Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:44
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ZEC:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14 


ZEC 7:1     Alignment score: 0.549 → 0.556
When King Darius had been ruler for four years , on the fourth day of Kislev ( which was the ninth month ) , the word of Yahweh came to Zechariah .
Mwaka wa nnwa utawala mfalme Dario , siku ya nne ya mwezi wa Kisleu ( ambao
ni mwezi wa tisa ) , neno la Yahwe lilimjia Zekaria kusema .


ZEC 7:2     Alignment score: 0.541 → 0.568
The people of Bethel had sent Sharezer and Regem - Melek and their men to beg before the face of Yahweh .
Watu wa Betheli wamemtuma Shareza , Regemu Meleki na watu wao kuomba mbele ya uso wa Yahwe .
ZEC 7:3     Alignment score: 0.504 → 0.511
They spoke to the priests who were at the house of Yahweh of hosts and to the prophets ; they said , " Should I mourn in the fifth month by means of a fast , as I have done these
many years ? "
Wakaongea na makuhani waliokuwa katika nyumba ya Yahwe wa majeshi na kwa manabii ; wakasema , Je niomboleze katika mwezi wa tano kwa njia ya kufunga , kama nilivyofanya miaka mingi hii ?
ZEC 7:4     Alignment score: 0.494
So the word of Yahweh of hosts came
to me , saying ,
Ndipo neno la Yahwe wa majeshi liliponijia kusema ,
ZEC 7:5     Alignment score: 0.462 → 0.46
" Speak to all the people of the land and to the priests and say , ' When you fasted and mourned in the fifth and in the seventh month for these
seventy years , were you truly fasting for me ?
Ongea na watu wote wa nchi na makuhani uwaambie , Mlipofunga na kuomboleza katika mwezi wa tano na wa saba katika hii miaka sabini , je kweli mlifunga kwa ajili yangu ?
ZEC 7:6     Alignment score: 0.244 → 0.246
When you ate and drank
, did you not eat and drink for yourselves ?
Na mlipokula na kunywa , hamkula na kunywa kwa ajili yenu wenyewe ?
ZEC 7:7     Alignment score: 0.32 → 0.334
Were these
not the same words that Yahweh proclaimed by the hand of the former prophets , when Jerusalem and the surrounding cities were inhabited and prosperous , and the Negev and the lowlands to the west were inhabited ? ' "
Je hayo siyo maneno aliyosema Yahwe kwa vinywa vya manabii wa zamani , mlipokuwa bado mnaishi Yerusalemu na miji ya kandokando yenye mafanikio na iliyokaa Negebu , na upande wa magharibi chini ya vilima ?
ZEC 7:8     Alignment score: 0.548
The word of Yahweh came to Zechariah , saying ,
Neno la Yahwe likamjia Zekaria kusema
,
ZEC 7:9     Alignment score: 0.477
" Yahweh of hosts says this , ' Judge with true justice , covenant faithfulness , and mercy . Let each man do this
for his brother .
Yahwe wa majeshi asema hivi , Hukumuni kwa haki , uaminifu wa agano , na rehema . Kila mtu na amtendee hivyo ndugu yake .
ZEC 7:10     Alignment score: 0.335
About the widow and orphan , the foreigner , and the poor person do not oppress them , and let none of you plot any harm against another in your heart . '
Juu ya mjane na yatima , mgeni , na masikini
- usiwanyanyase , na asiwepo miongoni mwenu anayepanga madhara yoyote dhidi ya mwingine mioyoni mwenu .
ZEC 7:11     Alignment score: 0.301 → 0.302
But they refused to pay attention and set their shoulders
stubbornly . They stopped up their ears so they would not hear .
Lakini waliyashupaza mabega yao na hawakujali . Waliziba masikio yao ili wasisikie .
ZEC 7:12     Alignment score: 0.439 → 0.446
They made their hearts as hard as rock so they would not hear the law or the words of Yahweh of hosts . He had sent these
messages to the people by his Spirit in earlier times , by the mouth of the prophets . But the people refused to listen , so Yahweh of hosts was very angry with them .
Waliifanya mioyo yao kuwa migumu kama mwamba ili wasiisikie sheria au neno la Yahwe wa majeshi . Alipeleka ujumbe kwa watu nyakati za zamani kwa Roho wake , kwa vinywa vya manabii . Lakini watu hawakusikia , hivyo Yahwe wa majeshi aliwakasirikia sana .
ZEC 7:14     Alignment score: 0.302
For I will scatter them with a whirlwind to all the nations that they have not known , and the land will be desolate after them . For no one will pass through the land or return to it since the people have made their delightful land into a wasteland . "
Kwa maana nitawatawanya kwa upepo wa kisurisuri katika mataifa yote ambayo hawajawai kuyaona , na baada yao nchi itakuwa wazi . Kwa kuwa hakuna hata mmoja atakayepita au kukaa katika hiyo
nchi kwa kuwa wameigeuza nchi yao yenye kupendeza kuwa isiyofaa .
ZEC 7     Average alignment score: 0.422 for 13 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ZEC:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14