Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:35
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EXO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40 


EXO 19:1     Alignment score: 0.588 → 0.588
In the third month after the people of Israel had gone out from the land of Egypt , on the same day , they came
to the wilderness of Sinai .
Katika mwezi wa tatu baada ya watu wa Israeli kutoka Misri , siku hiyo , walikwenda nyikani ya Sinai .


EXO 19:2     Alignment score: 0.494
After they left Rephidim and came
to the wilderness of Sinai , they camped in the wilderness in front of the mountain .
Walipoondoka Refidimu na kuja nyikani ya Sinai , waliweka kambi mbele ya mlima .
EXO 19:3     Alignment score: 0.544 → 0.555
Moses went up to God . Yahweh called to him from the mountain and said , " You must tell the house of Jacob , the people of Israel :
Musa akaenda juu kwa Mungu . Yahweh
alimuita kutoka mlimani na kusema , Lazima uiambie nyumba ya Yakobo , watu wa Israeli :
EXO 19:4     Alignment score: 0.346 → 0.363
You have seen what I did to the Egyptians , how I carried you on eagles ' wings and brought you to myself .
Uliona nilichofanya kwa Wamisri , jinsi nilivyokubeba kwa mabawa ya tai na kukuleta kwangu .
EXO 19:5     Alignment score: 0.326 → 0.363
Now then , if you obediently listen to my voice and keep my covenant , then you will be my special possession from among all peoples , for all the earth is mine .
Kisha sasa , ukinisikiliza kwa kutii
sauti yangu na kushika agano langu , kisha utakuwa mali yangu ya pekee miongoni mwa watu wote , kwa kuwa dunia yote ni yangu .
EXO 19:7     Alignment score: 0.479 → 0.49
So Moses came and summoned the elders of the people . He set before them all these
words that Yahweh had commanded him .
Hivyo Musa akaja na kuwaita wazee wa watu . Aliweka mbele yao maneno yote haya Yahweh aliyomuamuru .
EXO 19:8     Alignment score: 0.321 → 0.402
All the people answered together and said , " We will do everything that Yahweh has said . " Then Moses came to report the people 's words to Yahweh .
Watu wote walijibu pamoja na kusema
, Tutafanya yote Yahweh aliyotuambia . Kisha musa akaja kutoa taarifa ya maneno ya watu kwa Yahweh .
EXO 19:9     Alignment score: 0.456 → 0.477
Yahweh said to Moses , " I will come to you in a thick cloud so that the people may hear when I speak
with you and may also believe you forever . " Then Moses told the people 's words to Yahweh .
Yahweh akamwambia Musa , Nitakuja kwako kwa wingu nene ili watu wasikie ninaposema na wewe na wakuamini milele . Kisha Musa kamwambia Yahweh maneno ya watu .
EXO 19:10     Alignment score: 0.5
Yahweh said to Moses , " Go to the people . Today and tomorrow you must set them apart to me , and make them wash their garments .
Yahweh
akamwambia Musa , Nenda kwa watu . Leo na kesho lazima uwatenge , na kuwafanya waoshe mavazi yao .
EXO 19:11     Alignment score: 0.406
Be ready for the third day , for on the third day Yahweh will come down to Mount Sinai .
Kuwa tayari kwa siku ya tatu , kwa kuwa siku ya tatu Yahweh
atashuka chini ya Mlima Sayuni .
EXO 19:12     Alignment score: 0.312
You must set boundaries all around the mountain for the people . Say to them , ' Be careful that you do not go up the mountain or touch its border . Whoever touches the mountain will surely be put to death . '
Lazima uweke mipaka kote kuzunguka mlima kwa ajili ya watu . Uwaambie , Kuweni waangalifu msiende juu ya mlima au kushika mipaka
yake . Yeyote atakayeshika mlima atauawa .
EXO 19:13     Alignment score: 0.303 → 0.307
No one 's hand may touch him . Rather , he must certainly be stoned or shot
. Whether an animal or a man , he shall not live . When the trumpet sounds a long blast , they may come up to the mountain . "
Hakuna mkono wa mtu yeyote kumshika mtu huyu . Badala yake , lazima apigwe mawe au kuchomwa mshale . Iwe ni mtu au mnyama , lazima auawe . Tarumbeta itakapopigwa muda mrefu , wanaweza kuja chini ya mguu wa mlima .
EXO 19:14     Alignment score: 0.326 → 0.327
Then Moses went down from the mountain to the people . He set apart the people to Yahweh and they washed their garments .
Kisha Musa akashuka mlimani kwenda kwa watu . Aliwatenga watu kwa ajili ya Yahweh
na wakaosha mavazi yao .
EXO 19:15     Alignment score: 0.358 → 0.358
He said to the people , " Be ready on the third day ; do not go near your wives . "
Aliwaambia watu , Kuweni tayari siku ya tatu ; msiwakaribie wake zenu .
EXO 19:16     Alignment score: 0.38 → 0.383
On the third day , when it was morning , there were thunder and lightning bolts and a thick cloud on the mountain , and the sound of a very loud ram 's horn . All the people in the camp trembled .
Siku ya tatu , ilipofika asubui
, kulikuwa na ngurumo na radi na wingu nene kwenye mlima , na sauti kubwa ya tarumbeta . Watu wote kambini waliogopa .
EXO 19:17     Alignment score: 0.531 → 0.531
Moses brought the people out of the camp to meet God , and they stood at the foot
of the mountain .
Musa akaleta watu kutoka kambini kukutana na Mungu , na wakasimama miguuni mwa mlima .
EXO 19:18     Alignment score: 0.545 → 0.556
Mount Sinai was completely covered with smoke because Yahweh descended on it in fire and smoke . The smoke went up like the smoke of a furnace , and the whole mountain shook violently .
Mlima Sinai ulijwa kabisa na moshi kwa sababu Yahweh
alishuka na moto na moshi . Moshi ulipanda juu kama moshi wa tanuru , na mlima wote ulitikisika kwa vurugu .
EXO 19:19     Alignment score: 0.438
When the sound of the ram 's horn grew louder and louder , Moses spoke , and God answered him in a voice .
Sauti ya tarumbeta ilipoongezeka na zaidi , Musa akazungumza , na Mungu kamjibu
kwa sauti .
EXO 19:20     Alignment score: 0.481
Yahweh came
down on Mount Sinai , to the top of the mountain , and he summoned Moses to the top . So Moses went up .
Yahweh akashuka chini ya Mlima Sinai , juu ya mlima , na akamuita Musa kuja juu . Kisha Musa akapanda juu .
EXO 19:21     Alignment score: 0.372 → 0.376
Yahweh said to Moses , " Go down and warn the people ; otherwise they might
break out to Yahweh to look , and many of them might perish .
Yahweh akamwambia Musa , Shuka chini na uwaonye watu wasipite kuniangalia , au wengi wao wataangamia .
EXO 19:23     Alignment score: 0.385 → 0.39
Moses said to Yahweh , " The people can not come up to Mount Sinai , for you commanded us : ' Set boundaries around the mountain and set it apart to Yahweh . ' "
Musa akamwambia Yahweh
, Watu hawawezi kuja juu ya mlima , kwa kuwa umetuamuru : weka mipaka kuzunguka mlima na uutenge kwa ajili ya Yahweh .
EXO 19:24     Alignment score: 0.386 → 0.389
Yahweh said to him , " Go down and bring up Aaron with you , but do not let the priests and the people break through to come up to Yahweh , or he will break out against them . "
Yahweh
akamwambia , Nenda , shuka chini ya mlima , na umlete Haruni na wewe , lakini usiache makuhani na watu kupita vizuizi na kuja kwangu , au nitawashambulia .
EXO 19:25     Alignment score: 0.455
So Moses went down to the people and spoke to them .
Hivyo Musa akaenda chini kwa watu na kusema
nao .
EXO 19     Average alignment score: 0.426 for 23 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EXO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40