Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:40
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOB:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42 


JOB 32:1     Alignment score: 0.396
So these
three men stopped answering Job because he was righteous in his own eyes .
Hivyo hawa watu watatu walikoma kumjibu Ayubu kwasababu alikuwa ni mwenye haki katika macho yake mwenyewe .


JOB 32:2     Alignment score: 0.582 → 0.58
Then the anger of Elihu son of Barakel the Buzite , of the family of Ram , was kindled ; it was kindled against Job because he justified himself rather than God .
Ndipo iliwaka hasira ya Elihu mwana wa Barakeli Mbuzi , wa familia ya Ramu , iliwaka dhidi ya Ayubu kwa kuwa alijihesabia haki mwenyewe kuliko Mungu .
JOB 32:3     Alignment score: 0.544
Elihu 's anger was also kindled against his three friends because they had found no answer to Job , and yet they had condemned Job .
Hasira ya Elihu iliwaka pia kinyume cha marafiki zake watatu kwasababu hawakupata jibu kwa ajili ya Ayubu , na bado walimhukumu Ayubu .
JOB 32:4     Alignment score: 0.42
Now Elihu had waited to speak to Job because the other men were older than he .
Sasa Elihu alikuwa amemsubiri Ayubu ili aweze kuzungumza naye kwa kuwa watu wengine walikuwa wakubwa kuliko yeye .
JOB 32:5     Alignment score: 0.47
However , when Elihu saw that there was no answer in the mouths of these
three men , his anger was kindled .
Hata hivyo , wakati Elihu alipoona ya kuwa hapakuwa na jibu katika midomo ya watu hawa watatu , hasira yake iliwaka .
JOB 32:6     Alignment score: 0.355
Then Elihu son of Barakel the Buzite spoke up and said , " I am young , and you are very old . That is why I held back and was afraid to tell you my own thoughts .
Ndipo Elihu mwana wa Barakeli Mbuzi alinena na kusema
, Mimi ni kijana mdogo , na ninyi ni wazee . Hii ndio sababu nilijizuia na sikuthubutu kuzungumza mawazo yangu mwenyewe .
JOB 32:7     Alignment score: 0.441
I said , " Length of days should speak
; a multitude of years should teach wisdom .
Nilisema , Urefu wa siku utazungumza ; na wingi wa miaka utatufundisha hekima .
JOB 32:8     Alignment score: 0.56
But there is a spirit in a man ; the breath of the Almighty gives him understanding .
Lakini kuna roho ndani ya mtu ; pumzi ya Mwenye nguvu humpa yeye ufahamu .
JOB 32:9     Alignment score: 0.297
It is not only the great people who are wise , nor the aged people alone who understand justice .
Si tu watu wakubwa
ndio wenye hekima , wala watu wazee pekee ambao hufahamu haki .
JOB 32:10     Alignment score: 0.331
Therefore I say to you , ' Listen to me ; I will also tell you my knowledge . '
Hivyo basi nakwambia wewe , Nisikilizeni mimi ; Nitakwambia
pia uelewa wangu .
JOB 32:11     Alignment score: 0.205
See , I waited for your words ; I listened to your arguments
while you were searching for a word .
Tazama , niliyasubiria maneno yenu ; nilisikiliza hoja zenu wakati mlipokuwa mnafikiri juu ya kile cha kusema .
JOB 32:12     Alignment score: 0.314
Indeed , I paid attention to you , but , see , there was not one of you who could convince Job or who could respond to his words .
Hakika , niliwajali sana ninyi , lakini , tazama , hakuna hata mmoja wenu aliyeweza kumshawishi Ayubu wala ambaye aliweza kumjibu maneno yake .
JOB 32:13     Alignment score: 0.358 → 0.381
Be careful not to say , ' We have found wisdom ! ' God will have to defeat Job ; mere man can not do it .
Iweni waangalifu msije mkasema , Tumepata hekima ! Mungu atakuwa amemshinda Ayubu ; mtu wa kawaida hawezi akafanya hivyo .
JOB 32:14     Alignment score: 0.433 → 0.434
For Job has not directed his words against me , so I will not answer him with your words .
Kwa kuwa Ayubu hajasema mojamoja maneno yake juu yangu , basi sitamjibu kwa maneno yenu .
JOB 32:15     Alignment score: 0.367 → 0.373
These
three men are dismayed ; they can answer Job no longer ; they have not a word more to say .
Hawa watu watatu wamepatwa na mshangao ; hawawezi kuendelea kumjibu Ayubu ; hawana neno zaidi la kusema .
JOB 32:16     Alignment score: 0.244 → 0.287
Should I wait because they are not speaking , because they stand there silent and answer no more ?
Je ninapaswa kusubiria
kwasababu hawazungumzi , kwa kuwa wamesimama pale kimya na wala hawajibu zaidi ?
JOB 32:17     Alignment score: 0.388 → 0.399
No , I also will answer on my part ; I will also tell them my knowledge .
La , nitajibu pia upande wangu ; Nitawaambia pia ufahamu wangu .
JOB 32:18     Alignment score: 0.343
For I am full of words ; the spirit in me compels me .
Kwa kuwa nimejawa na maneno mengi , roho ndani yangu inanisukuma .
JOB 32:19     Alignment score: 0.263
See , my breast is like fermenting wine that has no vent ; like new wineskins , it is ready to burst .
Tazama , kifua changu ni kama divai yenye chachu ambayo haina tundu ; kama viriba vipya , kiko tayari kupasuka .
JOB 32:20     Alignment score: 0.222 → 0.224
I will speak
so that I may be refreshed ; I will open my lips and answer .
Nitazungumza ili kwamba niweze kuburudishwa ; nitafungua kimya changu na kusema .
JOB 32:21     Alignment score: 0.201
I will not show favoritism ; neither will I give
honorific titles to any man .
Sitaonesha upendeleo ; wala sitatoa sifa za majina kwa mtu yeyote .
JOB 32:22     Alignment score: 0.236 → 0.251
For I do not know how to give such titles ; if I did so , my Maker would soon take me away .
Kwa kuwa sijui namna ya kutoa sifa ; kama nitafanya hivyo , Muumba wangu atanikatilia mimi mbali .
JOB 32     Average alignment score: 0.377 for 22 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOB:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42