Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:40
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOB:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42 


JOB 30:2     Alignment score: 0.206 → 0.209
Indeed , the strength of their fathers ' hands , how could it have helped me men in whom the strength of their mature age had perished ?
Kwa kweli , nguvu za mikono ya baba zao , zingenisaidia nini - watu ambao hawakuwa na nguvu wakati wa kukua kwao ?


JOB 30:4     Alignment score: 0.304
They plucked saltwort and bushes ' leaves ; the roots of the broom tree were their food .
Walichuma mche chumvi na majani ya vichaka ; mizizi ya mti wa ufagio ilikuwa
ndiyo chakula chao .
JOB 30:5     Alignment score: 0.284 → 0.286
They were driven out from among people who shouted after them as one would shout after a thief .
Waliondolewa miongoni mwa watu waliopiga kelele nyuma yao kama ambavyo mtu angempigia kelele mwizi .
JOB 30:6     Alignment score: 0.497
So they had to live in river valleys , in holes of the earth and of the rocks .
Hivyo walipaswa kuishi katika mabonde ya mto , katika mashimo ya ardhi na miamba .
JOB 30:7     Alignment score: 0.146 → 0.157
Among the bushes they brayed like donkeys and they gathered together under the nettles .
Walilia kwa uchungu porini kama punda ; chini ya vichaka walikutana .
JOB 30:8     Alignment score: 0.225
They were the sons of fools , indeed , sons of nameless people ! They were driven out of the land with whips .
Walikuwa uzao
wa wapumbavu , hakika , wa watu wasiofaa ; waliondolewa duniani kama waarifu .
JOB 30:9     Alignment score: 0.316 → 0.336
But now I have become the subject of their taunting song ; I have become a byword for them .
Lakini sasa , nimekua sababu ya wimbo wa dhihaka kwa wana wao ; hakika
, nimekuwa mzaa kwao .
JOB 30:10     Alignment score: 0.24
They abhor me and stand far off from me ; they do not refrain from spitting in my face .
Wananichukia na kusimama mbali nami ; hawaachi kunitemea mate usoni .
JOB 30:11     Alignment score: 0.224 → 0.23
For God has unstrung the string to my bow and afflicted me , and those
who taunt me cast off restraint before my face .
Kwa maana Mungu ameondoa kamba katika upinde wangu na amenipiga , na hivyo watu hawa wanashindwa kujizuia mbele yangu .
JOB 30:12     Alignment score: 0.146 → 0.15
Upon my right hand rise
the rabble ; they drive me away and pile up against me their siege mounds .
Kundi la vijana wabaya wanashambulia nguvu zangu ; wananiondolea mbali na kukusanya kinyume changu rundo la kuhusuru .
JOB 30:13     Alignment score: 0.098 → 0.123
They destroy my path ; they push forward disaster for me , men who have no one to hold them back .
Wanaharibu maisha yangu ; wanapeleka mbele maangamizi yangu , watu wasio na wakuwazuia .
JOB 30:14     Alignment score: 0.345
They come against me like an army through a wide hole in a city wall ; in the midst of the destruction they roll themselves in on me .
Wanakuja kinyume changu kama jeshi katika tundu pana
katika ukuta wa mji ; katikati ya maangamizi wanajizungusha juu yangu .
JOB 30:15     Alignment score: 0.347 → 0.353
Terrors are turned upon me ; my honor is driven away as if by the wind ; my prosperity passes
away as a cloud .
Hofu zimeniandama ; heshima yangu imeondolewa mbali nami kama kwa upepo ; mafanikio yangu yameondolewa kama wingu .
JOB 30:16     Alignment score: 0.254
Now my life is pouring out from within me ; many days of suffering have laid hold on me .
Sasa uhai wangu umeondolewa ndani yangu ; siku nyingi za maumivu zimenipita .
JOB 30:17     Alignment score: 0.172
In the night my bones in me are pierced ; the pains that gnaw at me take no rest .
Mifupa inauma ndani yangu wakati wa usiku ; maumivu yanayonisaga hayaishi .
JOB 30:18     Alignment score: 0.236
God 's great force has seized my clothing ; it wraps around me like the collar of my tunic .
Nguvu kuu ya Mungu imeshika mavazi yangu ; yananizunguka kama kala ya vazi langu .
JOB 30:19     Alignment score: 0.371 → 0.372
He has thrown me into the mud ; I have become like dust and ashes .
Amenitupa matopeni ; nimekuwa kama vumbi na majivu .
JOB 30:20     Alignment score: 0.452 → 0.456
I cry to you , God , but you do not answer me ; I stand up , and you merely look at me .
Nakulilia wewe , Mungu , lakini haunijibu ; ninasimama , nawe unaniangalia tu .
JOB 30:21     Alignment score: 0.191
You have changed and become cruel to me ; with the might
of your hand you persecute me .
Umegeuka na kuwa mkali kwangu ; kwa nguvu za mkono wako umenitesa .
JOB 30:22     Alignment score: 0.217
You lift me up to the wind and cause it to drive me along ; you throw
me back and forth in a storm .
Unaniinua katika upepo na kuufanya unikokote ; unanirusha huku na kule katika dhoruba .
JOB 30:23     Alignment score: 0.31
For I know that you will bring me to death , to the house appointed for all the living .
Kwa maana najua
ya kwamba utanipeleka mautini , nyumba ya hatima kwa viumbe vyote .
JOB 30:24     Alignment score: 0.196 → 0.218
However , does no one reach out with his hand to beg for help when he falls ? Does no one in trouble call out for help ?
Lakini , je hakuna ainuaye mkono wake kuomba msaada aangukapo ? Je hakuna aombaye
msaada akiwa tabuni ?
JOB 30:25     Alignment score: 0.073
Did not I weep for him whose day is hard ? Did I not grieve for the needy
man ?
Je sikulia kwa ajili yake aliyekuwa tabuni ? Je sijahuzunika kwa ajili ya mwitaji ?
JOB 30:26     Alignment score: 0.364
When I hoped for good , then evil came
; when I waited for light , darkness came instead .
Nilipotazamia mema , ndipo yalipokuja mabaya ; niliposubiri nuru , giza lilikuja badala yake .
JOB 30:27     Alignment score: 0.268
My heart is troubled and does not rest ; days of affliction have come on me .
Moyo wangu umetaabika na hautulii ; siku za mateso zimenipata .
JOB 30:28     Alignment score: 0.403
I have gone about like one who was living in the dark , but not because of the sun ; I stand up in the assembly and cry for help .
Nimekuwa na ngozi nyeusi lakini si kwa sababu ya jua ; nasimama katika kusanyiko na kulilia msaada .
JOB 30:29     Alignment score: 0.458
I am a brother to jackals , a companion of ostriches .
Nimekuwa ndugu kwa mbwea
, mshirika wa mbuni .
JOB 30:30     Alignment score: 0.351
My skin is black and falls away from me ; my bones are burned with heat .
Ngozi yangu imekuwa nyeusi na inapukutika ; mifupa yangu imeunguzwa na joto .
JOB 30:31     Alignment score: 0.35
Therefore my harp is tuned for songs of mourning , my flute for the singing of those
who wail .
Kwa hiyo kinubi changu kimefunguliwa kwa nyimbo za maombolezo , zomari yangu kwa kuimba kwao waombolezao .
JOB 30     Average alignment score: 0.279 for 29 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOB:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42