Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:38
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1KI:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22 


1KI 5:1     Alignment score: 0.468 → 0.477
Solomon ruled over all the kingdoms from the River to the land of the Philistines and to the border of Egypt . They brought tribute and served Solomon all the days of his life .
Sulemani alitawala utawala wote kutoka mtoni hadi kwenye nchi ya Wafilisti na hadi kwenye mpaka wa Misri . Wote walileta kodi na walimtumikia Sulemani katika siku za maisha yake yote .


1KI 5:2     Alignment score: 0.363
Solomon 's provision
for one day was thirty cors of fine flour and sixty cors of meal ,
Vyakula vya Sulemani kwa siku moja yalikuwa ni Kori thelathini za unga mzuri na kori unga wa ngano ,
1KI 5:3     Alignment score: 0.355 → 0.357
ten head of cattle fattened in the stall , twenty head of cattle taken from the pastures , and one hundred sheep , as well as deer , gazelles , roebucks , and fattened fowl .
makisai
kumi walionona , na fahari ishirini wa malisho , na kondoo mia moja , nje ya ayala , paa , na kulungu na kuku walionona .
1KI 5:4     Alignment score: 0.491 → 0.493
For he had dominion over all the region on this side of the River , from Tiphsah as far as to Gaza , over all the kings on this side of the River , and he had peace on all sides around him .
Kwa kuwa utawala wake ulikuwa zaidi ya nchi yote upande huu wa mto , kutoka Tifsa mpaka Gaza , juu ya wafalme wote wa upande huu wa mto , naye alikuwa na amani pande zote .
1KI 5:5     Alignment score: 0.627
Judah and Israel lived in safety , every man under his vine and under his fig tree , from Dan to Beersheba , all the days of Solomon .
Yuda na Israeli waliishi kwa usalama
, kila mtu chini ya mzabibu wake na chini ya mtini wake , kutoka Dani mpaka Beerisheba , siku zote za Sulemani .
1KI 5:6     Alignment score: 0.604
Solomon had forty thousand stalls of horses for his chariots , and twelve thousand horsemen .
Sulemani alikuwa na mabanda ya farasi 40,000 kwa ajili ya magari yake , na wapanda farasi 12,000 .
1KI 5:7     Alignment score: 0.504
Those
officers provided food for King Solomon and for all who came to King Solomon 's table , every man in his month . They let nothing be lacking .
Na maakida walileta chakula kwa Sulemani na kwa wale walioketi kwenye meza ya mfalme Sulemani , kila mtu katika mwezi wake . Walihakikisha hakuna kinachopungua .
1KI 5:8     Alignment score: 0.328
They also brought to the proper place barley and straw for the chariot horses and riding horses , each one bringing in what he was able .
Na pia walileta kwenye eneo husika shayiri na majani kwa ajili ya wale farasi wa magari na kwa wale farasi wa mbio kila mmoja alileta kadri alivyoweza .
1KI 5:9     Alignment score: 0.513 → 0.541
God gave Solomon great wisdom and understanding , and wideness of understanding like the sand on the seashore .
Mungu alimpa Sulemani hekima kubwa , ufahamu , na upana wa uelewa kama mchanga wa baharini .
1KI 5:10     Alignment score: 0.665
Solomon 's wisdom exceeded the wisdom of all the people of the east and all the wisdom of Egypt .
Hekima ya Sulemani ilizidi hekima ya watu wote wa mashariki na hekima yote ya Misri .
1KI 5:11     Alignment score: 0.469
He was wiser than all men than Ethan the Ezrahite , Heman , Kalkol , and Darda , the sons of Mahol and his fame reached all the surrounding nations .
Alikuwa na hekima kuliko wanaume wote , kuliko Ethani Muezrahi , Hemani , Kaliko , na Darda , wana wa Maholi na habari zake zikaenea hadi kwenye mataifa yote yaliyomzunguka .
1KI 5:12     Alignment score: 0.489 → 0.59
He spoke three thousand proverbs and his songs were 1,005 in number .
Aliongea mithali 3,000 na idadi ya nyimbo zake zilikuwa 1,005 .
1KI 5:13     Alignment score: 0.333 → 0.377
He described the plants , from the cedar that is in Lebanon to the hyssop that grows out of the wall . He explained also about animals , birds , creeping things , and fish .
Aliifafanua mimea , kuanzia mierezi iliyoko Lebanoni hadi Hisopo imeao ukutani . Aliwafafanua wanyama , ndege , vitu vitambaavyo na samaki . Watu walikuja kutoka mataifa yote kuisikia hekima ya Sulemani .
1KI 5:15     Alignment score: 0.671
Hiram king of Tyre sent his servants to Solomon for he had heard that they had anointed him king in place of his father ; for Hiram had always loved David .
Hiramu mfalme wa Tiro aliwatuma watumishi wake kwa Sulemani kwa kuwa alisikia kuwa walikuwa wamemtawaza kuwa mfalme mahali pa baba yake , kwani Hiramu alimpenda Daudi .
1KI 5:16     Alignment score: 0.619
Solomon sent word to Hiram , saying ,
Sulemani akatuma ujumbe kwa Hiramu , akisema
,
1KI 5:17     Alignment score: 0.491 → 0.511
" You know that David my father could not build a house for the name of Yahweh his God because of the wars that surrounded him , for during his lifetime Yahweh was putting his enemies under the soles of his feet .
Unajua
kuwa Daudi baba yangu hakujenga nyumba kwa jina la BWANA , Mungu wake kwa sababu ya vile vita vilivyomzunguka , kwa kuwa wakati wa uhai wake BWANA alikuwa akiweka maadui wake chini ya nyayo za miguu yake .
1KI 5:18     Alignment score: 0.344 → 0.35
But now , Yahweh my God has given me rest on every side . There is neither adversary nor disaster .
Lakini sasa BWANA amenipa mimi pumziko toka pande
zote . Hakuna maadui wala majanga .
1KI 5:19     Alignment score: 0.478 → 0.478
So I intend to build a temple for the name of Yahweh my God , as Yahweh spoke to David my father , saying , ' Your son , whom I will set on your throne in your place , will build the temple for my name . '
Kwa hiyo ninakusudia kujenga hekalu kwa jina la BWANA , Mungu wangu , kama BWANA alivyosema kwa Daudi baba yangu , akisema
, Mwanao ambaye nitamweka kwenye kiti chako cha enzi mahali pako , ndiye atakayenijengea hekalu kwa jina langu .
1KI 5:20     Alignment score: 0.382 → 0.385
Now therefore command that they cut cedars from Lebanon for me . My servants will join your servants , and I will pay you for your servants so that you are paid fairly for everything you agreed to do . For you know there is no one among us who knows how to cut timber like the Sidonians . "
Kwa hiyo sasa amuru
wakate mierezi kutoka Lebanoni kwa ajili yangu . Watumishi wangu wataungana na watumishi wako , nami nitakulipa kwa ajili ya watumishi wako ili kwamba upate malipo mazuri kwa kila kitu utakachokubali kukifanya . Kwa kuwa unajua kuwa hakuna mtu mioingoni mwetu anayejua kukata miti kama Wasidoni .
1KI 5:21     Alignment score: 0.529
When Hiram heard the words of Solomon , he rejoiced greatly and said , " May Yahweh be blessed today , who has given to David a wise son over this great people . "
Hiramu aliposikia maneno ya Sulemani , akafurahi
sana akasema , BWANA na abarikiwe leo , ambaye amempa Daudi mwana wa hekima juu ya kundi hili kubwa .
1KI 5:22     Alignment score: 0.383 → 0.393
Hiram sent word to Solomon , saying , " I have heard the message that you have sent to me . I will provide all the wood of cedar and cypress that you desire .
Hiramu akatuma neno kwa Sulemani , akisema
, Nimeupata ujumbe ule ulionitumia . Nitatoa miti yote ya mierezi na miti ya miberoshi ambayo unahitaji .
1KI 5:24     Alignment score: 0.381
So Hiram gave Solomon all the timber of cedar and fir that he desired .
Kwa hiyo Hiramu akampa Sulemani miti yote ya mierezi na miti ya miberoshi
ambayo alihitaji .
1KI 5:25     Alignment score: 0.605 → 0.605
Solomon gave Hiram twenty thousand cors of wheat for food to his household and twenty thousand baths of pure oil . Solomon gave
this to Hiram year by year .
Sulemani akampa Hiramu kori ishirini elfu za ngano kwa ajili ya chakula cha watumishi wake na kori ishirini za mafuta safi . Sulemani akavitoa hivi kwa Hiramu mwaka baada ya mwaka .
1KI 5:26     Alignment score: 0.608
Yahweh gave Solomon wisdom , as he promised him . There was peace between Hiram and Solomon , and the two of them made a covenant .
BWANA akampa Sulemani hekima , kama alivyokuwa amemwahidi . Kulikuwa na amani kati ya Hiramu na Sulemani na wote wawili wakafanya agano .
1KI 5:27     Alignment score: 0.406 → 0.423
King Solomon conscripted labor out of all Israel . The forced laborers numbered thirty thousand men .
Mfalme Sulemani akaandaa wafanya kazi kutoka Israeli yote . Idadi ya watenda kazi walioandaliwa
ilikuwa wanaume 30,000 .
1KI 5:28     Alignment score: 0.411
He sent them to Lebanon , ten thousand a month in shifts . One month they were in Lebanon and two months at home . Adoniram was over the men who were subjected to forced labor .
Aliwatuma kwenda Lebanoni , aliwatuma kwa zamu ya watu 10,000 kila mwezi . Kwa mwezi mmoja walienda Lebanoni na miezi miwili walikaa nyumbani . Adoniramu ndiye aliyekuwa msimamizi wa watenda kazi .
1KI 5:29     Alignment score: 0.253 → 0.263
Solomon had seventy thousand who carried burdens and eighty thousand who were stonecutters in the mountains ,
Sulemani alikuwa na watu 70,000 waliokuwa
wabeba mizigo na watu 80,000 wa kukata mawe milimani .
1KI 5:30     Alignment score: 0.058 → 0.172
besides Solomon 's 3,300 chief officers who were over the work and who supervised the workers .
Zaidi ya hao , walikuwepo maakida 3,300 ambao pia waliokuwa
wakiisimamia hiyo kazi .
1KI 5:31     Alignment score: 0.449
At the king 's command they quarried large precious stones with which to lay the foundation of the temple .
Kwa amri ya mfalme walileta mawe makubwa
ya thamani kwa ajili ya kulaza kwenye msingi wa hekalu .
1KI 5:32     Alignment score: 0.388 → 0.409
So Solomon 's builders and Hiram 's builders and the men from Byblos did the cutting and prepared the timber and the stones to build the temple .
Kwa hiyo wajenzi wa Sulemani na wajenzi wa Hiramu na Wagebaliti walifanya kazi ya kukata na kuandaa mbao kwa ajili ya ujenzi wa hekalu .
1KI 5     Average alignment score: 0.466 for 30 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1KI:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22