Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:36
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EXO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40 


EXO 33:1     Alignment score: 0.449 → 0.449
Then Yahweh spoke to Moses , " Go from here , you and the people whom you have brought up out of the land of Egypt . Go to the land about which I made an oath to Abraham , to Isaac , and to Jacob , when I said , ' I will give it to your descendants . '
Yahweh
akasema na Musa , Nenda kutoka hapa , wewe na watu ulio watoa kutoka nchi ya Misri . Nenda kwenye nchi nilio fanya nadhiri na Ibrahimu , Isaka , Yakobo , nilipo sema , Nitakupa wewe na uzao wako .


EXO 33:2     Alignment score: 0.679
I will send an angel before you , and I will drive out the Canaanites , Amorites , Hittites , Perizzites , Hivites , and Jebusites .
Nitatuma malaika mbele yako , na kuwaondoa Wakanani
, Waamori , Wahiti , Waperizi , Wahivi , na Wayebusi .
EXO 33:3     Alignment score: 0.415 → 0.415
Go to that land , which is flowing with milk and honey , but I will not go up with you , because you are a stiff - necked people . I might
destroy you on the way . "
Nenda kwenye hiyo nchi , inayotiririka kwa maziwa na asali , lakini sitaenda nawe , kwa sababu ninyi ni watu wajehuri . Ninaweza kuwaharibu njiani .
EXO 33:4     Alignment score: 0.289 → 0.295
When the people heard these
troubling words , they mourned , and no one put on any jewelry .
Watu waliposikia haya maneno ya kushtua , walilia , na hakuna aliyevaa mikufu .
EXO 33:5     Alignment score: 0.253 → 0.263
Yahweh had said to Moses , " Say to the people of Israel , ' You are a stiff - necked people . If I went among you for even one moment , I would destroy you . So now , take off your jewelry so that I may decide what to do with you . ' "
Yahweh
alisema kwa Musa , Waambie Waisraeli , Ninyi ni watu wakorofi . Kama ningeenda miongoni mwenu ata kwa muda kidogo , nigewaharibu ninyi . Hivyo sasa , toa mikufu yenu ili niamue nini cha kufanya kwenu .
EXO 33:6     Alignment score: 0.369
So the people of Israel wore
no jewelry from Mount Horeb onward .
Hivyo Waisraeli hawakuvaa mikufu kutoka Mlima Horebu na kwendelea .
EXO 33:7     Alignment score: 0.493 → 0.501
Moses took a tent and pitched it outside the camp , some distance from the camp . He called it the tent of meeting . Everyone who asked Yahweh for anything went out to the tent of meeting , outside the camp .
Musa akachukua hema na kukita nje ya kambi , umbali
kidogo na kambini . Aliita hema ya kukutania . Kila mtu aliyemuuliza Yahweh kitu chochote alienda kwenye hema ya kukutania , nje ya kambi .
EXO 33:8     Alignment score: 0.333 → 0.373
When Moses would go out to the tent , all the people would stand up at their tent entrances and look at Moses until he had gone inside .
Kisha Musa alipoenda kwenye hema , watu wote walisimama kando ya hema yao na kumuangalia Musa hadi alipoingia ndani .
EXO 33:9     Alignment score: 0.424 → 0.442
Whenever Moses entered the tent , the pillar of cloud would come down and stand at the tent entrance , and Yahweh would speak
with Moses .
Wakati wowote Musa alipoingia hemani , nguzo ya wingu ilishuka chini na kusimama nje ya lango la hema , na Yahweh alizungumza na Musa .
EXO 33:10     Alignment score: 0.35 → 0.385
Whenever all the people saw the pillar of cloud stand at the entrance to the tent , they would get up and worship , every man at his own tent entrance .
Wakati wowote watu walipoona nguzo ya wingu imesimama langoni mwa hema , waliamka na kuabudu , kila lango mwa hema yake .
EXO 33:11     Alignment score: 0.519 → 0.536
Yahweh would speak
to Moses face to face , as a man speaks to his friend . Then Moses would return to the camp , but his servant Joshua son of Nun , a young man , would stay in the tent .
Yahweh alizungumza na Musa uso kwa uso , kama mtu anapo zungumza na rafiki yake . Kisha Musa alirudi kambini , lakini mtumishi wake Yoshua mwana wa Nuni , kijana , alibaki hemani .
EXO 33:12     Alignment score: 0.353 → 0.353
Moses said to Yahweh , " See , you have been saying to me , ' Take this
people on their journey , ' but you have not let me know whom you will send with me . You have said , ' I know you by name , and you have also found favor in my eyes . '
Musa alisema na Yahweh , Ona , umekuwa ukisema na mimi , Chukua watu hawa safarini , lakini haujaniambia nani utamtuma na mimi . Umesema , Nina kujua kwa jina , na umepata upendeleo kwangu .
EXO 33:13     Alignment score: 0.309 → 0.311
Now if I have found favor in your eyes , show me your ways so that I may know you and continue to find favor in your eyes . Remember that this
nation is your people . "
Kama nimepata upendeleo machoni pako , nionyeshe njia zako ili nikujue na kuendelea kupata upendeleo machoni pako . Kumbuka ili taifa ni watu wako .
EXO 33:14     Alignment score: 0.387
Yahweh answered , " My own presence will go with you , and I will give you rest . "
Yahweh
akajibu , Uwepo wangu utaenda nawe , na nitakupa pumziko .
EXO 33:15     Alignment score: 0.399 → 0.401
Moses said to him , " If your presence does not go with us , do not take us up from here .
Musa akasema , Kama uwepo wako hautaenda nasi , usitutoe hapa .
EXO 33:16     Alignment score: 0.253 → 0.273
For otherwise , how will it be known that I have found favor in your eyes , I and your people ? Will it not only be if you go with us that I and your people will be distinct from all the other peoples that are on the surface of the earth ? "
Au je , itajulikanaje nimepata upendeleo machoni pako , mimi na watu wako ? Haitakuwa tu kama ukienda nasi mimi na watu wako tutakuwa na utofauti
na watu wengine wote waliopo katika uso wa dunia ?
EXO 33:17     Alignment score: 0.341 → 0.343
Yahweh said to Moses , " I will also do this
thing that you have requested , for you have found favor in my eyes , and I know you by name . "
Yahweh akamwambia Musa , Nitafanya pia hichi kitu ulicho niomba , kwa kuwa umepata upendeleo machoni mwangu , na nina kujua kwa jina lako .
EXO 33:18     Alignment score: 0.653 → 0.661
Moses said , " Please show me your glory . "
Musa akasema , Tafadhali nionyeshe
utukufu wako .
EXO 33:19     Alignment score: 0.313
Yahweh said , " I will make all my goodness pass
before you , and I will proclaim my name ' Yahweh ' before you . I will be gracious to whom I will be gracious , and I will show mercy on whom I will show mercy . "
Yahweh akasema , Nitafanya wema wangu wote ujulikane kwako , na nitatangaza jina langu Yahweh kwako . Nitakuwa na neema kwake nitakaye kuwa na neema , na nitaonyesha rehema kwake nitakaye onyesha rehema .
EXO 33:20     Alignment score: 0.332
But Yahweh said , " You must not see my face , for no one can see me and live . "
Lakini Yahweh
akasema , Hautaona uso wangu , kwa kuwa hakuna aonaye uso wangu na kuiishi .
EXO 33:21     Alignment score: 0.406
Yahweh said , " See , here is a place by me ; you will stand on this rock .
Yahweh
akasema , Ona , hapa kuna sehemu yangu ; utasimama kwenye huu mwamba .
EXO 33:22     Alignment score: 0.291 → 0.308
While my glory passes
by , I will put you in a crevice of the rock and cover you with my hand until I have passed by .
Wakati utukufu wangu unapita , nitakuweka kwenye shimo kubwa la mwamba na kukufunika kwa mkono wangu mpaka nitakapo pita .
EXO 33:23     Alignment score: 0.419
Then I will take away my hand , and you will see my back , but my face will not be seen . "
Kisha nitaondoa
mkono wangu , na utaona mgongo wangu , ila uso wangu hautaonekana .
EXO 33     Average alignment score: 0.393 for 23 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EXO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40