa mchungaji wao , na atawaongoza katika chemchemi
ya maji ya uzima , na Mungu atafuta kila chozi katika macho yao .
REV 7     Average alignment score: 0.504 for 17 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of REV:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22