Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:38
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1SA:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31 


1SA 24:1     Alignment score: 0.528
David went up from there and lived in the strongholds
of En Gedi .
Daudi akapanda kutoka huko na kukaa katika ngome ya Engedi .


1SA 24:2     Alignment score: 0.576
When Saul returned from chasing the Philistines , he was told , " David is in the wilderness of En Gedi . "
Sauli aliporudi kuwafukuza Wafilisti , akaambiwa kwamba , Daudi yuko katika jangwa la Engedi .
1SA 24:3     Alignment score: 0.49 → 0.522
Then Saul took three thousand chosen men from all Israel and went to seek David and his men on the Rocks of the Wild Goats .
Ndipo Sauli akachukua watu 3,000 waliochaguliwa kutoka Israeli yote , wakaenda kumtafuta Daudi na watu wake katika miamba ya Mbuzi Mwitu .
1SA 24:4     Alignment score: 0.414
He came
to sheep pens on the way , where there was a cave . Saul went inside to cover his feet . Now David and his men were sitting far back in the cave .
Akafika penye mazizi ya kondoo kando ya njia , mahali palipokuwa na pango . Sauli akaingia ndani yake ili kuifunika miguu . Wakati huo Daudi na watu wake walikuwa wamekaa mbali zaidi ndani ya pango lilelile .
1SA 24:5     Alignment score: 0.34 → 0.348
David 's men said to him , " This is the day of which Yahweh spoke when he said to you , ' I will give
your enemy into your hand , for you to do with him as you wish . ' " Then David arose and quietly crept forward and cut off the corner of Saul 's robe .
Watu wake Daudi wakamwambia , Hii ndiyo siku ambayo BWANA aliisema akikuambia , Nitamweka adui wako mkononi mwako , ili umtendee kama unavyotaka . Kisha Daudi akainuka na kumnyemelea kwa mbele kimya kimya na kulikata pindo la kanzu ya Sauli .
1SA 24:6     Alignment score: 0.44 → 0.444
Afterward David 's heart afflicted him because he had cut a corner off Saul 's robe .
Baadaye moyo wa Daudi ukamchoma kwa sababu alilikata pindo la kanzu ya Sauli .
1SA 24:7     Alignment score: 0.274 → 0.283
He said to his men , " May Yahweh forbid that I should do this thing to my master , Yahweh 's anointed , to put out my hand against him , seeing he is Yahweh 's anointed . "
Akawaambia watu wake , BWANA apishe mbali
, nisimtendee jambo hili bwana wangu , Mtiwa mafuta wa BWANA , kwa kunyoosha mkono wangu juu yake , maana yeye ni masihi wa BWANA .
1SA 24:8     Alignment score: 0.44 → 0.441
So David rebuked his men with these
words , and did not permit them to attack Saul . Saul stood up , left the cave , and went on his way .
Hivyo Daudi akawakemea watu wake kwa maneno haya , na kuwazuia wasimpige Sauli . Sauli akasimama , akatoka pangoni , na kwenda zake .
1SA 24:9     Alignment score: 0.465 → 0.464
Afterward , David also stood up , left the cave , and called out after Saul : " My master the king . " When Saul looked behind him , David bowed with his face to the ground and showed him respect .
Baadaye tena , Daudi akasimama
juu , akatoka pangoni , na kumwita Sauli : Bwana wangu mfalme . Sauli alipotazama nyuma , Daudi akasujudu hadi chini na kuonyesha heshima .
1SA 24:10     Alignment score: 0.49 → 0.537
David said to Saul , " Why do you listen to the men who say , ' See , David is seeking your harm ? '
Daudi akamwambia Sauli , Kwa nini unawasikiliza watu ambao wanasema , Angalia , Daudi anatafuta kukudhuru ?
1SA 24:11     Alignment score: 0.393 → 0.399
Today your eyes have seen how Yahweh put you into my hand when we were in the cave . Some told me to kill you , but I spared you . I said , ' I will not put out my hand against my master ; for he is Yahweh 's anointed . '
Leo macho yako yameona jinsi BWANA alivyokuweka mkononi mwangu tulipokuwa ndani ya pango . Wengine waliniambia nikuuwe , lakini nilikuacha hai . Nikasema , Sitanyoosha mkono wangu juu ya bwana wangu ; kwa kuwa ni masihi wa BWANA .
1SA 24:12     Alignment score: 0.28 → 0.289
See , my father , see the corner of your robe in my hand . For the fact that I cut off the corner of your robe and did not kill you , you may know and see that there is no evil or treason in my hand , and I have not sinned against you , even though you hunt my life to take it .
Tazama , baba yangu , angalia pindo la kanzu yako mkononi mwangu . Kwa maana kama nilikata pindo la kanzu yako na sikukuua , basi ujue na uone kwamba sina uovu au kosa katika mkono wangu , na sijafanya dhambi juu yako , ingawa unawinda kuutoa uhai wangu .
1SA 24:13     Alignment score: 0.392
May Yahweh judge between you and me , and may Yahweh avenge me against you , but my hand must not be against you .
BWANA aamue kati yangu na wewe , na BWANA anilipizie kisasi juu yako , lakini mkono wangu kamwe hautakuwa juu yako .
1SA 24:14     Alignment score: 0.399 → 0.428
As the proverb of the ancients says , ' Out of the wicked comes wickedness . ' But my hand will not be against you .
Kama mithali ya wazee isemavyo , Katika waovu hutoka uovu . Lakini mkono wangu hautakuwa juu yako .
1SA 24:15     Alignment score: 0.404 → 0.408
After whom has the king of Israel come out ? After whom do you pursue ? After a dead dog ! After a flea !
Mfalme wa Israeli ametoka kumuandama nani ? Unamsaka nani ? Unasaka mzoga wa mbwa ! Unasaka kiroboto !
1SA 24:16     Alignment score: 0.29 → 0.293
May Yahweh be judge and give
judgment between you and me , and see to it , and plead my cause and permit me to escape from your hand . "
BWANA na awe mwamuzi na atoe hukumu kati yangu na wewe , na akaione , na akatetee sababu yangu na aniruhusu kuepuka mkono wako .
1SA 24:17     Alignment score: 0.627 → 0.626
When David had finished speaking these
words to Saul , Saul said , " Is this your voice , my son David ? " Saul lifted up his voice and wept .
Daudi alipomaliza kuongea maneno haya kwa Sauli , Sauli akasema , Hii ni sauti yako , mwanangu Daudi ? Sauli alipaza sauti yake akalia .
1SA 24:18     Alignment score: 0.298 → 0.302
He said to David , " You are more righteous than I am . For you have repaid me good , where I have repaid you evil .
Akamwambia Daudi , Wewe ni mwenye haki kuliko mimi . Kwa sababu umenilipa mazuri
, wakati mimi nimekulipa maovu .
1SA 24:19     Alignment score: 0.247 → 0.279
You have declared today how you have done good to me , for you did not kill me when Yahweh had put me at your mercy .
Leo umetangaza jinsi ulivyonitendea mazuri
, kwa sababu hukuniua wakati BWANA aliponiweka katika rehema yako .
1SA 24:20     Alignment score: 0.331 → 0.35
For if a man finds his enemy , will he let him go safely ? May Yahweh reward you with good for what you have done to me today .
Kwa kuwa mtu akimpata adui yake , atamwacha aende zake salama ? Na BWANA akuzawadie mema kwa kile ulichonifanyia leo .
1SA 24:21     Alignment score: 0.525
Now , I know that you will surely be king and that the kingdom of Israel will be established in your hand .
Basi , najua
kwa hakika kwamba utakuwa mfalme na kwamba ufalme wa Israeli utaimarika katika mkono wako .
1SA 24:22     Alignment score: 0.434 → 0.451
Swear to me by Yahweh that you will not cut off my descendants after me , and that you will not destroy my name out of my father 's house . "
Niapie kwa BWANA kwamba baada yangu hautawakatilia mbali uzao wangu , na kwamba hautaliharibu jina langu katika nyumba ya baba yangu .
1SA 24:23     Alignment score: 0.591
So David made an oath to Saul . Then Saul went home , but David and his men went up to the stronghold .
Hivyo Daudi akamwapia Sauli kiapo . Kisha Sauli akaenda nyumbani , lakini Daudi na watu wake wakapanda kwenda ngomeni .
1SA 24     Average alignment score: 0.419 for 23 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1SA:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31