Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13 


2CO 5:1     Alignment score: 0.35 → 0.362
We know that if our earthly house the tent is destroyed , we have a building from God . It is a house not made by human hands , but an eternal house , in heaven .
Tunajua kwamba kama maskani
ya ulimwenguni ambayo tunaishi humo yanaharibiwa , tunalo jengo kutoka kwa Mungu . Ni nyumba isiyotengenezwa kwa mikono ya wanadamu , bali ni nyumba ya milele , katika mbingu .


2CO 5:2     Alignment score: 0.268
For in this tent we groan , longing to be clothed with our heavenly residence .
Kwa kuwa katika hema hii tunaugua , tukitamani kuvikwa kwa maskani
yetu mbinguni .
2CO 5:3     Alignment score: 0.258
We long for this because by putting it on we will not be found to be naked .
Tunatamani kwa ajili ya hii kwa sababu kwa kuivaa hatutaonekana kuwa tu uchi .
2CO 5:4     Alignment score: 0.249 → 0.256
For indeed while we are in this tent , we groan , being burdened . We do not want to be unclothed . Instead , we want to be clothed , so that what is mortal may be swallowed up by life .
Kwa hakika wakati tuko ndani ya hema hii , twaugua tukilemewa . Hatutaki kuvuliwa . Badala yake , tunataka kuvalishwa , ili kwamba kile kilicho kufa kiweze kumezwa na uzima .
2CO 5:5     Alignment score: 0.259
The one who prepared us for this very thing is God , who gave
us the Spirit as a guarantee of what is to come .
Yule aliyetuandaa sisi kwa kitu hiki ni Mungu , ambaye alitupa sisi Roho kama ahadi ya kile kitakacho kuja .
2CO 5:6     Alignment score: 0.24 → 0.24
Therefore always be confident , knowing that while we are at home in the body , we are away from the Lord .
Kwa hiyo muwe na ujasiri
siku zote . Muwe macho kwamba wakati tuko nyumbani katika mwili , tuko mbali na Bwana .
2CO 5:7     Alignment score: 0.326 → 0.332
For we walk by faith , not by sight .
Kwa kuwa tunatembea kwa imani , sio kwa kuona . Kwa hiyo
tunaujasiri .
2CO 5:8     Alignment score: 0.29 → 0.29
So we have confidence . We would prefer to be away from the body and at home with the Lord .
Ni bora tuwe mbali kutoka kwenye mwili na nyumbani pamoja na Bwana .
2CO 5:9     Alignment score: 0.33
So we make it our goal , whether we are at home or away , to please him .
Kwa hiyo tunaifanya kuwa lengo letu , kama tukiwa nyumbani au mbali , tumpendeze yeye .
2CO 5:10     Alignment score: 0.39 → 0.39
For we must all appear before the judgment seat of Christ , so that each one may receive what is due for the things done in the body , whether for good or for bad .
Kwa kuwa lazima wote tuonekane mbele ya kiti cha hukumu cha Kristo , ili kwamba kila mmoja aweze kupokea kile kinachostahili kwa mambo yaliyofanyika katika mwili , ikiwa ni kwa uzuri
au kwa ubaya .
2CO 5:11     Alignment score: 0.307 → 0.34
Therefore , knowing the fear of the Lord , we persuade people . What we are is clearly seen by God , and I hope that it is also clear to your conscience .
Kwa hiyo , kwa kuijua
hofu ya Bwana , tunawashawishi watu . Jinsi tulivyo , inaonekana wazi na Mungu . Ninatumaini kuwa inaeleweka pia kwenye dhamiri zenu .
2CO 5:12     Alignment score: 0.222 → 0.248
We are not commending ourselves to you again , but we are giving you a reason to be proud
of us , so you may have an answer for those who boast about appearances but not about what is in the heart .
Hatujaribu kuwashawishi ninyi tena kutuona sisi kama wakweli . Badala yake , tunawapa ninyi sababu ya kujivuna kwa ajili yetu , ili kwamba muweze kuwa na jibu kwa wale wanaojivunia kuhusu mwonekano lakini sio kile kilicho ndani ya moyo .
2CO 5:13     Alignment score: 0.332
For if we are out of our minds , it is for God ; and if we are in our right minds , it is for your sake .
Kwa kuwa ikiwa kama tumerukwa na akili , ni kwa ajili ya Mungu . Na kama tuko kwenye akili zetu timamu , ni kwa ajili yenu .
2CO 5:14     Alignment score: 0.372
For the love of Christ controls us , because we have concluded this : That one person died for all , and that therefore all have died
.
Kwa kuwa upendo wa Kristo watushurutisha , kwa sababu tuna uhakika na hili : kuwa mtu mmoja alikufa kwa ajili ya wote , na kwa hiyo wote wamekufa .
2CO 5:15     Alignment score: 0.274
He died for all , so that those who live should no longer live for themselves but for him who for their sake died and was raised .
Na Kristo alikufa kwa ajili ya wote , ili kwamba wale wanaoishi wasiishi tena kwa ajili yao wenyewe . Badala yake , lazima waishi
kwa ajili yake yeye ambaye alikufa na alifufuliwa .
2CO 5:16     Alignment score: 0.313
For this reason , from now on we do not regard anyone according to the flesh , even though we once regarded Christ according to the flesh . But now we no longer regard him that way .
Kwa sababu hii , kuanzia sasa na kuendelea hatumuhukumu mtu kulingana na viwango vya wanadamu , ingawa hapo kwanza tulimtazama Kristo katika namna hii . Lakini sasa hatumuhukumu yeyote kwa namna hii tena .
2CO 5:17     Alignment score: 0.376 → 0.416
Therefore , if anyone is in Christ , he is a new creation . The old things have passed away . See , they have become new .
Kwa hiyo , ikiwa mtu yeyote yuko ndani ya Kristo , yeye ni kiumbe kipya . Mambo ya kale yamepita
. Tazama , yamekuwa mapya .
2CO 5:18     Alignment score: 0.408
All these
things are from God . He reconciled us to himself through Christ and has given us the ministry of reconciliation .
Vitu vyote hivi vyatoka kwa Mungu . Alitupatanisha sisi kwake mwenyewe kupitia Kristo , na ametupatia huduma ya upatanisho .
2CO 5:19     Alignment score: 0.418 → 0.425
That is , in Christ God is reconciling the world to himself , not counting their trespasses against them . He is entrusting to us the message of reconciliation .
Hiyo
ni kusema , katika Kristo , Mungu anaupatanisha ulimwengu kwake mwenyewe , sio kuhesabu makosa yao dhidi yao . Anawekeza kwetu ujumbe wa upatanisho .
2CO 5:20     Alignment score: 0.369 → 0.38
So we are appointed as representatives of Christ , as though God were making his appeal through us . We plead with you , for the sake of Christ : " Be reconciled to God ! "
Kwa hiyo tunateuliwa kama wawakilishi wa Kristo , kana kwamba Mungu alikuwa anafanya rufaa yake kupitia sisi . Tunawasihi ninyi kwa ajili ya Kristo : Mpatanishwe kwa Mungu !
2CO 5:21     Alignment score: 0.177 → 0.18
He made him who knew
no sin to become sin for us , so that we might become the righteousness of God in him .
Alimfanya Kristo kuwa sadaka kwa ajili ya dhambi zetu . Yeye ndiye ambaye hakutenda dhambi . Alifanya hivi ili tuweze kufanyika haki ya Mungu katika yeye .
2CO 5     Average alignment score: 0.321 for 21 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13