Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:45
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ACT:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28 


ACT 8:1     Alignment score: 0.508 → 0.53
Saul was in agreement with his death . So there began
on that day a great persecution against the church that was in Jerusalem ; and the believers were all scattered throughout the regions of Judea and Samaria , except the apostles .
Sauli alikuwa kwenye makubaliano ya kifo chake . Ndipo siku hiyo yakaanza mateso makuu kinyume cha kanisa lililokuwa Yerusalemu ; na waaminio wote walitawanyika katika majimbo ya Yudea na Samaria , isipokuwa mitume .


ACT 8:2     Alignment score: 0.442
Devout men buried Stephen and made great lamentation over him .
Watu wachamungu walimzika Stefano na kufanya maombolezo makubwa
juu yake .
ACT 8:3     Alignment score: 0.367 → 0.379
But Saul tried to destroy the church . He would enter house after house , drag off both men and women , and put them in prison .
Lakini Sauli alilidhuru sana kanisa . Alikwenda nyumba kwa nyumba na kuwavuruta nje wanawake na waume , na kuwatupa
gerezani .
ACT 8:4     Alignment score: 0.274
Yet the believers who had been scattered went about preaching the word .
Waaminio
ambao walikuwa wametawanyika bado walienda wakilihubiri neno .
ACT 8:5     Alignment score: 0.737
Philip went down to the city of Samaria and proclaimed to them the Christ .
Filipo akashuka katika mji wa Samaria na akamtangaza Kristo huko .
ACT 8:6     Alignment score: 0.171 → 0.188
Crowds of people were giving close attention to what was being said by Philip ; with one mind they heard him , and they saw the signs he did .
Baada ya makutano kusikia na nakuziona ishara alizofanya Filipo ; wakaweka umakini
juu ya kile alichokisema .
ACT 8:7     Alignment score: 0.253 → 0.254
Unclean spirits came
out of many who were possessed , crying out with a loud voice , and many who were paralyzed and lame were healed .
Kutoka hapo watu wengi waliokuwa na pepo wachafu waliwatoka , huku wakilia kwa sauti kuu na wengi waliokuwa wamepooza na kulemaa waliponywa .
ACT 8:8     Alignment score: 0.444
So there was much joy in that city .
Na kulikuwa na furaha kubwa katika mji .
ACT 8:9     Alignment score: 0.297 → 0.302
But there was a certain man in the city named Simon , who had earlier been practicing sorcery ; he used to astonish the people of Samaria while claiming that he was an important person .
Lakini palikuwepo na mtu mmoja katika mji ule akiitwa Simoni , ambaye hapo awali alikuwa akifanya uchawi ; ambao
aliutumia kuwashangaza watu wa mji wa Samaria , wakati akisema kuwa yeye ni mtu wa muhimu .
ACT 8:10     Alignment score: 0.285 → 0.309
All the Samaritans , from the least to the greatest , paid attention to him ; they said , " This man is that power of God which is called Great . "
Wasamaria wote tangu mdogo hadi mkubwa , wakamakinika kwake huku wakisema ; Mtu huyu
ni ile nguvu ya Mungu ambayo ni kuu .
ACT 8:11     Alignment score: 0.292 → 0.306
They listened to him because he had astonished them for a long time with his sorceries
.
Wakamsikiliza kwa sababu alikuwa kwa uchawi wake amewashangaza kwa muda mrefu .
ACT 8:12     Alignment score: 0.607 → 0.613
But when they believed Philip as he proclaimed the gospel about the kingdom of God and the name of Jesus Christ , they were baptized , both men and women .
Lakini wakati walipoamini Filipo alipokuwa akitangaza juu ya ufalme wa Mungu na juu ya jina la Yesu Kristo , walibatizwa
, wanaume kwa wanawake .
ACT 8:13     Alignment score: 0.377
Even Simon himself believed , and after he was baptized he stayed with Philip constantly . When he saw signs and mighty works taking place , he was amazed .
Hata Simoni mwenyewe aliamini na baada ya kubatizwa , aliendelea kuwa na Filipo na alipoona ishara na miujiza iliyokuwa ikitendeka , alishangaa .
ACT 8:14     Alignment score: 0.64
Now when the apostles in Jerusalem heard that Samaria had received the word of God , they sent to them Peter and John .
Wakati mitume wa Yerusalemu waliposikia kuwa sasa Samaria imepokea neno la Mungu , wakawatuma kwao Petro na Yohana .
ACT 8:15     Alignment score: 0.276
When they had come down , they prayed for them , that they might
receive the Holy Spirit .
Wakati walipokuwa washashuka waliwaombea , kwamba wampokee Roho Mtakatifu .
ACT 8:16     Alignment score: 0.379
For until that time , the Holy Spirit had not come upon any of them ; they had only been baptized into the name of the Lord Jesus .
Kwani mpaka wakati huo Roho Mtakatifu alikuwa hajawashukia hata mmoja wao ; walikuwa tu wamebatizwa kwa jina la Bwana Yesu .
ACT 8:17     Alignment score: 0.583
Then Peter and John placed their hands on them , and they received the Holy Spirit .
Ndipo Petro na Yohana wakawawekea mikono , nao wakampokea Roho Mtakatifu .
ACT 8:18     Alignment score: 0.464 → 0.481
Now when Simon saw that the Holy Spirit was given through the laying on of the apostles ' hands , he offered them money .
Wakati Simoni alipoona kwamba Roho Mtakatifu ametolewa kupitia kuwekewa mikono na mitume ; akataka kuwapa pesa ,
ACT 8:19     Alignment score: 0.401
He said , " Give
me this authority , too , that whoever I place my hands on might receive the Holy Spirit . "
akasema , Nipeni haya mamlaka , ili kila nitakayemwekea mikono apokee Roho Mtakatifu .
ACT 8:20     Alignment score: 0.407
But Peter said to him , " May your silver perish along with you , because you thought to obtain the gift of God with money .
Lakini Petro akamwambia ; Pesa yako na iangamie
pamoja nawe , kwa sababu umefikiri kuwa karama ya Mungu inapatikana kwa pesa .
ACT 8:21     Alignment score: 0.356 → 0.358
You have no part or allotted portion in this matter , because your heart is not right with God .
Hauna sehemu katika jambo hili , kwa sababu moyo wako si mnyoofu mbele za Mungu .
ACT 8:22     Alignment score: 0.219 → 0.274
Therefore repent of this wickedness of yours , and pray to the Lord , so that he might perhaps forgive you for the intention of your heart .
Hivyo basi , tubu uovu wako huu na kumwomba Bwana anaweza labda kukusamehe nia ya moyo wako .
ACT 8:23     Alignment score: 0.333
For I see that you are in the poison of bitterness and in the bonds of unrighteousness . "
Kwa maana naona uko katika sumu ya uchungu na kifungo cha dhambi .
ACT 8:24     Alignment score: 0.266 → 0.307
Simon answered and said , " Pray to the Lord for me , so that nothing you have said may happen to me . "
Simoni akajibu na kusema
, Mwombeni Bwana kwa ajili yangu , kwa kuwa mambo yote mliyozungumza yaweza kunitokea .
ACT 8:25     Alignment score: 0.479 → 0.553
When they had testified and spoken the word of the Lord , Peter and John returned to Jerusalem , proclaiming the gospel to many villages of the Samaritans .
Wakati Petro na Yohana walipokuwa wameshuhudia na kuhubiri
neno la Bwana , walirudi Yerusalemu ; wakihubiri injili katika vijiji vingi vya Wasamaria .
ACT 8:26     Alignment score: 0.522 → 0.524
Now an angel of the Lord spoke to Philip and said , " Arise and go toward the south to the road that goes down from Jerusalem to Gaza . " ( This road is in a desert . )
Basi malaika wa Bwana akanena na Filipo na kusema
, Inuka na uende kusini katika njia iendayo chini ya kutoka Yerusalemu kuelekea Gaza . ( Njia hii iko katika jangwa ) .
ACT 8:27     Alignment score: 0.442
He arose
and went . Behold , there was a man from Ethiopia , a eunuch of great authority under Candace , queen of the Ethiopians . He was in charge of all her treasure . He had come to Jerusalem to worship .
Akainuka na kwenda . Tazama , kulikuwa na mtu wa Ethiopia , towashi mwenye mamlaka kuu chini ya Kandasa ; malkia wa Ethiopia . Ndiye aliyekuwa msimamizi wa hazina yake yote ; naye alikuwa amekwenda Yerusalemu kuabudu .
ACT 8:28     Alignment score: 0.432
He was returning and sitting in his chariot , and was reading the prophet Isaiah .
Alikuwa akirejea ameketi garini mwake akisoma
kitabu cha nabii Isaya .
ACT 8:29     Alignment score: 0.445
The Spirit said to Philip , " Go over and stay close to this chariot . "
Roho akasema na Filipo , Sogea karibu na gari hili ukashikamane nalo .
ACT 8:30     Alignment score: 0.47
So Philip ran to him , and heard him reading Isaiah the prophet , and said , " Do you understand what you are reading ? "
Hivyo Filipo akamkimbilia , akamsikia akisoma
katika kitabu cha nabii Isaya ; akasema , Je , unafahamu unachokisoma ?
ACT 8:31     Alignment score: 0.329 → 0.339
Then he said , " How can I , unless someone guides me ? " He invited Philip to come up into the chariot and sit with him .
Ndipo Muethiopia akasema , Nitawezaje mtu asiponiongoza ? Akamsihi Filipo apande garini na kuketi pamoja naye .
ACT 8:32     Alignment score: 0.363 → 0.364
Now the passage of the scripture
which the Ethiopian was reading was this , " He was led like a sheep to the slaughter , and like a lamb before his shearer is silent , so he did not open his mouth .
Sasa fungu la maandiko alilokuwa akisoma Muethiopia ni hili ; Aliongozwa kama kondoo kwenda machinjioni kuchinjwa , na kama kondoo alinyamaza kimya , hakufungua kinywa chake :
ACT 8:33     Alignment score: 0.145
In his humiliation justice was taken away from him . Who can give
a full account of his descendants ? For his life was taken from the earth . "
Kwa kuhuzunishwa kwake hukumu yake iliondolewa : Nani ataeleza kizazi chake ? Maisha yake yameondolewa katika nchi .
ACT 8:34     Alignment score: 0.398 → 0.418
So the eunuch asked Philip , and said , " I beg you , tell me who is the prophet speaking about , himself , or someone else ? "
Hivyo towashi akamwuliza Filipo , na kusema
, Nakuomba , ni nabii yupi ambaye anaongelewa habari zake , ni kuhusu yeye , au za mtu mwingine ?
ACT 8:35     Alignment score: 0.426 → 0.433
Philip began to speak , and beginning with this scripture he proclaimed the gospel about Jesus to him .
Filipo alianza kuzungumza , na kuanzia andiko hili la Isaya alimtangazia injili kuhusu Yesu .
ACT 8:36     Alignment score: 0.361 → 0.362
As they went on the road , they came to some water and the eunuch said , " Look , there is water here . What prevents me from being baptized ? "
Wakiwa njiani , wakafika mahali penye maji , towashi akasema , Tazama , pana
maji hapa . Nini kinazuia nisibatizwe ?
ACT 8:38     Alignment score: 0.489 → 0.493
So the Ethiopian commanded the chariot to stop . They went down into the water , both Philip and the eunuch , and Philip baptized him .
Ndipo Muethiopia akaamuru gari lisimame . Walikwenda ndani ya maji , Filipo pamoja na towashi , na Filipo akambatiza .
ACT 8:39     Alignment score: 0.36 → 0.368
When they came
up out of the water , the Spirit of the Lord took Philip away , and the eunuch saw him no more , but went on his way rejoicing .
Wakati walipotoka kwenye maji , Roho wa Bwana akamnyakua Filipo mbali ; towashi hakumwona tena , akaenda njia yake akifurahia .
ACT 8:40     Alignment score: 0.509 → 0.517
But Philip appeared at Azotus and he went through that region , proclaiming the gospel to all the cities until he came to Caesarea .
Lakini Filipo akatokea Azoto . Alipita katika mkoa ule na kuhubiri
injili katika miji yote mpaka alipofika Kaisaria .
ACT 8     Average alignment score: 0.409 for 39 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ACT:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28