Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13 


2CO 3:1     Alignment score: 0.399 → 0.419
Are we beginning to praise ourselves
again ? We do not need letters of recommendation to you or from you , like some people , do we ?
Je , tumeanza kujisifia wenyewe tena ? Hatuhitaji barua ya mapendekezo kwenu au kutoka kwenu , kama baadhi ya watu , je twahitaji ?


2CO 3:2     Alignment score: 0.517
You yourselves are our letter of recommendation , written on our hearts , known and read by all people .
Ninyi wenyewe ni barua yetu ya mapendekezo , iliyoandikwa
kwenye mioyo yetu , inayojulikana na kusomwa na watu wote .
2CO 3:3     Alignment score: 0.441
You show that you are a letter from Christ , the result of our ministry . It was written not with ink but by the Spirit of the living God . It was not written on tablets of stone , but on tablets of human hearts .
Na mnaonesha kwamba ninyi ni barua kutoka kwa Kristo , iliyotolewa na sisi . Iliandikwa siyo kwa wino bali kwa Roho wa Mungu aliye hai . Haikuandikwa
juu ya vibao vya mawe , bali juu ya vibao vya mioyo ya wanadamu .
2CO 3:4     Alignment score: 0.468 → 0.467
And this is the confidence that we have through Christ before God .
Na huu ndiyo ujasiri tulio nao katika Mungu kupitia Kristo .
2CO 3:5     Alignment score: 0.277
We are not competent in ourselves
to claim anything as coming from us . Rather , our competence is from God .
Hatujiamini wenyewe kwa kudai chochote kama kutoka kwetu . Badala yake , kujiamini kwetu kunatoka kwa Mungu .
2CO 3:6     Alignment score: 0.547 → 0.55
It is God who made us able to be servants of a new covenant . This is a covenant not of the letter but of the Spirit . For the letter kills , but the Spirit gives life .
Ni Mungu ambaye alitufanya tuweze kuwa watumishi wa agano jipya . Hili ni agano sio la barua bali ni la Roho . Kwa kuwa barua huua
, lakini roho inatoa uhai .
2CO 3:7     Alignment score: 0.446 → 0.472
Now the ministry of death engraved in letters on stones came
in such glory that the sons of Israel could not look directly at Moses ' face . This is because of the glory of his face , a glory that was fading .
Sasa kazi ya kifo iliyokuwa imechongwa katika herufi juu ya mawe ilikuja kwa namna ya utukufu kwamba watu wa Israeli hawakuangalia moja kwa moja kwenye uso wa Musa . Hii ni kwa sababu ya utukufu wa uso wake , utukufu ambao ulikuwa unafifia .
2CO 3:8     Alignment score: 0.329 → 0.339
How much more glorious will the ministry of the Spirit be ?
Je , kazi ya Roho haitakuwa na utukufu zaidi ?
2CO 3:9     Alignment score: 0.343
For if the ministry of condemnation had glory , how much more does the ministry of righteousness abound in glory !
Kwa kuwa kama huduma ya hukumu ilikuwa na utukufu , ni mara ngapi zaidi huduma ya haki huzidi sana katika utukufu !
2CO 3:10     Alignment score: 0.291 → 0.291
For indeed , that which was once made glorious is no longer glorious in this respect , because of the glory that exceeds it .
Ni kweli kwamba , kile kilichofanywa utukufu kwanza hakina utukufu tena katika heshima hii , kwa sababu ya utukufu unaouzidi .
2CO 3:11     Alignment score: 0.318 → 0.319
For if that which was passing away had glory , how much more will what is permanent have glory !
Kwa kuwa kama kile ambacho kilikuwa kinapita kilikuwa na utukufu , ni kwa kiasi gani zaidi kile ambacho ni cha kudumu kitakuwa na utukufu !
2CO 3:12     Alignment score: 0.137 → 0.196
Since we have such a hope , we are very bold .
Kwa kuwa tunajiamini hiyo
, tunaujasiri sana .
2CO 3:13     Alignment score: 0.357 → 0.361
We are not like Moses , who put a veil over his face so that the sons of Israel were not able to look directly at the ending of a glory that was passing away .
Hatuko kama Musa , aliyeweka utaji juu ya uso wake , ili kwamba watu wa Israel
wasiweze kuangalia moja kwa moja kwenye mwisho wa utukufu ambao ulikuwa unatoweka .
2CO 3:14     Alignment score: 0.326 → 0.337
But their minds were hardened . For to this day , when they read the old covenant , that same veil remains . It has not been removed , because only in Christ is it taken away .
Lakini fahamu zao zilikuwa zimefungwa . Hata mpaka siku hii utaji uleule bado unabaki juu ya usomaji wa agano la kale . Haijawekwa wazi , kwa sababu ni katika Kristo pekee inaondolewa mbali .
2CO 3:15     Alignment score: 0.469
But even today , whenever Moses is read , a veil covers their hearts .
Lakini hata leo , wakati wowote Musa asomwapo , utaji hukaa juu ya mioyo yao .
2CO 3:16     Alignment score: 0.319
But when a person turns to the Lord , the veil is taken away .
Lakini mtu anapogeuka kwa Bwana , utaji unaondolewa .
2CO 3:17     Alignment score: 0.573
Now the Lord is the Spirit . Where the Spirit of the Lord is , there is freedom .
Sasa Bwana ni Roho . Palipo na Roho wa Bwana , kuna uhuru .
2CO 3:18     Alignment score: 0.337 → 0.339
Now all of us , with unveiled faces , see the glory of the Lord . We are being transformed into the same glorious likeness from one degree of glory into another , just as from the Lord , who is the Spirit .
Sasa sisi sote , pamoja na nyuso zisizo wekewa utaji , huona
utukufu wa Bwana . Tunabadilishwa ndani ya muonekano uleule wa utukufu kutoka shahada moja ya utukufu kwenda nyingine , kama ilivyo kutoka kwa Bwana , ambaye ni Roho .
2CO 3     Average alignment score: 0.401 for 18 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13