Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:37
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JDG:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21 


JDG 19:1     Alignment score: 0.43 → 0.441
In those days , when there was no king in Israel , there was a man , a Levite , living for a while in the most remote area of the hill country of Ephraim . He took for himself a woman , a concubine
from Bethlehem in Judah .
Katika siku hizo , wakati hakuna mfalme katika Israeli , kulikuwa na mtu , Mlawi , aliyekuwa akiishi kwa muda kidogo katika eneo la mbali zaidi ya nchi ya Efraimu . Alijichukulia mwanamke , masuria kutoka Bethlehemu huko Yuda .


JDG 19:2     Alignment score: 0.399 → 0.404
But his concubine
acted like a prostitute against him ; she left him and went back to her father 's house in Bethlehem of Judah . She stayed there for four months .
Lakini mkewe hakuwa mwaminifu kwake ; akaondoka na kurudi nyumbani kwa baba yake huko Bethlehemu ya Yuda . Alikaa huko kwa muda wa miezi minne .
JDG 19:4     Alignment score: 0.399 → 0.408
His father-in-law , the girl 's father , persuaded him to stay for three days . They ate and drank
, and they spent the night there .
Baba mkwe wake , baba wa msichana , alimshawishi kukaa siku tatu . Walikula na kunywa , na walikaa usiku huko .
JDG 19:5     Alignment score: 0.371 → 0.372
On the fourth day they got up early and he prepared to go , but the girl 's father said to his son-in-law , " Strengthen yourself with a bit of bread , then you may go . "
Siku ya nne waliamka mapema na alijiandaa
kuondoka , lakini baba wa msichana akamwambia mkwewe , Jipe nguvu na mkate kidogo , kisha unaweza kwenda .
JDG 19:6     Alignment score: 0.434
So the two of them sat down to eat and drink together . Then the girl 's father said , " Please be willing to spend the night and have a good time . "
Basi hao wawili wakaketi kula na kunywa pamoja . Kisha baba ya msichana akasema , Tafadhali uwe tayari kukaa usiku huu na kuwa na wakati mzuri
.
JDG 19:7     Alignment score: 0.426 → 0.427
When the Levite got up to leave , the father of the young woman urged him to stay , so he changed his plan and spent
the night there again .
Mlawi alipoinuka ili aondoke , baba wa mwanamke huyo alimwomba akae , hivyo alibadili mpango wake na akalala usiku tena .
JDG 19:8     Alignment score: 0.353 → 0.362
On the fifth day he woke up early to leave , but the girl 's father said , " Strengthen yourself , and wait until the afternoon . " So the two of them had a meal .
Siku ya tano aliamka mapema kuondoka , lakini baba wa msichana akasema , Jitie nguvu mwenyewe , na kusubiri mpaka alasiri . Kwa hiyo hao wawili wakala chakula .
JDG 19:9     Alignment score: 0.481 → 0.493
When the Levite and his concubine and his servant rose
up to depart , his father-in-law , the girl 's father said to him , " See now , the day is advancing toward evening . Please stay another night , and have a good time . You can get up early tomorrow and go back home . "
Mlawi na suria wake na mtumishi wake wakainuka ili kuondoka , baba mkwe wake , baba wa msichana akamwambia , Angalia , sasa mchana unaelekea jioni . Tafadhali kaa usiku mwingine , na uwe na wakati mzuri . Unaweza kuamka kesho mapema na kurudi nyumbani .
JDG 19:10     Alignment score: 0.446
But the Levite was not willing to spend the night . He got up and left . He went toward Jebus ( that is Jerusalem ) . He had a pair of saddled donkeys and his concubine
was with him .
Lakini Mlawi hakuwa tayari kukaa usiku . Aliamka na kuondoka . Akaenda kuelekea Yebusi ( hiyo ni Yerusalemu ) . Alikuwa na pande mbili za punda - na masuria wake walikuwa pamoja naye .
JDG 19:11     Alignment score: 0.401
When they were near Jebus , the day was nearly over , and the servant said to his master , " Come , let us turn aside
to the city of the Jebusites and spend the night in it . "
Walipokuwa karibu na Yebusi , siku hiyo ilikuwa imeenda mno , na mtumishi akamwambia bwana wake , Haya , tupate kwenda kwa mji wa Wayebusi , tukakae ndani yake usiku huu .
JDG 19:12     Alignment score: 0.413
His master said to him , " We will not turn aside
into a city of foreigners who do not belong to the people of Israel . We will go on to Gibeah . "
Bwana wake akamwambia , Hatuwezi kwenda katika mji wa wageni ambao si wa wana wa Israeli . Tutakwenda Gibea .
JDG 19:13     Alignment score: 0.472
The Levite said to his young man , " Come , let us go to one of those
other places , and spend the night in Gibeah or Ramah . "
Mlawi akamwambia yule kijana , Njoo , twende sehemu moja wapo , na tukae usiku huko Gibea au Rama .
JDG 19:14     Alignment score: 0.464 → 0.469
So they went on , and the sun set as they came
near to Gibeah , in the territory of Benjamin .
Basi , wakaenda , na jua likachwea wakiwa karibu na Gibea , katika eneo la Benyamini .
JDG 19:15     Alignment score: 0.324 → 0.327
They turned aside
there to spend the night in Gibeah . They went and sat down in the city square , but no one took them into his house for the night .
Wakageuka huko ili waweze kukaa usiku huko Gibea . Naye akaingia na kukaa katika njia kuu ya jiji , maana hakuna mtu aliyewaingiza nyumbani kwake usiku .
JDG 19:16     Alignment score: 0.431 → 0.432
But then an old man was coming from his work in the field that evening . He was from the hill country of Ephraim , and he was staying for a while in Gibeah . But the men living in that place were Benjamites .
Lakini mtu mzee alikuwa akija kutoka kazini kwake katika shamba jioni hiyo
. Alikuwa kutoka mlima wa Efraimu , naye alikuwa akikaa kwa muda huko Gibea . Lakini watu wanaoishi mahali hapo walikuwa Wabenyamini .
JDG 19:17     Alignment score: 0.335 → 0.353
He raised his eyes and saw the traveler in the city square . The old man said , " Where are you going ? Where are you coming from ? "
Aliinua macho na kumwona msafiri katika njia kuu ya mji . Huyo
mzee akasema , Unakwenda wapi ? Unatoka wapi ?
JDG 19:18     Alignment score: 0.405 → 0.428
The Levite said to him , " We are on our way from Bethlehem in Judah to the most remote part of the hill country of Ephraim , which is where I come from . I went to Bethlehem in Judah , and I am going to the house of Yahweh , but there is no one who will take me into his house .
Mlawi akamwambia , Tunaenda kutoka Bethelehemu
ya Yuda mpaka sehemu ya mbali zaidi ya nchi ya kilima ya Efraimu , ambako mimi hutoka . Nilikwenda Bethlehemu huko Yuda , nami naenda nyumbani mwa Bwana ; lakini hakuna mtu atakayenichukua nyumbani kwake .
JDG 19:19     Alignment score: 0.438
We have straw and feed for our donkeys , and there is bread and wine for me and your female servant here , and for this young man with your servants . We lack nothing . "
Tuna nyasi za kulisha punda zetu , na kuna mkate na divai kwa ajili yangu na mtumishi wako mwanamke hapa , na kwa kijana huyu
pamoja na watumishi wako . Hatujapungukiwa chochote .
JDG 19:20     Alignment score: 0.287 → 0.289
The old man greeted them , " Peace be with you ! I will take care of all your needs . Only do not spend
the night in the square . "
Huyo mzee akawasalimu , Amani iwe na wewe ! Nitakupatia mahitaji yako yote . Usikae usiku tu katika njia kuu .
JDG 19:21     Alignment score: 0.313 → 0.343
So the man brought the Levite into his house and gave
feed to the donkeys . They washed their feet and ate and drank .
Basi huyo mtu akamleta Mlawi nyumbani kwake , akawalisha punda . Wakaosha miguu yao na kula na kunywa .
JDG 19:22     Alignment score: 0.307 → 0.319
While they were making their hearts glad , some men of the city , worthless men , surrounded the house , beating on the door . They spoke to the old man , the master of the house , saying , " Bring out the man who came
into your house , so we can know him . "
Walipokuwa wakifurahisha mioyo yao , watu wengine wa mji , watu wasiokuwa na maana , walizunguka nyumba , wakipiga mlango . Wakamwambia yule mzee , mwenye nyumba , wakisema , Mtoe mtu aliyeingia nyumbani kwako , ili tuweze kuzini naye .
JDG 19:23     Alignment score: 0.256 → 0.256
The man , the master of the house , went out to them and said to them , " No , my brothers , please do not do this
evil thing ! Since this man is a guest in my house , do not do this act of disgraceful folly !
Yule mtu , mwenye nyumba , akawajia , akawaambia , Hapana , ndugu zangu , tafadhali msifanye jambo baya ! Kwa kuwa mtu huyu ni mgeni nyumbani kwangu , musifanye jambo hili baya !
JDG 19:24     Alignment score: 0.321
See , my virgin daughter and his concubine
are here . Let me bring them out now . Violate them and do with them whatever you like . But do not do such an act of disgraceful folly to this man ! "
Angalia , binti yangu bikira na masuria wake hawa hapa . Ngoja niwalete sasa . Wapuuze na kufanya nao chochote mnachopenda . Lakini msifanyie jambo hili mbaya kwa mtu huyu !
JDG 19:25     Alignment score: 0.246
But the men would not listen to him , so the man seized his concubine
and brought her out to them . They raped her and abused her all throughout the night , and at dawn they let her go .
Lakini watu hawakumsikiliza , kwa hiyo huyo mwanamume akamshika yule mwanamke , akamleta nje . Walimkamata , wakambaka , na kumtendea uovu usiku mzima , na asubuhi wakamruhusu aende .
JDG 19:26     Alignment score: 0.394
At dawn the woman came and she fell down at the door of the man 's house where her master was , and she lay there until it was light .
Asubuhi mwanamke alikuja akaanguka chini ya mlango wa nyumba ya mtu ambapo bwana wake alikuwa , na yeye akalala pale mpaka kulipokucha .
JDG 19:27     Alignment score: 0.332 → 0.36
Her master rose
up in the morning and opened the doors of the house and went out to go on his way . He could see his concubine lying there at the door , with her hands on the threshold .
Bwana wake akaondoka asubuhi na kufungua milango ya nyumba , akatoka kwenda njiani . Aliweza kumwona mwanamke wake amelala pale mlangoni , mikono yake ikiwa juu ya kizingiti .
JDG 19:28     Alignment score: 0.371 → 0.384
The Levite said to her , " Get up . Let us go . " But there was no answer . He put her on the donkey , and the man set out for home .
Mlawi akamwambia , Simama twende . Lakini hakujibiwa . Alimuweka juu ya punda , na huyo
mtu akaondoka nyumbani .
JDG 19:29     Alignment score: 0.494 → 0.496
When the Levite came to his house , he took a knife , and he took hold of his concubine , and cut her up , limb by limb , into twelve pieces , and sent the pieces everywhere throughout Israel .
Mlawi alipofika nyumbani kwake , akachukua kisu , naye akamshika suria wake , akamkataa , mguu kwa mguu , akafanya vipande kumi na viwili , akapeleka vipande kila mahali katika Israeli .
JDG 19:30     Alignment score: 0.344 → 0.356
All who saw this said , " Such a thing has never been done or seen from the day the people of Israel came up out of the land of Egypt to this present day . Think about it ! Give
us advice ! Tell us what to do ! "
Wote waliona hili wakasema , Kitu hicho hakijawahi kufanyika au kuonekana tangu siku ambayo watu wa Israeli walikuja kutoka nchi ya Misri mpaka leo . Fikiria juu ya hili ! Tupe ushauri ! Tuambie nini cha kufanya !
JDG 19     Average alignment score: 0.39 for 29 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JDG:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21