Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:37
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JDG:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21 


JDG 15:1     Alignment score: 0.501 → 0.501
After some days , during the time of wheat harvest , Samson took a young goat and went to visit his wife . He said to himself , " I will go to my wife 's room . " But her father would not allow him to go in .
Baada ya siku kadhaa , wakati wa mavuno ya ngano , Samsoni akachukua mbuzi mdogo akaenda kumtembelea mkewe . Akajiambia mwenyewe , Nitaenda kwenye chumba cha mke wangu . Lakini baba yake hakumruhusu aingie .


JDG 15:2     Alignment score: 0.361 → 0.422
Her father said , " I really thought you hated her , so I gave
her to your friend . Her younger sister is more beautiful than she is , is she not ? Take her instead . "
Baba yake akasema , Nilidhani umemchukia , hivyo nikampatia rafiki yako . Dada yake mdogo ni mzuri kuliko yeye , mchukue badala yake .
JDG 15:3     Alignment score: 0.418
Samson said to them , " This time I will be innocent in regard to the Philistines when I hurt them . "
Samsoni akawaambia , Wakati huu sitakuwa na hatia juu ya Wafilisti wakati nikiwaumiza .
JDG 15:4     Alignment score: 0.421
Samson went and caught three hundred foxes and he tied together each pair , tail to tail . Then he took torches and tied them in the middle of each pair of tails .
Samsoni akaenda na kukamata mbweha 300 akawafunga pamoja kila jozi , mkia hadi mkia . Kisha akachukua taa na kuzifunga katikati ya kila mkia
.
JDG 15:5     Alignment score: 0.405
When he had set the torches on fire , he let the foxes go into the standing grain of the Philistines , and they set fire to both the stacked grain and the grain standing in the field , along with the vineyards and the olive orchards .
Alipokwisha kuviwasha moto vienge , akawaachia mbweha katika nafaka za Wafilisti zilizosimama , nao wakawasha moto nafaka zote zilizopandwa , na nafaka iliyosimama shambani , pamoja na mashamba ya mizabibu na mizeituni .
JDG 15:6     Alignment score: 0.549 → 0.566
The Philistines asked , " Who did this ? " They were told , " Samson , the Timnite 's son-in-law , did this
because the Timnite took Samson 's wife and gave her to his friend . " Then the Philistines went and burned up her and her father .
Wafilisti waliuliza , Ni nani aliyefanya hili ? Wakaambiwa , Samsoni , mkwe wa Mtimna alifanya hivyo kwa sababu Mtimna alimchukua mke wa Samsoni akampa rafiki yake . Basi Wafilisti wakamwendea wakamchoma kwa moto yeye na baba yake .
JDG 15:7     Alignment score: 0.359
Samson said to them , " If this
is what you do , I will get my revenge against you , and after that is done , I will stop . "
Samsoni akawaambia , Ikiwa ndivyo mnavyofanya , nitalipiza kisasi juu yenu , na baada ya hayo , nitaacha .
JDG 15:8     Alignment score: 0.383
Then he cut them to pieces , hip and thigh , with a great slaughter . Then he went down and lived in a cave in the cliff of Etam .
Kisha akawakata vipande vipande , paja na mguu , kwa kuwauwa
sana . Kisha akashuka chini akaishi katika pango katika mwamba wa Etamu .
JDG 15:9     Alignment score: 0.367
Then the Philistines came up and encamped in Judah and spread out in Lehi .
Ndipo Wafilisti wakaja , wakajitahidi kupigana vita huko Yuda , wakaanzisha jeshi lao huko Lehi .
JDG 15:10     Alignment score: 0.34 → 0.353
The men of Judah said , " Why have you come up against us ? " They said , " We have come up so we may capture Samson , and do to him as he has done to us . "
Watu wa Yuda wakasema , Kwa nini mmekuja kutupiga ? Wakasema , Tunashambulia ili tuweze kumkamata Samsoni , na tumtendee kama alivyotutendea .
JDG 15:11     Alignment score: 0.419 → 0.433
Then three thousand men of Judah went down to the cave in the cliff of Etam , and they said to Samson , " Do you not know that the Philistines are rulers over us ? What is this
you have done to us ? " Samson said to them , " They did to me , and so I have done to them . "
Kisha watu 3,000 wa Yuda wakashuka hata kwenye pango la Etamu , wakamwambia Samsoni , Je , hujui kwamba Wafilisti hutawala juu yetu ? Je ! Umetutendea nini ? Samsoni akawaambia , Kwa kadili walivyonitendea mimi , vivyo hivyo nimewatendea wao .
JDG 15:13     Alignment score: 0.347
They said to him , " No , we will only tie you with ropes and hand you over to them . We promise we will not kill you . " Then they tied him up with two new ropes and brought him up from the rock .
Wakamwambia , La , tutakufunga tu kwa kamba na kukupeleka kwao . Tunakuahidi sisi hatutakuua . Kisha wakamfunga na kamba mbili mpya na kumleta kutoka kwenye mwamba .
JDG 15:14     Alignment score: 0.37 → 0.402
When he came
to Lehi , the Philistines came shouting as they met him . Then Yahweh 's Spirit came on him with power . The ropes on his arms became like burnt flax , and they fell off his hands .
Alipofika Lehi , Wafilisti walipiga kelele walipokutana naye . Kisha Roho wa Bwana akaja juu yake kwa nguvu . Kamba zilizokuwa juu ya mikono yake zikawa kama kitambaa cha kuteketezwa , na zikaanguka mikononi mwake .
JDG 15:15     Alignment score: 0.322 → 0.333
Samson found a fresh jawbone of a donkey , and he picked it up and killed a thousand men with it .
Samsoni alipata mfupa
mbichi wa taya ya punda , naye akaichukua na kuua watu elfu kwa mfupa huo .
JDG 15:16     Alignment score: 0.437
Samson said , " With the jawbone of a donkey , heaps upon heaps , with the jawbone of a donkey I have killed a thousand men . "
Samsoni akasema , Kwa taya ya punda , chungu juu ya chungu , na njaa ya punda nimewaua watu elfu .
JDG 15:17     Alignment score: 0.542
When Samson finished speaking , he threw away the jawbone , and he called the place Ramath Lehi .
Samsoni alipomaliza kuzungumza , akatupa taya , na akaita mahali pale Ramath
Lehi .
JDG 15:18     Alignment score: 0.486 → 0.498
Samson was very thirsty and called on Yahweh and said , " You have given this
great victory to your servant . But now will I die of thirst and fall into the hands of those who are uncircumcised ? "
Samsoni alikuwa na kiu sana akamwita Bwana na kusema , Umempa mtumishi wako ushindi mkubwa . Lakini sasa nitakufa kwa kiu na kuanguka mikononi mwa wale wasiootahiriwa ?
JDG 15:19     Alignment score: 0.327 → 0.363
God split open the hollow place that is at Lehi and water came
out . When he drank , his strength returned and he revived . So he called the name of that place En Hakkore , and it is at Lehi to this day .
Na Mungu akapafungua mahali pa shimo palipo katika Lehi , na maji yakatoka . Alipokunywa , nguvu zake zikarejea na akahuishwa . Kwa hiyo aliita jina la mahali hapo Enhakore , na ni huko Lehi hadi leo .
JDG 15:20     Alignment score: 0.71
Samson judged Israel in the days of the Philistines for twenty years .
Samsoni alikuwa mwamuzi wa Israeli katika siku za Wafilisti kwa miaka ishirini .
JDG 15     Average alignment score: 0.434 for 19 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JDG:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21