Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13 


2CO 6:1     Alignment score: 0.312 → 0.318
Working together with him , we also urge you not to receive the grace of God in vain .
Na kwa hiyo
, kufanya kazi pamoja , tunawasihi ninyi msiipokee neema ya Mungu bure .


2CO 6:2     Alignment score: 0.414 → 0.414
For he says , " In a favorable time I paid attention to you , and in the day of salvation I helped you . " Look , now is the favorable time . Look , now is the day of salvation .
Kwa kuwa anasema , Wakati uliokubalika nilikuwa makini kwenu , na siku ya wokovu niliwasaidia . Tazama , wakati uliokubalika ndio sasa , siku ya wokovu ndio sasa .
2CO 6:3     Alignment score: 0.258
We do not place a stumbling block in front of anyone , for we do not wish our ministry to be discredited .
Hatuwezi kuwa kizuizi mbele ya mtu yeyote , kwa kuwa hatuitaki huduma yetu ijulikane
katika sifa mbaya .
2CO 6:4     Alignment score: 0.412 → 0.415
Instead , in every way we commend ourselves
as God 's servants in much endurance , in affliction , in distress , in hardship ,
Badala yake kwa kila njia twanjisifu wenyewe kuwa watumishi wa Mungu katika wingi wa ustahimilivu , katika mateso , katika dhiki , na katika ugumu wa maisha ,
2CO 6:5     Alignment score: 0.275 → 0.279
in beatings , in imprisonments , in riots , in hard labor , in sleepless nights , in hunger
,
katika kupigwa , vifungo , ghasia , katika kazi ngumu , katika kukosa usingizi usiku , katika njaa ,
2CO 6:6     Alignment score: 0.603
in purity , in knowledge , in patience , in kindness , in the Holy Spirit , in sincere love ,
katika usafi , maarifa , uvumilivu , wema , katika Roho Mtakatifu , katika upendo halisi ,
2CO 6:7     Alignment score: 0.535
in the word of truth , in the power of God ; with the armor of righteousness for the right hand and the left .
katika neno la kweli , katika nguvu ya Mungu . Tuna silaha ya haki kwa ajili ya mkono wa kulia na wa kushoto .
2CO 6:8     Alignment score: 0.27
We are God 's servants in glory and dishonor , in slander and praise ; regarded as deceivers and yet truthful ;
Tunafanya kazi katika utukufu na aibu , katika kashfa
na sifa , kama wadanganyifu na bado wakweli .
2CO 6:9     Alignment score: 0.1 → 0.112
as unknown , yet well known ; as dying , yet , look we live ; as being disciplined , yet not killed ;
Tunafanya kazi kana kwamba hatujulikani na bado tunajulikana vizuri . Tunafanya kazi kama wanaokufa , na tazama ! - Bado tunaishi , kana kwamba tunaadhibiwa kwa matendo yetu , lakini hatujauakwa .
2CO 6:10     Alignment score: 0.201 → 0.201
as sorrowful , yet rejoicing ; as poor , yet many are enriched ; as having nothing , yet possessing all things .
Tunafanya kazi kama wenye masikitiko , lakini kila wakatituna furaha
, kama maskini , lakini tunatajirisha wengi , kana kwamba hatuna kitu lakini tunamiliki vitu vyote .
2CO 6:11     Alignment score: 0.19
We have spoken the whole truth to you , Corinthians , and our heart is wide open .
Tumezungumza ukweli
wote kwenu , Wakorintho , na mioyo yetu imefunguka kwa upana .
2CO 6:12     Alignment score: 0.255
You are not restrained by us , but you are restrained in your own hearts .
Hamkuzuiliwal nasi , bali mnazuiliwa na mioyo yenu wenyewe .
2CO 6:13     Alignment score: 0.389
Now in fair exchange I speak
as to children open yourselves wide also .
Sasa katika kubadilishana kwa haki - ninaongea kama kwa watoto - jifungueni kwa upana pia .
2CO 6:14     Alignment score: 0.268
Do not be yoked together with unbelievers . For what association does righteousness have with lawlessness ? For what fellowship does light have with darkness ?
Msifungwe nira pamoja na wasioamini . Kwa kuwa kuna muungano gani kati ya haki na uasi ? Na kuna ushirika gani kati ya nuru na giza ?
2CO 6:15     Alignment score: 0.386
What agreement can Christ have with Belial ? Or what share does a believer have together with an unbeliever ?
Ni makubaliano gani Kristo anaweza kuwa nayo na Beliali ? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na asiyeamini ?
2CO 6:16     Alignment score: 0.48
And what agreement is there between the temple of God and idols ? For we are the temple of the living God , just as God said : " I will dwell among them and walk among them . I will be their God , and they will be my people . "
Na kuna makubaliano gani yapo kati ya hekalu la Mungu na sanamu ? Kwa kuwa sisi ni hekalu la Mungu aliye hai , kama ambavyo Mungu alisema : Nitakaa kati yao na kutembea kati yao . Nitakuwa Mungu wao , nao watakuwa watu wangu .
2CO 6:17     Alignment score: 0.302
Therefore , " Come out from among them , and be set apart , " says the Lord . " Touch no unclean thing , and I will welcome you .
Kwa hiyo , Tokeni kati yao , na mkatengwe nao , asema Bwana . Msiguse kitu kichafu , na nitawakaribisha ninyi .
2CO 6:18     Alignment score: 0.385
I will be a Father to you , and you will be my sons and daughters , " says the Lord Almighty .
Nitakuwa Baba kwenu , nanyi mtakuwa wanangu wa kiume na wa kike , asema Bwana Mwenyezi .
2CO 6     Average alignment score: 0.339 for 18 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13