Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:37
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JDG:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21 


JDG 7:1     Alignment score: 0.573 → 0.581
Then Jerub - Baal ( that is , Gideon ) rose
up early , and all the people who were with him , and they encamped beside the spring of Harod . The camp of Midian was to their north in the valley near the hill of Moreh .
Ndipo Yerubaali ( yaani Gideoni ) akainuka mapema , na watu wote waliokuwa pamoja naye , wakaweka kambi kando ya chemchemi ya Harodi . Kambi ya Midiani ilikuwa kaskazini mwao katika bonde karibu na kilima cha More .


JDG 7:2     Alignment score: 0.404 → 0.412
Yahweh said to Gideon , " There are too many soldiers for me to give
you victory over the Midianites , so that Israel may not boast over me , saying , ' Our own power has saved us . '
Bwana akamwambia Gideoni , Kuna askari wengi sana kwa mimi kukupa ushindi juu ya Wamidiani , ili Waisraeli wasijisifu juu yangu , wakisema , Nguvu zetu zimetuokoa .
JDG 7:3     Alignment score: 0.403 → 0.419
Now therefore , proclaim in the ears of the people and say , ' Whoever is afraid , whoever trembles , let him return and depart from Mount Gilead . ' " So twenty - two thousand people went away , and ten thousand remained .
Basi , tangaza masikioni mwa watu , ukisema
, Yeyote anayeogopa , anayetetemeka , arudi na atoke katika mlima Gileadi . Basi , watu 22,000 wakaondoka , na 10,000 wakabaki .
JDG 7:4     Alignment score: 0.368
Yahweh said to Gideon , " The people are still too many . Take them down to the water , and I will make their number smaller for you there . If I say to you , ' This one will go with you , ' he will go with you ; but if I say , ' This one will not go with you , ' he will not go . "
Bwana akamwambia Gideoni , Watu bado ni wengi sana . Wapeleke chini kwenye maji , na nitafanya idadi yao iwe ndogo kwa ajili yako . Kama nikisema , Huyu
atakwenda pamoja nawe , atakwenda pamoja nawe ; lakini kama nikisema , Huyu hawezi kwenda pamoja nawe , hatakwenda .
JDG 7:5     Alignment score: 0.391
So Gideon brought the people down to the water , and Yahweh said to him , " Separate everyone who laps up the water , as a dog laps , from those who kneel down to drink . "
Gideoni akawapeleka watu kwenye maji ; Bwana akamwambia , Ondoa kila mtu atakayelamba maji , kama mbwa alambavyo , kutoka kwa wale wanaopiga magoti na kunywa .
JDG 7:6     Alignment score: 0.277 → 0.281
Three hundred men lapped . The rest of the men kneeled
down to drink water .
Wanaume 300 walilamba . Wengine wote walipiga magoti kunywa maji .
JDG 7:7     Alignment score: 0.383 → 0.386
Yahweh said to Gideon , " With the three hundred men who lapped , I will rescue you and give
you victory over the Midianites . Let every other man go back to his own place . "
Bwana akamwambia Gideoni , Chukua watu hawa 300 waliokwisha kulamba maji , nitakuokoa na kukupa ushindi juu ya Wamidiani . Acha kila mtu arudi mahali pake .
JDG 7:8     Alignment score: 0.464 → 0.471
So those who were chosen took their supplies and their trumpets . Gideon sent away all the men of Israel , every man to his tent , but he kept the three hundred men . Now the Midian camp was down below him in the valley .
Kwa hiyo wale waliochaguliwa walichukua vifaa vyao na tarumbeta zao . Gideoni akawarudisha watu wote wa Israeli , kila mtu kwenda kwenye hema yake , lakini akawaweka watu 300 . Basi kambi ya Midiani ilikuwa chini yake katika bonde .
JDG 7:9     Alignment score: 0.325 → 0.322
That same night Yahweh said to him , " Get up ! Attack the camp , for I am going to give you victory over it .
Usiku huo huo Bwana akamwambia , Simama ! Kavamie
kambi , kwa maana nitakupa ushindi juu yake .
JDG 7:10     Alignment score: 0.51
But if you are afraid to go down , go down to the camp with Purah your servant ,
Lakini ikiwa unaogopa kushuka , shuka kwenye kambi pamoja na Pura mtumishi wako ,
JDG 7:11     Alignment score: 0.418 → 0.425
and listen to what they are saying , and your courage will be strengthened to attack the camp . " So Gideon went with Purah his servant , down to the guard posts of the camp .
na usikilize
kile wanachosema , na ujasiri wako utaimarishwa kushambulia kambi . Basi Gideoni akaenda pamoja na Pura mtumishi wake , mpaka chini kwa walinzi wa kambi .
JDG 7:13     Alignment score: 0.339 → 0.339
When Gideon arrived there , a man was telling a dream to his companion . The man said , " Look ! I had a dream , and I saw a round
loaf of barley bread tumbling into the camp of Midian . It came to the tent , and hit it so hard that it fell down and turned it upside down , so that it lay flat . "
Gideoni alipofika huko , mtu alikuwa akimwambia mwenzake ndoto . Mtu huyo akasema , Angalia ! Niliota ndoto , na nikaona mkate wa shayiri umeanguka ndani ya kambi ya Midiani . Ukaja hemani , na kuipiga kwa nguvu sana hata ikaanguka chini ikapinduka na kulala chini .
JDG 7:14     Alignment score: 0.47
The other man said , " This is nothing other than the sword of Gideon the son of Joash , a man of Israel . God has given him victory over Midian and all their army . "
Mtu mwingine akasema , Hii si kitu kingine isipokuwa upanga wa Gideoni ( mwana wa Yoashi ) , Mwisraeli
. Mungu amempa ushindi juu ya Midiani na jeshi lake lote .
JDG 7:15     Alignment score: 0.507 → 0.51
When Gideon heard the retelling of the dream and its interpretation , he bowed down in worship . He went back to the camp of Israel and said , " Get up ! Yahweh has given you victory over the Midian army . "
Gideoni aliposikia habari ya ile ndoto na tafsiri yake , akainama chini na kuabudu . Alirudi kwenye kambi ya Israeli na kusema
, Simameni ! Bwana ametupa ushindi juu ya jeshi la Midiani .
JDG 7:16     Alignment score: 0.302 → 0.303
He divided the three hundred men into three groups , and he gave them all rams ' horns and empty jars , with torches inside each jar .
Akawagawa watu 300 katika makundi matatu
, na akawapa tarumbeta zote na mitungi tupu , na taa ndani ya kila mtungi .
JDG 7:17     Alignment score: 0.239 → 0.211
He said to them , " Look at me and do what I do . Watch ! When I come to the edge of the camp , you must do what I do .
Akawaambia , Niangalieni mimi na kufanya yale ninayoyafanya . Tazama ! Ninapofika kwenye mwisho wa kambi , ni lazima mfanye kile ninachofanya .
JDG 7:18     Alignment score: 0.328
When I blow
the ram 's horn , I and all who are with me , then blow your ram 's horns also on every side of the entire camp and shout , ' For Yahweh and for Gideon ! ' "
Nitakapopiga tarumbeta , mimi na wote mlio pamoja nami , basi mtapiga tarumbeta zenu katika kila upande wa kambi nzima na kupiga kelele , kwa Bwana na Gideoni !
JDG 7:19     Alignment score: 0.268
So Gideon and the hundred men who were with him came
to the edge of the camp , right at the beginning of the middle watch . Just as the Midianites were changing guard , they blew the rams ' horns and broke the jars that were in their hands .
Basi Gideoni na watu mia moja waliokuwa pamoja naye walifika mwisho wa kambi , hapo mwanzoni mwa saa ya kati . Wakati Wamidiani walikuwa wakibadilisha walinzi , walipiga tarumbeta na kuvunja mitungi iliyokuwa mikononi mwao .
JDG 7:20     Alignment score: 0.327 → 0.359
The three companies blew
the rams ' horns and broke the jars . They held the torches in their left hands and the rams ' horns in their right hands to blow them . They shouted out , " The sword of Yahweh and of Gideon . "
Vikosi vitatu vilipiga tarumbeta na kuvunja mitungi . Walikuwa na taa katika mikono yao ya kushoto na tarumbeta katika mikono yao ya kulia ili kuwapiga . Walipiga kelele , Upanga wa Bwana na wa Gideoni .
JDG 7:21     Alignment score: 0.315 → 0.319
Every man stood in his place around the camp and all the Midianite army ran . They shouted and ran away .
Kila mtu alisimama mahali pake kando ya kambi na jeshi la Midiani likakimbia . Walipiga kelele na kukimbia
.
JDG 7:22     Alignment score: 0.353 → 0.413
When they blew
the three hundred rams ' horns , Yahweh set every Midianite man 's sword against his comrades and against all their army . The army fled as far as Beth Shittah toward Zererah , as far as the border of Abel Meholah , near Tabbath .
Walipopiga tarumbeta 300 , Bwana akaweka upanga wa kila mtu wa Midiani dhidi ya wenzake na dhidi ya jeshi lake lote . Jeshi likakimbia mpaka Bethshita kuelekea Serera , mpaka , mpaka wa Abel Mehola , karibu na Tabathi .
JDG 7:23     Alignment score: 0.641
The men of Israel from Naphtali , Asher , and all Manasseh were called out , and they went after Midian .
Watu wa Israeli kutoka Naftali , Asheri , na Manase wote waliitwa nje , nao wakawafuata Midiani .
JDG 7:24     Alignment score: 0.544
Gideon sent messengers throughout all the hill country of Ephraim , saying , " Go down against Midian and take control of the Jordan River , as far as Beth Barah , to stop them . " So all the men of Ephraim were summoned and took control of the waters , as far as Beth Barah and the Jordan River .
Gideoni akatuma wajumbe katika nchi zote za mlima wa Efraimu , akisema
, Nenda chini dhidi ya Midiani na umiliki Mto Yordani mpaka Bethbara , ukawazuie . Basi wanaume wote wa Efraimu walikusanyika pamoja na kuimiliki maji , mpaka Bethbara na Mto Yordani .
JDG 7:25     Alignment score: 0.599 → 0.612
They captured the two princes of Midian , Oreb and Zeeb . They killed Oreb at the rock of Oreb , and they killed Zeeb at the winepress of Zeeb . They went after the Midianites , and they brought the heads of Oreb and Zeeb to Gideon , who was on the other side of the Jordan .
Wakawatwaa wakuu wawili wa Midiani , Orebu na Zeebu . Wakamuua Orebu kwenye mwamba wa Orebu , nao wakamuua Zeebu katika shinikizo la divai la Zeebu . Wakawafuata Wamidiani , wakamletea
Gideoni vichwa vya Orebu na Zeebu , ng'ambo ya pili ya Yordani .
JDG 7     Average alignment score: 0.423 for 24 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JDG:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21