Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13 


2CO 11:1     Alignment score: 0.262
I wish that you could put up with me in some foolishness . But you are indeed putting up with me !
Nahisi kwamba mngevumiliana na mimi katika baadhi ya upumbavu . Lakini kwa kweli mnavumiliana na mimi .


2CO 11:2     Alignment score: 0.369
For I am jealous
about you . I have a godly jealousy for you , since I promised you in marriage to one husband . I promised to present you as a pure virgin to Christ .
Kwa kuwa ni mwenye wivu kuhusu ninyi . Nina wivu wa Mungu kwa ajili yenu , tangu nilipowaahidi ninyi kwenye ndoa ya mume mmoja . Niliahidi kuwaleta ninyi kwa Kristo kama bikra safi .
2CO 11:3     Alignment score: 0.354 → 0.38
But I am afraid that somehow , as the serpent deceived Eve by his craftiness , your thoughts might
be led astray , away from a sincere and pure devotion to Christ .
Lakini ninaogopa kwamba kwa namna fulani , kama nyoka alivyomdanganya Eva kwa hila yake , mawazo yenu yanaweza kupotoshwa mbali kutoka kwenye ibada halisi na safi kwa Kristo .
2CO 11:4     Alignment score: 0.316 → 0.327
For suppose that someone comes and proclaims another Jesus than the one we preached . Or suppose that you receive a different spirit than what you received . Or suppose that you receive a different gospel than the one you received . You put up with these
things well enough !
Kwa kuwa kwa mfano kwamba mtu fulani akaja na kutangaza Yesu mwingine tofauti na yule tuliyewahubiri . Au kwa mfano kwamba mkapokea roho mwingine tofauti na yule mliyempokea . Au kwa mfano kwamba mkapokea injili nyingine tofauti na ile mliyoipokea . Mkavumilia mambo haya vema inatosha !
2CO 11:5     Alignment score: 0.216
For I think that I am not in the least inferior to those so-called super - apostles .
Kwa kuwa nadhani kwamba mimi si miongoni mwa walio
duni kwa hao wanaoitwa mitume - bora .
2CO 11:6     Alignment score: 0.336
But even if I am untrained in speech , I am not untrained in knowledge . In every way and in all things we have made this known to you .
Lakini hata kama mimi sijafundishwa katika kutoa hotuba , siko hivyo katika maarifa . Kwa kila namna na katika mambo yote tumelifanya hili kujulikana kwenu .
2CO 11:7     Alignment score: 0.282 → 0.297
Did I sin by humbling myself so you might be exalted ? For I freely preached the gospel of God to you .
Je , nilifanya dhambi kwa kujinyenyekeza mwenyewe ili ninyi muweze kuinuliwa ? Kwa kuwa nilihubiri kwa uhuru injili ya Mungu kwenu .
2CO 11:8     Alignment score: 0.304
I robbed other churches by accepting support from them so that I could serve you .
Nilinyang'anya makanisa mengine kwa kupokea
msaada kutoka kwao ili kwamba ningeweza kuwahudumia ninyi .
2CO 11:9     Alignment score: 0.288
When I was with you and I was in need , I did not burden anyone . For my needs were met by the brothers who came from Macedonia . In everything I have kept myself from being a burden to you , and I will continue to do that .
Wakati nilipokuwa nanyi na nilikuwa katika uhitaji
, sikumlemea yeyote . Kwa kuwa mahitaji yangu yalitoshelezwa na ndugu waliokuja kutoka Makedonia . Katika kila kitu nimejizuia mwenyewe kutokuwa mzigo kwenu , na nitaendelea kufanya hivyo .
2CO 11:10     Alignment score: 0.346 → 0.372
As the truth of Christ is in me , this
boasting of mine will not be silenced in the parts of Achaia .
Kama kweli ya Kristo ilivyo ndani yangu , huku kujisifu kwangu , hakutanyamazishwa katika sehemu za Akaya .
2CO 11:11     Alignment score: 0.445 → 0.533
Why ? Because I do not love you ? God knows .
Kwa nini ? Kwa sababu siwapendi ? Mungu anajua nawapenda .
2CO 11:12     Alignment score: 0.114 → 0.132
And what I do I will keep doing , so that I may cut off the opportunity of those who want an opportunity to be found to be like us in the things they boast about .
Lakini kile ninachokifanya , nitakifanya pia . Nitakifanya ili kwamba niweze kuzuia nafasi ya wale wanaotamani nafasi ya kuwa kama tulivyo katika kile kile wanachojivunia .
2CO 11:13     Alignment score: 0.509
For such people are false apostles and deceitful workers . They disguise themselves as apostles of Christ .
Kwa kuwa watu wale ni mitume wa uongo na watendakazi wadanganyifu . Wanajigeuza wenyewe kama mitume wa Kristo .
2CO 11:14     Alignment score: 0.44
And this is no surprise , for even Satan disguises himself as an angel of light .
Na hii haishangazi , kwa kuwa hata Shetani hujigeuza mwenyewe kama malaika wa nuru .
2CO 11:15     Alignment score: 0.342
It is no great surprise if his servants also disguise themselves as servants of righteousness . Their fate will be what their deeds deserve .
Hii haina mshangao mkubwa kama watumishi wake pia kujigeuza wenyewe kama watumishi wa haki . Hatma
yao itakuwa kama matendo yao yastahilivyo .
2CO 11:16     Alignment score: 0.351 → 0.369
I say again : Let no one think I am a fool . But if you do , receive me as a fool so I may boast a little .
Nasema tena : Basi na asiwepo mtu yeyote anayefikiri mimi ni mpumbavu . Lakini kama mkifanya , nipokeeni mimi kama mpumbavu ili niweze kujisifu kidogo .
2CO 11:17     Alignment score: 0.147 → 0.148
What I am saying with this
boastful confidence I am not talking the way the Lord would I am saying as a fool .
Kile ninachosema kuhusu huku kujiamini kwa kujivuna hakuhukumiwi na Bwana , lakini nazungumza kama mpumbavu .
2CO 11:18     Alignment score: 0.356 → 0.371
Since many people boast according to the flesh , I will also boast .
Kwa vile watu wengi hujivuna kwa jinsi ya mwili , nitajivuna
pia .
2CO 11:19     Alignment score: 0.261
For you gladly put up with fools . You are wise yourselves !
Kwa kuwa mlichukuliana kwa furaha
na wapumbavu , ninyi wenyewe mna busara !
2CO 11:20     Alignment score: 0.153 → 0.159
For you put up with someone if he enslaves you , if he devours you , if he takes advantage of you , if he exalts himself , or if he slaps you in the face .
Kwa kuwa mnachukuliana na mtu kama akikutia utumwani , kama husababisha mgawanyiko
kati yenu , kama akiwatumia ninyi kwa faida yake , kama akijiweka juu hewani , au kama akiwapiga usoni .
2CO 11:21     Alignment score: 0.229 → 0.242
I will say to our shame that we were too weak to do that . Yet if anyone is bold I am speaking like a fool I too will be bold .
Nitasema kwa aibu yetu kwamba sisi tulikua dhaifu sana kufanya hivyo . Lakini kama kuna mtu anaujasiri -- nazungumza kama mpumbavu -- mimi pia nitakuwa jasiri
2CO 11:22     Alignment score: 0.399 → 0.399
Are they Hebrews ? So am I. Are they Israelites ? So am I. Are they descendants of Abraham ? So am I .
Je , wao ni Wayahudi ? Na mimi ni hivyo . Je , wao ni Waisraeli ? Na mimi ni hivyo . Je , wao ni uzao wa Abrahamu
? Na mimi ni hivyo .
2CO 11:23     Alignment score: 0.3 → 0.315
Are they servants of Christ ? ( I speak
as though I were insane . ) I am more : in harder labor , in more prisons , in beatings beyond measure , in facing many deadly dangers .
Je , wao ni watumishi wa Kristo ? ( Nanena kama nilirukwa na akili zangu . ) Mimi ni zaidi : katika kazi ngumu , katika vifungo zaidi , katika kupigwa kupita kiasi , katika kukabili hatari nyingi za kifo .
2CO 11:24     Alignment score: 0.425
From Jews I received five times the " forty lashes minus one . "
Kutoka kwa Wayahudi nimepokea mara tano mapigo arobaini kutoa moja .
2CO 11:25     Alignment score: 0.323 → 0.326
Three times I was beaten with rods . Once I was stoned . Three times I was shipwrecked . I have spent
a night and a day on the open sea .
Mara tatu nilipigwa kwa fimbo . Mara moja nilipigwa mawe . Mara tatu nilinusurika melini . Nimetumia usiku na mchana katika bahari wazi .
2CO 11:26     Alignment score: 0.559
I have been on frequent journeys , in danger from rivers , in danger from robbers , in danger from my own people , in danger from the Gentiles , in danger in the city , in danger in the wilderness , in danger at sea , in danger from false brothers .
Nimekuwa katika safari za mara kwa mara , katika hatari za mito , katika hatari za majambazi , katika hatari kutoka kwa watu wangu mwenyewe , katika hatari kutoka kwa watu wa mataifa , katika hatari ya mji , katika hatari ya jangwa , katika hatari ya bahari , katika hatari kutoka kwa ndugu waongo .
2CO 11:27     Alignment score: 0.328
I have served in labor and toil , in many sleepless nights , in hunger
and thirst , often in fasting , in cold and nakedness .
Nimekuwa katika kazi ngumu na katika maisha magumu , katika usiku mwingi wa kutolala , katika njaa na kiu , mara nyingi katika kufunga , katika baridi na uchi .
2CO 11:28     Alignment score: 0.243
Apart from everything else , there is the daily pressure of my concern for all the churches .
Mbali
na kila kitu kingine , kuna msukumo wa kila siku juu yangu wa wasiwasi wangu kwa ajili ya makanisa .
2CO 11:29     Alignment score: 0.294
Who is weak , and I am not weak ? Who has been caused to stumble , and I do not burn ?
Nani ni dhaifu , na mimi siyo dhaifu ? Nani amesababisha mwingine kuanguka
dhambini , na mimi siungui ndani ?
2CO 11:30     Alignment score: 0.312
If I must boast , I will boast about what shows my weaknesses
.
Kama ni lazima nijivune , nitajivunia kuhusu kile kinachoonyesha udhaifu wangu .
2CO 11:31     Alignment score: 0.491
The God and Father of the Lord Jesus , the one who is blessed forever , knows that I am not lying !
Mungu na Baba wa Bwana Yesu , yeye ambaye anatukuzwa milele , anajua kwamba mimi sidanganyi .
2CO 11:32     Alignment score: 0.487
At Damascus , the governor under King Aretas was guarding the city of Damascus to arrest me .
Kule Dameski , mkuu wa mkoa
chini ya mfalme Areta alikuwa akiulinda mji wa Dameski ili kunikamata .
2CO 11:33     Alignment score: 0.378 → 0.405
But I was lowered in a basket through a window in the wall , and I escaped from his hands .
Lakini niliwekwa kikapuni , kupitia dirishani katika ukuta , na nikanusurika kutoka mikononi mwake .
2CO 11     Average alignment score: 0.337 for 33 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13