Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:38
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1SA:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31 


1SA 28:1     Alignment score: 0.427 → 0.434
It came about in those days that the Philistines gathered their armies together for battle to fight with Israel . Achish said to David , " Know for certain that you will go out with me in the army , you and your men . "
Ikawa katika siku hizo Wafilisti walikusanya majeshi yao pamoja kwa ajili ya vita , wapigane na Israeli . Akishi akamwambia Daudi , Ujue kwa hakika kwamba utakwenda nami ndani ya jeshi , wewe na watu wako .


1SA 28:2     Alignment score: 0.409
David said to Achish , " That being the case , you will know what your servant can do . " Achish said to David , " Then I will make you my bodyguard all your days . "
Naye Daudi akamwambia Akishi , Sasa utajua kile ambacho mtumishi wako anaweza kufanya . Akishi akamwambia Daudi , Basi sasa , nitakufanya uwe mlinzi wangu binafsi daima .
1SA 28:3     Alignment score: 0.362
Now Samuel had died
, and all Israel had lamented him and buried him in Ramah , in his own city . Also , Saul had banned sorcerers and spiritists from the land .
Samweli alikuwa amefariki ; Waisraeli wote walimwomboleza na kumzika huko Rama , katika mji wake mwenyewe . Wakati huo Sauli alikuwa amewafukuza kutoka nchini wote walioongea na wafu au pepo .
1SA 28:4     Alignment score: 0.575
Then the Philistines gathered themselves together and came and camped at Shunem ; and Saul gathered all Israel together , and they camped at Gilboa .
Wafilisti walijikusanya wao wenyewe wakaja na kuweka kambi huko Shunemu ; na Sauli akawakusanya Israeli wote pamoja , na wakaweka kambi yao huko Gilboa .
1SA 28:5     Alignment score: 0.6
When Saul saw the army of the Philistines , he was afraid , and his heart trembled very much .
Sauli alipoona jeshi la Wafilisti , aliogopa na moyo wake ukatetemeka
sana .
1SA 28:6     Alignment score: 0.471
Saul prayed to Yahweh for help , but Yahweh did not answer him neither by dreams , nor by Urim , nor by prophets .
Sauli alipomuomba BWANA kwa ajili ya msaada , BWANA hakumjibu - si kwa ndoto wala kwa Urimu , wala kwa manabii .
1SA 28:7     Alignment score: 0.404 → 0.41
Then Saul said to his servants , " Find me a woman who is a sorceress
, so that I may go to her and seek her advice . " His servants said to him , " See , there is a woman in Endor who is a sorceress . "
Ndipo Sauli akawaambia watumishi wake , Mnitafutie mwanamke ambaye anaweza kuongea na wafu , ili ni mwendee na kutafuta msaada wake . Watumishi wake wakamwambia , Tazama , yupo mwanamke huko Endori awezaye kuongea na wafu .
1SA 28:8     Alignment score: 0.241 → 0.256
So Saul disguised himself , putting on other clothing and went , he and two men with him . They went to the woman by night . He said , " Divine for me by a spirit and bring up for me the one I name . "
Basi Sauli akajigeuza , akavaa nguo nyingine tofauti
, akaondoka yeye pamoja na watu wawili ; wakamwendea yule mwanamke wakati wa usiku . Akasema , Nitabirie , nakuomba , kwa kuongea na wafu , na uniinulie yule nitakayekutajia .
1SA 28:9     Alignment score: 0.383 → 0.385
The woman said to him , " See , you know what Saul has done , how he has banned sorcerers and spiritists from the land . So why are you setting a trap for my life , to make me die ? "
Yule mwanamke akamwambia , Tazama , unajua
alichofanya Sauli , jinsi alivyowafukuza kutoka katika nchi wanaoongea na wafu au mizimu . Basi kwa nini mnatega mtego kwa ajili ya uhai wangu , ili kuniua ?
1SA 28:10     Alignment score: 0.393 → 0.395
Saul swore to her by Yahweh and said , " As Yahweh lives , no punishment will happen to you for this thing . "
Sauli akamwapia kwa BWANA na kusema
, Kama BWANA aishivyo , hakuna adhabu utakayopata kutokana na jambo hili .
1SA 28:11     Alignment score: 0.394 → 0.398
Then the woman said , " Whom should I bring up to you ? " Saul said , " Bring up Samuel for me . "
Kisha yule mwanamke akasema , Je , nikuinulie nani ? Sauli akasema , Niinulie Samweli .
1SA 28:12     Alignment score: 0.516 → 0.517
When the woman saw Samuel , she cried with a loud voice and spoke to Saul , saying , " Why have you deceived me ? For you are Saul . "
Yule mwanamke alipomwona Samweli , akalia kwa sauti kuu na kusema
na Sauli , akisema , Kwa nini umenidanganya ? Maana wewe ni Sauli .
1SA 28:13     Alignment score: 0.447
The king said to her , " Do not be afraid . What do you see ? " The woman said to Saul , " I see a god coming up out of the earth . "
Mfalme akamwambia , Usiogope . Unaona kitu gani ? Yule mwanamke akamwambia Sauli , Naona mungu akitoka katika nchi . Akamuuliza mwanamke ,
1SA 28:14     Alignment score: 0.298 → 0.311
He said to her , " What does he look like ? " She said , " An old man is coming up ; he is clothed with a robe . " Then Saul knew it was Samuel , and he bowed with his face to the ground and showed him respect .
Je , anafanana na nani ? Mwanamke akajibu , Mtu mzee anazuka ; naye amevaa kanzu . Sauli akafahamu kuwa huyo
ni Samweli , naye Sauli akainamisha uso wake hadi chini akionyesha heshima .
1SA 28:15     Alignment score: 0.387 → 0.392
Samuel said to Saul , " Why have you disturbed me and brought me up ? " Saul answered , " I am very distressed , for the Philistines are waging war against me , and God has left me and does not answer me any more , neither by prophets , nor by dreams . Therefore I have called you , that you may make known to me what I will do . "
Samweli akamwambia Sauli , Kwa nini umenisumbua na kuniinua juu ? Sauli akajibu , Nimetaabika sana , maana Wafilisti wamepanga vita dhidi yangu , na Mungu ameniacha na hanipi majibu tena , si kwa manabii , wala kwa ndoto . Kwa hiyo nimekuita , ili unijulishe kile nitakachofanya .
1SA 28:16     Alignment score: 0.404
Samuel said , " What then do you ask me , since Yahweh has left you , and he has become your enemy ?
Samweli akasema , Kwa kuwa BWANA amekuacha , basi unaniuliza nini , naye amekuwa adui yako ?
1SA 28:17     Alignment score: 0.327
Yahweh has done to you what he said he would . Yahweh has torn the kingdom out of your hand and he has given it to someone else to David .
BWANA amekutendea kile alichosema kuwa angekifanya . BWANA amerarua
ufalme kutoka mkononi mwako na amempa ufalme mtu mwingine - amempa Daudi .
1SA 28:18     Alignment score: 0.373 → 0.381
Because you did not obey the voice of Yahweh and did not carry out his fierce wrath on Amalek , he has therefore done this today to you .
Kwa sababu hukuitii sauti ya BWANA na hukutekeleza hasira yake kali juu ya Amaleki , kwa hiyo leo naye amefanya hili kwako .
1SA 28:19     Alignment score: 0.549
Yahweh will give
Israel along with you into the hand of the Philistines , and tomorrow you and your sons will be with me . Yahweh will also give the army of Israel into the hand of the Philistines . "
Zaidi ya hayo , BWANA atamweka Israeli pamoja na wewe katika mkono wa Wafilisti . Kesho wewe na wanao mtakuwa pamoja nami . BWANA pia ataliweka jeshi la Israeli katika mkono wa Wafilisti .
1SA 28:20     Alignment score: 0.41
Then Saul immediately fell his full length on the ground and was very afraid because of the words of Samuel . There was no strength in him , for he had eaten no food all that day , neither that whole night .
Ndipo ghafla Sauli alianguka chini kifudifudi na aliogopa kwa sababu ya yale
maneno ya Samweli . Aliishiwa nguvu mwilini mwake , kwa kuwa siku hiyo alikuwa hajala chakula , hata kwa usiku huo wote .
1SA 28:21     Alignment score: 0.34 → 0.365
The woman came to Saul and saw that he was very troubled , She said to him , " See , your woman servant has listened to your voice ; I have put my life in my hand and have listened to the words that you said to me .
Ndipo yule mwanamke akaja kwa Sauli na akaona kwamba Sauli amepata shida , naye akamwambia , Tazama , mjakazi wako ameisikiliza sauti yako ; Nimeyaweka maisha yangu mkononi mwangu na nimeyasikiliza maneno uliyoniambia .
1SA 28:22     Alignment score: 0.291 → 0.302
Now therefore , I beg you , listen also to the voice of your woman servant , and let me set a little food in front of you . Eat so that you may gain strength for when you go on your way . "
Hivyo basi , nakusihi , sikiliza pia sauti ya mjakazi wako , na uniruhusu nilete chakula kidogo mbele yako . Ule ili upate nguvu za kwenda kule uendako .
1SA 28:23     Alignment score: 0.481 → 0.487
But Saul refused and said , " I will not eat . " But his servants , together with the woman , compelled him , and he listened to their voice . So he rose from the ground and sat on the bed .
Lakini Sauli alikataa na kusema
, Sitakula . Lakini watumishi wake , pamoja na yule mwanamke , wakamlazimisha hatimaye alisikiliza sauti zao . Hivyo aliinuka kutoka chini na kukaa kitandani .
1SA 28:24     Alignment score: 0.306 → 0.314
The woman had a fatted calf in the house ; she hurried and killed it ; she took flour , kneaded it , and baked unleavened bread with it .
Yule mwanamke alikuwa na ndama mnono hapo nyumbani ; akafanya haraka na kumchinja ; akachukua unga , akaukanda , na akatengeneza mikate
isiyotiwa chachu kwa unga huo .
1SA 28:25     Alignment score: 0.467
She brought it before Saul and his servants , and they ate . Then they got up and left that night .
Akaileta
mbele ya Sauli na watumishi wake , nao wakala . Baaadaye waliinuka na kuondoka usiku huo .
1SA 28     Average alignment score: 0.406 for 25 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1SA:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31