Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:35
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EXO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40 


EXO 17:1     Alignment score: 0.441 → 0.444
The whole community of the people of Israel journeyed from the wilderness of Sin , following Yahweh 's instructions . They camped at Rephidim , but there was no water for the people to drink .
Jamii yote ya Israeli ili safiri kutoka nyikani ya Sini , wakifuata maelekezo ya Yahweh
. Walieka kambi Refidimu , lakini hapakuwa na maji ya watu kunywa .


EXO 17:2     Alignment score: 0.437 → 0.45
So the people blamed Moses for their situation and said , " Give
us water to drink . " Moses said , " Why do you quarrel with me ? Why do you test Yahweh ? "
Hivyo watu wakamlaumu Musa kwa hali yao na kusema , Tupe maji ya kunywa . Musa akasema , Kwanini mnagombana na mimi ? Kwanini mnajaribu Yahweh ?
EXO 17:3     Alignment score: 0.543
The people were very thirsty , and they complained against Moses . They said , " Why have you brought us up out of Egypt ? To kill us and our children and our livestock with thirst ? "
Watu walikuwa na kiu sana , na wakamlalamikia Musa . Wakasema , Kwa nini umetutoa Misri ? Ili utuue sisi na watoto wetu na mifugo yetu kwa kiu ?
EXO 17:4     Alignment score: 0.363
Then Moses cried out to Yahweh , " What should I do with this
people ? They are almost ready to stone me . "
Kisha Musa akamlilia Yahweh , Nini nimefanya kwa hawa watu ? Wako tayari ata kunipiga mawe .
EXO 17:5     Alignment score: 0.482 → 0.483
Yahweh said to Moses , " Go on ahead of the people , and take with you some elders of Israel . Take with you the staff with which you struck
the river , and go .
Yahweh akamwambia Musa , Nenda mbele yao , na uchukue baadhi ya wazee wa Israeli . Chukua gongo ulilopiga nalo mto , na uende .
EXO 17:6     Alignment score: 0.552
I will stand before you there on the rock at Horeb , and you will strike
the rock . Water will come out of it for the people to drink . " Then Moses did so in the sight of the elders of Israel .
Nitasimama mbele yako pale kwenye mwamba wa Horebu , na utaupiga mwamba . Maji yatatoka ya watu kunywa . Kisha Musa akafanya hivyo mbele ya wazee wa Israeli .
EXO 17:7     Alignment score: 0.386
He named that place Massah
and Meribah because the people of Israel were quarreling and because they had tested the Lord by saying , " Is Yahweh among us or not ? "
Aliita ile sehemu Massa na Meriba kwa sababu ya malalamishi ya Waisraeli , na kwa sababu walimjaribu Bwana kwa kusema , Je Yahweh yupo miongoni mwetu au hapana ?
EXO 17:8     Alignment score: 0.629
Then an army of the Amalek people came and attacked Israel at Rephidim .
Kisha jeshi la watu wa Ameleki
wakaja na kushambulia Israeli huko Refidimu .
EXO 17:9     Alignment score: 0.463 → 0.495
So Moses said to Joshua , " Choose some men and go out . Fight with Amalek . Tomorrow I will stand on top of the hill with the staff of God in my hand . "
Hivyo Musa akamwambia Yoshua , Chagau
wanaume kadha na uende nje . Pigana na Ameleki . Kesho nitasimama juu ya kilima na gongo la Mungu mkononi mwangu .
EXO 17:10     Alignment score: 0.599
So Joshua fought Amalek as Moses had instructed , while Moses , Aaron , and Hur went up to the top of the hill .
Hivyo Yoshua akapigana na Ameleki
kama Musa alivyo elekeza , wakati Musa , Haruni , na Huri walienda juu ya kilima .
EXO 17:11     Alignment score: 0.347 → 0.368
While Moses was holding his hands up , Israel was winning ; when he let his hands rest , Amalek would begin
to win .
Wakati Musa alipokuwa ameshikilia mikono yake juu , Israeli ilikuwa yashinda ; alipoacha mikono yake ipumzike , Ameleki alianza kushinda
EXO 17:12     Alignment score: 0.442 → 0.45
When Moses ' hands became heavy , Aaron and Hur took a stone and put it under him for him to sit on . At the same time , Aaron and Hur held his hands up , one person on one side of him , and the other person on the other side . So Moses ' hands were held steady until the sun went down .
Mikono ya Musa yalipokuwa mizito
, Haruni na Huri walichukua jiwe na kuweka chini yake alikalie . Muda huo huo , Haruni na Huri walinyanyua mikono yake juu , mtu mmoja upande mmoja , na mtu mmoja upande mwingine . Hivyo mikono ya Musa ilishikiliwa tuli mpaka jua lilipozama .
EXO 17:13     Alignment score: 0.524 → 0.525
So Joshua laid waste to Amalek and his people with the sword .
Hivyo Yoshua akawashinda watu wa Ameleki
kwa upanga .
EXO 17:14     Alignment score: 0.425
Yahweh said to Moses , " Write this
in a book and read it in Joshua 's hearing , because I will completely blot out the memory of Amalek from under the skies . "
Yahweh akamwambia Musa , Andika haya kwenye kitabu na umsomee Yoshua , kwa sababu nitaondoa kumbukumbu ya Ameleki kutoka chini ya mbingu .
EXO 17:15     Alignment score: 0.544
Then Moses built an altar and he called it " Yahweh is my banner . "
Kisha Musa akajenga madhabahu na kuiita Yahweh
ni bendera yangu .
EXO 17:16     Alignment score: 0.326 → 0.326
He said , " For a hand was lifted up to the throne of Yahweh that Yahweh will wage war with Amalek from generation to generation . "
Alisema , Kwa kuwa mkono ulinyanyuliwa juu kuelekea kiti cha enzi cha Yahweh
- kwamba Yahweh atafanya vita na Ameleki vizazi na vizazi .
EXO 17     Average alignment score: 0.466 for 16 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EXO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40