Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:40
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EST:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10 


EST 7:1     Alignment score: 0.454 → 0.514
So the king and Haman went to feast with Queen Esther .
Kwa hiyo mfalme na Hamani wakaenda kausherekea na malkia Esta .


EST 7:2     Alignment score: 0.431 → 0.438
On this
second day , during the banquet of wine , the king said to Esther , " What is your petition , Queen Esther ? It will be granted to you . What is your request ? Up to half of the kingdom , and it will be granted . "
Katika siku ya pili , baada ya kuletwa mvinyo , mfalme akamwambia Esta , Ni nini haja ya moyo wako ? Na nini ombi lako ? Hata nusu ya ufalme wangu utapewa .
EST 7:3     Alignment score: 0.363 → 0.385
Then Queen Esther replied , " If I have found favor in your eyes , king , and if it pleases you , let my life be given to me this is my petition , and I request this
also for my people .
Kisha Malkia amwambia mfalme , kama nimepata kibali machoni pako , na kama ikikupendeza , nipewe maisha yangu , na hili ndio haja ya moyo wangu , na hili pia ni ombi kwa watu wangu pia .
EST 7:4     Alignment score: 0.115 → 0.145
For we have been sold , I and my people , to be destroyed , killed , and annihilated . If we had only been sold into slavery , as male and female slaves , I would have kept quiet , for no such distress as this
would justify disturbing the king . "
Kwa kuwa mimi na watu wangu tumeuzwa , ili tuharibiwe , tuuwawe , na tuangamizwe . Kama tungeuzwa utumwani , kama wanaume na wanawake , ningenyamaza kimya , na nisingeweza kumsumbua mfame .
EST 7:5     Alignment score: 0.359 → 0.362
Then King Xerxes said to Esther the queen , " Who is he ? Where is this
person to be found who has filled his heart to do such a thing ? "
Kisha Mfalme Ahusiero akamwambia malkia Esta , Ni nani huyo ? Ni nani aliyekusudia moyoni mwake kutenda jambo hili ?
EST 7:6     Alignment score: 0.519 → 0.529
Esther said , " The adversary , that enemy , is this evil Haman ! " Then Haman was terrified before the king and the queen .
Esta akasema , Ni huyu
mwovu Hamani , adui ! Hamani akashikwa na Hofu mbele za mfalme na malkia .
EST 7:7     Alignment score: 0.424 → 0.434
The king got up in a rage from the wine - drinking at the feast and went into the palace garden , but Haman stayed to beg for his life from Queen Esther . He saw that disaster was being decided against him by the king .
Na kwa ghadhabu mfalme akatoka
karamuni katika sehemu ya mvinyo na akaenda katika bustani ya ikulu , Lakini Hamani alibaki akimsihi Malkia Esta ili aokoe maisha yake . Kwa sababu aliona mfalme amemkusudia ubaya .
EST 7:8     Alignment score: 0.412 → 0.44
Then the king returned from the palace garden into the room where the banquet of wine had been . Haman had just fallen on the couch where Esther was . The king said , " Will he assault the queen in my presence in my own house ? " As soon as this
sentence came out of the king 's mouth , the servants covered Haman 's face .
Mfalme akarudi kutoka katika bustani ya ikulu , na kuingia katika chumba ambamo kulikuwamo mvinyo . Hamani alikuwa ameanguka chini ya kochi alilokuwa ameketi Esta . Mfalme akakasirika na kusema , atamtahadharisha malkia mbele zangu katika nyumbayangu ? Mara tu maneno haya yalipotoka kinywani mwa mfalme , watumizhi wakafunika uso wa Hamani .
EST 7:9     Alignment score: 0.304 → 0.306
Then Harbona , one of the officials who served the king , said , " A gallows fifty cubits tall stands beside Haman 's house . He set it up for Mordecai , the one who spoke up to protect the king . " The king said , " Hang him on it . "
Kisha Habona , mmoja wa watumishi aliye mtumikia mfalme akamwambia mfalme , Mti wenye urefu wa futi hamsini uko nyumbani kwa Hamani . Ulikuwa umeandaliwa kwa ajili ya Modekai , aliye toa taarifa kuhusu mpango wa kuangamizwa kwako . Mfalme akesema , Mtundikeni Hamani juu yake .
EST 7:10     Alignment score: 0.357 → 0.38
So they hanged Haman on the gallows that he had prepared for Mordecai . Then the king 's rage died
down .
Kwa hiyo wakamtundika Hamani kwenye mti aliuandaa kwa ajili ya Modekai . Na hasira ya mfalme ikatulia .
EST 7     Average alignment score: 0.38 for 10 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EST:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10