Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13 


2CO 12:1     Alignment score: 0.281 → 0.285
I must boast , even if it is unprofitable . But I will go on to visions and revelations
from the Lord .
Ni lazima nijivune , lakini hakuna kinachoongezwa na hilo . Bali nitaendelea kwenye maono na mafunuo kutoka kwa Bwana .


2CO 12:2     Alignment score: 0.409 → 0.421
I know a man in Christ who fourteen years ago whether in the body or out of the body , I do not know , God knows was caught up into the third heaven .
Namjua mtu mmoja katika Kristo ambaye miaka kumi na minne
iliyopita ambaye - ikiwa katika mwili , au nje ya mwili , mimi sijui , Mungu anajua - alinyakuliwa juu katika mbingu ya tatu .
2CO 12:3     Alignment score: 0.293 → 0.293
And I know that this man whether in the body , or out of the body , I do not know , God knows
Na ninajua kwamba mtu huyu
--- ikiwa katika mwili , ama njenymwili , mimi sinjui , Mungu anajua - jinsi
2CO 12:4     Alignment score: 0.304 → 0.31
was caught up into paradise and heard inexpressible words that people are not permitted to speak
.
alichukuliwa juu hadi paradiso na kusikia maneno yasiyoelezeka ambayo watu hawaruhusiwi kuyasema .
2CO 12:5     Alignment score: 0.32 → 0.38
On behalf of such a person I will boast . But on behalf of myself I will not boast , except about my weaknesses
.
Kwa niaba ya mtu kama huyo nitajivuna . Lakini kwa niaba yangu mwenyewe sitajivuna . Isipokuwa kuhusu udhaifu wangu .
2CO 12:6     Alignment score: 0.293 → 0.324
If I should choose to boast , I will not be a fool , because I would be speaking the truth . But I will keep from boasting , so that no one will think more of me than what he sees in me or hears from me .
Kama nikitaka kujivuna , nisingekuwa mpumbavu , kwa kuwa ningekuwa ninazungumza ukweli
. Lakini sitajivuna , ili kwamba asiwepo yeyote atakayenifikiria zaidi ya hayo kuliko kinachoonekana ndani yangu au kusikika kutoka kwangu .
2CO 12:7     Alignment score: 0.249 → 0.269
To keep me from exalting myself because of the surpassing greatness of the revelations
, a thorn in the flesh was given to me , a messenger from Satan to afflict me so I would not exalt myself .
Ili nisijiinue mimi mwenyewe kwa sababu ya ufunuo upitao ukuu , mwiba uliwekwa ndani ya mwili wangu , mjumbe wa shetani kunishambulia mimi , ili nisiwe na majivuno .
2CO 12:8     Alignment score: 0.23
Three times I pleaded with the Lord about this , for him to take it away from me .
Mara tatu nilimsihi Bwana kuhusu hili , ili Yeye auondoe kutoka kwangu .
2CO 12:9     Alignment score: 0.369 → 0.373
But he said to me , " My grace is enough for you , for power is made perfect in weakness . " So I would much rather boast about my weakness , so that the power of Christ might reside on me .
Lakini akaniambia , Neema yangu inatosha kwa ajili yako , kwa kuwa nguvu hufanywa kamili katika udhaifu . Hivyo , ningetamani kujivuna zaidi kuhusu udhaifu wangu , ili kwamba uwezo
wa Kristo uweze kukaa juu yangu .
2CO 12:10     Alignment score: 0.367
Therefore I am content for Christ 's sake in weaknesses
, in insults , in troubles , in persecutions and distressing situations . For whenever I am weak , then I am strong .
Kwa hiyo ninatosheka kwa ajili ya Kristo , katika udhaifu , katika matukano , katika shida , katika mateso , katika hali ya masikitiko . Kwa kuwa wakati nikiwa dhaifu , kisha nina nguvu .
2CO 12:11     Alignment score: 0.245 → 0.262
I have become a fool ! You forced me to this , for I should have been praised by you . For I was not at all inferior to the so-called super - apostles , even though I am nothing .
Mimi nimekuwa mpumbavu ! Ninyi mlinilazimisha kwa hili , kwa kuwa ningekuwa nimesifiwa na ninyi . Kwa kuwa sikuwa duni kabisa kwa hao waitwao mitume wakuu , hata kama mimi si kitu .
2CO 12:12     Alignment score: 0.45 → 0.451
The true signs of an apostle were performed among you with all perseverance , signs and wonders and miracles .
Ishara za kweli za mtume zilifanyika katikati yenu kwa uvumilivu , ishara na maajabu na matendo makuu .
2CO 12:13     Alignment score: 0.385 → 0.388
For how were you less important than the rest of the churches , except that I was not a burden to you ? Forgive me for this wrong !
Kwa namna gani mlikuwa wa muhimu wa chini kuliko makanisa yaliyobaki , isipokuwa kwamba sikuwa mzigo kwenu ? Mnisamehe kwa kosa hili !
2CO 12:14     Alignment score: 0.319 → 0.323
Look ! I am ready to come to you a third time . I will not be a burden to you , for I do not seek what is yours . I want you . For children should not save up for the parents . Instead , the parents should save up for the children .
Tazama ! Mimi niko tayari kuja kwenu kwa mara ya tatu . Sitakuwa mzigo kwenu , kwa kuwa sitaki kitu kilicho chenu . Nawataka ninyi . Kwa kuwa watoto hawapaswi kuweka akiba kwa ajili ya wazazi . Badala yake , wazazi wanapaswa kuweka akiba kwa ajili ya watoto .
2CO 12:15     Alignment score: 0.179 → 0.145
I will most gladly spend
and be spent for your souls . If I love you more , am I to be loved less ?
Nitafurahi zaidi kutumia na kutumiwa kwa ajili ya nafsi zenu . Kama ninawapenda zaidi , natakiwa kupendwa kidogo ?
2CO 12:16     Alignment score: 0.319
But as it is , I did not burden you . But since I am so crafty , I am the one who caught you by deceit .
Lakini kama ilivyo , sikuwalemea ninyi kama mzigo . Lakini kwa kuwa mimi ni mwerevu sana , mimi ni yule aliyewashika ninyi kwa udanganyifu .
2CO 12:17     Alignment score: 0.183
Did I take advantage of you by anyone I sent to you ?
Je , nilichukua kwa kujifanyia faida kwa yeyote niliyemtuma kwenu ?
2CO 12:18     Alignment score: 0.308 → 0.295
I urged Titus to go to you , and I sent the other brother with him . Did Titus take advantage of you ? Did we not walk in the same spirit ? Did we not walk in the same steps ?
Nilimsihi Tito kuja kwenu , na nilituma ndugu mwingine pamoja naye . Je , Tito aliwafanyia faida ninyi ? Je , hatukutembea katika njia ile ile ? Je , hatukutembea katika nyayo zile zile ?
2CO 12:19     Alignment score: 0.273 → 0.282
Do you think all of this time we have been defending ourselves
to you ? It is in the sight of God that we speak in Christ , and all for your strengthening , beloved .
Mnadhani kwa muda huu wote tumekuwa tukijitetea sisi wenyewe kwenu ? Mbele za Mungu , na katika Kristo , tumekuwa tukisema kila kitu kwa ajili ya kuwaimarisha ninyi .
2CO 12:20     Alignment score: 0.214 → 0.239
For I fear that when I come , I may not find you as I wish . I fear that you might
not find me as you wish . I fear that there may be quarreling , jealousy , outbursts of anger , rivalries , slander , gossip , arrogance , and disorder .
Kwa kuwa nina hofu kwamba nitakapokuja naweza nisiwapate ninyi kama ninavyotamani . Nina hofu kwamba mnaweza msinipate mimi kama mnavyotamani . Nahofia kwamba kunaweza kuwa na majadiliano , wivu , milipuko ya hasira , tamaa ya ubinafsi , umbeya , kiburi , na ugomvi .
2CO 12:21     Alignment score: 0.303 → 0.326
I fear that when I come back , my God might humble
me before you . I fear that I might be grieved by many of those who have sinned before now and who did not repent of the uncleanness and sexual immorality and lustful indulgence that they practiced .
Nina hofu kwamba nitakaporudi tena , Mungu wangu anaweza kuninyenyekeza mbele yenu . Nina hofu kwamba ninaweza kuhuzunishwa na wengi ambao wamefanya dhambi kabla ya sasa , na ambao hawakutubu uchafu , na uasherati na mambo ya tamaa wanayoyatenda .
2CO 12     Average alignment score: 0.314 for 21 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13