Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:36
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EXO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40 


EXO 36:1     Alignment score: 0.325
So Bezalel and Oholiab and every skilled person to whom Yahweh has given skill and ability to know how to do any work in the construction of the holy place are to do the work according to all that Yahweh has commanded . "
Hivyo Bezaleli na Oholiabu na kila mtu mwenye ustadi ambaye Yahweh
aliyempa ustadi na uwezo kujua jinsi ya kufanya kazi katika ujenzi wa sehemu takatifu wafanye kazi kadiri ya yote Yahwhe aliyoamuru .


EXO 36:2     Alignment score: 0.329 → 0.33
Moses summoned Bezalel , Oholiab , and every skillful person in whose mind Yahweh had given skill , and whose heart stirred within him to come and do the work .
Musa akamwita Bezaleli , Oholiabu , na kila mtu mwenye ujuzi ambaye Yahweh
alimpa , na ambaye moyoni mwake ulichochewa kuja na kufanya kazi .
EXO 36:3     Alignment score: 0.402 → 0.402
They received from Moses all the offerings
that the people of Israel had brought for constructing the holy place . The people were still bringing freewill offerings every morning to Moses .
Walipokea kutoka kwa Musa sadaka zote ambazo Waisraeli walizo leta kwa ujenzi ya sehemu takatifu . Watu walikuwa bado wanaleta sadaka za hiari kila asubui kwa Musa .
EXO 36:4     Alignment score: 0.257 → 0.256
So all the skilled people working on the holy place came from the work that they had been doing .
Hivyo watu wote walikuwa
na ujuzi walikuwa wakifanya kazi sehemu takatifu walikuja kutoka kwenye kazi walikuwa wakifanya .
EXO 36:5     Alignment score: 0.279 → 0.281
The craftsmen told Moses , " The people are bringing much more than enough for doing the work that Yahweh has commanded us to do . "
Wachonga mawe walimwambia Musa , Watu wanaleta zaidi sana ya yanayohitajika kufanya kazi Yahweh
aliyotuamuru .
EXO 36:6     Alignment score: 0.23
So Moses instructed that no one in the camp should bring any more offerings
for the construction of the holy place . Then the people stopped bringing these gifts .
Hivyo Musa akaamuru mtu yeyote asilete tena kwa ujenzi wa sehemu takatifu . Kisha watu wakaacha kuleta hivi vitu .
EXO 36:7     Alignment score: 0.119 → 0.128
They had more than enough materials for all the work .
Walikuwa na zaidi ya vitu vya ujenzi .
EXO 36:8     Alignment score: 0.366 → 0.367
So all the craftsmen among them constructed the tabernacle with ten curtains made from fine linen and blue , purple , and scarlet wool with the designs of cherubim . This was the work of Bezalel , the very skilled craftsman .
Hivyo wachonga mawe miongoni mwao wakajenga lile hema la kuabudia kwa mapazia kumi yaliyojengwa kitamba kizuri na samawati , zambarau , na sufu nyekundu kwa aina ya kerubi . Hii ni kazi ya Bezaleli , mjenzi mwenye ujuzi sana .
EXO 36:9     Alignment score: 0.348 → 0.347
The length of each curtain was twenty - eight
cubits , the width four cubits . All the curtains were of the same size .
Urefu wa kila pazia ulikuwa mikono ishirini na nane , nao upana wa kila kitambaa ulikuwa mikono minne . Vitambaa vyote hivyo vilikuwa na kipimo kimoja .
EXO 36:10     Alignment score: 0.303 → 0.303
Bezalel joined five curtains to each other , and the other five curtains he also joined to each other .
Bezaleli akaunganisha vitambaa vitano
pamoja , na vile vitambaa vingine vitano akaviunganisha pamoja .
EXO 36:11     Alignment score: 0.175 → 0.169
He made loops of blue along the outer edge of the end curtain of one set , and he did the same along the outer edge of the end curtain in the second set .
Kisha akafanya vitanzi vya uzi wa samawati kwenye upindo
wa kitambaa kilicho mahali pa kuungania . Akafanya vivyo hivyo kwenye upindo wa kitambaa cha inje kabisa kilicho mahali pale pengine pa kuungania .
EXO 36:12     Alignment score: 0.268 → 0.275
He made fifty loops on the first curtain and fifty loops on the edge of the end curtain in the second set . So the loops were opposite to each another .
Akafanya vitanzi hamsini kwenye kitambaa kimoja , akafanya vitanzi hamsini kwenye mwisho wa kitambaa kilichokuwa mahali pale pengine pa kuungania , vitanzi hivyo vikiwa vinaelekeana .
EXO 36:13     Alignment score: 0.285 → 0.286
He made fifty gold clasps and joined the curtains together with them so that the tabernacle became united .
Mwishowe akafanya kulabu hamsini za dhahabu na kuviunganisha vitambaa hivyo pamoja kwa kulabu hizo , hivi kwamba hiyo
ikawa maskani moja .
EXO 36:14     Alignment score: 0.329 → 0.362
Bezalel made curtains of goat hair for a tent over the tabernacle ; he made eleven of these
curtains .
Bezaleli akafanya vitambaa vya mahema vya manyoya ya mbuzi kwa ajili ya hema lililo juu ya maskani . Vitambaa kumi na moja ndivyo alivyofanyiza .
EXO 36:15     Alignment score: 0.334
The length of each curtain was thirty cubits , and the width of each curtain was four cubits . Each of the eleven curtains was of the same size .
Urefu wa kila kitambaa ulikuwa mikono thelathini , nao upana wa kila kitambaa ulikuwa mikono minne . Vitambaa hivyo kumi na moja
vilikuwa na kipimo kimoja .
EXO 36:16     Alignment score: 0.357
He joined five curtains to each other and the other six curtains to each other .
Kisha akaunganisha vitambaa vitano
pamoja na vile vitambaa vingine sita pamoja .
EXO 36:17     Alignment score: 0.23 → 0.234
He made fifty loops on the edge of the end curtain of the first set , and fifty loops along the edge of the end curtain that joined the second set .
Kisha akafanya vitanzi hamsini kwenye upindo
wa kitambaa cha nje kabisa kilicho mahali pa kuungania , naye akafanya vitanzi hamsini kwenye upindo wa kile kitambaa kingine kilichoungana nacho .
EXO 36:18     Alignment score: 0.407 → 0.415
Bezalel made fifty bronze clasps to join the tent together so that it might
be one piece .
Bezaleli akafanya kulabu hamsini za shaba kwa ajili ya kuliunganisha hilo hema pamoja liwe kipande kimoja .
EXO 36:19     Alignment score: 0.262 → 0.263
He made for the tabernacle a covering of ram skins dyed red , another covering of fine leather to go above that .
Naye akafanya kifuniko cha hema kutokana na ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu na kifuniko kutokana na ngozi za sili , upande wa juu .
EXO 36:20     Alignment score: 0.35
Bezalel made vertical frames out of acacia wood for the tabernacle .
Bezaleli akafanya viunzi vya mbao vya hema ya kukutania , kutokana na mbao za mshita .
EXO 36:21     Alignment score: 0.412
The length of each frame was ten cubits , and the width of each frame was one and a half cubits .
Urefu wa kiunzi ulikuwa mikono kumi , nao upana wa kila kiunzi ulikuwa mkono mmoja na nusu .
EXO 36:22     Alignment score: 0.222
Each frame had two wooden pegs for joining the frames together . He did this
for all the frames of the tabernacle .
Kila kiunzi kilikuwa na ndimi mbili zilizounganishwa . Hivyo ndivyo alivyofanya viunzi vyote vya maskani .
EXO 36:23     Alignment score: 0.525
He made the frames for the tabernacle in this
way : twenty frames for the south side .
Basi akafanya viunzi vya maskani , viunzi ishirini kwa ajili ya upande kuelekea kusini .
EXO 36:24     Alignment score: 0.359 → 0.364
Bezalel made forty silver bases to go under the twenty frames . There were two bases under one frame to join the frames together , and also two bases under each of the other frames to join frames together .
Bezaleli akafanya vikalio arobaini vya fedha viwe chini ya vile viunzi ishirini , vikalio viwili chini ya kiunzi kimoja pamoja na ndimi zake mbili na vikalio vingine
viwili chini ya kiunzi kingine pamoja na ndimi zake mbili .
EXO 36:25     Alignment score: 0.461
For the second side of the tabernacle , on the north side , he made twenty frames
Na kwa ajili ya ule upande mwingine wa maskani , upande wa kaskazini , akafanya viunzi ishirini
EXO 36:26     Alignment score: 0.434 → 0.436
and their forty silver bases . There were two bases under the first frame , two bases under the next frame , and so on .
na vikalio vyake arobaini vya fedha . Vikalio viwili chini ya kiunzi kimoja na vikalio viwili chini ya kiunzi kingine
EXO 36:27     Alignment score: 0.33 → 0.376
For the back of the tabernacle on the west , Bezalel made six frames .
Na kwa ajili ya zile pande
za nyuma za maskani kuelekea magharibi , akafanya viunzi sita .
EXO 36:28     Alignment score: 0.191
He made two frames for the back corners of the tabernacle .
Naye akafanya viunzi viwili vya pembeni ya maskani
kwenye pande zake mbili za nyuma
EXO 36:29     Alignment score: 0.175
These
frames were separate at the bottom , but joined at the top in one ring . He made two of them in this way for the two corners .
Hizi zilikuwa pacha upande wa chini , lakini juu ya kila moja kwenye pete ya kwanza . Hivyo ndivyo alivyoifanya yote miwili , ile miimo ya pembeni .
EXO 36:30     Alignment score: 0.366 → 0.377
There were eight
frames , together with their silver bases . There were sixteen bases in all , two bases under the first frame , two bases under the next frame , and so on .
Basi vikajumlika kuwa viunzi vinane na vikalio vyake kumi na sita vya fedha , vikalio viwili kando ya vikalio viwili chini ya kila kiunzi .
EXO 36:31     Alignment score: 0.498
Bezalel made crossbars of acacia wood five for the frames of the one side of the tabernacle ,
Bezaleli akafanya miti ya mshita , mitano kwa ajili ya viunzi vya upande mmoja wa maskani ,
EXO 36:32     Alignment score: 0.327
five crossbars for the frames of the other side of the tabernacle , and five crossbars for the frames for the back side of the tabernacle to the west .
na miti mitano kwa ajili ya viunzi vya upande ule mwingine wa maskani na miti mitano kwa ajili ya viunzi vya maskani kwa ajili ya zile pande
mbili za nyuma za magharibi .
EXO 36:33     Alignment score: 0.179 → 0.193
He made the crossbar in the center of the frames , that is , halfway up , to reach from end to end .
Kisha akafanya mti wa katikati upitie katikati ya vile viunzi toka mwisho mmoja mpaka ule mwingine .
EXO 36:34     Alignment score: 0.348
He covered the frames with gold . He made their rings of gold , for them to serve as holders for the crossbars , and he covered the bars with gold .
Naye akavifunika vile viunzi kwa dhahabu , akazifanya pete zake za dhahabu ziwe vitegemezo kwa ajili ya ile miti , akaifunika
ile miti kwa dhahabu .
EXO 36:35     Alignment score: 0.408 → 0.404
Bezalel made the curtain of blue , purple , and scarlet wool , and of fine linen , with designs of cherubim , the work of a skillful workman .
Bezaleli akafanya pazia , la uzi wa bluu
na sufu iliyotiwa rangi ya zambarau na kitambaa cha rangi nyekundu ya kochinili na kitani bora kilichosokotwa , kalitia makerubi kwa kazi ya mjenzi .
EXO 36:36     Alignment score: 0.402 → 0.413
He made for the curtain four pillars of acacia wood , and he covered them with gold . He also made gold hooks for the pillars , and he cast for them four silver bases .
Kisha akalifanyia nguzo nne za mshita na kuzifunika kwa dhahabu , vibanio vyake vikiwa vya dhahabu , na kutengeneza vikalio vinne
vya fedha kwa ajili yake .
EXO 36:37     Alignment score: 0.401 → 0.395
He made a screen for the tent entrance . It was made of blue , purple , and scarlet wool , using fine linen , the work of an embroiderer .
Naye akafanya kisitiri kwa ajili ya mwingilio wa hema kutokana na uzi wa samawati na sufu iliyotiwa rangi ya zambarau na kitambaa chenye rangi nyekundu ya kochinili na kitani bora kilichosokotwa , kazi ya mfumaji .
EXO 36:38     Alignment score: 0.383 → 0.382
He also made the hanging 's five pillars with hooks . He covered their tops and their rods with gold . Their five bases were made of bronze .
Pia akafanya na nguzo zake tano na vibanio vyake . Naye akavifunika vilele vyake na viungo vyake kwa dhahabu , lakini vile vikalio vyake vitano
vilikuwa vya shaba .
EXO 36     Average alignment score: 0.331 for 38 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EXO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40