Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ACT:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28 


ACT 14:1     Alignment score: 0.481
It came
about in Iconium that Paul and Barnabas entered together into the synagogue of the Jews and spoke in such a way that a great multitude both of Jews and of Greeks believed .
Ikatokea ndani ya Ikonio kwamba Paulo na Barnaba waliingia pamoja ndani ya sinagogi la Wayahudi na kuongea namna ambavyo kundi kubwa la watu Wayahudi na Wayunani waliamini .


ACT 14:2     Alignment score: 0.412 → 0.409
But the Jews who were disobedient stirred up the minds of the Gentiles and made them bitter against the brothers .
Lakini Wayahudi wasiotii waliwachochea akili wamataifa na kuwafanya kuwa wabaya dhidi ya ndugu .
ACT 14:3     Alignment score: 0.37 → 0.377
So they stayed there for a long time , speaking boldly with the Lord 's power , while he gave
evidence about the message of his grace . He did this by granting signs and wonders to be done by the hands of Paul and Barnabas .
Kwa hiyo walikaa huko kwa muda mrefu , wakiongea kwa ujasiri kwa nguvu ya Bwana , huku wakitoa ushahidi kuhusu ujumbe wa neema yake . Alifanya hivi kwa kutoa ishara na majaabu vifanywe kwa mikono ya Paulo na Barnaba .
ACT 14:4     Alignment score: 0.516 → 0.529
But the people of the city were divided ; some sided with the Jews , others with the apostles .
Lakini watu wa mji waligawanyika : baadhi walikuwa pamoja na Wayahudi , na baadhi pamoja na mitume .
ACT 14:5     Alignment score: 0.287
Both Gentiles and Jews ( together with their leaders ) made an attempt to mistreat them and to stone them ,
Wakati watu wa mataifa na Wayahudi pamoja na viongozi wao walipojaribu kuwatendea mabaya
na kuwapiga kwa mawe , Paulo na Barnaba ,
ACT 14:6     Alignment score: 0.303 → 0.393
but as soon as they learned about this
, they fled to the Lycaonian cities of Lystra and Derbe and the surrounding region ,
walipotambua hilo wakakimbilia katika miji ya Likaonia , Listra na Derbe , na maeneo yanayozunguka pale ,
ACT 14:7     Alignment score: 0.431
where they continued to proclaim the gospel .
ambako waliendelea kutangaza injili .
ACT 14:8     Alignment score: 0.299
At Lystra a certain man sat , powerless in his feet , a cripple from his mother 's womb , who never had walked .
Na huko Listra
palikuwa na mtu mmoja aliyekaa , hakuwa na nguvu miguuni mwake , kilema kutoka tumboni mwa mama yake , hajawahi kutembea .
ACT 14:9     Alignment score: 0.396 → 0.403
This man heard Paul speaking . Paul fixed his eyes on him and saw that he had faith to be made well .
Mtu huyu
alimsikia Paulo akiongea . Paulo alimkazia macho na akaona kwamba alikuwa na imani ya kuponywa .
ACT 14:10     Alignment score: 0.286
So he said to him in a loud voice , " Stand up on your feet . " Then the man jumped up and walked around .
Hivyo alisema kwake kwa sauti ya juu , Simama kwa miguu yako . Na yule mtu alisimama juu na kuanza kutembea .
ACT 14:11     Alignment score: 0.263 → 0.266
When the multitude saw what Paul had done , they raised their voice , saying in the dialect of Lycaonia , " The gods have become like men and come down to us . "
Umati ulipoona alichokifanya Paulo , waliinua sauti zao , wakisema katika lahaja ya Kilikaonio , Miungu imetushukia kwa namna ya binadamu
.
ACT 14:12     Alignment score: 0.641
They called Barnabas " Zeus , " and Paul " Hermes , " because he was the main speaker .
Walimwita Barnaba Zeu , na Paulo Herme kwa sababu alikuwa msemaji mkuu
.
ACT 14:13     Alignment score: 0.349
The priest of Zeus , whose temple was just outside the city , brought oxen and wreaths to the gates ; he and the multitudes wanted to offer sacrifice .
Kuhani wa Zeu , ambaye hekalu lake lilikuwa nje ya mji , alileta fahari la ng'ombe na mtungo wa maua mpaka kwenye lango la mji . Yeye na umati walitaka kutoa sadaka .
ACT 14:14     Alignment score: 0.486
But when the apostles , Barnabas and Paul , heard of it , they tore their clothing and quickly went out into the crowd , crying out ,
Lakini mitume , Barnaba na Paulo , walipolisikia hili
, walirarua mavazi yao na kwa haraka wakaenda nje kwenye umati , wakilia
ACT 14:15     Alignment score: 0.344 → 0.348
" Men , why are you doing these
things ? We also are human beings , with the same nature as you . We are telling you good news that you should turn from these useless things to the living God , who made the heavens , the earth , the sea , and everything that is in them .
na kusema , Enyi watu , kwanini mnafanya mambo haya ? Na sisi pia ni binadamu wenye hisia kama za kwenu . Tunawaletea habari njema , kwamba mgeuke kutoka kwenye vitu hivi visivyofaa na kumwelekea Mungu aliye hai , aliyeumba mbingu , dunia na bahari na kila kitu kilichomo .
ACT 14:16     Alignment score: 0.351
In the past ages , he allowed all the nations to walk in their own ways .
Katika nyakati zilizopita , aliwaruhusu mataifa kutembea katika njia zao wenyewe .
ACT 14:17     Alignment score: 0.337 → 0.336
But still , he did not leave himself without witness , in that he did good and gave
you the rains from heaven and fruitful seasons , filling your hearts with food and gladness . "
Lakini bado , hakuacha kama hana shahidi , katika hilo alifanya vizuri na akawapatia mvua kutoka mbinguni na nyakati za mazao , akiwajaza mioyo yenu kwa vyakula na furaha .
ACT 14:18     Alignment score: 0.378
Even with these
words , Paul and Barnabas barely kept the multitudes from sacrificing to them .
Hata kwa maneno haya , Paulo na Barnaba kwa shida waliuzuia umati kuwatolea sadaka .
ACT 14:19     Alignment score: 0.47 → 0.475
But some Jews from Antioch and Iconium came and persuaded the crowds . They stoned Paul and dragged him out of the city , thinking that he was dead .
Lakini baadhi ya Wayahudi kutoka Antiokia na Ikonio
walikuja kuushawishi umati . Wakampiga mawe Paulo na kumburura hadi nje ya mji , wakidhani alikuwa amekufa .
ACT 14:20     Alignment score: 0.41
Yet as the disciples were standing around him , he got up and entered the city . The next day , he went to Derbe with Barnabas .
Hata hivyo wanafunzi walikuwa wamesimama karibu naye , aliamka , wakaingia mjini . Siku ya pili , walienda Derbe na Barnaba .
ACT 14:21     Alignment score: 0.57
After they had proclaimed the gospel in that city and made many disciples , they returned to Lystra , to Iconium , and to Antioch .
Baada ya kutangaza injili katika mji ule na kuwafanya wanafunzi wengi , walirudi Listra
, hadi Ikoniamu , na hadi Antiokia .
ACT 14:22     Alignment score: 0.428 → 0.441
They kept strengthening the souls of the disciples and encouraging them to continue in the faith , saying , " We must enter into the kingdom of God through many tribulations . "
Waliendelea kuimarisha
nafsi za wanafunzi na kuwatia moyo kuendelea katika imani , akasema , Lazima tuingie katika ufalme wa Mungu kwa kupitia mateso mengi .
ACT 14:23     Alignment score: 0.241 → 0.246
When they had appointed for them elders in every church , and had prayed with fasting , they entrusted them to the Lord , in whom they had believed .
Walipo wateua wazee kwa kila kusanyiko la waaminio
, na wakiwa wameomba na kufunga , waliwakabidhi kwa Bwana , ambaye wao walimwamini .
ACT 14:24     Alignment score: 0.642
Then they passed through Pisidia and came
to Pamphylia .
Kisha walipita katika Pisidia , walifika Pamfilia .
ACT 14:25     Alignment score: 0.369
When they had spoken the word in Perga , they went down to Attalia .
Wakati walipoongea maneno katika Perga
, waliteremka kwenda Atalia .
ACT 14:26     Alignment score: 0.403
From there they sailed to Antioch , where they had been committed to the grace of God for the work which they had now completed .
Kutoka huko walipanda meli hadi Antiokia ambako walikuwa wamejitoa kwa neema ya Mungu kwa ajili ya kazi ambayo sasa walikuwa wameikamilisha
.
ACT 14:27     Alignment score: 0.464 → 0.473
When they arrived in Antioch and gathered the church together , they reported all the things that God had done with them , and how he had opened a door of faith for the Gentiles .
Walipofika huko Antiokia , na kulikusanya kanisa pamoja , wakatoa taarifa ya mambo ambayo Mungu amefanya kwao , na jinsi alivyowafungulia mlango wa imani kwa watu wa Mataifa .
ACT 14:28     Alignment score: 0.419
They stayed for a long time with the disciples .
Walikaa kwa muda mrefu na wanafunzi .
ACT 14     Average alignment score: 0.401 for 28 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ACT:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28