Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13 


2CO 8:1     Alignment score: 0.464
We want you to know , brothers , about the grace of God that has been given to the churches of Macedonia .
Tunawataka ninyi mjue , kaka na dada , kuhusu neema ya Mungu ambayo imetolewa kwa makanisa ya Makedonia .


2CO 8:2     Alignment score: 0.347 → 0.347
During a great test of tribulation , the abundance of their joy and the extremity of their poverty have produced great riches of generosity .
Wakati wa jaribu kubwa la mateso , wingi wa furaha yao na ongezeko la umaskini
wao umezaa utajiri mkubwa wa ukarimu .
2CO 8:3     Alignment score: 0.226
For I testify that they gave as much as they were able , and even beyond what they were able , and of their own free will
Kwa maana nashuhudia kwamba walitoa kwa kadiri ya walivyoweza , na hata zaidi ya uwezo wao .
2CO 8:4     Alignment score: 0.234 → 0.252
they begged us with much earnestness for the privilege of sharing in this service to God 's holy people .
Na kwa hiari yao wenyewe walitusihi kwa bidii nyingi ili tupatependeleo la kushiriki katika utumishi huu kwa watu watakatifu wa mungu .
2CO 8:5     Alignment score: 0.261 → 0.265
This did not happen as we had hoped , but they first gave
themselves to the Lord and then to us by the will of God .
Hii haikutokea kama tulivyokuwa tunatarajia . Badala yake , kwanza walijitoa wao wenyewe kwa Bwana , kisha wakajitoa wao wenyewe kwetu kwa mapenzi ya Mungu .
2CO 8:6     Alignment score: 0.31
So we urged Titus , who had already
begun this task , to complete among you this act of grace .
Hivyo tulimsihi Tito , aliyekuwa tayari ameanzisha kazi hii , ili kukamilisha kati yenu hili tendo la neema .
2CO 8:7     Alignment score: 0.386 → 0.396
But you abound in everything in faith , in speech , in knowledge , in all diligence , and in your love for us . So also make sure that you excel in this act of grace .
Lakini ninyi mna wingi
katika kila kitu - katika imani , katika usemi , katika maarifa , katika bidii yote , na katika upendo wenu kwa ajili yetu . Hivyo hakikisheni kwamba ninyi mnakuwa na wingi pia katika hili tendo la neema .
2CO 8:8     Alignment score: 0.291
I say this not as a command but to test the sincerity of your love by comparing it to the eagerness of other people .
Nasema hili si kama amri , lakini ili kupima uhalisi wa upendo wenu kwa kuulinganisha
na shauku ya watu wengine .
2CO 8:9     Alignment score: 0.482
For you know the grace of our Lord Jesus Christ . Even though he was rich , for your sakes he became poor , so that through his poverty you might become rich .
Kwa maana mnajua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo . Hata kama alikuwa tajiri , kwa ajili yenu akawa maskini
ili kwamba kupitia umaskini wake muweze kuwa matajiri .
2CO 8:10     Alignment score: 0.345
In this matter I will give you advice that will help you . One year ago , you not only started to do something , but you desired to do it .
Katika jambo hili nitawapa ushauri ambao
utawasaidia . Mwaka mmoja uliopita , hamkuanza tuu kufanya jambo , lakini mlitamani kulifanya .
2CO 8:11     Alignment score: 0.231 → 0.232
Now finish it . Just as there was an eagerness and desire to do it then , may you also bring it to completion , as much as you can .
Sasa likamilisheni . Kama tu kulivyokuwa na shauku na nia ya kulifanya , kisha , je , mngeweza pia kulileta katika ukamilifu , kwa kadri ya mnavyoweza .
2CO 8:12     Alignment score: 0.159
For if you are eager to do this deed , it is a good and acceptable thing . It must be based on what a person has , not on what he does not have .
Kwa maana mkitamani kufanya tendo hili , ni jambo zuri
na linakubalika . Lazima lisimame juu ya kile alichonacho mtu , siyo juu ya asichokuwa nacho mtu .
2CO 8:13     Alignment score: 0.252
For this
is not to cause relief for others and tribulation for you , but for fairness .
Kwa maana hiii si kuleta kitulizo kwa wengine na dhiki kwenu , bali kwa ajili ya haki .
2CO 8:14     Alignment score: 0.224 → 0.238
Your abundance at the present time will supply what they need . This is also so that their abundance may supply your need , and so that there may be fairness .
Wingi wenu wa wakati wa sasa utasaidia kwa kile wanachohitaji . Hii ni hivyo pia ili kwamba wingi wao uweze kusaidia mahitaji yenu , na kwamba kuwe na haki .
2CO 8:15     Alignment score: 0.269 → 0.269
It is as it is written : " The one with much did not have anything left over , and the one who had little did not have any lack . "
Hii ni kama ilivyoandikwa ; Yeye aliye na vingi
hakuwa na kitu chochote kilichobaki na yeye aliyekuwa na kidogo hakuwa na uhitaji wowote .
2CO 8:16     Alignment score: 0.461
But thanks be to God , who put into Titus ' heart the same earnest care that I have for you .
Lakini ashukuriwe Mungu , aliyeweka ndani ya moyo
wa Tito moyo uleule wa bidii ya kujali ambyo ninayo kwa ajili yenu .
2CO 8:17     Alignment score: 0.214 → 0.222
For he not only accepted our appeal , but he was also very earnest about it . He came to you of his own free will .
Kwa kuwa si tu alipokea maombi yetu , bali pia alikuwa na bidii kuhusiana na maombi hayo
. Alikuja kwenu kwa hiari yake mwenyewe .
2CO 8:18     Alignment score: 0.388 → 0.408
We have sent with him the brother who is praised among all of the churches for his work in proclaiming the gospel .
Tumemtuma pamoja naye ndugu ambaye anasifiwa miongoni mwa makanisa kwa ajili ya kazi yake katika kutangaza injili .
2CO 8:19     Alignment score: 0.282
Not only this , but he also was chosen by the churches to be our traveling companion with this act of grace , which is being administered by us for the glory of the Lord himself and our good will .
Si hivi tu , lakini pia alichaguliwa na makanisa kusafiri nasisi katika kulibeba sehemu mbalimbali tendo hili la ukarimu . Hii ni kwa utukufu wa Bwana mwenyewe na kwa shauku yetu ya kusaidia .
2CO 8:20     Alignment score: 0.146
We are avoiding the possibility that anyone should complain about this act of generosity that we are carrying out .
Tunaepuka uwezekano kwamba yeyote napaswa
kulalamika kuhusiana na sisi kuhusiana na ukarimu huu ambao tunaubeba .
2CO 8:21     Alignment score: 0.396
We take care to do what is good , not only before the Lord , but also before people .
Tunachukua uangalifu kufanya kilicho cha heshima , sio tu mbele za Bwana , lakini pia mbele za watu .
2CO 8:22     Alignment score: 0.296 → 0.299
We are also sending another brother with them . We have tested him in many ways and found him diligent for many tasks . He is even more eager now because of the great confidence he has in you .
Pia tunamtuma ndugu mwingine pamoja nao . Tumempima mara nyingi , na tumemwona ni mwenye shauku for ajili ya kazi nyingi . Hata sasa ana bidii zaidi kwa sababu ya ujasiri mkubwa alionao ndani yenu .
2CO 8:23     Alignment score: 0.437
As for Titus , he is my partner and fellow worker for you . As for our brothers , they are messengers from the churches . They are a glory to Christ .
Kwa habari ya Tito , yeye ni mshirika mwenza wangu na mtendakazi mwenzangu kwa ajili yenu . Kama kwa ndugu zetu , wanatumwa na makanisa . Ni waheshima kwa Kristo .
2CO 8:24     Alignment score: 0.319
So show them the proof of your love , and show to the churches the reason for our boasting about you .
Hivyo , waonesheni upendo wenu , na muoneshe kwa makanisa sababu ya majivuno yetu kwa ajili yenu .
2CO 8     Average alignment score: 0.316 for 24 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13