Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13 


2CO 9:1     Alignment score: 0.324 → 0.327
Concerning the service for God 's holy people , it is not necessary for me to write to you .
Kuhusiana na huduma kwa ajili ya waumini
, ni bora zaidi kwangu kuwaandikia .


2CO 9:2     Alignment score: 0.302 → 0.304
I know about your desire , which I boasted about to the people of Macedonia . I told them that Achaia has been getting ready since last year . Your eagerness has motivated most of them to action .
Ninajua kuhusu shauku yenu , ambayo nilijivunia
kwa watu wa Makedonia . Niliwaambia kwamba Akaya imekuwa tayari tangu mwaka uliopita . Hamu yenu imewatia moyo wengi wao kutenda .
2CO 9:3     Alignment score: 0.379
Now I have sent the brothers so that our boasting about you may not be futile , and so that you would be ready , as I said you would be .
Sasa , nimewatuma ndugu ili kwamba majivuno yetu kuhusu ninyi yasiwe ya bure , na ili kwamba mngekuwa tayari , kama nilivyosema mngekuwa .
2CO 9:4     Alignment score: 0.129 → 0.136
Otherwise , if any Macedonians come with me and find you unprepared , we would be ashamed
I say nothing about you for being so confident in you .
Vinginevyo , kama mtu yeyote wa Makedonia akija pamoja nami na kuwakuta hamjawa tayari , tungeona haya --- sisemi chochote kuhusu ninyi -- kwa kuwa jasiri sana katika ninyi .
2CO 9:5     Alignment score: 0.235 → 0.248
So I thought it was necessary to urge the brothers to come to you and to make arrangements in advance for the gift you have promised . This is so that it might
be ready as a blessing , and not as something extorted .
Hivyo niliona ilikuwa muhimu kuwasihi ndugu kuja kwenu na kufanya mipango mapema kwa ajili ya zawadi mlizoahidi . Hii ni hivyo ili kwamba ziwe tayari kama baraka , na si kama kitu kilichoamriwa .
2CO 9:6     Alignment score: 0.505
The point is this : The one who sows sparingly will also reap sparingly , and the one who sows for the purpose of a blessing will also reap a blessing .
Wazo ni hili : mtu apandaye haba pia atavuna haba , na yeyote apandaye kwa lengo la baraka pia atavuna baraka .
2CO 9:7     Alignment score: 0.247 → 0.25
Let each one give
as he has planned in his heart , not reluctantly or under compulsion , for God loves a cheerful giver .
Basi na kila mmoja atoe kama alivyopanga moyoni mwake . Basi naye asitoe kwa huzuni au kwa kulazimishwa . Kwa kuwa Mungu humpenda yule atoaye kwa furaha .
2CO 9:8     Alignment score: 0.277 → 0.289
And God is able to make all grace overflow for you , so that always , in all things , you may have all you need . This will be so that you may multiply every good deed .
Na Mungu anaweza kuizidishia kila baraka
kwa ajili yenu , ili kwamba , kila wakati , katika mambo yote , muweze kupata yote mnayohitaji . Hii itakuwa ili kwamba mueze kuzidisha kila tendo jema .
2CO 9:9     Alignment score: 0.372 → 0.376
It is as it is written : " He has distributed his riches and given them to the poor . His righteousness lasts forever . "
Ni kama ilivyoandikwa : Ametapanya utajiri wake na kuutoa kwa maskini
. Haki yake yadumu milele .
2CO 9:10     Alignment score: 0.438
He who supplies seed to the farmer who sows and bread for food will also supply and multiply your seed for sowing . He will increase the harvest of your righteousness .
Naye atoaye
mbegu kwa mpanzi na mkate kwa ajili ya chakula , pia atatoa na kuzidisha mbegu yenu kwa ajili ya kupanda . Yeye ataongeza mavuno ya haki yenu .
2CO 9:11     Alignment score: 0.335
You will be enriched in every way so you can be generous . This will bring about thanksgiving to God through us .
Mtatajirishwa kwa kila namna ili kwamba muweze kuwa wakarimu . Hii italeta shukrani kwa Mungu kupitia sisi .
2CO 9:12     Alignment score: 0.384
For carrying out this service not only meets the needs of God 's holy people , but it also is overflowing into many acts of thanksgiving to God .
Kwa kufanya
huduma hii sio tu inagusa mahitaji ya waumini . Pia huzidisha katika matendo mengi ya shukrani kwa Mungu .
2CO 9:13     Alignment score: 0.474
Because of your being tested and proved by this service , you will also glorify God by obedience to your confession of the gospel of Christ . You will also glorify God by the generosity of your contribution to them and to everyone .
Kwa sababu ya kupimwa kwenu na kuthibitishwa kwa huduma hii , pia mtamtukuza Mungu kwa utii kwa ukiri wenu wa injili ya Kristo . Pia mtamtukuza Mungu kwa ukarimu wa karama yenu kwao na kwa kila mmoja .
2CO 9:14     Alignment score: 0.343 → 0.35
They long for you , and they are praying for you . They do this because of the very great grace of God that is on you .
Wanawatamani , na wanaomba kwa ajili yenu . Wanafanya hivi kwa sababu ya neema kubwa ya Mungu iliyo juu yenu .
2CO 9:15     Alignment score: 0.294 → 0.343
May thanks be to God for his inexpressible gift !
Shukrani ziwe kwa Mungu kwa karama yake isiyoelezeka
!
2CO 9     Average alignment score: 0.342 for 15 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13