Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13 


2CO 2:1     Alignment score: 0.235
So I decided for my own part that I would not again come to you in sorrow .
Kwa hiyo niliamua kwa sehemu yangu mwenyewe kwamba nisingekuja tena kwenu katika hali ya uchungu .


2CO 2:2     Alignment score: 0.16 → 0.165
If I caused you sorrow , who could make me glad but the very one who was made sorrowful by me ?
Kama niliwasababishia
ninyi maumivu , ni nani angenifurahisha mimi , lakini ni yule ambaye aliumizwa na mimi ?
2CO 2:3     Alignment score: 0.229 → 0.247
I wrote as I did in order that , when I came
to you , I might not be hurt by those who should have made me rejoice . I have confidence about all of you that my joy is the same joy you all have .
Niliandika kama nilivyofanya ili kwamba wakati nikija kwenu nisiweze kuumizwa na wale ambao wangekuwa wamenifanya nifurahi . Ninao ujasiri kuhusu ninyi nyote kwamba furaha yangu ni furaha ile ile mliyonayo ninyi nyote .
2CO 2:4     Alignment score: 0.322 → 0.329
For I wrote to you from great tribulation , with anguish of heart , and with many tears . I did not write
you so that you would be made sorrowful . Instead , I wanted you to know the depth of the love that I have for you .
Kwa kuwa niliwaandikia ninyi kutokana na mateso makubwa , na dhiki ya moyo , na kwa machozi mengi . Sikutaka kuwasababishia ninyi maumivu . Badala yake , nilitaka mjue upendo wa kina nilionao kwa ajili yenu .
2CO 2:5     Alignment score: 0.224
If anyone has caused sorrow , he has caused sorrow not only to me , but in some measure not to burden you to all of you .
Kama kuna yeyote amesababisha maumivu , hajasababisha tu kwangu , lakini kwa kiwango fulani - bila kuweka ukali zaidi - kwenu ninyi nyote .
2CO 2:6     Alignment score: 0.308 → 0.307
This punishment of that person by the majority is enough .
Hii adhabu ya mtu huyo
kwa wengi inatosha .
2CO 2:7     Alignment score: 0.209 → 0.247
So now rather than punish him , you should forgive and comfort him . Do this so that he is not overwhelmed by too much sorrow .
Kwa hiyo sasa badala ya adhabu
, mnapaswa kumsamehe na kumfariji . Fanyeni hivi ili kwamba asiweze kushindwa na huzuni iliyozidi .
2CO 2:8     Alignment score: 0.262 → 0.282
So I exhort you to confirm your love for him .
Kwa hiyo ninawatia moyo
kuthibitisha upendo wenu hadharani kwa ajili yake .
2CO 2:9     Alignment score: 0.297
This was the reason I wrote , so that I might test you and know whether you are obedient in everything .
Hii ndiyo sababu niliandika , ili kwamba niweze kuwajaribu na kujua kuwa kama ni watii katika kila kitu .
2CO 2:10     Alignment score: 0.218
If you forgive anyone , I forgive that person as well . What I have forgiven if I have forgiven anything it is forgiven for your sake in the presence of Christ .
Kama mkimsamehe yeyote , na mimi pia namsamehe mtu huyo
. Kile nilicho kisamehe - kama nimesamehe chochote - kimesamehewa kwa faida yenu katika uwepo wa Kristo .
2CO 2:11     Alignment score: 0.254
This is so that Satan will not trick us . For we are not ignorant of his schemes .
Hii ni kwamba Shetani asije akatufanyia madanganyo
. Kwa kuwa sisi sio wajinga kwa mipango yake .
2CO 2:12     Alignment score: 0.535
A door was opened to me by the Lord when I came
to the city of Troas to preach the gospel of Christ there .
Mlango ulifunguliwa kwangu na Bwana nilipokuja kwenye mji wa Troa kuhubiri injili ya Kristo pale .
2CO 2:13     Alignment score: 0.304 → 0.344
I had no relief in my spirit because I did not find my brother Titus there . So I left them and went on to Macedonia .
Hata hivyo , sikuwa na amani ya moyo
, kwa sababu sikumkuta ndugu yangu Tito pale . Hivyo niliwaacha na nikarudi Makedonia .
2CO 2:14     Alignment score: 0.429 → 0.436
But may thanks be to God , who in Christ always leads us in triumph . Through us he reveals the sweet aroma of the knowledge of him everywhere .
Lakini ashukuriwe Mungu , ambaye katika Kristo mara zote hutuongoza sisi katika ushindi . Kupitia sisi husambaza harufu nzuri ya maarifa yake mahala
pote .
2CO 2:15     Alignment score: 0.474 → 0.493
For we are to God the sweet aroma of Christ , both among those who are saved and among those who are perishing .
Kwa kuwa sisi kwa Mungu , ni harufu nzuri ya Kristo , wote kati ya wale waliookolewa na kati ya wale wanaoangamia
.
2CO 2:16     Alignment score: 0.381 → 0.391
To the people who are perishing , it is an aroma from death to death . To the ones being saved , it is an aroma from life to life . Who is worthy of these
things ?
Kwa watu ambao wanaangamia , ni harufu kutoka kifo hadi kifo . Kwa wale wanaookolewa , ni harufu nzuri kutoka uzima hadi uzima . Ni nani anayestahili vitu hivi ?
2CO 2:17     Alignment score: 0.528 → 0.531
For we are not like so many people who sell the word of God for profit . Instead , with purity of motives , we speak
in Christ , as we are sent from God , in the sight of God .
Kwa maana sisi si kama watu wengi wanaouza neno la Mungu kwa faida . Badala yake , kwa usafi wa nia , tunanena katika Kristo kama tumetumwa na Mungu , mbele ya Mungu .
2CO 2     Average alignment score: 0.331 for 17 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13