Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:39
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1KI:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22 


1KI 18:1     Alignment score: 0.547 → 0.551
So after many days the word of Yahweh came to Elijah , in the third year of the drought , saying , " Go , show yourself to Ahab and I will send rain on the land . "
Kwa hiyo baada ya siku nyingi neno la BWANA likamjia Eliya , katika mwaka wa tatu wa ukame , likisema , Nenda ukajionyeshe mwenyewe kwa Ahabu nami nitainyeshea ardhi mvua .


1KI 18:2     Alignment score: 0.547
Elijah went to show himself to Ahab ; now the famine was severe in Samaria .
Eliya akaenda kujionyesha mwenyewe kwa Ahabu ; sasa njaa ilikuwa kali sana kule Samaria .
1KI 18:3     Alignment score: 0.526
Ahab called Obadiah , who was in charge of the palace . Now Obadiah honored Yahweh very much ,
Ahabu akamwita Obadia , aliyekuwa mkuu wa ikulu . Obadia alimheshimu sana BWANA ,
1KI 18:4     Alignment score: 0.516 → 0.519
for when Jezebel was killing the prophets of Yahweh , Obadiah took one hundred prophets and hid them by fifties in a cave and fed them with bread and water .
kwa kuwa wakati Yezebeli alipokuwa akiwaua manabii wa BWANA , Obadia alichukua manabii mia akawaficha katika makundi ya hamsini hamsini katika pango na akawalisha kwa mikate
na maji .
1KI 18:5     Alignment score: 0.427 → 0.437
Ahab said to Obadiah , " Go through the land to all the water springs and brooks . Perhaps we will find grass and save the horses and mules alive , so that we will not lose
all the animals . "
Ahabu akamwambia Obadia , Pita katika nchi yote na katika chemichemi zote za maji na vijito . Yamkini tunaweza kupata maji na nyasi ili tuwaokoa hawa farasi na nyumbu , ili tusiwakose wanyama wote .
1KI 18:6     Alignment score: 0.397 → 0.401
So they divided the land between them to pass
through it and look for water . Ahab went one way by himself and Obadiah went another way .
Kwa hiyo wakaigawa nchi kati yao ili wapite kati yake wakitafuta maji . Ahabu akaenda njia yake mwenyewe na Obadia naye akaenda njia yake .
1KI 18:7     Alignment score: 0.454 → 0.456
As Obadiah was on the road , Elijah unexpectedly met him . Obadiah recognized him and lay facedown on the ground . He said , " Is it you , my master Elijah ? "
Wakati Obadia akiwa njiani , akakutana na Eliya pasipo kutegemea . Obadia akamtambua na akalala kifudifudi chini . Akamwambia , Ndiye wewe , bwana wangu Eliya ?
1KI 18:8     Alignment score: 0.504 → 0.504
Elijah answered him , " It is I . Go tell your master , ' Look , Elijah is here . ' "
Naye Eliya akamjibu , Ni mimi . Nenda umwambie
bwana wako , Tazama , Eliya yuko hapa .
1KI 18:9     Alignment score: 0.468 → 0.469
Obadiah replied , " How have I sinned , that you would give
your servant into the hand of Ahab , for him to kill me ?
Obadia akamjibu . Nimekoseaje , kwamba umtoe mtumishi wako katika mkono wa Ahabu ili aniue ?
1KI 18:10     Alignment score: 0.443 → 0.468
As Yahweh your God lives , there is no nation or kingdom where my master has not sent men to find you . Whenever a nation or kingdom says , ' Elijah is not here , ' Ahab makes them take an oath swearing that they could not find you .
Kama BWANA Mungu wako aishivyo , hakuna taifa wala ufalme ambapo bwana wangu hajatuma watu kukutafuta . Kila taifa au ufalme unaposema , Eliya hayuko hapa , Ahabu hufanya waape ni kweli hawajakuona .
1KI 18:11     Alignment score: 0.408 → 0.43
Yet now you say , ' Go , tell your master that Elijah is here . '
Na sasa wewe unasema , Nenda , ukamwambie bwana wako kwamba Eliya yuko hapa .
1KI 18:12     Alignment score: 0.329 → 0.339
As soon as I am gone from you , the Spirit of Yahweh will carry you some place I do not know . Then when I go and tell Ahab , and when he can not find you , he will kill me . Yet I , your servant , have worshiped Yahweh from my youth .
Mara tu baada ya kukuacha Roho wa BWANA atakuchukua na kukupeleka mahali ambapo sitapajua . Kisha nikienda na kumwambia Ahabu , na asipokuona , ataniua . Bado , mimi , mtumishi wako , nimekuwa nikimwabudu BWANA kutoka ujana wangu .
1KI 18:13     Alignment score: 0.44 → 0.463
Has it not been told to you , my master , what I did when Jezebel killed the prophets of Yahweh , how I hid one hundred of Yahweh 's prophets
by fifties in a cave and fed them with bread and water ?
Je , haujaambiwa , bwana wangu , nilichokifanya wakati Yezebeli alipowaua manabii wa BWANA , jinsi nilivyowaficha wale manabii mia moja wa BWANA katika makundi ya hamsini kwenye pango na kuwalisha kwa mikate na maji ?
1KI 18:14     Alignment score: 0.45 → 0.45
Now you say to me , ' Go and tell your master that Elijah is here , ' so that he will kill me . "
Na sasa unasema , Nenda umwambie
bwana wako kwamba Eliya yuko hapa , kwa hiyo ataniua .
1KI 18:15     Alignment score: 0.549
Then Elijah responded , " As Yahweh of hosts lives , before whom I stand , I will surely show myself to Ahab today . "
Ndipo Eliya alipomjibu , Kama vile BWANA wa majeshi aishivyo , ambaye mimi ninasimama , Kwa hakika nitajionyesha kwa Ahabu leo .
1KI 18:16     Alignment score: 0.606
So Obadiah went to meet Ahab , and told him what Elijah said . Then the king went to meet Elijah .
Kwa hiyo Obadia akaenda kukutana na Ahabu , nakumwambia kile Eliya alichokuwa amemwambia . Ndipo mfalme alipoenda kukutana na Eliya .
1KI 18:17     Alignment score: 0.51
When Ahab saw Elijah , he said to him , " Is it you ? You are the one who brings trouble to Israel ! "
Ahabu alipomwona Eliya , akamwambia , Je , ni wewe ? Wewe mtabishaji wa Israeli !
1KI 18:18     Alignment score: 0.343 → 0.361
Elijah answered , " I have not brought trouble to Israel , but you and your father 's family are the ones who have caused trouble by abandoning the commandments of Yahweh and by following the Baals .
Eliya akamwambia , Mimi sijaitabisha Israeli , Lakini wewe na familia ya baba yako ndio watabishaji kwa kuziacha amri za BWANA na kufuata sanamu za Baali .
1KI 18:19     Alignment score: 0.62 → 0.642
Now then , send word and gather to me all Israel at Mount Carmel , along with the 450 prophets of Baal and the four hundred prophets of Asherah who eat at Jezebel 's table . "
Kwa hiyo
sasa , Tuma neno na unikusanyie Israeli yote katika mlima Karmeli , pamoja na manabii mia nne na hamsini wa Baali na wale manabii mia nne wa Ashera wanaokula kwenye meza ya Yezebeli .
1KI 18:20     Alignment score: 0.664
So Ahab sent word to all the people of Israel and gathered the prophets together at Mount Carmel .
Kwa hiyo Ahabu akatuma neno kwa watu wote wa Israeli na akawakusanya manabii wote kwenye mlima Karmeli .
1KI 18:21     Alignment score: 0.446 → 0.461
Elijah came near to all the people and said , " How long will you keep changing your mind ? If Yahweh is God , follow him . But if Baal is God , then follow him . " Yet the people did not answer him a word .
Eliya akaja karibu na watu wote akasema , Mtaendelea kubadilisha mawazo yenu mpaka lini ? Kama BWANA ni Mungu , mfuateni yeye , Lakini kama Baali ni Mungu , basi mfuateni yeye , Lakini watu hawakumjibu neno .
1KI 18:22     Alignment score: 0.48 → 0.483
Then Elijah said to the people , " I , I alone , am left as a prophet of Yahweh , but Baal 's prophets are 450 men .
Kisha Eliya akawaambia wale watu , Mimi , pekee
yangu , ndiye niliyebaki kuwa nabii wa BWANA , lakini manabii wa Baali wako mia nne na hamsini .
1KI 18:23     Alignment score: 0.219 → 0.23
So let them give
us two bulls . Let them choose one bull for themselves and cut it in pieces , and lay it on the wood , but put no fire under it . Then I will prepare the other bull and lay it on the wood , and put no fire under it .
Hebu tutoleeni ng'ombe wawili . Nao wajichagulie ng'ombe mmoja na wamchinje na kumkatakata katika vipnde , na wamweke kwenye kuni , na wasitie moto chini yake . Nami nitamwandaa yule wa pili na kumweke juu ya kuni nami sitatia moto chini yake .
1KI 18:24     Alignment score: 0.449
Then you will call on the name of your god , and I will call on the name of Yahweh , and the God who answers by fire , then let him be God . " So all the people answered and said , " This
is good . "
Kisha mtaliita jina la mungu wenu , nami nitaliita jina la BWANA , na Mungu atakayejibu kwa moto , huyo ndiye Mungu . Watu wote wakajibu na kusema , Hilo ni jambo jema .
1KI 18:25     Alignment score: 0.451 → 0.463
So Elijah said to the prophets of Baal , " Choose one bull for yourselves and prepare it first , for you are many people . Then call on the name of your god , but put no fire under the bull . "
Kwa Eliya akawaambia manabii wa Baali , Chagueni ng'ombe mmoja kwa ajili yenu na mwe wa kwanza kumwandaa , kwa kuwa ninyi ni wengi , Kisha liiteni jina la mungu wenu , lakini msiwashe moto .
1KI 18:26     Alignment score: 0.4 → 0.42
They took the bull that was given to them and prepared it , and they called on the name of Baal from morning until noon , saying , " Baal , hear us . " But there was no voice , nor anyone who answered . They danced around the altar they had made .
Nao wakamchukua yule ng'ombe waliokuwa
wamepewa na wakamwandaa , na ndipo walipoliita jina la Baali kuanzia asubuhi hadi adhuhuri , wakisema , Baali , tusikie . Lakini hapakuwepo na Sauti , na wala hakuna aliyejibu . Wakachezacheza kuizunguka madhabahu waliyotengeneza .
1KI 18:27     Alignment score: 0.283 → 0.29
At noon Elijah mocked them and said , " Shout
out loudly ! He is a god ! Perhaps he is thinking , or is relieving himself , or he is traveling on a journey , or perhaps he is sleeping and must be awakened . "
Ilipofika adhuhuri Eliya akawakejeli akisema , Mwiteni kwa nguvu ! Huyo ni mungu ! Labda anawaza kitu , au amepumzika , au yuko safarini , au pengine amelala sharti aamshwe .
1KI 18:28     Alignment score: 0.156 → 0.156
So they shouted more loudly , and they cut themselves , as they usually
did , with swords and spears , until their blood flowed out over themselves .
Kwa hiyo wakamwita kwa nguvu , wakajikatakata kama kawaida yao ilivyokuwa , kwa upanga na nyembe , mpaka damu ikawachuruzika .
1KI 18:29     Alignment score: 0.28 → 0.284
Midday passed , and they were still raving until the time of offering
of the evening sacrifice , but there was no voice or anyone to answer ; there was no one who paid any attention to their pleadings .
Ikawa wakati wa adhuhuri ulipopita , na bado walikuwa wakiendelea kutabiri mpaka wakati wa jioni wa kutoa dhabihu , lakini hapakuwepo na sauti wala mtu wa kuwajibu ; wala hapakuwepo na yeyote wa kujibu wala wa kuangalia .
1KI 18:30     Alignment score: 0.335
Then Elijah said to all the people , " Come near to me , " and all the people came
near to him . Then he repaired the altar of Yahweh that was lying in ruin .
Kisha Eliya akawaambia watu wote , Nisogeleeni , na watu wote wakamsogelea . Naye akatengeneza ile madhabahu ya BWANA ambayo ilikuwa imeharibika .
1KI 18:31     Alignment score: 0.483
Elijah took twelve stones , each stone representing one of the tribes of the sons of Jacob it was Jacob to whom the word of Yahweh came , saying , " Israel will be your name . "
Eliya akachukua mawe kumi na mawili
, kila jiwe moja liliwakilisha kabila moja la wana wa Yakobo , ni kupitia Yakobo kwamba neno la BWANA lilikuja , likisema , Jina lako litakuwa Israel .
1KI 18:32     Alignment score: 0.293
With the stones he built an altar in the name of Yahweh and he dug a trench around the altar large enough to contain two seahs of seeds .
Kwa kutumia hayo
mawe aliijenga ile madhabahu kwa jina la BWANA na akachimba mfereji kuizunguka ile madhabahu kubwa kiasi cha kubeba pipa kumi na tano za maji .
1KI 18:33     Alignment score: 0.352 → 0.358
He arranged the wood for a fire , cut the bull in pieces , and laid the pieces of the bull on the wood . He said , " Fill four jars with water and pour it on the burnt offering and on the wood . "
Kisha akaweka kuni kwa ajili ya moto na akamkatakata yule ng'ombe katika vipande vipande na akaweka vile vipande juu ya kuni . Na akasema , Vijazeni maji hivyo vyombo na yamwageni kwenye hiyo
sadaka ya kueketezwa na juu ya hizo kuni .
1KI 18:34     Alignment score: 0.283 → 0.291
Then he said , " Do it a second time , " and they did it a second time . Once more he said , " Do it a third time , " and they did it a third time .
Akasema tena fanyeni hivyo mara ya pili , nao wakafanya kwa mara ya pili . Kisha akasema , Fanyeni mara ya tatu , nao wakafanya kwa mara ya tatu .
1KI 18:35     Alignment score: 0.428
The water ran around the altar and filled the trench .
Maji yakaizunguka ile madhabahu na kuujaza
ule mfereji .
1KI 18:36     Alignment score: 0.487 → 0.495
It happened at the time of the offering
of the evening sacrifice , that Elijah the prophet came near and said , " Yahweh , the God of Abraham , of Isaac , and of Israel , let it be known this day that you are God in Israel , and that I am your servant , and that I have done all these things at your word .
Ikawa wakati wa kutoa dhabihu ya jioni , nabii Eliya akasogea na akasema , BWANA , Mungu wa Abrahamu , na wa Isaka , na wa Israeli , na ijulikane leo kwamba wewe ndiye Mungu wa Israeli , na kwamba mimi ni mtumishi wako , na kwamba nimeyafanya mambo haya yote kwa jina lako .
1KI 18:37     Alignment score: 0.366
Hear me , Yahweh , hear me , that these
people may know that you , Yahweh , are God , and that you have turned their heart back again to yourself . "
Nisikie , BWANA , nisikie , ili hawa watu wajue kuwa wewe , BWANA , ndiye Mungu , na kwamba umeirudisha mioyo yao kwako tena .
1KI 18:38     Alignment score: 0.378
Then the fire of Yahweh fell
and consumed the burnt offering , as well as the wood , the stones , and the dust , and licked up the water that was in the trench .
Ndipo moto wa BWANA ukashuka ukairamba ile sadaka , pamoja na zile kuni , mawe na mavumbi , na kuyaramba yale maji yaliyokuwa kwenye ule mfereji .
1KI 18:39     Alignment score: 0.442 → 0.44
When all the people saw this
, they lay facedown on the ground and said , " Yahweh , he is God ! Yahweh , he is God ! "
Watu wote walipoona haya , wakalala kifudifudi chini wakasema , BWANA , ndiye Mungu ! BWANA ndiye Mungu !
1KI 18:40     Alignment score: 0.539 → 0.55
So Elijah said to them , " Take the prophets of Baal . Do not let one of them escape . " So they took them , and Elijah brought the prophets of Baal down to the Kishon River and killed them there .
Kwa hiyo Eliya akawaambia , Wakamateni manabii wa Baali . Msimwache hata mmoja wao atoroke . Kwa hiyo wakawakamata , na Eliya akawaleta manabii wa Baali chini kwenye kijito cha Kishoni na akawaua huko .
1KI 18:41     Alignment score: 0.493
Elijah said to Ahab , " Get up , eat and drink , for there is the sound of much rain . "
Eliya akamwambia Ahabu , Inuka , ule na kunywa , kwa kuwa kuna sauti ya mvua kubwa .
1KI 18:42     Alignment score: 0.448 → 0.453
So Ahab went up to eat and to drink . Then Elijah went up to the top of Carmel , bowed himself down on the earth and put his face between his knees .
Kwa hiyo Ahabu akaenda akala na kunywa . Kisha Eliya akaenda juu ya mlima
Karmeli , akasujudu chini na akaweka uso wake katikati ya magoti .
1KI 18:43     Alignment score: 0.521
He said to his servant , " Go up now , look toward the sea . " His servant went up and looked and said , " There is nothing . " So seven times Elijah said , " Go again . "
Akamwambia mtumishi wake , Nenda sasa , utazame
upande wa bahari . Mtumishi wake akaenda na akasema , Hakuna kitu , Eliya akamwambia , Nenda tena , mpaka mara saba .
1KI 18:44     Alignment score: 0.449 → 0.45
At the seventh time the servant said , " Look , there is a cloud going up from the sea , as small as a man 's hand . " Elijah replied , " Go up and say to Ahab , ' Make ready your chariot and go down before the rain stops you . ' "
Ile mara ya saba mtumishi wake akasema , Tazama , kuna wingu linapanda kutoka baharini , ni dogo kama mkono wa mtu . Eliya akamjibu , Nenda ukamwambie Ahabu , Andaa gari lako na ushuke kabla mvua haijakuzuia .
1KI 18:45     Alignment score: 0.415 → 0.436
It happened that in a little while the heavens grew black with clouds and wind , and there was a great rain . Ahab rode and went to Jezreel ,
Ikatokea baada ya muda mfupi mbingu zikawa nyeusi kwa mawingu na upepo , na kulikuwa na mvua kubwa . Ahabu akapanda gari akaenda zake Yezreeli ,
1KI 18:46     Alignment score: 0.521
but the hand of Yahweh was on Elijah . He girded his loins and ran before Ahab to the entrance of Jezreel .
lakini mkono wa BWANA ulikuwa juu ya Eliya . Akalikaza vazi lake kwa mshipi wake na akakimbia mbele ya Ahabu kwenye lango la Yezreeli .
1KI 18     Average alignment score: 0.437 for 46 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1KI:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22