Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ACT:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28 


ACT 21:1     Alignment score: 0.375
When we had gone away from them and set sail , we took a straight course to the city of Cos , and the next day to the city of Rhodes , and from there to the city of Patara .
Wakati tulipokua tumeachana nao , na tunasafiri baharini , tukafika moja
kwa moja kwenye mji wa Kosi , na kesho yake tukafika mji wa Rodo , na kutoka huko tukafika mji wa Patara .


ACT 21:2     Alignment score: 0.185 → 0.188
When we found a ship crossing over to Phoenicia , we went aboard and set sail .
Tulipopata meli inayovuka kwenda Foinike , tulipanda tukasafiri .
ACT 21:3     Alignment score: 0.289 → 0.303
After sighting Cyprus , leaving it on the left side of the boat , we sailed on to Syria and landed at Tyre , where the ship was to unload its cargo .
Tulipofika mbele ya kisiwa cha Kipro , tukaiacha upande wa kushoto , tukasafiri hadi Siria , tukaweka nanga katika mji wa Tiro , kwa sababu huko ndiko meli ilikuwa ipakuliwe shehena yake .
ACT 21:4     Alignment score: 0.446 → 0.486
After we found the disciples , we stayed there seven days . Through the Spirit they kept urging Paul not to go to Jerusalem .
Baada ya kuwaona wanafunzi , tukakaa huko siku saba . Wanafunzi hawa
wakamwambia Paulo kupitia kwa Roho kwamba yeye asikanyange Yerusalemu .
ACT 21:5     Alignment score: 0.232 → 0.262
When our days there were over , we left and went on our way , and they all , with their wives and children , accompanied us out of the city . Then we knelt down on the beach , prayed ,
Hata tulipotimiza siku zile , sisi tukaondoka tukaenda zetu . Wote pamoja , na wanawake zao na watoto wao , walitusindikiza katika njia zetu hadi tulipotoka nje ya mji . Kisha tukapiga magoti pwani , tukaomba , tukaagana kila mmoja .
ACT 21:7     Alignment score: 0.299 → 0.325
When we had finished the voyage from Tyre , we arrived at Ptolemais . There we greeted the brothers and stayed with them for one day .
Hata tulipomaliza safari yetu kutoka Tiro , tukafika Tolemai . Pale tulisalimia ndugu , na kukakaa nao kwa siku moja .
ACT 21:8     Alignment score: 0.395 → 0.415
On the next day we left and went to Caesarea . We entered the house of Philip , the evangelist , who was one of the seven , and we stayed with him .
Kesho yake tuliondoka tukaenda Kaisaria . Sisi tukaingia nyumbani mwa Filipo , mhubiri wa injili , aliyekuwa mmoja wa wale saba , nasi tukakaa pamoja naye .
ACT 21:9     Alignment score: 0.276 → 0.286
Now this man had four virgin daughters who prophesied .
Mtu huyu
alikuwa na mabinti wanne mabikira ambao walitabiri .
ACT 21:10     Alignment score: 0.423
As we stayed there for some days , a certain prophet named Agabus came
down from Judea .
Baada ya kukaa huko kwa siku kadhaa , akashuka kutoka Uyahudi nabii mmoja aitwaye Agabo .
ACT 21:11     Alignment score: 0.392 → 0.392
He came to us and took Paul 's belt . With it he tied his own feet and hands and said , " Thus says the Holy Spirit , ' This
is how the Jews in Jerusalem will tie up the man who owns this belt , and they will hand him over into the hands of the Gentiles . ' "
Yeye alikuja kwetu na akautwaa mkanda wa Paulo . Kwa huo alijifunga miguu na mikono yake mwenyewe na kusema , Roho Mtakatifu asema hivi , Wayahudi wa Yerusalemu watamfunga mtu anayemiliki mkanda huu , nao watamkabidhi mikononi mwa watu wa mataifa .
ACT 21:12     Alignment score: 0.308
When we heard these
things , both we and the people who lived in that place pleaded with Paul not to go up to Jerusalem .
Tuliposikia mambo hayo , sisi na watu waliokuwa wakiishi mahali pale tulimsihi Paulo asipande kwende Yerusalemu .
ACT 21:13     Alignment score: 0.482 → 0.49
Then Paul answered , " What are you doing , weeping and breaking my heart ? For I am ready , not only to be tied up , but also to die in Jerusalem for the name of the Lord Jesus . "
Ndipo Paulo alijibu , Mnafanya nini , mnalia na kunivunja moyo wangu ? Kwa maana niko tayari , siyo tu kufungwa , lakini pia kufia huko Yerusalemu kwa ajili ya jina la Bwana Yesu .
ACT 21:14     Alignment score: 0.3
Since Paul would not be persuaded , we remained silent and then we said , " May the will of the Lord be done . "
Kwa vile Paulo hakutaka kushawishiwa , tuliacha na kusema
, Basi mapenzi ya Bwana yafanyike .
ACT 21:15     Alignment score: 0.495
After these
days , we picked up our bags and went up to Jerusalem .
Baada ya siku hizi , tulichukua mifuko yetu na tukapanda Yerusalemu .
ACT 21:16     Alignment score: 0.491 → 0.496
There also went with us some of the disciples from Caesarea . They brought with them a man named Mnason , a man from Cyprus , an early disciple , with whom we would stay .
Baadhi ya wanafunzi kutoka Kaisaria pia walifuatana nasi . Wakamleta mtu mmoja aitwaye Mnasoni , mtu wa Kipro , mwanafunzi wa zamani , ambaye tulikaa naye .
ACT 21:17     Alignment score: 0.348
When we had arrived in Jerusalem , the brothers welcomed us gladly .
Tulipofika Yerusalemu , ndugu walitukaribisha kwa furaha
.
ACT 21:18     Alignment score: 0.415
The next day Paul went with us to James , and all the elders were present .
Kesho yake Paulo alienda pamoja nasi kwa Yakobo , na wazee wote walikuwepo .
ACT 21:19     Alignment score: 0.322 → 0.339
When he had greeted them , he reported one by one the things that God had done among the Gentiles through his ministry .
Baada ya kuwasalimu
, aliwapa taarifa moja baada ya nyingine ya mambo ambayo Mungu aliyotenda miongoni mwa mataifa kwa kupitia huduma yake .
ACT 21:20     Alignment score: 0.419
When they heard it , they glorified God , and they said to him , " You see , brother , how many thousands have believed among the Jews . They are all zealous to keep the law .
Wakati waliposikia hayo
, wakamsifu Mungu , na wakamwambia , Unaona , ndugu , kuna maelfu wangapi wameamini miongoni mwa Wayahudi . Wao wote wana nia ya kushika sheria .
ACT 21:21     Alignment score: 0.274 → 0.288
They have been told about you , that you teach all the Jews who live among the Gentiles to abandon Moses , and that you tell them not to circumcise their children , and not to walk according to the traditional ways .
Wameambiwa kuhusu wewe , kwamba unafundisha
Wayahudi wanaoishi kati ya mataifa kuachana na Musa , na kwamba unawaambia wasiwatahiri watoto wao , na wasifuate desturi za zamani .
ACT 21:22     Alignment score: 0.202
What should we do ? They will certainly hear that you have come .
Tunapaswa tufanye nini ? Bila shaka watasikia kwamba wewe umekuja .
ACT 21:23     Alignment score: 0.207
So do what we say to you . We have four men who made a vow .
Hivyo fanya kile sisi tunachokuambia sasa : tunao watu wanne ambao wameweka nadhiri .
ACT 21:24     Alignment score: 0.281 → 0.297
Take these
men and purify yourself with them , and pay their expenses for them , so that they may shave their heads . So everyone will know that the things they have been told about you are false . They will learn that you also live correctly , obeying the law .
Wachukue watu hawa na ujitakase mwenyewe pamoja nao , na uwalipie gharama zao , ili waweze kunyoa vichwa vyao . Hivyo kila mmoja apate kujua kwamba mambo waliyoambiwa kuhusu wewe ni ya uongo . Watajifunza kwamba wewe pia unafuata sheria .
ACT 21:25     Alignment score: 0.297 → 0.301
But concerning the Gentiles who have believed , we wrote
about our decision that they should keep themselves from things sacrificed to idols , from blood , from what is strangled , and from sexual immorality . "
Lakini kwa habari za mataifa ambao wamekuwa waumini , tuliandika na kutoa maagizo kwamba wanapaswa kujiepusha na vitu vilivyotolewa dhabihu kwa sanamu , na damu , kutokana na kile kilichonyongwa , na wajiepushe na uasherati .
ACT 21:26     Alignment score: 0.199 → 0.212
Then Paul took the men , and the next day he purified himself along with them . Then they went into the temple , giving notice when the days of purification would be fulfilled and the offering would be presented for each of them .
Ndipo , Paulo aliwatwaa wale wanaume , na siku ya pili , akajitakasa mwenyewe pamoja nao , akaingia Hekaluni , kutangaza
kipindi cha siku za kujitakasa , hadi sadaka itolewa kwa ajili ya kila mmoja wao .
ACT 21:27     Alignment score: 0.416 → 0.417
When the seven days were almost finished , some Jews from Asia , seeing Paul in the temple , stirred up the whole crowd and laid hands on him .
Siku hizo saba zilipokaribia kumalizika , baadhi ya Wayahudi kutoka Asia wakamuona Paulo hekaluni , wakachochea makutano , na wakamnyoshea mikono .
ACT 21:28     Alignment score: 0.391 → 0.406
They were shouting , " Men of Israel , help us . This is the man who teaches all men everywhere things that are against the people , the law , and this place . Besides , he has also brought Greeks into the temple and has defiled this holy place . "
Walikuwa wanapiga kelele , Watu wa Israeli , tusaidieni . Huyu
ni yule mtu anayewafundisha watu kila mahali mambo ambayo ni kinyume na watu , sheria , na mahali hapa . Pia amewaleta Wayunani katika hekalu na kupanajisi mahali hapa patakatifu .
ACT 21:29     Alignment score: 0.408
For they had previously seen Trophimus the Ephesian with him in the city , and they thought that Paul had brought him into the temple .
Kwa kuwa mwanzoni walikuwa wamemwona Trofimo
Muefeso akiwa pamoja naye mjini , nao walidhani kwamba Paulo alimleta hekaluni .
ACT 21:30     Alignment score: 0.349 → 0.364
All the city was excited , and the people ran together and laid hold of Paul . They dragged him out of the temple , and the doors were immediately shut .
Mji wote ulikuwa na taharuki , na watu wakakimbia pamoja na kumkamata Paulo . Wakamtoa nje ya hekalu , na milango
mara ikafungwa .
ACT 21:31     Alignment score: 0.292
As they were trying to kill him , news came
up to the chief captain of the company of soldiers , that all Jerusalem was in an uproar .
Walipokuwa wakijaribu kumuua , habari zilimfikia mkuu wa jeshi la walinzi kuwa Yerusalemu yote ilikuwa imejaa ghasia .
ACT 21:32     Alignment score: 0.331
Right away he took soldiers and centurions and ran down to the crowd . When the people saw the chief captain and the soldiers , they stopped beating Paul .
Mara hiyo
akawachukua askari na jemadari akaukimbilia umati . Wakati watu walipomwona mkuu wa jeshi na askari , wakaacha kumpiga Paulo .
ACT 21:33     Alignment score: 0.296 → 0.308
Then the chief captain approached and laid hold of Paul , and commanded him to be bound with two chains . Then he asked who he was and what he had done .
Kisha mkuu wa jeshi alimkaribia na akamshika Paulo , na akaamuru afungwe minyororo miwili . Akamuuliza yeye ni nani na amefanya nini .
ACT 21:34     Alignment score: 0.342
Some in the crowd were shouting one thing and others another . Since the captain could not learn the truth because of all the noise , he ordered that Paul be brought into the fortress .
Baadhi ya watu kwenye umati walikuwa wanapayuka kitu hiki na wengine kingine . Kwa kuwa jemadari
hakuweza kutambua chochote kwa sababu ya zile kelele , akaamuru Paulo aletwe ndani ya ngome .
ACT 21:35     Alignment score: 0.387
When he came to the steps , he was carried by the soldiers because of the crowd 's violence .
Basi alipofika kwenye ngazi , akachukuliwa na askari kwa sababu ya ghasia za umati .
ACT 21:36     Alignment score: 0.309
For the crowd of people followed after and kept shouting out , " Away with him ! "
Maana umati wa watu walimfuata na waliendelea kupiga kelele , Mwondoeni huyu
!
ACT 21:37     Alignment score: 0.25 → 0.252
As Paul was about to be brought into the fortress , he said to the chief captain , " Is it permitted for me to say something to you ? " The captain said , " Do you know Greek ?
Paulo alipokuwa analetwa ndani ya ngome , alimwambia mkuu wa jeshi , Naweza kukwambia kitu ? Yule mkuu wa jeshi akasema , Je unaongea Kiyunani ?
ACT 21:38     Alignment score: 0.305
Are you not then the Egyptian who some time ago started a rebellion and led the four thousand men of the ' Assassins ' out into the wilderness ? "
Je , wewe si yule Mmisri ambaye awali aliongoza uasi na alichukua magaidi elfu nne nyikani ?
ACT 21:39     Alignment score: 0.551
Paul said , " I am a Jew , from the city of Tarsus in Cilicia . I am a citizen of no unimportant city . I beg you , allow me to speak
to the people . "
Paulo akasema , Mimi ni Myahudi , kutoka mji wa Tarso ya Kilikia . Mimi ni raia wa mji maarufu . Nawaomba , mniruhusu nizungumze na watu .
ACT 21:40     Alignment score: 0.368 → 0.376
When the captain had given him permission , Paul stood on the steps and motioned with the hand to the people . When there was a deep silence , he spoke to them in the Hebrew language . He said ,
Wakati jemadari
alipompa ruhusa , Paulo akasimama penye ngazi na akatoa ishara kwa watu kwa mkono wake . Wakati kulipokuwa na ukimya sana , akaongea nao kwa Kihebrania . Akasema ,
ACT 21     Average alignment score: 0.354 for 39 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ACT:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28