Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:40
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOB:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42 


JOB 9:1     Alignment score: 0.609
Then Job answered and said ,
Kisha Ayubu akajibu na kusema
,


JOB 9:2     Alignment score: 0.349
" I truly know that this
is so . But how can a person be in the right with God ?
kweli najua kwamba ndivyo hivyo . Lakini ni kwa namna gani mtu anakuwa na haki kwa Mungu ?
JOB 9:3     Alignment score: 0.368 → 0.38
If he wants to argue with God , he can not answer him once in a thousand times .
Kama akitaka kubishana na Mungu , hatamjibu yeye mara moja katika elfu zaidi .
JOB 9:4     Alignment score: 0.314
God is wise in heart and mighty in strength ; who has ever hardened himself against him and succeeded ?
Mungu ni mwenye hekima moyoni na ukuu katika nguvu ; ni nani daima aliyejifanya mwenyewe kuwa mgumu dhidi yake na akafanikiwa ? -
JOB 9:5     Alignment score: 0.282
he who removes the mountains without warning anyone when he overturns them in his anger
Ambaye huiondoa
milima bila kumtahadharisha yeyote wakati akiipindua katika hasira zake -
JOB 9:6     Alignment score: 0.08
he who shakes the earth out of its place and sets its pillars trembling .
ambaye huitikisa nchi itoke mahali pake na mihimili yake hutikisika .
JOB 9:7     Alignment score: 0.299
It is the same God who tells the sun not to rise
, and it does not , and who covers up the stars ,
Ni Mungu yule yule ambaye huliamuru jua lisichomoze , nalo halichomozi , na ambaye huzihifadhi nyota ,
JOB 9:8     Alignment score: 0.357
who by himself stretches out the heavens and tramples down the waves of the sea ,
ambaye peke
yake ni mwenye kupanua mbingu na kuyatuliza mawimbi ya bahari ,
JOB 9:9     Alignment score: 0.376
who makes the Bear , Orion , the Pleiades , and the constellations of the south .
ambaye huumba Dubu , Orioni , kilima , na makundi ya nyota ya kusini .
JOB 9:10     Alignment score: 0.218 → 0.224
He does great and unsearchable things , and wonderful things that can not be counted .
Ni Mungu yule
yule atendaye mambo makuu , mambo yasiyofahamika - hasa , mambo ya ajabu yasiyohesabika .
JOB 9:11     Alignment score: 0.228 → 0.231
See , he goes by me , and I do not see him ; he passes on , but I do not understand him .
Tazama , huenda karibu nami , na siwezi kumuona yeye ; pia hupita
kwenda mbele , lakini ni simtambue .
JOB 9:12     Alignment score: 0.163 → 0.178
If he takes something away , who can stop him ? Who can say to him , ' What are you doing ? '
Kama akichukua kitu chochote , nani atamzuia ? Nani awezaye kumuuliza , unafanya nini ?
JOB 9:13     Alignment score: 0.408
God will not withdraw his anger ; the helpers of Rahab bow beneath him .
Mungu hataondoa hasira yake ; wamsaidiao Rahabu huinama chini yake .
JOB 9:14     Alignment score: 0.308 → 0.311
How much less could I answer him , could I choose words to reason with him ?
Je ni upungufu
kiasi gani mimi nitamjibu , je nichague maneno kuhojiana naye ?
JOB 9:15     Alignment score: 0.168 → 0.169
Even if I were righteous , I could not answer him ; I could only plead for mercy with my judge .
Hata kama ni mwenye haki , nisingelimjibu ; ningeomba msamaha tu kwa hukumu
yangu .
JOB 9:16     Alignment score: 0.269 → 0.28
Even if I called and he answered me , I would not believe that he was listening to my voice .
Hata kama ningelimwita na yeye akanitikia , nisingeamini kuwa ameisikia sauti yangu .
JOB 9:17     Alignment score: 0.232
For he breaks me with a tempest and multiplies my wounds without cause .
Kwa kuwa yeye anidhoofishaye kwa dhoruba na kuyaongeza majeraha yangu pasipo sababu .
JOB 9:18     Alignment score: 0.222
He does not allow me to regain my breath ; but he fills me with bitterness .
Yeye hataki hata kuniruhusu nipate kuvuta pumzi ; badala yake , hunijaza uchungu .
JOB 9:19     Alignment score: 0.16
If it is a matter of strength , behold , he is mighty ! If it is a matter of justice , who can summon him ?
Kama ni habari ya nguvu , tazama ! Yeye ni mwenye uwezo
! Kama ni habari ya haki , ni nani atakaye mhukumu ?
JOB 9:20     Alignment score: 0.263 → 0.263
Though I am in the right , my own mouth would condemn me ; and though I am blameless , my words would prove me to be guilty
.
Ingawa ni mwenye haki , kinywa changu mwenyewe kitanihukumu ; na ingawa ni mtakatifu , maneno yangu yatashuhudia kuwa ni mwenye kosa .
JOB 9:21     Alignment score: 0.25 → 0.253
I am blameless , but I do not care any more about myself ; I despise my own life .
Mimi ni mtakatifu , lakini siijali zaidi nafsi yangu ; Naudharau uhai wangu mwenyewe .
JOB 9:22     Alignment score: 0.173 → 0.177
It makes no difference , which is why I say that he destroys blameless people and wicked people together .
Haileti tofauti yoyote , kwa sababu hiyo
nasema kwamba yeye huangamiza watu wasio na makosa na waovu pia .
JOB 9:23     Alignment score: 0.126
When a whip suddenly kills , he mocks the despair of the innocent .
Kama hilo
pigo likiua ghafla , yeye atafurahi mateso yake mtu asiye na kosa .
JOB 9:24     Alignment score: 0.438 → 0.438
The earth is given into the hand of wicked people ; God covers the faces of its judges . If it is not he who does it , then who is it ?
Dunia imetiwa mkononi mwa watu waovu ; Mungu hufunika nyuso za waamuzi wake . Kama si yeye hufanya , ni nani basi ?
JOB 9:25     Alignment score: 0.305
My days are swifter than a running messenger ; my days flee away ; they see no good anywhere .
Siku zangu zinapita haraka kuliko tarishi akimbiae ; siku zangu zinakimbia mbali ; wala hazioni mema mahali popote .
JOB 9:26     Alignment score: 0.185 → 0.188
They are as fast as papyrus reed boats , and as fast as the eagle that swoops down on its victim .
Zinapita kama mashua zilizoundwa kwa majani ya mafunjo ziendazo kwa kasi , na zinakasi kama tai ashukaye upesi katika mawindo yake .
JOB 9:27     Alignment score: 0.204
If I said that I would forget about my complaints
, that I would take off my sad face and be happy ,
Kama ni kisema kwamba mimi nitasahau kuhusu manung'uniko yangu , kwamba nitaacha kuonyesha sura ya huzuni na kuwa na furaha ,
JOB 9:28     Alignment score: 0.225 → 0.228
I would be afraid of all my sorrows because I know that you will not consider me innocent .
Mimi nitaziogopa huzuni zangu zote kwa sababu nafahamu kuwa hutanihesabu kuwa sina hatia .
JOB 9:29     Alignment score: 0.242 → 0.237
I will be condemned ; why , then , should I try in vain ?
Nitahukumiwa ; kwa nini , basi , nitaabike bure ?
JOB 9:30     Alignment score: 0.403 → 0.403
If I washed myself with snow water and made my hands ever so clean ,
Kama najiosha mwenyewe kwa maji ya theluji na kuitakasa mikono yangu na kuwa safi zaidi ,
JOB 9:31     Alignment score: 0.253
God would plunge me in a ditch , and my own clothes would be disgusted with me .
Mungu atanitumbukiza shimoni , na nguo zangu mwenyewe zitanichukia .
JOB 9:32     Alignment score: 0.294
For God is not a man , as I am , that I could answer him , that we could come together in court .
Kwa kuwa Mungu si mtu , kama mimi , kwamba naweza kumjibu , hata tukaribiane katika hukumu
.
JOB 9:33     Alignment score: 0.247 → 0.261
There is no judge between us who might
lay his hand upon us both .
Hakuna hakimu baina yetu awezaye kuweka mkono wake juu yetu sote .
JOB 9:34     Alignment score: 0.27 → 0.264
There is no other judge who could take God 's rod off me , who could keep his terror from frightening me .
Hakuna hakimu mwingine ambaye anaweza kuniondolea fimbo ya Mungu , awezaye kuzuia kitisho chake kisinitie hofu . Kisha ningesema na nisimuogope .
JOB 9     Average alignment score: 0.271 for 34 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOB:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42